Moja kati ya nyimbo nzuri sana , Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki katika huduma hii ya kumtukuza na kumhubiri Kristo kwa njia ya uimbaji. Kila niusikilizapo wimbo huu, nazidi kuona namna tunavyopaswa kuzidi kuyategemeza maisha yetu kwa mwokozi wetu, maana pasipo yeye sisi hatuwezi neno lolote.
@TumainiShangilieniChoir7 ай бұрын
Amen Kubwa, Mungu wa mbinguni Akubariki
@GodfreyDismas-p1q3 ай бұрын
Hiinyimbo naisikiliza zaidi yamara 20 kwasiku tumaini ni kwaya yangu ya muda wote
@philemonmartine73172 жыл бұрын
May 24 still listening this spritual song and counting massive blessing Amen🙏
@dominickkibatala67123 ай бұрын
St James always mnanifurahisha Sana Mungu awabariki mzidi kuwa na upendo na umoja
@dominickkibatala67122 күн бұрын
Dear God give me a strength oooh lord might God
@emmabeatrice46572 жыл бұрын
This choir really touches my heart may God continue to bless you.
@emmangullo98403 жыл бұрын
Mbarikiwe sana.. hakika kwake kuna usalama.
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Amina
@everkibiki51766 жыл бұрын
Kweli mmeimba vizur San tena wimbo unaupako San , Mungu awasaidie mlichokiimba mpate kukiishi.
@davidnhukuwalah45183 жыл бұрын
Asanteni sana nyimbo umejaa ujumbe hongereni
@philemonmartine73172 жыл бұрын
January 07 still listening.. Waiting Blessings🙏
@rhodaathuman96606 жыл бұрын
Hakika, Kwako Mungu Kuna Msamaha, Kwako Mungu Kwetu Kimbilio.
@dorcaskaliula11846 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu unaniweka karibu zaidi na Mungu mbarikiwe sana Mungu awape mafunuo zaidi ktk kazi yake
@tunumlekwa55923 жыл бұрын
Bwana unishike nyimbo inabariki sana
@gadielpaulo89255 жыл бұрын
Ahsante Mungu kunileta hapa nimefurahi na moyo wangu hakika umenibariki
@josezewamipango67384 жыл бұрын
Mungu hawa ongeze ktk uimbaji wenu🙏.amen
@musamutambuki41547 жыл бұрын
Huu wimbo una UPAKO wa kipekee. Mbarikiwe sana
@helsebyhelseby34215 жыл бұрын
Felchismi fulgence
@naomimanyenye87262 жыл бұрын
Kwako Bwana kuna msamaha,mbarikiwe watumishi
@lucy111st4 жыл бұрын
Wimbo unagusa sana hisia za moyoni. Nishike Mkono Bwana usiniache maana njia siioni. Bravo Tumaini Shangilieni Choir
@dominicshee13226 жыл бұрын
wimbo unanipa nguvu ya kushinda zaid kiroho Na kimwili Oooh lord Ur my comfoter
@geoffreymwangi81692 жыл бұрын
What a wonderful song,God bless you tumaini,my prayer is that you may live what you're singing now which is also my prayer,the song is touching my heart in a very unique way,even how it touches your hearts until you cry,actually the song has achieved it's main purpose
@williamtimothy3872 Жыл бұрын
Naupenda san huu nyimbo
@abrahammayenje31266 жыл бұрын
Great work! Wimbo una mguso wa kipekee. Mungu awabariki Tumaini Choir
@emmanuelmanyama81336 жыл бұрын
siku zote huu wimbo huwa unanibariki sana
@Regnard9994 жыл бұрын
Mbarikiwe Tumaini kwaya kwa wimbo wenye mguso wa hisia za kuabudu na toba lakini pia kuomba mkono wa Mungu uendelee kutushika. Solo nimemfananisha sana na Beatrice Muhone.
@TumainiShangilieniChoir3 жыл бұрын
Solo anaitwa Scola
@henrymballa52633 жыл бұрын
Ni yeye Beatrice
@happyminja12926 жыл бұрын
Huu wimbo hata kama unamawazo yote yanaisha
@nunungowi9095 жыл бұрын
Huu wimbo una nguvu sana mbarikiwe mnoo
@Is_God_real3 жыл бұрын
In 2021 lakini mwimbo una nguvu huu🔥
@sylviakadeha32617 жыл бұрын
Nishike Jehova wangu..nikumbatie Yesu wangu
@hurumagideon18823 жыл бұрын
Mimi mwenye dhambi🙏
@happymsaki17204 жыл бұрын
Nishike mimi mzambi Yesu wangu 10/8/2020
@mafujojohn64983 жыл бұрын
Nyimbo nzr
@lydiajohn32687 жыл бұрын
Jamani naupenda huu wimbo wa unishike balikiwa sana watumishi.
@neylladavid39016 жыл бұрын
Bwana nikumbatie niwe Karibu na moyo nivute bwana niwe wako yeesuu
@lazarocharles30206 жыл бұрын
Nmebarikiwa San wimbo mzuri
@devasinghpupinder21666 жыл бұрын
can't get enough of this song.
@jacobsamwel99324 жыл бұрын
Mungu awatunze watumishi, kazi yenu ni njema sana
@nicholausmwamtobe26477 жыл бұрын
Watumishi hongereni sana
@davidado96323 жыл бұрын
Amen 🙏
@mhambaezekiel31007 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa huduma..
@estatamushi58837 жыл бұрын
my best song mwaaaaaa
@lukusam89904 жыл бұрын
Aminaa!!!🙌
@marthamsafiri53525 жыл бұрын
Naupenda wimbo huu, full upako, mbarikiwe waimbaji.
@mosesjonas8494 жыл бұрын
unanibariki. sana
@faithluhumbika22957 жыл бұрын
nice songs
@magrethalego9061 Жыл бұрын
2023🎉🎉🎉
@elizabethndinyanya76236 жыл бұрын
mmeimba vizuri sna .
@adamsgraphics1927 жыл бұрын
safi sana
@saidyshemanyaze87087 жыл бұрын
Wimbo umenibarki snaa
@amilcarjuma62745 жыл бұрын
Gusa Bwana
@naomijuma51906 жыл бұрын
Waoooo wimbo mzri sana
@florashauri93857 жыл бұрын
wimbo mzuri sana mbarikiwe sana wapendwa
@kenethmhimbano17456 жыл бұрын
Hakika mmetumia karama mlizopewa God blessing you
@olesidaimunis96805 жыл бұрын
@ 8:09 We give you glory our Lord"
@eliazaripro55326 жыл бұрын
Amen nakumbua south ...usizi
@gradymathew82035 жыл бұрын
Nisameheeeee
@sarahyateri67944 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana watumishi wa mungu
@stanleyngonde44727 жыл бұрын
nawapend sana
@hoseagabriel46986 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@charleskatamba72932 жыл бұрын
It is so nice song, be blessed all by JEHOVA. Amen.