UONGO WA MASUFI WABAINIKA.

  Рет қаралды 1,435

ABJAD# ACADEMY

ABJAD# ACADEMY

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q 4 күн бұрын
UNAELEWEKA SANA SHEKH JAPO MDOGO KI UMRI LKN ALLAH HUMFADHILISHA AMTAKE .SHKRAN
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Acheni kupotoshwa
@kassimumikdad1611
@kassimumikdad1611 5 күн бұрын
Naam, kijana Allah akupe upeo zaidi unaonesha una fahamu sana, na pia umejipamba na ucha Mungu. Utaona mashekhe wakubwa jamii ina waamini, lakini ovyo kabisa, Allah atuongo sote.
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 4 күн бұрын
Amin
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Vigawanyo vya tauhidi ni bidaa
@Idd-t4m
@Idd-t4m 5 күн бұрын
Umemaliza kazikaka kumbe issue ilikuandogo tu tatizo watu hawafundishi kwa ikhlass
@shabanmaulana8594
@shabanmaulana8594 2 күн бұрын
Subbhana Allah, yani jinsi tulivyo potea wa Islam, mijadala ya kipuziiiiiiiiii isiokua na maana 😢 wa Islam wenzetu wauliwa na kupigwa kutwa kucha ata usingizi hawapati watoto kwa watu wazima, badala ya sisi kushirikiana tuka wafanyia Dua wenzetu au kuadamana kufanya migomo kuonesha ummoja wa uisilamu wetu .lakini ataaaaaa atufikiri kushinda mpuzi sijui maulidi kufanyajee oooo blablaa kuitana makafiri, na sote twasoma Quraan moja lakini atuelewani hovyooo kabisaaaa
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Muhuni mkubwa ww
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 20 сағат бұрын
@@SuolFat ndugu yangu usitoe maneno ya kejeli, unapotajiwa hakki , inapokujia Jambo ikiwa ni hakki chukuwa ukiona batwili wacha ww unakalia kutukana maneno hayoo ikiwa anaezungumza yupo kwenye hakki, yatakwenda kukushuhudia shida na ugumu Leo inakuja watu wamezaliwa katika Mila Fulani Sasa kubadilika mtu unaona kazi, unatokwa na maneno mabaya, ogopa Sana muislamu anapokulingania kheri ukamtolea kejeli, hatari kubwa xana, ww ukiona ufe na msimamo wako bhasi wacha wapo wanaoelimika kupitia huyu umtukanae, arafu utakwenda kushitakiwa na Allah ww usizani ukitoka matusi ndo umemaliza hiyyo kumbuka duniani sote Allah ametuleta kutahiniwa ikiwa wamuamini Allah na siku ya mwisho uwezi tukana watu, Ila ikiwa Imani yako dhaifu mana mi sijui Imani yako Allah ndo anae juwa zaidi, ikiwa ni dhaifu au ipo juu, Sasa utakiwi kutukana na kuikejeli, hivi mbona walopita walimtolea kejeli mtume na Wakiona mbona mtume mwenyewe tunamtukana tuuh, Allah atuhukumu kumbe Allah haghafirki kama wazaniavyo wameandikiwa waloandikiwa watayakuta jaza yao siku ya kiama, Sasa Jambo kama hulipendi usitukane wacha wengine watanufaika nalo matusi si hoja na dalili ya mtu kukosa hoja
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 5 күн бұрын
Huyu kijana simjui kwa undani lakin anaonekana yuko makini ALLAAH amfungulie elimu na ufahamu zaidi
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Vigawanyo vya tauhidi ni bidaa
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Күн бұрын
Huyu kumbe nae sheikh .zama zamwisho hata makamasi hajaweza kuyatoa
@why-ir8zl
@why-ir8zl 5 күн бұрын
Mashekhe wengi wa kwenye U tube wanadhalilishana ili wapate viwes na kuwapa faida makafiri kwa jinsi mnavyozozana
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Acheni uzushi ktk kuraani Wala hadithi hakuna hovyo vitu
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 5 күн бұрын
Kijana asant umeongea point muhim Alla akulipe kheir
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 4 күн бұрын
Amin
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Vigawanyo vya tauhidi ni bidaa
@luqmaanbilla6589
@luqmaanbilla6589 4 күн бұрын
Duh 😂😂😂 asaivi mashekh was mitandaao niwengi hatakutamka hajui huyu eti nae akosoa 😮😮😮
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 2 күн бұрын
Acha dharau
@kakamama5104
@kakamama5104 Күн бұрын
Ww kijana njoo madras bado ww nimtoto mdogo wasitahiki urudimadrasa kusama
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 3 күн бұрын
Tauhiid ni moja tuu,si tatizo kuwa na sehemu nyingi.Mfano: Mtu ni mmoja tu,bali ana sehemu kadhaa.Shida iko wapi nyinyi mautadhi.Hayo unayoyasema yote wasomaji wanayajua.Biology ni moja tu hayo mengineni matawi.Shida ni nini?Unasema kelele zimekuwa nyingi,bali na wewe umeingia humo humo.Tafuta kinachopingwa.
@princefeisla3692
@princefeisla3692 5 күн бұрын
Nakosea banana mnadai mnaweka sawa Kisha mnaamini Kuna miungu tena ya kibinadam? Allah atusamehe sote
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q 4 күн бұрын
ENDELEZA DINI MZEE TUPE DARSA .
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Vigawanyo vya tauhidi ni bidaa
@omarabdi3604
@omarabdi3604 4 күн бұрын
acha kukurupuka ww na ww ndio wale wale je mtume sw ame fundisha wapi tawhid 3 je na wapi allah ame taja kwa qur aan hizo tawhdid tatu acheni kukufurisha watu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 5 күн бұрын
Masufi wamenyimwa ufahamu kabisaa unamueleza tahwwed yey akili yake inampelekea kusema utatu wa wakristo allah awaongoze kwakweli wapo mbali na hakki, kukosa ilmu ya kumtambuwa allah, katika sifa zake tahweed unainasibisha na miungu ya wakristo kuna watu kwenye hii dini mzigo kweli kweli😂😂 Allah awaongoze hawa sufi maana wamepotea njia arafu wanajiona wapo sawa kuelimika haw
@why-ir8zl
@why-ir8zl 5 күн бұрын
Elimu hutolewa kwa lugha nzuri na adabu km kijana alivyofanya sasa wewe umekuja kutaka kunajisi elimu nzuri kutoka kwa kijana😮
@jumafaki2891
@jumafaki2891 4 күн бұрын
hivi huyu mtoto anasema Nini mara tauhidi ni elimu ya kujua sifa za mungu mara baologi mara zinc mara mathmat halafu alitutolea sanadi yake hivo hiyo sanadi inayo migao hiyo ninacho kiona Mimi huyu mwehu ninavyo muona ni mtoto kafeli skuli Sasa ajifunza nae kuzungumza dini bila mwalimu visa tu basi
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 күн бұрын
@jumafaki2891 kumbuka maneno utamkayo ni hatari na kumtusi mtu mbaya zaidi kila Jambo Allah anaandika ww upo kiushabiki wa kundi so kujifunza ilmu, usijuone kidume sana kutukana watu, kila Jambo utaenda likuta chunga ulimi uliwaangamiza watu walopita na utawapeleka watu motoni, hivyo mtume amejifundisha sana mwislamu chunga ulimi wake, hivyo Jambo ujisikii so lazima utoe kejeli na matusi huenda huyo anakulingania ukaja mkumbuka kesho akhera duniani tunapita pumzi isikudanganye na dini aitaki matusi na aitaki Jazba soma dini usiburuzwe kwa kufata mkumbo ya watu
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Vigawanyo vya tauhidi ni bidaa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Күн бұрын
@SuolFat hata ww ni bidaa pia
HIVI NDIVYO SHEIKH KISHK ALIVYOMSILIMISHA PIERRE LIQUID
16:52
Kishki Online TV
Рет қаралды 11 М.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
Lillian Mwasha: SABABU ZA MWANAUME KUOA WAKE WA NNE
10:33
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 15 М.
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН