1/7/2024 n nani mwengine ameukumbuka huu wimbo akarudi uku tena kuusikiza huu mwaka
@cynthiakaneza141611 ай бұрын
Nakupenda sana aliependa huu wimbo gonga like hapa 😁😁😁
@franktibikunda5717 Жыл бұрын
Kama ubarikiwa na wimbo huu Kama Mimi gonga like
@mariamwilliam6084 Жыл бұрын
ameen💟
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" Mimi kwa mtazamo wangu naona hii nyimbo ingepata tuzo mwaka u...
@daudluswema-mx3ok Жыл бұрын
wewe ndio umewaza vzr kabisa,waseme tupige kula tuzo nilazima apate,huu ujumbe kwa kweli umenigusa sana.
@judithwavinya87122 жыл бұрын
Kenyans let's do our thing 💪 ❤
@sedekiafredrick42522 жыл бұрын
Barikiwa sana mama wimbo mzuri wa kuonya 🙌
@rosemaryraymond88132 жыл бұрын
Hiyo eleweka ipo vizuri eleweka eleweka aiseh tuelewek jamani
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏
@evemaina77182 жыл бұрын
True gospel...preaching through this song....
@mboneanico33212 жыл бұрын
🙄ndio zieleweke hizo things dada judith
@petermsilu2 жыл бұрын
Haka kawimbo 🙈 kazuri Ila kanaumaaa 😭 afu kaujumbe kanapenya huku kanakuburudisha 😅 Ubarikiwe Upendo Nkone 🙌
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
😂balaa
@wafabian81162 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 eleweka wacha kuita wimbo wa wenyewe kawimbo 😂😂😂😂🤣🤣🤣eleweka
@evelynereuben1472 жыл бұрын
😄😄😄😄
@teddysilwamba95172 жыл бұрын
My sister god bless u richey from
@teddysilwamba95172 жыл бұрын
My sister god bless u in a special way for the song for it very touching am teddy silwamba from zambia
@sherryfuraha307626 күн бұрын
2024 July gonga like❤❤❤
@crispuskasanga84872 жыл бұрын
WAAH! UPENDO HAPA UMEWEZA KWA UWEZO WAKE MUNGU.GLORY TO GOD.MUCH LOVE FROM KENYA
@hillarywafula76354 ай бұрын
This song makes me cry 😭😭, Lord have mercy on me 😭😭😭
@edwinlogedi95612 күн бұрын
Mumm uliiimba huu wimbo kweli❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤#KWELI ELEWEKA.
@joycekaganga6924Күн бұрын
Eleweka tukuelewe ❤❤❤ nice message wokovu si lele mama kila alitajae jina la Bwana aache uovu ajikane ajitwike msalaba afuate nyayo za Yesu 🎉 ni heri kuwa moto au baridi kuliko vuguvugu ❤ eleweka
@RobaiKisiaKadanya Жыл бұрын
The song has gone viral in Kenya.... 🥰🥰🥰🥰🥰
@victoriakioko17438 ай бұрын
True
@Verohrayz.-2 ай бұрын
Zakayo 😂😂😂haeleweki
@milientshiresi8699 Жыл бұрын
At a time such as this, this is a message especially to us Kenyans
@carolusweti5089 Жыл бұрын
Exactly, this song is perfect,I wish All Kenyans to watch and listen to this.
@Neemamaulino Жыл бұрын
Mm j
@diborahmueni Жыл бұрын
NC song .
@sharonatieno487911 ай бұрын
why us? wee nawe
@NalingigwaElibariki11 ай бұрын
youtube.com/@NalingigwaElibariki For good gospel song Plz subscribe like and share link
@evemaina77182 жыл бұрын
Mama you have always been a blessing through your songs.Blessings from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏
@sharonadhiambo7122 Жыл бұрын
Woooow hii nyimbo imenibariki mchana wa leo,itabidi nieleweke jamani ,may God countinue to bless ,upendo Mkone🙏❤
@LydiaMideva5 ай бұрын
Lazima tueleweke ndani ya yesu👏👏👏
@marykarebeti94102 жыл бұрын
Mama umemaliza kabisa. Mahubiri tosha haya. Barikiwa.
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙏🙏🙏🙏
@benadethafrancis52232 жыл бұрын
Waimbaji wa nyimbo za injili ndiyo Hawa Sasa! Mm old school bwana, nawaelewaga Hawa Hawa old school wenzangu. Kina Upendo Nkone, Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Much Abiud na nk. Mambo ya Yesu ni Bwana. Nyimbo zinazohukumu nafsi!
@tukuyufm2 жыл бұрын
Sieleweki huu wimbo ni Wangu. Jamani tuanze kueleweka.
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏
@ericmaundu24402 жыл бұрын
This is the true gospel we need to listen and be preached. May God lift you up from one glory to another
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏
@sirpleasureb2 жыл бұрын
1wakorintho 14:33-37
@annemarienshimirimana5290 Жыл бұрын
Kwakweli hata Sisi Burundi tumeibenda nyimbo hiyo lazima tueleweke ju tuende mbinguni
@rwa877 Жыл бұрын
Amen
@NalingigwaElibariki11 ай бұрын
youtube.com/@NalingigwaElibariki For good gospel song Plz subscribe like and share link
@mazaraamisi4186 Жыл бұрын
Asante mjakazi wa Mungu Mungu akupe nguvu ili uendelee na uduma ya Mungu. Nyimbo iyi ilinigusa saaana Shallom .kutoka 🇺🇸. Samahani kwa kiswahili
@jeniphambinda28885 ай бұрын
Wimbo huu kama watu wate wangeusikiliza daaa,kweli Mungu atusaidie kuwa moto.
@philipomashiku38182 жыл бұрын
Hakika Nimebarikiwa Sana Kupitia wimbo huu. Mungu akubariki na kukuongeza zaidi mama
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
yani kila kitu umesema mama hujabakisha chochote.mwenye sikio amesikio.nice.
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you
@mackmgaya8808 Жыл бұрын
Amina nimebarikiwa na wimbo.
@ebenyolongor-lf6hm10 ай бұрын
me usikiza ii song daily loud and clear gospel and very touching song 😢kanauma Lakini ni ukweli kabisa.... Mama barikiwa Sana
@grace-neemabuninange-bujik9117 Жыл бұрын
Yaan huu wimbo ni mahubiri tosha umemgusa kila mtu. Amen Pendo, huu ni miongon mwa nyimbo bora kwangu
@phellowmmbunitv60772 жыл бұрын
Big tune big time..wakenya mko wapi nione kwa likes
@AliceLamwaka8672 Жыл бұрын
Halelujah UGANDA 🇺🇬🇺🇬 eleweka tafadhali
@carolakinyi5072 Жыл бұрын
True nkole bariwa Kwa huo wimbo
@phyllisndanu65802 жыл бұрын
I love this song. It's a complete sermon
@lizjacobs2 жыл бұрын
Songs that talks the truth.... What other Gospel artist won't sing
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙏🙏🙏🙏
@NalingigwaElibariki11 ай бұрын
youtube.com/@NalingigwaElibariki For good gospel song Plz subscribe like and share link
@WanzilaWambuaАй бұрын
Kweli waambie waeleke wako wapi wimbo mzuri sana❤
@user-rd9gn8vl3j2 ай бұрын
Hii nyimbo, naita jina lake FIMBO. Hakuna jinsi lingine ya kusaidia kizazi cha leo isipokua tu kwa fimbo.
@williamonyango4932 Жыл бұрын
This song points directly to me🤨🤨God please transform me once again and bless this lady.
@deogratiasmeso4865 Жыл бұрын
Just saw this song trending in Kenya then came here to view and download , thinking its new. Such a powerful song. Be blessed Upendo Nkone.
@TABBYHEAVEN-kg1qo Жыл бұрын
I too..the song is absolutely amazing ❤
@MillicentAchieng-bb1sc Жыл бұрын
Good job,,good one,, God bless you
@happymhame82182 жыл бұрын
Uko vema sanaa mpambanaji!
@princessvimala14242 жыл бұрын
Lazima tueleweke ndani ya yesu🙏🙏🙏🙏much love mum from your daughter from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mariamwilliam6084 Жыл бұрын
nikweli lazima
@mariamwilliam6084 Жыл бұрын
tubadilike kweli💟👏👋✋
@maggietony26852 жыл бұрын
Wimbo mzuri dadangu!! Mungu azidi kukuinua na akupe ufunuo wa hali ya juu....naupeda wimbo huu❤️
@jamessila3219 Жыл бұрын
My best singer in 2023 more blessings..
@pheonerjanet6066 Жыл бұрын
Mungu nisaidiye nieleweka ni sikuwe mwenye aleweki
@puritywangui5297 Жыл бұрын
Mama upendo wewe niwa baraka.nyimbo zako zahimiza na kutia moyo.nakwombea neema tele.
@aaronmika882 жыл бұрын
This is what we call gospel...barikiwa saana mtumishi
@agneswangui42952 жыл бұрын
WOW.AS CHRISTIAN BECAUSE WE ARE MANY>BUT HAWAWELEWEKI!MKRISTO WA UKWELI ANALEWEKA.
@estareliasmagesa87912 жыл бұрын
Eleweka tukuelewe eleweka mbona michanganyo mingi eleweka mguu kwa sheta kwa yesu eleweka
@Chris_Martha Жыл бұрын
Let share this to our church whatsapp groups. We must change ❤. Blessings to you beautiful mum
@carolusweti5089 Жыл бұрын
I agree,
@tukuyufm2 жыл бұрын
HII nyimbo mmmh inanihusu sana na sote inatuhusu, jamani tubadilike.
@millienanzala2240 Жыл бұрын
Wale tumetoka tiktok hadi KZbin, gather here 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@nthenyasammy12682 жыл бұрын
Thanks mummy itabidi nieleweke,,,,,,,,,,thanks may jehovah bless u
@chuisaimon65192 жыл бұрын
Mama sina mengi sana mungu awe pamoja na wewe kuanzia leo nitaokoka
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you
@devothaignatus59112 жыл бұрын
Jmn mm nimepona
@gladysmawiamusic2 жыл бұрын
Just today I wanted to post about God being a jealous God...I love this 🥰. Evangelistic music rich in message 💯💯eleweka🎧🎶
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@ShedrackSumbe10 күн бұрын
Nkone umeenda kwenye madhabahu ya godlove umekwisha nibora ungekufa kifo Cha kimwili kuliko uende kwagodlove
@yeremiazawadi173111 ай бұрын
Huuu Wimbo kwakweli unagusa maisha yetu kwa sasa. Dada ubarikiwe sana
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu,unaponya wengi wanasikiliza kwa sikio linataka maadili ya Mungu.♥️👏
@NitzachonLife2 жыл бұрын
Ujumbe Muhimu sana. INJILI IMEHUBIRIWA HAPA
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏
@estherbarongo3698 Жыл бұрын
Amen amen watu waeleweke kabsaa mama yetu Nakupenda Bure nakusikiliza kutoka Kenya
@davidmugisa5 ай бұрын
Aksante sana 🙏 Jina la Bwana MUNGU lipewe utukufu milele na milele.
@solomonmaina8247 Жыл бұрын
Pure level of truth. This is what God loves
@terryconstance35152 жыл бұрын
Nimependa Sana this one. From Kenya. ✨
@EstherMakole15 күн бұрын
This song imenigusa sana😢hongera sana upendo Nkone❤
@eliphaznkurunziza7405 Жыл бұрын
Amina Yesu Kristo atusaidie tupate kueleweka
@gapablessgadison68632 жыл бұрын
Nice nyimbo, nimeipenda,,! KARIBU KASULU KIGOMA 🇹🇿
@beatriceoduor6702 Жыл бұрын
A very powerful song,,,an open message to us all believers,,, personal declaration.
@user-ux6qy9wf5b6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama yangu ,,mungu akuzidishie siku duniani na kukuongezea maarifa
@dianawanjege8541 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ people should know there stand.
@janewambui9981 Жыл бұрын
Trending nowkwa TikTok
@wilfredlucas63112 жыл бұрын
Congratulations my mother kwa nyimbo nzuri
@ronaldmshila65962 жыл бұрын
Nyimbo nzuri mum
@jeancyigunzi1512 жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaaa mama ubarikiwe sanaaa
@onorinalwambanya30862 жыл бұрын
Mzuri sana ❤️❤️❤️
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏
@johnmushi6512 жыл бұрын
Hakika ni nyimbo nzuri sana.inaleta uwamsho ndani ya nafsi kama ulilala amka sasa.good blees u sister.
@liliantorome28842 жыл бұрын
This is a very powerful powerful song. It is speaking to the larger Christian family. Nyimbo nzuri mno... Mama huyu ana upako na kibali Aisee!!!
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@FrancisMukabwa7 ай бұрын
Nilikua najichanganya lakini huu mziki umeni fanya nieleweke mungu aku bariki 🙏🙏❤❤❤
@user-cb4uk1bm5n9 ай бұрын
Yes i like so much from Zambia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@beatriceoduor6702 Жыл бұрын
I have always loved her songs,,, very committed and genuine woman of God,,,,
@mauricebaraka91192 жыл бұрын
Sijawahi kujuta kukufuatilia mama yangu hongera sana mama kwa nyimbo nzuri na kali sana nimebarikiwa sana
@bishopkevinofficialchannel64605 ай бұрын
Eleweka. God bless servant of God
@frednandysa2832 жыл бұрын
Kazi nzuriii sana Safi mother
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@fridahmwangangi69442 жыл бұрын
This is song is a blessing
@mickymutiso6931 Жыл бұрын
Very motivational and inspirational.. Kenyans let's hear this ❤️
@oliviermusafirimihigo61475 ай бұрын
Wimbo uyu umenibariki kwa kiwango ya juu sana kabisa
@maryedson80972 жыл бұрын
Yaaani umenibariki mpaka nalia umenibariki mnooo dada BONGE LA WIMBO KRISTO AKINEEMESHE ZAIDI NA KUKULINDA FANIKIWA ZAIDI ROHO YAKO KAMA AFYA YAKO IFANIKIWAVYO Nakupenda mnooooooo
@otanajairus77002 жыл бұрын
Wow! The message is at home. ELEWEKA
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@oloomiriam7077 Жыл бұрын
A clear and powerful message 🙏 from Upendo,us christians this message is real and torching 🙏
@Channeltvke Жыл бұрын
Direct from tiktok ❤
@shedrackbenjamin59022 жыл бұрын
Mimi ni shabiki wako maishaa yoteeee Hakuna nyimbo nazipenda kama, Mungu Baba na Unashili yaani kiufupi hizo ndo nyimbo zangu za kupatia usingizi, hii nayo ni ya mootooo
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙏🙏🙏🙏
@joshombo36812 жыл бұрын
C'est ça le véritable évengile qui consiste à ramener les gens vers christ, Que Dieu vous bénisse maman pour cette chanson !
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
@esthermliga48752 жыл бұрын
Amen mam yangu!!! Mungu akubariki na kukuinua ktk viwango vingine, asante kwa wimbo mzuri !!! Mungu anisaidie nieleweke,
@danielmparanyi2 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙌🏻🙏🙏🙏🙏
@jacintawanjiru1657 Жыл бұрын
From TikTok, this song is powerful
@okaalorex805011 ай бұрын
It makes me remember my Current president Elewaka
@rajabmugo38822 жыл бұрын
Hallelujah a great song,,,,,,, ohhh a message from Holy Spirit....
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙏🙏🙏🙏
@peternyaga21142 жыл бұрын
SONG 🎵 OF THE YEAR 💯
@happykhamis76402 жыл бұрын
Daa!! Ubarikiwe Mama amahakika hii ni ibada tosha Yan injili tosha Hakika yatupasa kueleweka
@nanyamasheilah56956 ай бұрын
This song SLAPS HEAVILY 😭😭 GOD FORGIVE ME AND CLEAN MY SINS🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏naokoka nikirudi nyuma 😭😭😭Mungu nisaidie uniondoleee kiu YA Dhambi na unipe UTAKATIFU WAKO🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@felixoumaotieno984 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana. This is a prophetic song. Mimi niko SDA na nimeguzwa na huu wimbo sana. Wakristo dunia nzima wafaa kupata huu ujumbe. Amin na ubarikiwe
@samwellunclesam17302 жыл бұрын
Inspiring....may God help us to.. stand firm in his word
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙏🙏🙏
@user-xx4rc4xv5e5 ай бұрын
Mungu akubariki mama huu wimbo utawabadirisha wengi
@emmanuelngajilo3674 Жыл бұрын
Mungu akubari sana dada yangu kiukweli Mungu anakutumia vizuri kuifanya kazi yake nilianza kukufatilia tokea unaimba kwaya ya Yombo dovya
@stephenmuthoka6070 Жыл бұрын
Wimbo mzuri na wakati unaofaa hasa sisi wakenya tueleweke. Be blessed for this nice message.
@winfridadavid86362 жыл бұрын
Nampenda sanaaa huyu mama ❤❤❤💋
@benmparanyiofficiel99882 жыл бұрын
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you for your supports🙌🏻
@carolusweti5089 Жыл бұрын
Dear mama upendo, I love All your songs but this is More good 👍 hakika eleweka.imenibari said,🙏🙏🙏🙏
@doreennanjala3740 Жыл бұрын
Woow, woow, woow Nimeona status ya mtu ikabidi nitafte huu wimbo... Baeikiwa sana mtumishi wa mungu