Рет қаралды 753
Vijana wengi wanajiingiza katika mahusiano pasipo kuelewa mahusiano hayo ni sahihi au sio sahihi, hii hupelekea mahusiano mengi kutokudumu kwa kuwa hayana misingi sahihi na uelewa juu uhusiano huu.
Mchg. Mwabulambo anatupitisha juu ya Urafiki, Uchumba hadi ndoa.
Contacts;-
iringatowncluster@gmail.com
0687942030