Dr. Chris Mauki: Mambo tano (5) wengi huyasahau katika uchumba

  Рет қаралды 31,412

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Makosa mengi yanayofanyika kwenye ndoa hutokana na vitu vilivyosahaulika kuangaliwa vema wakati wa uchumba. Ili usirudie makosa ya wengine jitahidi kuwa makini. Tazama video hii uyajue makosa hayo na kamwe usiyasahau.
#DrChrsMauki#Uchumba#Mahusiano.

Пікірлер: 45
@drmpemba5528
@drmpemba5528 2 жыл бұрын
1. AINA ZA FAMILIA MNAZOTOKA-Chunguza na angalia kwa makini aina za Familia (Kiuchumi , Malezi, na backgrounds zaote) 2. MTOTO WA NGAPI KWAO- ( Must know numbering, kila Nafasi ya mtoto Ina hulka tofauti Mtoto wa kwanza hawez kua sawa na WA mwisho,kitabia 3. HAIBA YAKE - Personality yake introvert and extrovert MKIMYAA SANAA ana kaa peke ake ndani AMA NI MUOONGEAJI 4.HISTORIA YA MALEZI KIUJUMLA (Family backgrounds, single parents eg single mothers etc 5. JIULIZE UKO TAYARI KUMALIZA SAFARI PAMOJA NAE?
@oliverjoseph55
@oliverjoseph55 3 жыл бұрын
Tena kunawakati narudia kujikumbusha,napenda kukufatilia kaka,asante sn Dr.
@kaswalala122
@kaswalala122 2 жыл бұрын
Hili somo limenigusa sana. Ahsante mwilim wangu wa saikolojia pale UD
@renyfridabutitiba3458
@renyfridabutitiba3458 2 жыл бұрын
Asante Mwenyez Mugu akutie nguvu na kukuinua ktk kazi yako honestly najifunza mengi kutoka kwako
@halimasamson9841
@halimasamson9841 3 жыл бұрын
Amen kaka jaman hiii mada imenihusu mim kabisa kwan nlikuwa sjaawah kumchunguz barikiw san
@deborajulius6024
@deborajulius6024 4 жыл бұрын
Ahsante Sana.. Nimejifunza kitu hapa kwakweli.. 🙏🙏MUNGU akubariki
@frankmathias1533
@frankmathias1533 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mkuu
@elizabethnnko4900
@elizabethnnko4900 4 жыл бұрын
Asante Saaaana Dr Chris haya ni ya Muhimu Sana Ila wengi hawayapi kipawa mbele
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 жыл бұрын
Fact. Baba Nimekuelewa Sana doctor Mungu akubariki sana
@happyvan6613
@happyvan6613 4 жыл бұрын
Hapo Kwenye mtoto wa kwanza na wa mwisho Mimi , umeenielewesha Sana
@amzaomary7679
@amzaomary7679 3 жыл бұрын
Asante saannaaa Dr. Mungu akubariki sana
@subirachrispin9209
@subirachrispin9209 4 жыл бұрын
Asante sana kaka nimeelewa ila nina swali kama uko kwenye uchumba alafu asiseme vitu hivyo vitano akagunzia labda tatu inakuaje kaka
@lydiaedwin3998
@lydiaedwin3998 3 жыл бұрын
Asante Kaka nimetokwa machozi ,umenifunza kitu
@SikituKamwambi
@SikituKamwambi 4 ай бұрын
Na kumwacha siwez tutapmbn hv hv tunapendana
@yedadialukuba9820
@yedadialukuba9820 4 жыл бұрын
Mtumishi, naomba zako,
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Brother heshima kwako barikiwa sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 жыл бұрын
Asante sana mkuu
@jackycute2047
@jackycute2047 4 жыл бұрын
Mungu akubariki doctar
@salamahamadisudi1912
@salamahamadisudi1912 4 жыл бұрын
Thanks for your advice bro chris
@hussenalisa7211
@hussenalisa7211 3 жыл бұрын
Mungu akupe afy asate sana nimejifunza
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Amen natumaini ume subscribe channel
@shadowhatory154
@shadowhatory154 3 жыл бұрын
Aksante sana bro Mauki hii mada imenilenga maisha yangu sana🙏🏾🙏🏾
@angeljackson8794
@angeljackson8794 4 жыл бұрын
Ubarikiwe Dr
@sylviesaidi8863
@sylviesaidi8863 3 жыл бұрын
Thx Dr god bless u
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 3 жыл бұрын
Mi niliwahi kuambiwa nimerogwa kwanini napenda kukaa pekee yangu muda mwingi haijalishi kuna umeme wala hakuna napenda sana kuwa pekee yangu muda mwingi sana
@rogerskasale1857
@rogerskasale1857 4 жыл бұрын
Nimekuelew sanaaaa kaka
@mashasamli7669
@mashasamli7669 3 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@rehemaandrew7569
@rehemaandrew7569 4 жыл бұрын
Asante sana
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 4 жыл бұрын
Nimepata kitu Cha ziada asante
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Asante dr Chris mauki be blessed
@Muka_26
@Muka_26 4 жыл бұрын
Be blessed
@jacquelinevedasto1058
@jacquelinevedasto1058 2 жыл бұрын
Asante San Dr. Kwa mafundisho lakini ningependa kufahamu kati ya Introvert and extrovert ni kina nani wanaweza kukaa pamoja na kuelewa vizur kwenye mahusiano?
@magdalenamarcus5745
@magdalenamarcus5745 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri nakuelewa Sana . Vipi kuhusu mtoto wa pili kwa mtoto wa pili kati ya watoto 5
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@gracekweka170
@gracekweka170 4 жыл бұрын
Kiuiwer tumeolewa na kula kwa kuangali tyuu yyunaenda hayo yote unayosema Dr no wachache mno wanafuatilia
@enockmoses409
@enockmoses409 4 жыл бұрын
Good lesson
@MagrethErnest-u9b
@MagrethErnest-u9b Ай бұрын
Nawezaje sasa kurundisha yule niliyo muumiza jp nilimdhalilish je inawezekn na je kosa moj kwa mtu akupendae hawez kusamehe km kweli alikuwa na upendo wa dhati
@SikituKamwambi
@SikituKamwambi 4 ай бұрын
Jmn mm boyfriend Wang ni wakwanza na mm ni wamwisho tunafanyeje
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 4 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana doctor! Umenifumbua ufahamu kwa upana sana kuhusu hayo makosa👏👏👏
@unicornlazo5117
@unicornlazo5117 4 жыл бұрын
All right doctor god blessing you
@christinawambura7483
@christinawambura7483 3 жыл бұрын
Asante sana doctor chris masomo yako yanikomamaza na kuyaimalisha mahusiano yangu na kupata maarifa kabla ya mahusiano
@HermanMannytheNerd
@HermanMannytheNerd 4 жыл бұрын
Umenigusa mwanzo mwisho
@rogerskasale1857
@rogerskasale1857 4 жыл бұрын
Hauna vitabu kaka
Makosa saba (7) ya kuepuka kwenye mahusiano yako
12:24
Chris Mauki
Рет қаралды 104 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
# DALILI ZA HATARI KATIKA UCHUMBA # 5
20:57
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 37 М.
Dr. Chris Mauki:   Tabia 5 zinazoua penzi
8:29
Chris Mauki
Рет қаралды 45 М.
MCHUNGAJI HANANJA: MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUOLEWA NA MWANAMME WA HIVI HAFAI
27:05
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 184 М.
MWANAUME NI MTU ANAYEKUMBUKA YA NYUMA MWANAMKE ANAKUMBUKA SASA "PASTOR MGOGO
22:26
Urafiki, Uchumba hadi Ndoa 1
21:30
Iringatown cluster
Рет қаралды 753
IJUE SIRI KUU YA MAFANIKIO
11:50
Success Path Network
Рет қаралды 31 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН