No video

SAKATA LA SUKARI LAMUIBUA MUCHUNGUZI, AMTAJA MPINA | AMKINGIA KIFUA BASHE

  Рет қаралды 1,280

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 ай бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Пікірлер: 13
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 Ай бұрын
Hii nchi ni ngumu sana. Kama nimekuelewa watanzania hawahitajiki kujua lolote!
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 Ай бұрын
Haya ndiyo majizi yenyewe. Hili limetumwa na majizi kuja kuyatetea
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Ай бұрын
Huyu mzee huwa simuelewi kabisa.
@olaismokolo695
@olaismokolo695 Ай бұрын
Sasa ww Kwa kuwa Una uwezo,VP kuhusu walala hoi walio wengi wa nchi hii,aibu Sana hii tusubiri tuone what follow next,nchi hii imeoza hakika
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Mm nadhani mpina anajikosha kwa Watanzania. Huyo aliua watu ziwani. Alifilisi wavuvi sana. Amuache Bashe apige kazi yake.
@jumacristv
@jumacristv Ай бұрын
Una ushahidi na hilo ? kwann usifungue mashitaka ukapeleka ushahidi au ndio uropokaji tu ?
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 Ай бұрын
Kama ni kuua maccm Yote ni mauaji Sana na mnajua.
@jamaa2760
@jamaa2760 Ай бұрын
Tani nyingi iliyoagizwa zaidi ya Gap sugar. Mjadala unaanzia hapo!!
@ruhindacostantine2092
@ruhindacostantine2092 Ай бұрын
Ilo mbona waziri bashe alisha rijibu.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Ай бұрын
Mhaya huyu. Wana tabia ya kujipendekeza na uchawa. Ni waongo na wanafiki. Mhaya akikwambia, kuna mvua nje, usitoke kachungulie kwanza.
@MelickMwanzalima
@MelickMwanzalima Ай бұрын
Waotuibia walikupa sh gapi
@PatrickSaid-zz6gf
@PatrickSaid-zz6gf Ай бұрын
Shida ni kwamba mtu akihoji jambo Fulani mnasema amemlenga mtu fulan au anachuki na mtu fulan, kwahiyo Mh Mpina hoja anazotoa zote ni kuwa anakuwa na agenda zake binafsi na wizara husika au waziri husika? Shame on you, kama wazir au serikal imekosea tuwe wawazi tu acha habari za kutaka kuaminisha umma kuwa serikali haikosei
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 Ай бұрын
Ahahaha!acha wee! Umekuwa partiality Sana kwa serikali wewe mchambuzi sijui huwa unaniogopa serikali au unategemea upewe nn na serikali.Kuna suala la kikokotoo lipo ktk jamii yetu hujawahi kulisemea wewe mchambuzi unashida gani?.Haya wafanyakazi wa bandari wanatapatapa huku na kule either waajiliwe na serikali au Dp world umeshakuwa kero.Sasa wewe kwa umbali ni chawa wa Regime tu,Maana ktk mijadala yako karibia Yote hutowi concrete direction.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,1 МЛН
Lissu kuongoza mawakili kuwashtaki Awadhi, Sisty mahakamani
2:56
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,8 М.
Mwanamke auawa Tabora, afichwa uvunguni
10:37
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,3 М.
Miraji, Mwalimu Yanga wacharuana kisa Sh5 milioni
7:56
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,8 М.
BREAKING NEWS: UMMY MWALIMU ATUMBULIWA USIKU HUU.
11:12
Ngasa Tv
Рет қаралды 274