URUSI VS UKRAINE (EZEKIELI

  Рет қаралды 121,943

NABII ELIYA ILYAAS

NABII ELIYA ILYAAS

Күн бұрын

Пікірлер: 204
@josephkate3664
@josephkate3664 11 ай бұрын
AMINA
@prfjonaslaviss5064
@prfjonaslaviss5064 2 жыл бұрын
I agree with you mtumishi wa Mungu Stay blessed 😇 📚📚❤️🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾
@khadijaalmasi9686
@khadijaalmasi9686 2 жыл бұрын
Mjinga mwenzio
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 2 жыл бұрын
Wewe unachanganya ukweli na uongo kuhusu ukristo halisi na uongo,au huelewi vizuri. Unatuchanganya. Mache Mungu aitwe Mungu.
@davidmwambo6399
@davidmwambo6399 2 жыл бұрын
Haya mambo ni mazito sana na Mungu kaamua tuyafahamu ili tutengeneze njia zetu,Mungu akupe nafasi zaidi ili wengine wafu guliwe kupitia ww mwalimu,ameeeen Mungu tusaidie sana
@tanunewstz
@tanunewstz 2 жыл бұрын
Great cheers great AMEN mtumishi
@bensonsamwel1603
@bensonsamwel1603 2 жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi uwendelee kutufunilia maneno zaidi
@robertlyimo636
@robertlyimo636 2 жыл бұрын
Hii vita ni kwa ajili ya kuonyesha utukufu wa Mungu juu ya Israeli Ezekiel 38:16 hapa inaonyesha Urusi itashindwa vita hivyo ingawa ni Taifa dogo machoni pa Urusi Soma EZEKIE 39:1-4 Soma EZEKIEL 39:11-15
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 2 жыл бұрын
Professa kuwa unatupa references maana wengine tunapenda kufanya research zaidi.
@djbm3955
@djbm3955 2 жыл бұрын
Somo hili like sawa kabisa ukwelimtupu
@Samandito
@Samandito 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa kunifungua kitu !! 🙏
@williamshitobelo6433
@williamshitobelo6433 2 жыл бұрын
Baba yangu Nabii Eliya, MUNGU amekuchagua kwa majira haya ulishe kondoo zake. Wale walio wake MUNGU watakuelewa!! Amina Amina Amina
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Жыл бұрын
Alivamia alizani ataachwa
@allyawadh390
@allyawadh390 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kawa mkisto?kweli njaa mbaya sana,kaona sehemu ya kupiga hela ni kuwadanganya wakristo kwa waislamu kashindwa kupata hela,hapo sasa utapiga sana hela kwasababu chochote utakachowaambia wao sawa.
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 2 жыл бұрын
Amezamilia kusisaka Kwa njia yeyote huu ni msiba aisee yaani haoni hata aibu duuu hatari sana, ila tusiwe na wasiwasi juu watu kama Hawa Allah ana majibu Yao na soon atayapata
@freduallughano2301
@freduallughano2301 2 жыл бұрын
Ila kuua watakataa vipi huko kwa mod kuua ruksa?
@ibrahimkadabla2111
@ibrahimkadabla2111 2 жыл бұрын
Jamaa alijichanganya kwa waislam tukamtoa mita mia dangya tot
@musilimusembi1646
@musilimusembi1646 2 жыл бұрын
How can a religion that denies that Jesus is God be a true church? Your history is good but you need to know what paul and Barnabas believed in. They believed in trinity. So the orthodox church is more of Pharisees and Sadducees (Judaism) than the the first church.
@protaspeter5371
@protaspeter5371 2 жыл бұрын
Nabii eliya nimeamini kweli ww sio mtu wa kawaida hapa duniani, na sielewi kwanini watu wengi hawakuzingatii sana, ujue ipo siku watakuelewa lakini watakua wamechelewa
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 Жыл бұрын
Apendae mafundisho hupenda maarifa. We waache tu. Huyu jamaa amenipa akili kinoma. Siyumbushwi na majuha mtaani
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 жыл бұрын
Tunamuhubiri Yesu Kristo Wala hatuhubiri dini. Kila ulimi utakiri Yesu Kristo Ni Bwana
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 2 жыл бұрын
Na hii ndiyo historia halisi kabisa ya Dini zoote hapa duniani....ubarikiwe saana nabii.... Russia mpaka sasa hajasema chanzo cha kuivamia Ukraine..nadhani lengo Lao ni hili ambalo nabii amelifanyia unabii hapa
@jobmoffat7844
@jobmoffat7844 2 жыл бұрын
Ukristo unajengwa katika Upendo na msamaha, siyo vita.
@jinomoko5510
@jinomoko5510 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi hakika Mungu amekupa mafunuo mengi ya kutuweka sawa watu wake Mungu akulinde aaamen
@williamshitobelo6433
@williamshitobelo6433 2 жыл бұрын
Baba yangu Nabii Eliya, MUNGU amekuchagua kwa majira haya ulishe kondoo zake. Wale walio wake MUNGU watakuelewa!! Amina Amina Amina
@khadijaalmasi9686
@khadijaalmasi9686 2 жыл бұрын
Umepotea wazi wazi yaani hata taperi anasifiwa
@voomtech
@voomtech 2 жыл бұрын
17:25 mpango wa shetani kwa maana ya papa wa katoriki
@samsonthoya4275
@samsonthoya4275 2 жыл бұрын
Amin Nabii Eliya tunakuombea Mungu aweze kukutia nguvu zaidi. Nasisi wanao tuko nyuma yako. Tufunulie zaidi yaliyofichwa chini ya maji.
@hamidgirrafe3708
@hamidgirrafe3708 2 жыл бұрын
Mungu hana mtoto broo
@stevensosipita2851
@stevensosipita2851 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe nimtoto wa mungu bila uwezo wa mungu usingekuwepo duniani
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Жыл бұрын
Huwezi kuiondoa Israel kwenye ramani ya Dunia amini usiamini itakupa taabu
@thomaslali705
@thomaslali705 2 жыл бұрын
Half knowledge is always dangerous. Sick the true track of truth to get the truth.
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 2 жыл бұрын
Dah kama movie vileeee ...sema umechambua vizuri Sana kaka Mungu akubariki sio wengi wanaweza kuchambua history
@christian-tq2hb
@christian-tq2hb 2 жыл бұрын
.amin
@nicetoknow27
@nicetoknow27 2 жыл бұрын
Huo ni uongo kabisa...nimeangalia mafunzo mengine yake na ni ya uongo kabisa
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 жыл бұрын
Leta reference tusome na sis
@barmedastv
@barmedastv 2 жыл бұрын
Waliokubeza watakuelewa tu maana nilikuwa nachukia sana watu wanatanguliza udini na hata hawajasoma vitabu kuelewa neno .YESU NDIYE MKOMBOZI
@Gamba177
@Gamba177 2 жыл бұрын
Mkombozi gani acha uwongo yesu alikuja kwa wana wa Israel peke yake wewe mmakonde wa Lindi mlaji panya buku wapi na wapi.
@wycliffkasinga8086
@wycliffkasinga8086 2 жыл бұрын
Bravo
@coj7920
@coj7920 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kufungua macho kwa wenye upofu wa kiroho na kudhani kuwa Urusi ni wabaya
@dawoudal-arabiybik3747
@dawoudal-arabiybik3747 2 жыл бұрын
hiv huyu jamaa kuna watu wanamwamin kwa kweli mungu awasaidie sana .....zero kabisa kosa linaanzia kujiita nabii hiv amekupa nani unabii we jamaa?
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Muache Tuu Ndugu Yangu
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kuchanganya ukweli na uongo
@emmanuelmukondia3568
@emmanuelmukondia3568 2 жыл бұрын
Indeed great teaching man of God
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 2 жыл бұрын
Uko vizuri mwalimu
@khadijaalmasi9686
@khadijaalmasi9686 2 жыл бұрын
Mataperi niwengi katiba mupya iwekwe sharia yakuwakamata
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 жыл бұрын
Kiongozi unaelezea mengine ya kweli na mengine si ya kweli, kwanini asili ya kanisa ni antiokia na sio Israel ambako ndiko alizaliwa nabii ISSA na hiyo aya kwanini hujaimalizia mbele inasema na Hilo ni jina la kupanga walilopangiwa na wapagani wa aljokia,kwanini kanisa liwe uturuki wakt yesu sio kwao Na kwanini lisianzushwa Israel ambako ndiko alizaliwa nabii ISSA au yesu Inasema kwa
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 жыл бұрын
Mmh uongo mtupu, yaani Urusi ndiyo Israel. Haya mafundisho yamejaa uongo mtupu
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 2 жыл бұрын
Kabisa anachanya uongo na ukweli
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 2 жыл бұрын
Ww ni shetani tu sio wa kanisa wala wa msikiti una boa sana
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Жыл бұрын
Huwezi kumuondoa zelesky kwenye ramani ya Dunia
@khadijaalmasi9686
@khadijaalmasi9686 2 жыл бұрын
WEWE UMEFERI KWENYE IMANI
@khadijaalmasi9686
@khadijaalmasi9686 2 жыл бұрын
Utaperi acheni KIAMA karibu
@swaleheamri2303
@swaleheamri2303 2 жыл бұрын
Ok
@Hoseapr
@Hoseapr 2 жыл бұрын
This is not true....give us reference
@belgieboys9867
@belgieboys9867 2 жыл бұрын
hujui hata historia ya ukiristo. laana ya Allah iwe juu yako hata kwenye biblia wanaomuamini yesu wanajua kuwa yesu sio kiristo aliyeleta ukiristo nis sauli aitwaye Paul. na yeye alikuwa ni mroman na mkatoliki na alitumwa kutoka roma kuuleta hizo sehem. na kwenye biblia imo na hilo kundi . ulolitaja ni kundi lilojitenga na ukiristo yaani ukatoliki HUJUI CHOCHOTE HATA STORY YAKO HUJAIPANDA UZURI UNABABAIKA TU 😂😂😂
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 2 жыл бұрын
jibu kwa hoja iyo laana iwe kwako
@danielharuni1800
@danielharuni1800 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu stephano alikuwa Mkristo wa antiokia? Acha upotoshaji
@davidndaha9607
@davidndaha9607 2 жыл бұрын
Kiukweli mafundisho mazuri ila wachanga katika biblia they don’t understand you!.
@abasijuma6989
@abasijuma6989 2 жыл бұрын
We kafiri ungelipo tu
@ibrahimbujiku3007
@ibrahimbujiku3007 2 жыл бұрын
Kiasi nimekuelewa nitaendelea kujifunza
@pascalnicolaus6986
@pascalnicolaus6986 2 жыл бұрын
Biblia ndio msingi wa imani ya Kirklisto.Tupime maneno ya mtumishi yeyote na neno katika biblia .Vinginevyo tutaambulia patupu.
@rabbithare381
@rabbithare381 2 жыл бұрын
First you ain't no Prophet, second this topic and the entire detail was done years ago by a certain muslim scholar. So it's wrong the same details you've picked from someone else then purporting to be a Prophet. A prophet never copies & pastes from mortal beings, a prophet gets direct information from the almighty creator.... I will research and find out the exact muslim preacher who already gave this lecture in the United States, once I get it will definitely paste the link here...
@vivianoforo4760
@vivianoforo4760 2 жыл бұрын
Did you find that link.
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 Жыл бұрын
Duuu kwa hio mwamba anaitaka na uturuki.😂😂😂
@LucasKaliyaya
@LucasKaliyaya 5 күн бұрын
Israeli haija raniwa, tena wewe ume raniwa
@edwardkiwelu453
@edwardkiwelu453 2 жыл бұрын
Mwongo wewe umeyatoa wp huna sehemu ktk hayo
@paromaparoma6603
@paromaparoma6603 2 жыл бұрын
Wewe ni hamza ukristo unakuusu nini sasa
@joshuakimathi3366
@joshuakimathi3366 Жыл бұрын
Wewe nabi ni mkristo au mwisilamu
@sebastiannjebarikanuye1749
@sebastiannjebarikanuye1749 2 жыл бұрын
Good
@rajaburamadhani6629
@rajaburamadhani6629 2 жыл бұрын
Jamaa alikuwa anajifanya muislamu hahaaaaaa
@richardondabu9367
@richardondabu9367 2 жыл бұрын
Good prophesy.
@hamidgirrafe3708
@hamidgirrafe3708 2 жыл бұрын
Mtihani nabii wewe mbongo hahahaha
@deusisindwa616
@deusisindwa616 2 жыл бұрын
Mungu akujalie afya njema Sisi ambao hatujabahatika kupata elimu hii uendelee kutuelimisha,, Binafs napenda sana kufatilia mafundisho yk
@FafaFrancineenjo
@FafaFrancineenjo 5 ай бұрын
Amen ❤️ Amen ❤️
@khalidbelhasa2600
@khalidbelhasa2600 2 жыл бұрын
YESU HAKUANZISHA KANISA WALA HAJAINGIA KANISANI ALIINGIA MASNA GOGI MSIKITI WA MAYAHUD
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 2 жыл бұрын
Sawa
@freduallughano2301
@freduallughano2301 2 жыл бұрын
Upeo wako huo,na uislam bila mohammad/hadija haupo kutuambia ulikuwepo tangu dunia kuumbwa ni upunguani wa hali ya juu.
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 2 жыл бұрын
@@freduallughano2301 42 :13 Quran soma iyo mana naona yanakutoka tu ndugu ata bibiliya inasema umepotea usipo juwa maandiko
@anettmwebrania504
@anettmwebrania504 2 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa kuniongezea maarifa. Mungu akubariki.
@kambonamahmadoo6814
@kambonamahmadoo6814 2 жыл бұрын
Russian can't take Othman empire never
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 2 жыл бұрын
Yesu hakuwalaani wayahudi hapo umesema uongo mtumishi wa---- nipe andiko linalo sema wayahudi walilaaniwa?
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Anavuruga historia
@pilipilikali7167
@pilipilikali7167 2 жыл бұрын
Kwa njia nyingine wataka kusema kuwa Israel ndio mpiga kristo,juu kawaida hizi vita zikizidi Israel itasupport Ukraine,??????? Hapo?????hapana
@elishamwita2276
@elishamwita2276 2 жыл бұрын
Huyu sio nabii nitaper tu hanajipya unasema utatu mtakatifu ni upagani unapotosha mandiko
@mwalimucheche8457
@mwalimucheche8457 2 жыл бұрын
Hapo sawa
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 2 жыл бұрын
Mimi ni Urusi hakika.
@mathayolaizer723
@mathayolaizer723 2 жыл бұрын
Mathayo
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 2 жыл бұрын
Kujiirlewa nijambo moja
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Жыл бұрын
Uongo
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 2 жыл бұрын
Asante sana Mungu awabariki kabisa unafundisha mpaka mutu anasikia, Jina ra Bwana wetu Yesu kristo ribarikie Sana.
@ernestraymond4006
@ernestraymond4006 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi Wa Bwana
@frankyotam6008
@frankyotam6008 2 жыл бұрын
Nabii Eliya kuwa makini na kazi amri ya upendo inasemaje ?aliyoiacha Yesu kristo , Kati ya Urusi na Ukraine ni nani aliyeanza kurusha risasi kwenye ardhi ya mwenzake?
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 2 жыл бұрын
We hujui kitu mzee ni Bora ukae kimya Kama Mimi tu Mfano Mimi ni muumini wa dhehebu la orthodox toka kuzaliwa na mafundisho haya tumekuwa tukifundishwa kanisani
@LucasKaliyaya
@LucasKaliyaya 5 күн бұрын
Wewe mchungaji ni muongo
@gideonlangat5035
@gideonlangat5035 2 жыл бұрын
Elimu kidogo uko nayo, Uslamu imekuaribu..
@danielharuni1800
@danielharuni1800 2 жыл бұрын
Huyu hajui mtu kuitwa Mkristo maana yake nini je wanafunzi wa Yesu walikuwa sio wakristo? Huyu ni mpotoshaji sana wa Neno la Mungu:
@kindi4926
@kindi4926 2 жыл бұрын
Yesu mwenyewe hajawahi kujiita Kristo mpaka anapaishwa Mbinguni hajaitwapo walamkujiita Kristo.
@oscarkamgisha3997
@oscarkamgisha3997 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Yani mi nakusapot urus toka mwanzo
@petermangale9314
@petermangale9314 2 жыл бұрын
MADINI MAZITO SANA HAYAAA!!!!
@bernardmkuffya5171
@bernardmkuffya5171 2 жыл бұрын
Remain blessed,let God preserve you for saving more souls.
@martensnshimi3613
@martensnshimi3613 2 жыл бұрын
Uwongo mtupu.othdoxe anawutambua utatu mtakatifu:Mungu Baba anayejifunua katika mwana na Roho mtakatifu.nandiyo mama wanapoanza kusali wanapiga Alana ya musalaba.zungumuza mengineyo.hiyo ni Vita ya ucumi kijana
@wycliffkasinga8086
@wycliffkasinga8086 2 жыл бұрын
Bravo
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Hatariii Lete utamu. Km kuna kitu kinaniingia ktk roho yangu.
@PsilaoKamwana
@PsilaoKamwana 2 жыл бұрын
😅😅😅😅
@weremamwita8981
@weremamwita8981 2 жыл бұрын
Ki ukweli nakushukuru ndg kwa ufafanuI ambao utanipa changamoto kuingia zaidi kwenye utafiti. Hv, are you saved?
@willylazarusmwaigwisya2683
@willylazarusmwaigwisya2683 2 жыл бұрын
Waafrika tupo wapi tufufie dini zetu
@amanimsami3013
@amanimsami3013 2 жыл бұрын
Asante kwa kufugua kiroho watu, nakuelewa san mafundisho najikuta nabarikiwa sana hasa ukishakuwa kama mzazi wa kiroho As mina
@OnlineEarningTz
@OnlineEarningTz Жыл бұрын
We jamaa yangu muongo sana. Murtadi wewe! Sasa ile miezi 3 uliosema ikiisha Mungu atatuadhibu vipi bado tuendelee kusubiria au
@dollsouthtv2136
@dollsouthtv2136 2 жыл бұрын
Nabii nakuelewa sana shida yetu waroman katholic na islamic hatutaki kukubali ukweli yesu ni mwana wa mungu na ni nafsi ya mungu na mtume wa Mungu Asante nabii ifungue dunia
@suzandavd5213
@suzandavd5213 2 жыл бұрын
Amina mtumishi endelea kutufumbua macho kweli Yesu yu karibu kurudi ubarikiwe sana tunakuelewa.
@giuseppemanaos75
@giuseppemanaos75 2 жыл бұрын
Wewe jamaa unajua sana sana na umesoma sana that history ya Roman Catholic inaitwa historia ya kanisa na ilipo kwenye Deconstaninopo. Na uturik or Turkey neno Key..n fuguo za Ukristo makanisa 7 na mji wa siri wakaninisa constantinopo lenye kuta 7 .... historia tam sana ..
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Hapa napata picha kwann JPM alikuwa anataja sn Mungu na alikuwa hayuko upande wa magharibi. Hotuba yake akiwa manyoni inaniliza sn😭😭😭
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 жыл бұрын
Huyu ni mgonjwa Wa akili Hana lolote huyu Mpuuzi tu Na kuna siku atafyatuka kabisa awe anapita uchi mitaani na bado Kuna wapuuzi watamfuata hivyo hivyo Tu kwa kuwa wapumbavu wako wengi
@shabanmlekwa9513
@shabanmlekwa9513 2 жыл бұрын
Endelea kupotea wewee...! Hayo aliyoyasema mi nilishaanza kuyafaham siku nyingi. Wee baki gizani ...
@khalidbelhasa2600
@khalidbelhasa2600 2 жыл бұрын
Hana kitu huyo asiwapotoshe , hayo mambo tayar yashatabiriwa zaman miakq 2000 nyuma
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 2 жыл бұрын
Kutabiriwa sio tatizo tatizo je watu tunajua kilicho tabiliwa ?
@protaspeter5371
@protaspeter5371 2 жыл бұрын
Kwani aliekwambia anatabir saiv ni nani, kojoa ukalale fisi we
@khalidbelhasa2600
@khalidbelhasa2600 2 жыл бұрын
Tatizo huyu jamaa ni msengee LGBT
@danielharuni1800
@danielharuni1800 2 жыл бұрын
Kama wakristo wa kwanza walianzia antiokia baada ya huduma ya paulo tuambie Anania ambaye Yesu alimwambia akamwombee paulo yeye alikuwa Mkristo wa wapi? Aliyembatiza Sauli akaitwa Paulo alikuwa Mkristo wa wapi? Ukristo ulianzia kwa Kristo mwenyewe kutiwa mafuta kisha wanafunzi wake ambao ndio waliowazaa kiimani kina anania waliombatiza Paulo: wale watu ambao sauli alikuwa anawauwa waliokuwa wanaitwa wa njia hii walikuwa wakristo wa Antiokia? Acha upotoshaji
@fadhilikisusange8650
@fadhilikisusange8650 2 жыл бұрын
Kwaio Mheshimiwa Nabii kanisa lako linaamini nini? Roman ambao ni wapagani au Orthodox 😀
@JUJU-qv1ks
@JUJU-qv1ks 2 жыл бұрын
I love those Orthodox ni wakristo halisi waliotajwa vxur ndani ya Qur an kwa kuanzia kwa Najjash mfalme Hapo umejenga point ya msingi sana , i agree with you on that
@andrewsam364
@andrewsam364 2 жыл бұрын
kama nihivyo wakat urusi wanakuja kuchukua kanisaLao ambalo kwasasa nimsikit waisilam wao wataruhusu hilijambo?kwasasa waisilam wanamuunga mkono urusi je hawajui kama msikit waoutachukuliwa?hebu tuweke waz hapo
@reubenabuga3249
@reubenabuga3249 2 жыл бұрын
Huyu ndiye Elijah prophet ??
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 2 жыл бұрын
Lakini Sasa wapo waorthodox WANAITWA Copic orthodox Hawa wapo hapa Tz na wao Ni trinitirians
@dastanymadambo1974
@dastanymadambo1974 2 жыл бұрын
Mimi sijakuelewa hapo kwenye utatu mtakatifu biblia tuisomayo inatueleza vzr katika utatu mtakatifu yako hiyo ya Mungu kama Mungu iko wapi? Kwasio jua bibli vzr watakushangilia hekalu halisi liko Israel ambapo katila mafundisho yako potofu unaita israel feki unasema hekalu lipo uturuki rudi ukasome biblia upya.
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 2 жыл бұрын
Soma sana utaelewa vzr ukiwa unasoma Bible bila roho mtakatifu kuwa ndan yako kuelewa inahitaj kaz ya ziada
@marthaeliya6478
@marthaeliya6478 2 жыл бұрын
Mbona waisilam hawa comment? Hahahah baba yao anaaaumbua huku
VITA YA URUSI VS UKRAIN NI VITA VYA GOGU NA MAGOGU (EZEKIELI 38:15-16) PT 1
27:12
SIRI YA VITA YA URUSI NA UKRAINE KINABII.
11:32
Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Рет қаралды 17 М.
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
WAISLAM AMKENI HUU NDIO MTIHANI WA MASIHI DAJJAL (MPINGA KRISTO), CHAPA YA 666
30:58
YESU WA TONGAREN AKATAA KUSULUBIWA (PART 1 OF 4)
1:04:47
Straight Path Dawah
Рет қаралды 244 М.
KUHAMASISHA VIJANA KWENDA ULAYA NI UPUMBAVU.
9:58
WACHOKONOZI
Рет қаралды 2,8 М.
UJERUMANI INAVYOFILISIKA KUTOKANA NA VIKWAZO KWA URUSI
8:21
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 19 М.
EPUKA LAANA HII ISIPIGE FAMILIA YAKO
49:26
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 160 М.
WACHOKONOZI-MAKONDA KIJANA "MBABE"
6:39
WACHOKONOZI
Рет қаралды 4,1 М.
NAMNA IBILISI ALIVYOANZISHA VITA KATI YA WAISLAM NA WAKRISTO
20:30
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 1,2 М.