URUSI wayafanyia uchunguzi makombora ya ATACMS ya Mmarekani ambayo yamekuwa magumu kuyaharibu vitani

  Рет қаралды 17,523

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 103
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 3 ай бұрын
Ni kama Himars tu!! Ilikuwa vigumu sana kuiharibu au kuidungua, lkn wakalikamata hilohilo mfumo wa Himars, kisha ndo wakaweza kuijua na kuizima afu kuharibiwa kabla ya kuleta madhara. Russia ni wajanja sana!!!
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 3 ай бұрын
Ndio mjue sasa kwann russia wameficha silaha mpya na wanatumia zaidi silaha za kizamani
@shomaryramadhani270
@shomaryramadhani270 3 ай бұрын
Duuuuh jaman tuwaombee tu mungu awape mioyo ya kustisha mapigano vita sio nzuri kuna watu wanakufa bila hatia
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 ай бұрын
@@shomaryramadhani270 wazo lako mzuri marekani na umoja wa ulaya biashara yao migogoro duniani.
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 3 ай бұрын
Ilo kombora Russia ikishindwa kulifanyia uchunguzi linapelekwa china hapo ndio inakua mwaisho wake utaskia china na yeye ana makombora ya atacams anauza
@makanjamkabila
@makanjamkabila 3 ай бұрын
Kwani wewe unaona wa china 🇨🇳 wapo juu kwa technology ku zidi russia 🇷🇺
@hashimumwinyi2239
@hashimumwinyi2239 3 ай бұрын
Iran baba linaenda mabingwa wa reverse
@WilliamKivugo
@WilliamKivugo 3 ай бұрын
​@@makanjamkabilawachina wana copy hatareeee
@AjudeKaluwa-bp1zz
@AjudeKaluwa-bp1zz 3 ай бұрын
Tena wanaboresha zaidi
@sirpaza8513
@sirpaza8513 3 ай бұрын
Urusi na Marekani ndio top. China wanakuja kwa kasi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Marekani mashoga wadhaifu ndo mana silaha zao mrusi anazikamata ila mrusi mjanja silaha zake anazificha wasijue technology yake mana mrusi ndo mweny technology kubwa zaid duniani
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 2 ай бұрын
Nani kakudanganya kuwa urusi ananguvu zaidi duniani
@SelemaniMeena-oo3os
@SelemaniMeena-oo3os 3 ай бұрын
Urusi kuichalenji marekani ni rahisi mno, ila marekani kuichalenji urusi ni ngumu mno
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 ай бұрын
Urusi anaga baiya
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 3 ай бұрын
Habari nzuri kwa team Russia 🇷🇺🙏🙏
@directortwicep3028
@directortwicep3028 3 ай бұрын
Ujanja wote wa Mrusi anaanza kulifuatilia kombora la mmarekani 😂 Hawa jamaa teknolojia bado na mmarekani hawezi peleka kwasasa silaha more advance ukraine hilo kombora lakitambo na bado linawapa wakati mgumu mrusi 😂😂😂
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 3 ай бұрын
Nenda kaolewe marekan
@vumiliamgingu1579
@vumiliamgingu1579 3 ай бұрын
🇷🇺🇷🇺🇹🇿 🔥
@theempire4058
@theempire4058 3 ай бұрын
Alafu ukija kwenye ule ushabiki wetu wa kipumbavu mtu anakuambia mrusi yupo juu kwa silaha wakati hapa tu kabomu kadogo kanatoa jasho, aya hatujui kuna mengine mangap tofaut bado mmarekani hajayatoa, putin ajifunze na ajipange kupitia hili kutengeneza silaa za kisasa.
@HarounRashidKuyawa
@HarounRashidKuyawa 3 ай бұрын
kwenye mfumo wa ubongo wa binadamu hakuna binadamu mwenyewe kujua Kila kitu,Kwa hiyo technology Kila mtu ana yake,kujua ya mwezako kuna faida mara mbili,na kuhusu silaha Urusi ndio nchi yenye mabomu Hatari Zaid ya nuclear kuliko nchi yeyote duniani,Acha undezi fatilia utambue
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Ww choko hujielew mrusi ndo mweny technology zaid ya hao mashoga
@theempire4058
@theempire4058 3 ай бұрын
@@omarymwaluko9765 tuache ushabiki usio na maana, umeona apo kabisa urusi ndo anaanza kujifunza uo mfumo afu unasema urusi iko juu
@theempire4058
@theempire4058 3 ай бұрын
@@omarymwaluko9765 poa
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Urusi kiboko ya mashoga
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 3 ай бұрын
Apa US kapokea wastan kwa idadi
@PatrickKagiraneza-ok8cw
@PatrickKagiraneza-ok8cw 3 ай бұрын
Ufanisi mwema kwa urusi...
@Maxtechtv
@Maxtechtv 3 ай бұрын
😂😂 kichwa vita
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 3 ай бұрын
Warus wapo vzur sana kivita ila marekan ananguv kubwa ya washirika hii ndio itampa ugum putin
@mohamedngoshani2067
@mohamedngoshani2067 3 ай бұрын
Uko vzr
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 3 ай бұрын
Marekani anatumia nguvu putin anatumia akili mingi tatizo linaanzia apo
@theempire4058
@theempire4058 3 ай бұрын
Kuweni na akili na acheni kugeuza mada kinachoongelewa hapa ni silaha mpya alizonazo mmarekani ambazo mrusi hana, kwa maana iyo putin anatakiwa awe makin kwa hili kumbukeni hii kwake ni silaha mpya na wanaanza kujifunza
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f 3 ай бұрын
Kila mtu ana technology yake yake, ​@@theempire4058
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@theempire4058ww choko urusi anasilaha kali kuliko hao mashoga
@MustafaNoman-c4y
@MustafaNoman-c4y 3 ай бұрын
Urusi ni mwamba wa vita duniani
@furahafrank8267
@furahafrank8267 3 ай бұрын
Nina sikia huu mfumo unamutesa murusi.
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 3 ай бұрын
Kvp wakati anayaharibu kila siku
@lakasid3860
@lakasid3860 3 ай бұрын
​​@@mustafamasudi8093wameyaharibu lini wakati hapo mchambuzi anasema wamepata tabu kuyaharibu mpaka wamechukua wataalamu kuyachunguza au hujaelewa kinachoongelewa?
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Marking wafanyia uchinguzmakombora ya urus iskanda
@kanutimosha1193
@kanutimosha1193 3 ай бұрын
😅😅 yangu macho na masikio muache mwenye ngufu apite
@kanutimosha1193
@kanutimosha1193 3 ай бұрын
Kama afngastani ilimshinda mmarikani je baba putini
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 3 ай бұрын
Sasa wamelipataje
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 3 ай бұрын
Katika vita kupata silaha za adui ni kawaida kuna njia mbili 1. Jamming(electronic warfare) 2. Lilitunguliwa kabla ya kulipuka ila namba 1 ni uhakika zaidi.
@hamzamasoud9120
@hamzamasoud9120 3 ай бұрын
@@thefactbook...1607 vile vile linawezwa kumiss Fire (kutoripuka)
@yonathanbanyikwa1813
@yonathanbanyikwa1813 2 ай бұрын
Propaganda nazo zipo
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
mbona watu munaona hii ni big deal munaijua fab 3000?
@MsokaDibron
@MsokaDibron 3 ай бұрын
Mmarekan ndio mkali wa hz kaz kwahiyo kaen kwa ku2lia na bd
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Marekani mashoga wadhaifu ndo mana silaha zao mrusi anazikamata ila mrusi mjanja silaha zake anazificha wasijue technology yake mana mrusi ndo mweny technology kubwa zaid duniani
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Marekani ananguvu
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
ukapimwe akili kwanza😂😂😂
@kanutimosha1193
@kanutimosha1193 3 ай бұрын
Mrusi ni baba sio sadam au kadafi
@RizikiMvungi-h2w
@RizikiMvungi-h2w 3 ай бұрын
Ujanja nkuwahi hii ndio karata ya vita
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 ай бұрын
Safi sana Urusi
@rashidmaty7824
@rashidmaty7824 3 ай бұрын
Ww Aly twakujua ni team west ww
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 ай бұрын
Ally ni Hana UPANDE kama smaa iyo HABARI ni toka juzi
@lakasid3860
@lakasid3860 3 ай бұрын
Naww tunajua ni team Russia kwaiyo tulia
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Ali kashakuwa mwanachama wa. mashoga
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 ай бұрын
@@omarymwaluko9765 anachokiripoti ALLY ndicho kimeripotiwa na vyombo vingine vya kuaminika vya kimataifa HATA vile pro Russia
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 ай бұрын
🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿❣️👑
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 3 ай бұрын
Kwanini was display why isingekuwa silently
@ElisalMasawe
@ElisalMasawe 3 ай бұрын
Hapa watakua wamepata JB bt wanacheza na akili ya us waone action hivyo hiyo action ndo itawaxaidia
@minanifreddy6969
@minanifreddy6969 3 ай бұрын
Sns ya warusi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Mashoga hawana jambo wanapigwa tu
@AbuJuhaifah-c8j
@AbuJuhaifah-c8j 3 ай бұрын
Ww pinga kwa hoja tu wenzio wanaleta nondo za uhakika sasa ww kataa kwa logic na facts sio useme ya urusi tu ww pinga kwa hoja za msingi mtu kuchagua wapi apende haikatazwi hata ww penda marekani ila ukija na habari hapa njo nayo ilionyooka
@BenyassearButoyialfred
@BenyassearButoyialfred 3 ай бұрын
​@@AbuJuhaifah-c8jwatuleteye nondo za huko tanzania ili tuahelewe
@chidiomari.65
@chidiomari.65 3 ай бұрын
👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝
@Badvoice707
@Badvoice707 3 ай бұрын
Mmarekani humuwezi kirahisi hivyo aligundua atomic wa Japan wakasalit amri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 3 ай бұрын
Urusi sio japana soma hostory
@Expl0rer.
@Expl0rer. 3 ай бұрын
​@@SaidiMkome-qq7hy 💯💯 Urusi anaongoza ktk nyuklia . 💪
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 3 ай бұрын
Akili yako ni kizibo
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 3 ай бұрын
Japan hanamzd urusi kiraktu hacha ujinga naunaz Japan ashawai kumchakaza urusi vbaya mno urusi yesta hanapata ushnd kwa watoto kama mwenzake Netanyahu harafu wana vmba kichwa wababe hajakutana nasaiziyao​@@SaidiMkome-qq7hy
@ManOfSteel-2ruku
@ManOfSteel-2ruku 3 ай бұрын
Fuatilia vizuri science ya atomic bomb haikugunduliwa na mmarekani Bali mjerumani ndiye aliyeanza kuitengenesa kwa kuwatumia wafungwa wa kiyahudi mwaka 1944 lakini kwa bahati mbaya mwaka huo wakati wakiendelea na utengenezaji wa silaha ujerumani kipindi hicho Vita ilimgeukia vibaya kukawa hakuna coordination nzuri katika jeshi la ujerumani vikosi vyake vilitawanyika ndipo mmarekani akapata taarifa ya kwamba mjerumani yupo kwenye hatua za utengezaji wa silaha kubwa ya maangamizi, ndipo marekani akatuma askari wake wa kijasusi kwenda kudukua BLUEPRINT ya Technology hiyo, hatimae mwishoni mwa 1944i na mwanzoni mwa mwaka 1945 marekani akaikamilisha kuunda bomu la atomic na kwenda kumpiga swahiba wake mjerumani ambae ni mjapani aliyekuwa akimsumbua mmarekani kama mbu mwenye kiu ya Damu, N.B wakati marekani ametuma majasusi wake kwenda kudukua utaalamu wa uundaji huo Mrusi pia alipata taarifa ya sakata hilo hivyo Mrusi ilimbidi atume majasusi wake kwenda kudukua utaalamu wa bomu la nyuklia, Mwisho, Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi yenye teknolijia kubwa ya kijeshi kipindi cha Vita ya pili ya Dunia kuliko nchi yeyote ile, na baada ya kuanguka kwake nchi kubwa ziliiba utaalamu mwingi wa kijeshi kutokea kwake, mfano utaalamu wa silaha za Maroketi nchi za marekani na urusi ziliiba ujuzi kutokea kwa mjerumani✌
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Putin afe
@SelemaniMeena-oo3os
@SelemaniMeena-oo3os 3 ай бұрын
Anza kufa wewe
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 3 ай бұрын
Urusi ndiyo inchi pekee yenye nguvu zaidi
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 3 ай бұрын
Nguvu za kushindwa kumaliza vita ambayo walidai watashinda kwa wiki mbili. Bali leo imekua karibu miaka.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@InnocentZamkuluurusi anapambana na mashoga wote duniani kupitia Ukraine
@BenyassearButoyialfred
@BenyassearButoyialfred 3 ай бұрын
Mashoga wanasapoti tuu. Vita imemukuana ngumu tu. ​@@omarymwaluko9765
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 2 ай бұрын
@@InnocentZamkulu hujui kitu wew urusi anapigana na NATO wew
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 3 ай бұрын
🎉 Nice urusi ikojuu
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 3 ай бұрын
Unajielewa kweli wewe?...wakat mwenzio hajapata ufumbuz wa hilo Bomu hlf ww unasema yupo juu?...je, hujui kuw makombora mangapi yenye high technology ambayo Marekan kayaficha?
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 3 ай бұрын
Unabishana na machawa wa putin😂😂😂​@@paschalcosmas6093
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@paschalcosmas6093marekani mashoga wadhaifu ndo mana silaha zao mrusi anazikamata ila mrusi mjanja silaha zake anazificha wasijue technology yake mana mrusi ndo mweny technology kubwa zaid duniani
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 3 ай бұрын
Ili mjue mrusi vita anaimudu mwambieni marekani anyooke moja kwa moja kunpiga urusi nadhan mtakua mmenielewa kwa wale mnao shabikia mashoga
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 3 ай бұрын
Huyu Ali masubi ni mchambuzi mzuri kuliko DJ smaa angekua DJ smaa hapo ungesikia kiingerza kingi mara fuse mara logic mambo rundo hongera ali masubi
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
ukapimwe akili kwanza😂😂😂
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 3 ай бұрын
Wakigundua hilo Marekani ita tengeneza next level 💯
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Marekani mashoga Urusi ana technology kubwa zaid yake
@BenyassearButoyialfred
@BenyassearButoyialfred 3 ай бұрын
​@@omarymwaluko9765we shabukia ila hacha kudanganya watu
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Marekani ana nguvu sana
@MeddyMasuddy
@MeddyMasuddy 3 ай бұрын
nguvu za kiume au
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 3 ай бұрын
Warusi hawawezi kufaulu.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Trump kaapa akaingia ikulu ndani ya masaa 24 iyo vita anamaliza na dalili za Trump kurudi ni 99% , na atachofanya ni kukata hela za kumpa Ukraine na kumpigia simu putin aache kushambulia
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Urusi kiboko ya mashoga
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
ukapimwe akili kwanza😂😂😂, na ukifuatiliwa mpaka leo haujaolewa bwege wewe akili yako imeganda😂😂😂😂
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 55 МЛН
Every Level of Civlilization Explained
15:19
The Paint Explainer
Рет қаралды 112 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН