USHUHUDA WA MCHUNGAJI ALIYE TAFUTWA NA FREEMASON ILI KUWA MCHUNGAJI CHINI YAO ILI KUTEKA WAKRISTO .

  Рет қаралды 10,549

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Күн бұрын

kwa maswali maombi na ushauri 0673081038

Пікірлер: 60
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kusimama na ukweli wa Mungu
@noellanduwimana51
@noellanduwimana51 2 жыл бұрын
Barikiwa baba mucungaji tutawashinda kwa damu ya yesuuuu ubarikiwe na Mungu akuongeze nguvu na uzidi kuniombea baba yangu tunateseka sana
@rowenalilie993
@rowenalilie993 Жыл бұрын
Halleluyah Yesu ni Bwana! Aliye ndani yako ni mkuu kushinda aliyeko duniani
@ngwanafabian4612
@ngwanafabian4612 2 жыл бұрын
Mbembe DRC tribe. Mungu akubariki sana mtumishi. Akina Mwamp... hapa Tanzania wanakokota jeshi kubwa la watu kuwapeleka kuzimu na watu wanadhania uponyaji ndiyo kielelezo kuwa Mungu wa kweli anaabudiwa hapo. Wanasahau hata waganga wa kienyeji hutibu na watu kupona.
@elvamasherano8122
@elvamasherano8122 2 жыл бұрын
sasa ninawashakiya watumishi wengi na mungu atufunguwe macho ya kiroho tupate kuwatambuwa , Asante kwa ushuhuda wake na mungu azidi kukushindia amen. mungu wetu ni mwaminifu hatakuwacha
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 2 жыл бұрын
Amen Hatumwachi Yesu magumu tunapita lakini tunashinda na zaidi ya kushinda
@andreamchome9541
@andreamchome9541 2 жыл бұрын
Amina sana natamani ningejua hayo maneno wanayotamka manabii fake hao
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 2 жыл бұрын
Jamani mwenye yesu amxhike
@elpidiusezekiel2729
@elpidiusezekiel2729 2 жыл бұрын
kabisa
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Atamaisha yawe mangumu Mimi nitasonga na yesu wangu 🙏🙏
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
Shalom ukiona imekata sogeza mbeli kidogo utaendelea na ushuhuda huu
@shaphats2437
@shaphats2437 Жыл бұрын
Ushuhuda unajenga. Ubarikiwe mno. Tutamshinda Ibilisi kwa nguvu ya damu na Jina la Yesu Kristo.
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Duh kweli jamani Mungu atuponye
@getruderichard2801
@getruderichard2801 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana nakukutunza
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 2 жыл бұрын
Mmmh!!!! Mungu mkubwa
@Alex_Anania
@Alex_Anania 2 жыл бұрын
Asante Sana mtumishi wa Mungu.Nimebarikiwa Sana,songa mbele.Kazi yako Ni njema sana
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe
@kersirukangika2440
@kersirukangika2440 2 жыл бұрын
Watoto wa Yesu wako kwenye vita kubwa sana •
@graceesau6843
@graceesau6843 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji kwa huu ushuhuda.Umenitia moyo sana
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Hongeraa,mtumishi kWa kushinda vita,kumbe wokovu ni garama,umenitia moyo ktk kumtumikia Mungu kumbe mwanzo ni mgumu,
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Vunja maagano ya giza haiwezekani Shetani awe na Nguvu Kiasi hicho kwako ukiwa na YESU Kristo
@PastorJoshua_Njombe
@PastorJoshua_Njombe 2 жыл бұрын
Mtumishi wa kweli wa Mungu lazima apitie maandalizi mazito kabla ya Mungu kumuinua lakini watumishi wa shetani wanaotumia mwamvuli wa jina la Yesu wanainuliwa haraka Kwa kiini macho Kwa ajili yakuzivuna roho nyingi ziende kuzimu lakini pia wao wenyewe roho zao wameshaziuza Kwa yule mkuu wa Giza na ukishaingia Huko kutoka sahau ni wawili Kwa kumi wanaoweza kuchomoka na wakabaki salama sio watu wakuwasogelea hata kidogo na wanawatafuta sana watumishi wa Mungu wa ukweli walioitwa na Mungu ili wawaangushe
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 7 ай бұрын
Amina baba, Mungu Anaweza,shikiliya imani ya kristo yeye ni mushindi
@elvamasherano8122
@elvamasherano8122 2 жыл бұрын
amen
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 2 жыл бұрын
Be blessed
@tabithajeremiah2657
@tabithajeremiah2657 2 жыл бұрын
Hongera mtumishi, kwa kushinda jaribu hilo.Mungu akiwa upande wetu ni nani aliyejuu yeti?
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi.
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
amina barikiwa sana
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Mwenye kit wangu wa zamani wa vijna c,a,s..krt . blessed tumemis ving kutok kwako mwenye kit wetu.ambye Sasa n pastor Erick.
@ruthsamwel671
@ruthsamwel671 2 жыл бұрын
Amen
@kapizoenoban8717
@kapizoenoban8717 2 жыл бұрын
Nikweli
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai. Asante.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Aisee, umenifungua kweli. Ubarikiwe.
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 8 ай бұрын
A.en nipo Singida nakufahamu Sanaa nilikuonga njia panda Himo kaza mwendo mtumishi ww ni jembe kweli kweli
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
JIPE MOYO MTUMISHI YESU YUPO UPANDE WAKO NA HIVYO NI VITISHO TU HAWATAGUSA UZAO WAKO MAANA NI WATOTO WA AHADI NA MUNGU KAMWE HAWEZI KURUHUSU HILO YESU AKUSAIDIE USIMAME KWA UAMINIFU NA YESU ATAKUWA MWAMINIFU KWAKO BADO KITAMBO KIDOGO YATAKWISHA YESU YUPO NA KAMWE HAWEZI KUKUACHA KATIKA HILO JARIBU
@elizalaya7887
@elizalaya7887 2 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda mzito sana
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@shedrackbenjamin7917
@shedrackbenjamin7917 Жыл бұрын
Amen ungetoa hata Namba ya cm
@koperawasona9551
@koperawasona9551 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@swinenanjala3175
@swinenanjala3175 Жыл бұрын
Vita tunavio watoto wa.mungu tutashinda kwaimani mana tunae mungu barikiwa San mtumshi wa mungu amen
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Nabii bushiri, hubert Angel, bulldozer
@paullwangili2235
@paullwangili2235 Жыл бұрын
Sijapoteza muda Bure na bando kukusikiliza,uwe hodari usirudi nyuma.
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 2 жыл бұрын
YESU KRISTO AKULINDE.
@deusmoris3036
@deusmoris3036 Жыл бұрын
Kazi mnayo watanzania mmewekewa mikono na wachawi rudini upande wa Yesu hukuhuku kwenye makanisa mliyoyakimbia karibu tena bila hivyo mnakwenda motoni
@aminaally4163
@aminaally4163 2 жыл бұрын
BWANA YESU TUNAMSHUKURU KWA KUTUFUNULIA HILI.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Pia wanasema kwa jina la yes na sio YESU
@Faraja2023
@Faraja2023 2 жыл бұрын
Ni nani huyu nabii tumjue ,ili tusiabudu huko
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Mungu nimwema sana
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 2 жыл бұрын
AMEN.
@pastornchimbi2947
@pastornchimbi2947 2 жыл бұрын
Mungu huruhusu hayo Ili ufikie dhamani ya ubora wa dhahabu so kwamba Mungu hayupo pampja nawe kaza buti
@trophywilson7211
@trophywilson7211 5 ай бұрын
Na Wacongo Hapo ndo Kwao Kumbe ni Nguvu za Giza
@selemanjackson3979
@selemanjackson3979 2 жыл бұрын
Nimekuelewa
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt 10 ай бұрын
Mtumishi umefanana na mwamposa sana ila wewe ni mweupe
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Ile ni lugha ya kuzimu ni kilatini cha freemason, sio KILA anenae kwa lugha unena lugha ya malaika wengi unena lugha ya freemason
@trophywilson7211
@trophywilson7211 5 ай бұрын
tayari Baba yako alikuwa mshirikina tu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Kuna yule wa arusha ndie anaewasajili watu kuzimu
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 7 ай бұрын
😂😂😂😂 yupi tena
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Kama namfananisha ivi
@judywarui8237
@judywarui8237 Жыл бұрын
Na huyo wa Tanzania ni mgani?
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 49 МЛН
UCHAWI WA KISUKUMA UKO HIVI-REV MOSES MAGEMBE
11:25
NY TV
Рет қаралды 79 М.
MKASA WA MCHUNGAJI ANAELAZIMISHWA KUJIUNGA NA FREEMASON ILI KANISA LAKE LIJAE.
39:32
WANAWAKE NI WACHACHE MBINGUNI USHUHUDA WA DADA FABIOLA
23:35
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 61 М.