Niwe hai au maiti,,,nipate au nikose,,nilale njaa au nishibe YESU wewe Ni BWANA na Ni mwokozi wa maisha yangu.Baraka zako YESU kamweeee hazifungamani na mateso👐.Kaa Nami BWANa🙏😭😭😭😭😭
@linuxlipawaga16963 жыл бұрын
Amen mpendwa usikate tamaa hata iweje
@austineouma42703 жыл бұрын
Amen
@jerushanyawera49643 жыл бұрын
🙏Amen🇰🇪
@estasage55063 жыл бұрын
Amen
@bettymwikali75723 жыл бұрын
Amen🇰🇪
@peninahkariuki46793 жыл бұрын
Waa ushuhuda mzuri wakufunza na kufungua mtu macho ya rohoni,be blessed too 🙏🙏
@fei36683 жыл бұрын
Natamani watu wengii wasikie ushuhuda huu asante mtushi Mungu azidi kukutunza
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen,tafadhali share
@mutabirwakashasha54283 жыл бұрын
Huu ushuhuda ni mzito sana aisee tunajifunza mengi sana. Ni hatari sana aisee
@sergechikoma197816 күн бұрын
Baraka Za Christo YESU azichanganyi namajuto yoyote. Sisi tunayo furaha na amani katika Christo Yesu
@MuyiMumbereАй бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 niko makini sana kukusikiliza kutoka congo drc,
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Mungu anakusudi na maisha yako Baba, zidi kummtumikia mungu kwani wengi tuta kombolewa kupitia huu ushuhuda 🙏 Amen
@simonnsengiyumva10003 жыл бұрын
Pia nami niko fwatiliya ushuhuda huu kwamakini sana nikiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮, eeeh Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏,unipe mwisho mzuri,kwajina la Yesu Kristo, Ameeeen
@jesusmyeverything91793 жыл бұрын
Amen.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@kakawamashariki89783 жыл бұрын
Tuko pamoja 🇹🇿🇧🇮
@jesusmyeverything91793 жыл бұрын
Mimi nimeshindwa kujizuia baada ya kuuona ushuhuda huu youtube nikaona nimpigie simu akanielekeza aliko.leo nimeenda kumtafuta mtumishi huyu wa Mungu tumeongea naye mengi.Ni mnyenyekevu na anampenda Yesu kweli kweli yeye pamoja na mke wake na familia yake kwa ujumla.
@FloraLemto10 ай бұрын
Yesu ni bwana
@crocodilemasala79562 жыл бұрын
Yesu ndiye mkombozi kamili na yote yalikwisha aliposulubiwa kwa msalaba.
@Joyjoy-ym6th Жыл бұрын
Ameeeen Ameeeen and Ameeeen very powerful testimony full of teaching for really nitazidi kutegemea Mungu Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mungu akubariki popote ulipo na Mungu akupe maisha marefu waliyo ingia uko freemason waweze kutoka uko kupitia nguvu za roho mtakatifu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🔥🔥
@AbdallahNamanyanga2 ай бұрын
Allah akulinde had atakako amua kukuondoa maoshani MWAKO. Amiin❤❤
@semwandambaza21843 жыл бұрын
Unasimulia vizuri mwalimu mwenzangu....ubarikiwe Sana baba🙏
@stellaakaro11503 жыл бұрын
Anasimulia vizuri mno aisee
@dorcaskarago28763 жыл бұрын
Nafanya kazi nabidii na ninazopesa kwa kuwa Mungu amenipa uwezo wote
@eminix21322 жыл бұрын
From Eldoret ,May God bless you and protect you brother Emmanuel
@kingkendrickk3 жыл бұрын
Shuhuda Safi Sana hii. Hopefully itawaokoa wengi
@servantofalmightygoddranth25112 жыл бұрын
Mtumishi wa JEHOVAH MUNGU Emmanuel Joseph kulwa Barikiwa sana, unajieleza vizuri.
@Joyjoy-ym6th Жыл бұрын
Mungu yupo nanyi watumishi wa Mungu mumezingirwa na 🔥🔥🔥🔥🔥wa roho mtakatifu nabarikiwa sana na huu ushuuda
@JaneKuyokwa-ng2qfАй бұрын
Tunakushuku sana mtumishi wamungu
@paulmutua27692 жыл бұрын
Baraka za mungu wetu hazina masharti neema ya yesu christo na itutoshe AMiNA,,
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
WOKOVU KATIKA BWANA YESU NI MZURI NA MTAMU HALLELUIYAH 🙏😭😭... JAMANIII KAKA YETU UBARIKIWE SANA .... AMEN.
@adelinaerrobee66158 ай бұрын
Hongera kwa ushuhuda nimejifunza jambo hapo kumbe unakuta mtu kabadili dini gafla ni kwasasabu za hizo pesa
@teresamokeira40422 ай бұрын
Amen nimefuraishwa nawe mtumishi kwa kusaidia wengi wale wanayonuiya kuingia kwa hicho chama,na wale wanatamani kujinasua. Shida sasa ni madhabahu yepi ni ya Mungu. Eh Mwenyezi Mungu tupee roho ya kubainisha kanisa za ukweli na za kishetani.
@rmaryp62693 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu Jacktan, pia barikiwa mtumishi Emmanuel kwa kutoa siri za shetani ili tupone kanisa.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@semwandambaza21843 жыл бұрын
Nitasubiri baraka zako KRISTO....nitavumilia aibu,dhihaka na hata umasikini Ila kaaa Nani BWANA YESU🙏🙏🙏
@fridachami3963 жыл бұрын
Mungu nipe moyo wa kuridhika na ulichonijalia
@kwayayamt.mikaelmalaikamku87983 ай бұрын
Mngu atusaidie
@angelanaftael79652 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana ndg yangu Mungu anakupenda
@norbertlilungulu50182 жыл бұрын
Hatari sana, keep in Jesus' kristu
@racheldickson32364 ай бұрын
Mungu asaidie na wale waliopotoshwa ubarikiwe mtumish
@AnnaNgobola-pm7fz4 ай бұрын
Ubarikiwe tunamshikuru mumgu kukutoa makuchani mwa shetani ashukuliwe mwokozi yesu
@happykajeli54533 жыл бұрын
Hii hatari tulizike na tulicho nacho ubarikiwe sana tunajifunza mengi
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Amen asante kwa ushuhuda wako barikiwa sana
@brendawekesa11082 жыл бұрын
Mungu niongoze kwa Kila jambo🙏, ndugu ubarikiwe sana... mungu akusaidie
@kibetmiteiezekiel9163 жыл бұрын
God bless you sir. Its been a strong testimony. Have learn a lot.
@nancybungei91132 жыл бұрын
Korom neaa
@nancybungei91132 жыл бұрын
Upo jasiri kaka, asante kwa kututahadharisha....
@remmymhalla99253 жыл бұрын
Jactan tunashukuru kwa Shuhuda hizi. Zinatujenga sana Kiroho. Damu yangu hautadaiwa. Usitusahau ktk Vyumba 351 vya kuzimu cku nyingi zimepita no 9 bado. Ubarikiwe sana.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen,nimependa sana kauli hiyo.Mwendelezo unakuja,ngoja tumalize huu kwanza
@robertmaximilian32643 жыл бұрын
Kwel umetusau sana kwenye vyumba 351vya kuzimu muendelezo mtumishi
@erianne4943 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mung birashaka najifunza mengi
@onlyfavorite57543 жыл бұрын
Amena sana na shukuru mungu kwasababu amebadirika na pokea mungu😍😍
@mercynyanchoka62833 жыл бұрын
Nankuombea, kaka mungu akusaidid sana utoke kabisa na mungu akusaidie sana
@egospeltz94863 жыл бұрын
Kafara ni lazima, mwanzoni unaingizwa mkenge ili umnase samaki unatia chambo lengo ni kumkamata samaki sio kumlisha. Shetani ni baba wa uongo.🔥
@nshimirimanaetienne37382 жыл бұрын
mungu aendelee kukubariki mtumishi wa mungu ondoa hofu utaishi kwa neema ya mungu kabisa.
@kirshnaindia8903 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Emmanuel mungu akutie nguvu..
@millicentayangokunting37283 жыл бұрын
Mungu ziidi kutuongoza katika dunia yenye machafuko mengi
@xiwuyan4573 жыл бұрын
HUU USHUHUDA NI MOJA KATI YA USHUHUDA BIG SANA....PROMAX USHUHUDA
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Kweli kabisa, asante kwa tathimini hiyo
@marrymarino57592 жыл бұрын
Naomba utuambie kanumba akifanyaje ad yy akafe
@rabilubinza76613 жыл бұрын
Duuu hatari sana tamaa ni mbaya sana Mwenyezi Mungu atuepushe na hili.Haya uliekua unakataa ulipopatka kusikia umesikia?
@kasakimba35473 жыл бұрын
Yesu atulinde sana tena sana, duniya inatisha
@beatriceingabire61693 жыл бұрын
Part 4 please..mubarikiwe sana
@comboplatter3893 жыл бұрын
Husuda mzito sanaaa.
@African-g1yАй бұрын
Mchungaji umetufundisha mengi sana na MUNGU Aliye juu aendelee kukulinda
@mutabirwakashasha54283 жыл бұрын
Duh huu ni ushuhuda wa moto
@Sabriya-ms4ry3 жыл бұрын
Mungu akubariki natunasubiri parti zingene
@joelking3692 Жыл бұрын
Daaaaaah Mungu anatupenda sana
@lydiamichael55093 жыл бұрын
Nivyema kuridhika nayale maisha Mungu amekupa? Ukitaka bingo ukiamini uombe Baba YETU alienda juu atakupa vyote..Santi kwa kujitoa kwa huo mtego nakukimbilia Yesu KRISTO mwana wa Mungu.
@joycewanjiku9774 Жыл бұрын
God keep you safe.Kweli inawezekana
@fabricembaku8492 жыл бұрын
Jina la bwana ibarikiwe
@MaggieG2763 жыл бұрын
Yesu ndiye njia pekee.
@kefasoneliakimumkeyembo18043 жыл бұрын
Haaa! najasho limenitoka! YESU naomba endelea kunitunza mimi mtumishi wako.
@roseester54843 жыл бұрын
Mungu wetu mwaminifu atatenda kwa sawa Sawa hakuna mtu atapata mazara kwa jila la Yesu
@pendojeremiah10232 жыл бұрын
Hii ilinitokea Kwa aliyekuwa mchumba wangu tena yeye alikubali kunitoa Mimi inshort asingekuwa Mungu Leo hii ningekuwa marehemu
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
Pamoja sana
@ananiamkasu88472 жыл бұрын
Ninachokuomba ni utajiri wa kujua madhabahi ya kweli ya Mungu.
@KhadijaAlly-j1s10 ай бұрын
Allahu akbar, allahu akbar, allahu akbar. Lailha illa llahu
@hakizimanaphilemon99683 жыл бұрын
Tumebarikiwa sana na ushuhuda,kweli freemason washindwe kwa jina la kristo
@levismike163 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA PART 3.BWANA YESU ASIOFIWE SANA,KAZI NZURI BWANA JAKTAN MSAFIRI
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Asante pia
@tantinemwemendi87903 жыл бұрын
Ubarikiwe kk
@Kigalipodcast012 жыл бұрын
Yesu ni Bingwa don't worry, trust in him.
@iradukundamike53703 жыл бұрын
Subhanallah mungu aturinde nahuwo utajiri bola nife maskini kuriko kupata mari zagiza
@gratianmugumya19523 жыл бұрын
Jackitani upo vizuri kazi nzuri Bwana akuongezee,na huyu mtumishi haogopi kwasababu mwenyezi MUNGU apendi mtu muoga
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@agnes98752 жыл бұрын
Eeh mungu tuhurumie watoto wako
@shanicemasai55893 жыл бұрын
Kweli huu ushuhuda unanjenga. Aki kanisa zimejanganyika Eeeee mungu tusaidia
@anastaziuschrisant47252 жыл бұрын
Ee mungu tusaidie tupate yaliyo mema
@PastorJoshua_Njombe2 жыл бұрын
Mungu alinionyesha kanisa Fulani naliona watu wawili wakitolewa kafara niliwaona wakitolewa kwenye chumba Cha Siri Cha yule mchungaji wakiwa kama mazezeta...
@narcisrandrianasolol69802 жыл бұрын
Du aisée Nima hii
@mohamedjamaly5246 Жыл бұрын
Wapi
@emmanuelmnyoro3560 Жыл бұрын
Pole baba angu 😭
@failaprince92509 ай бұрын
Pole sana nakupata Yamaha yapesa freemason achana naviumbe vya MUNGU mbona wame kufezeesha kila Siku tumeshukuru kwa ushu Ida MUNGU wambinguni akubariki
@charayohana19422 жыл бұрын
hakika mtumishi umenifunza kitu japo ni jambo gumu kueleza ila jitahidi kutufungua na mungu akubariki
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
THE deVIL IS A LAIR MY BROTHER.. DON'T EVER BOW JAMANII😒😪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🚮🚮 MHHH POLE SAMAHANI KWA YALIYO KUPATA JAMANI MMMM OMBA SANA KWELI.. KUJIUA NI DHAMBI SANA NA NDIYO WALITAKA KUKUCHUKUA KWA NJIA YA ROHO YA FIKRA HIZO... LAKINI WAKAKUAMBIA KUKUTISHA ETI WATAKUFATA BUT BWANA YESU KRISTO TUKIMTUMIA VIZURI KAMA TUNAVYOJITUMA KWENYE MAMBO YA KIDUNIA HATA ZAIDI YA HAPO.. TUTAOKOLEWA SANA KWA WINGI.. AMEN... POLE SANA JAMANII.. NA USIRUDI NYUMA AMEN🔥🔥🔥💪🙏🙏..
@flm15303 жыл бұрын
Sehemu ya nne mtumishi tunaisubiri
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
Kweli ni ngumu sana kutambua kibinadam
@PastorJoshua_Njombe2 жыл бұрын
Roho mtakatifu ndie anaeweza kukujulisha juu ya madhabahu sahihi
@mweshimiwaraisshikiliahapo84053 жыл бұрын
Ee mungu tuepushe na laana hii ya free mason mungu kaa nasi
@joshuayunga40523 жыл бұрын
Mtumishi, Ile ya Aston WA congo umeishia ya 8 bado ujatuletea mwendelezo
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Mwendelezo utakuja wiki ijayo
@kirshnaindia8903 жыл бұрын
Kweli hata mimi nasubiri sana mwedelezoo
@victorianchimbi86403 жыл бұрын
Na mimi naingoja pia
@fei36683 жыл бұрын
Stor tamu uwii tunaomba usitucheleweshe muendelezo Jackatan
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Sawa @fei
@gaddafi_og19663 жыл бұрын
🙌
@jeffersonmontero35979 ай бұрын
Subhanallah 😭😭
@loraumuhire47553 жыл бұрын
Ndio turi wona ure bwana mwenye anaoza muguru, nae asema vire vire
@rmaryp62693 жыл бұрын
Swali kwa Emmanuel, je huko mlikua mnatambuana wanachama wa Tz nzima? Na km ni ndiyo, unaweza kutujulisha waimbaji wa nyimbo za injiri walioko huko?
@Mj1-hc3 жыл бұрын
Part 4 please
@heritier51193 жыл бұрын
Utajiri wa kweli ni kuwa na amani moyoni ukizungukwa na familia yako. Yafaa nn kumiliki utajiri wa mashaka
@emmyngoi29973 жыл бұрын
Yes ni bwana nitajiri wamatajiri
@dadahmary10822 жыл бұрын
Jesus all the way
@sirig93603 жыл бұрын
Asente tumesoma Mengi sana
@PastorJoshua_Njombe2 жыл бұрын
Yohana 10:10. Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu. Hizi ndizo kazi kubwa tatu za shetani kuua kunyonga kuharibu... Shetani Hana jema hata kidogo ana hasira na Mwanadamu ana ghadhabu nyingi akijua Muda wake ni mchache Ufunuo 12:12
@lispamagu58103 жыл бұрын
Duh
@aminaally41633 жыл бұрын
Tunatakiwa kuridhika na mia anayotubariki MUNGU WETU WA MBINGUNI ALIE HAI.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Kwani huwa wanawaona vipi huo wakati.
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Tueleze kweli coz madhabahu mengi ya mejichanganya hata hatuji twende wapi jamani ukiingia huku wasikia wako kuzimu Sasa kaka tueleze wewe huenda wapi
@ishipalemypasco25672 жыл бұрын
Duuuu.😭😭😭😭
@tabiebinola33223 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 pole
@HildaKadunda10 ай бұрын
MUNGU NIPE MWISHO MWEMa
@stellaphilimon67062 жыл бұрын
Ee mung tuepushe na dhambi hii tupe moyo wa subira ili tuweze kupata mali kwa njia iliyo sahih
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Unapokua umeokolewa na Bwana Yesu hakikisha hujichanganyi shetan hana mchezo,yeye alipoikosa mbingu aliumia San HVO hawez kuruhus mwanadam aende mbinguni Ila Yesu ukikubal akutawale utamshnda adui shetan.