USHUHUDA WA MCHUNGAJI ERASTO UMEKUWA GUMZO JIJINI MWANZA

  Рет қаралды 17,660

NY TV

NY TV

Күн бұрын

Ushuhuda wa Mchungaji Erasto Vedasto umekuwa gumzo jijini Mwanza

Пікірлер: 26
@donatelasamila
@donatelasamila Жыл бұрын
Amina nikazi ya yesu hiya yeyealikuja kuokoa siokuharibu lazima kieleweke tunashinda kwajina lipitalo marina kwajina layesu kwawale wanatuchukia Walokole lazima wapigwe kwajina Hilo layesu wapendwa wote tunalolitimaini jina layesu tuseme aminaaaaaaaa mbaka kieleweke nandugu zetu niwale wamtegemeaye yesutuu
@donatelasamila
@donatelasamila Жыл бұрын
Barikiwa mchungaji ushuda wako umenibariki sanaaaaaa
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Amin, Amin,Amin, Mtumishi WA MUNGU ERASTO,umenibariki saaana kabisa.Asante sana🙏🙏
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Жыл бұрын
Yesu Kristo aliye hai unipe na mimi ushuuda Yesu wangu ili nisumuliye matendo yako makuu.
@rambostalon2888
@rambostalon2888 2 ай бұрын
Yesu wa kweli akihubiliwa huoni wahumini yesu wa mchongo watu wanajaa
@PowerofAfrica.
@PowerofAfrica. Жыл бұрын
😭😭😭 kweli Yesu anaweza yote
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Жыл бұрын
Bado ninaamini Yesu uko muweza yote ,utatenda kwa mwanangu. Ilove you God.
@florancehozza7930
@florancehozza7930 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na shuhuda.Zimeniinua viwango vingine na mshukuru Mungu.
@josephkishaiti189
@josephkishaiti189 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa ushuhuda mkuu wa uwezo wa Mungu.
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila 2 ай бұрын
Ameen Yesu utukuzwe
@catherineogoya7017
@catherineogoya7017 Жыл бұрын
Huu ushuhuda umenibariki mnoo kweli hii ndio tunayohitaji kuisikia ituvushe in Jesus name
@leonardanzurunipombi2499
@leonardanzurunipombi2499 Жыл бұрын
Amina Amina nimebarikiwa na ushuhuda Mungu awabariki sana watumishi
@elinipasekiete8234
@elinipasekiete8234 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu, wengi wampokee Yesu.
@emmagabriel510
@emmagabriel510 Жыл бұрын
Hongereni Kwa huduma kubwa ndani yenu. Nimeendelea kuwafuatilia nimepokea portion yangu nimeinuliwa Sana , kuna mahali nimevuka Leo, nimepata wakufika mahali flan ambapo nidingefika bila nyie Kwa Yale Mungu aliyoweka ndani yenu nanyi mkakubali kuwa vyombo vya Bwana. Mungu azidi kuwainua na kuwatumia siku zote mnazoishi Chini ya jua. Stay blessed
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Dah! Kwel BW.YESU ni KWELI
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Barikiwa kwa ushuhuda huo mtu wa MUNGU
@adelaidemary5514
@adelaidemary5514 Жыл бұрын
Wacha mungu aitwe mungu
@erastorweyongeza9343
@erastorweyongeza9343 Жыл бұрын
Utukufu wote kwa Bwana Yesu
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Mch Shalom tafadhali sikiliza SHUHUDA za akina Aston Adam mbaya, Rachel Mshalla, Rebecca wa Nigeria... Aache mapambo ya Yezebel km wigi,rasta,nk Kisha afunike kichwa chake daima pamoja na kanisa lako... La sivo unalipeleka kuzimu
@mwanzajosephine468
@mwanzajosephine468 Жыл бұрын
Yupo Mungu mwenye neno la mwisho
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 Жыл бұрын
Nabarikiwaaaa sana. Mungu azidi kuwatumia zaidi🙏
@aminakyungu8414
@aminakyungu8414 Жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@liliankamau1851
@liliankamau1851 Жыл бұрын
Amina mchungaji
@yusuphmzopola3049
@yusuphmzopola3049 Жыл бұрын
Amin sanaaa
@emes602
@emes602 Жыл бұрын
Ungekua unaweka namba ili tujue ilianzA ipi
@mankamushi
@mankamushi Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 5 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nyisake Chaula_Kongamano la Pentekoste
1:23:12
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 3,1 М.
MAJINI NA NGUVU  ZA MUNGU
7:01
Ki home home Tv
Рет қаралды 33 М.
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
REV. DR. ELIONA KIMARO: KIJANA KUJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO
1:32:02
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 11 М.
USIKATE TAMAA TUMAINI BADO LINGALIPO-MCH DANIEL  DAUDI
25:49
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН