naipenda sana kazi yako na ushuhuda wako kweri Asante sana mtumishi nimeona mungu kupitia shu Huda hizi
@queenesther2639 Жыл бұрын
MUNGU wetu anatupenda anatuonya kila mara Ubarikiwe Kwa kujitolea kutupatia maonyo haya...Tutaiona kazi yako hii siku ya mwisho tutashangilia pamoja maana mbinguni hakuna wivu
@ShukuruHangi-re3gs Жыл бұрын
Amen amen 🇦🇺 Nina kuitaji katika kanisa letu apa Australia tunateswa sana na Zambi Mungu akubariki sana amen 🙏
@MichaelKamwela-di5qx Жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@maryandason1815 Жыл бұрын
M nataman ukuje Arusha madam hyo tareh 10.nkuone live plzzzzz nabarikiwaa kwa kusikia tu.saut yko.i wish nkuone
@wilkinssimkoko7920 Жыл бұрын
Ooh barikiweni mnoo!
@mkalma-i4q Жыл бұрын
Mungu nisaidie ilinisimame kitika njia zako🙏🙏
@fawadaziz2360 Жыл бұрын
Tunaomba umuombe nabii astoni,muendelezo wa ushuhuda wa idara 27 za ufalme wa Mungu,tafadhari tumesubiri mno
@lillianwakesho258 Жыл бұрын
Asante,mm nauliza mchungaji ni HAKI alipiwe,nyumba,na anunuliwe nguo na washirika,na kusema eti,tutabarikiwa, na pia anatuambia eti mungu amenitima tufanye jambo Fulani kwa mfano eti tununulie yeye pikipki,hiyo ni sawa kweli.
@AfirenAfiren9 ай бұрын
Yes, mchungaji anafaa kuwategemea washirika, lakini hafai kuwambia kile mnafaa kumfanyia, ni kupitia maombi Mungu kupitia kwa washirika hili wafanye haja ya miyi wake.
@gracelauzi9746 Жыл бұрын
Amina Amina MUNGU atukuzwe milele Asante kwa ujumbe ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo
@maryandason1815 Жыл бұрын
Blessed my lovely sister❤ inanifundsha Kila cku dunia ninapita tu.kma daraja so niishi maisha ya kujitakasa.. ❤
@otacyndula5491 Жыл бұрын
Amen Mungu awabariki
@abigaelmokandu897810 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe
@annissdaprincess3846 Жыл бұрын
Amina hallelujah
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Amen Asante Kwa ujumbe nzuri mtumishi wa Mungu zidi kubarikiwa
@YusuKisingile-fs4hv Жыл бұрын
Ubarikiwe tuzidi tu kuomba Rehema kwa Mungu kabla ya siku ya unyakuo
@happykabaka8981 Жыл бұрын
amen barikiwa sana kwa ushuhuda huu
@livinhillary9804 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@shamamwandambo6358 Жыл бұрын
Jaman semina inafanyika wapi
@gracengugi-tx1tt Жыл бұрын
Amen 🙏 Niko Kenya 🇰🇪 Mombasa......naomba iwe live TU wacha na familia..... shallom