USHUHUDA WA WAZIRI MPANGO: "RAIS MAGUFULI ANA AKILI YA KISAYANSI YA KUDADISI na KUHOJI KILA JAMBO"

  Рет қаралды 51,182

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

USHUHUDA WA WAZIRI MPANGO: "RAIS MAGUFULI ANA AKILI YA KISAYANSI YA KUDADISI na KUHOJI KILA JAMBO"
WAZIRI wa fedha na mipango, Dkt Philip Mpango, leo Juni 11, amewasilisha Bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2020 - 2021, Bungeni jijini Dodoma... na kutoa ushuhuda wake kuhusu rais Magufuli....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 117
@jamalsalim8693
@jamalsalim8693 4 жыл бұрын
Kweli waziri mpango Raisi wetu ni jembe Hapa Kazi Tu😍😍😍😍
@khatibkhatib2249
@khatibkhatib2249 4 жыл бұрын
Yess MWENYEZ MUNGU aendelee kumpiganiaa saana rais wetu
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
Hongera Mh Mpango,kwa Rehema za Mwenyezi Mungu utaludi ktk kitengo chako.
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 жыл бұрын
Mungu mlinde raisi wetu. Tunakupenda sana Raisi wetu
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 4 жыл бұрын
Umeua mpango.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Gasimba785
@Gasimba785 4 жыл бұрын
Tanzanians, be proud of your president, he is the right one , not only in in Tanzanians but in this world.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Yes
@robsonlazaro3868
@robsonlazaro3868 4 жыл бұрын
Hongera waziri kwa otuba yako nzuri mungu agulinde
@robsonlazaro3868
@robsonlazaro3868 4 жыл бұрын
Na mm nampongeza rais ya jamuuri ya muungano wa Tanzania kwazi nzuri anae fanya
@kaykay5605
@kaykay5605 3 жыл бұрын
Are you still there or did you disappear with shame🙄
@dalilaabeid2528
@dalilaabeid2528 4 жыл бұрын
Tunakpnda sana rais wetu jpm, mungu akulinde na mabaya yote, ameen
@mpwapwamedia7279
@mpwapwamedia7279 4 жыл бұрын
Aamani si kitu cha mchezo,mungu ibariki Tanzania,mungu simamia sawasawa,mungu tanguliza na peleka jeshi lako mbele ya magufuli,mbele ya mahakama, mbele ya bunge na ukasimame ukaweke usawa na utulivu katikati ya watu wa Tanzania,aamen
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 4 жыл бұрын
Mimi anipe kazi nifanye nae. Ninapenda sana matendo yake maana na mimi nipo kama yeye. Siamini katika kushindwa na siogopi mtu kwenye ukweli na hati.
@sideboy3164
@sideboy3164 4 жыл бұрын
Sikuwah kuipenda CCM wala watu wake lakini jinsi Magufuli anavyo tutendea haki acha atawale mpaka kifo chake . Huyu jamaa ni Mungu kamleta.
@nozgeniuz1812
@nozgeniuz1812 4 жыл бұрын
Una akili sasa hongera
@gabrielgodwin7465
@gabrielgodwin7465 4 жыл бұрын
One of the best speech ever! JPM is a Cast Iron nothing impossible to him
@ellyms5581
@ellyms5581 4 жыл бұрын
Mh Mipango unmesahau mengineee flyover,Tausi wameongezeka ikulu, yaani huyu baba aneletwa na Mungu hakika Mungu anatupenda Tanzania Uishi milele Raisi wangu Magufuli anayekubeza Ni chiziiiiiii
@andyjk5974
@andyjk5974 4 жыл бұрын
kwa kweli . kelele nyingi zinatoka kwa wale wanaotaka kujijazia mifuko yao kwa kweli. long live president. tulisali sana na kuomba tupewe raisi wa namna hii . na tumejibiwa. wenzetu wana tuonea wivu jamani. na baada ya hii PANDEMIC yaani. ndio kaonyesha kabisa. kungekua na lockdown hakika maisha yangu yangekua matatani kwa kweli. ahsante Magufuli
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Kweli safi.
@jackmichael1953
@jackmichael1953 4 жыл бұрын
wengi ANDY JK
@sokonifarmfresh8818
@sokonifarmfresh8818 4 жыл бұрын
Mpango ni miongoni mwa mawaziri bora wa awamu ya tano
@binbaya923
@binbaya923 4 жыл бұрын
Mh! Waziri speech imetulia hongera 🇹🇿🇦🇷
@rahilaabdulrazzak9951
@rahilaabdulrazzak9951 4 жыл бұрын
Hongera Mheshimiwa, unastahiki kuwa mkuu wa kampeti zetu !
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 жыл бұрын
USHUHUDA MKUBWA SANA HUU, DKT MPANGO UNAWEZA KUANDIKA KITABU KUMHUSU RAISI WETU, DKT JPM, UMEMUELEWA VIZURI KABISA, HUO NDIO UFUASI SAHIHI, HONGERA SANA .
@judaspantaleo9779
@judaspantaleo9779 4 жыл бұрын
Ni mengi mno mengine umeyasahau mkuu jamaa yuko poa
@zegelibilishanga4761
@zegelibilishanga4761 4 жыл бұрын
Hongera baba karibu buhigwe
@selemankiwande8162
@selemankiwande8162 4 жыл бұрын
100% Kwa magufuri salute kwake tinafanyaga uchaguz ili tupate kilicho bora zaid. Binafs mbari na katiba raisi magufur ni chaguo bora zaid tumkabidhi hii nchi miaka mingine zaid atimize yote tunayoyahitaj wengine watuvumilie Kwa muda. Half tutaendelea na utaratibu Wa kawaid Wa miaka 5, mitano kumi kumi. Wengi wape magufur hana mpinzani wengine watajaribu lkn hawata weza
@tonymalando9872
@tonymalando9872 4 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania dumisha uhuru na umoja🎶🎤
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
Dr umeongea kwa ustadi wa hali ya juu
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 Жыл бұрын
HAKIKA MH. Makamu wa Rais Phillip Mpango,uliona mbali Sana. Pia, HONGERA SANA KWA hotuba uliyotoa katika bajeti yako ya 2020/2021. Mungu azidi kukupa Afya njema katika KAZI yako. Asante. Amina.
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 4 жыл бұрын
Aongezwe muda 20 inchi hii iwe kama mbele nasisi tukitaka visa za inchi kubwa watuheshimu magufuli oyee Tanzania oyee Africa oyee
@kudraahmad6003
@kudraahmad6003 4 жыл бұрын
Mimi kudra nimeshapanga folen tokea sasa kumpigia kura magufuli rais Wangu ,asante mungu kwa kutupa rais mzalendo
@salimsalim8421
@salimsalim8421 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amhifadhi yarab, Ameen Ameen Ameen yarab
@ligmaskoyo4408
@ligmaskoyo4408 4 жыл бұрын
Nakubaliana nawe Mh. 100%
@peterdeus6093
@peterdeus6093 4 жыл бұрын
Nafurahi kuwaona viongoz wangu wakiwa na furaha namna hii
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Safi sana.
@binbaya923
@binbaya923 4 жыл бұрын
Hongera kwa Mh. Raisi M/Mungu amlinde🇹🇿🇦🇷
@titojonas8583
@titojonas8583 4 жыл бұрын
Tunatakiwa tuzidi kumshukuru Mungu tangu tupate uhuru Mungu amekua akitupa viongozi bora mapungu madogo madogo tusiyabese maana ziko nchi hazina amani mpaka leo kutokana na viongozi kushindwa kuwaunganisha wananchi utajiri pasipo na amani sisi tuna amani tupewayo na Bwana YESU KRISTO
@nehemiaisakwisa8604
@nehemiaisakwisa8604 4 жыл бұрын
Umeongea point Mungu azidi kuwabariki hata marais wengine awam zote tano maana hakuna aliyetugawa wote walitulinda na kututhamini tynaomba Mungu ampe hekima zaidi JPM ili tufike mbali kwa wepesi
@maitrefrancois1523
@maitrefrancois1523 4 жыл бұрын
Nyimbo mupya ya Raisi Magufuli iwa bariki ingiya kwenye KZbin andika MOISE CHOMBO Magufuli ninyimbo nzuri sana
@tz7976
@tz7976 4 жыл бұрын
Huyu rais magufuli ni rais wa pekee duniani watanzania tukimpa nchi aongoze miaka 30 mbele hili taifa litakua miongoni mwa mataifa tajiri duniani.
@eliyawilliammagesamarwa8413
@eliyawilliammagesamarwa8413 4 жыл бұрын
Hakika magufuri 2035
@seifseif4930
@seifseif4930 4 жыл бұрын
Atuwezi kukubali tumkoe
@seifseif4930
@seifseif4930 4 жыл бұрын
Atuwezi kukubali tumkose uyo ndo muokozi wa taifa letu
@daudikidyamali3784
@daudikidyamali3784 4 жыл бұрын
Tumuunge mkono mh. mpango huyu ana nia ya dhati ya kuungana kuleta maendeleo
@peterdeus6093
@peterdeus6093 4 жыл бұрын
Nimependa hotuba ata siyo ya kujipendekeza
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Kweli.
@peterdeus6093
@peterdeus6093 4 жыл бұрын
Umeongea ukweli MUNGU akubaliki
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Safi sana kiongozi
@mustboypureboy6845
@mustboypureboy6845 4 жыл бұрын
Anasitahili kuwa Prof......
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
Buhigwe- kigoma tumekuelewa japo sipo pale kwa sasa, ila kura unazo 🙏
@justenjames3408
@justenjames3408 4 жыл бұрын
We feel proud having this man
@zunyagapeter4647
@zunyagapeter4647 4 жыл бұрын
Piga kaz rais wetu mpk nchi isonge mbele tuko na ww
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Umeongea kweli tupu, asante sana.
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Mungu akulinde Rais wetu mpendwa JPM
@eliyawilliammagesamarwa8413
@eliyawilliammagesamarwa8413 4 жыл бұрын
Magufuri 2035
@zozohmeed5546
@zozohmeed5546 4 жыл бұрын
Mpango unesahau mazuri mengi alitofanya rais wwtu
@egbertmwilima7689
@egbertmwilima7689 4 жыл бұрын
superb president of ours we are blessed.. thanks our Almighty God
@tonybleamangi6792
@tonybleamangi6792 4 жыл бұрын
Yaan nakosa hata Cha kusema Kwan Leo hii watu wametambua Kaz za magufuli huku mwanzon huyo tundu aliwadiba kwa vitu vingi mno akili Kwanza porojo hazina maana tusisikilize maneno Bali tufafate action
@eliwandoakituku3713
@eliwandoakituku3713 4 жыл бұрын
Waziri mpango Fanya mpango wazee waliostafu wakapunjwa mafao yao walipwe mungu anawaona et.
@saidhamis5956
@saidhamis5956 4 жыл бұрын
Tunatambua kazi ya raisi wetu magufuli yaani atapiga kura za kufuru naamini atapata asilimia 99 uchaguzi wa 2020
@edwinjohn6000
@edwinjohn6000 4 жыл бұрын
jpm hapa Kaz tu
@exonlongwe8027
@exonlongwe8027 4 жыл бұрын
Nice one
@binbaya923
@binbaya923 4 жыл бұрын
Mh. Waziri kumbe Yanga😁😁🇹🇿🇦🇷
@deodatuskahangwalumanyika3459
@deodatuskahangwalumanyika3459 4 жыл бұрын
Hotuba hii imenisisimua sana kuhusu chuma chetu jpm
@andrewaneriko3103
@andrewaneriko3103 4 жыл бұрын
Kura yangu kwake ameshaipata mkuu
@federicamgeni590
@federicamgeni590 4 жыл бұрын
Big up JPM
@khatibabdallah6185
@khatibabdallah6185 4 жыл бұрын
Mh rais hana haja yakufanya kampeni
@masoudrashid6180
@masoudrashid6180 4 жыл бұрын
Hakika nimeipenda sana hotuba hii isiyo na chembe ya uongo hata kidogo,,,ahsante
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 жыл бұрын
ASANTE SANA DKT.P.MPANGO
@muganyizikamafa3555
@muganyizikamafa3555 4 жыл бұрын
He is the best president ever under the earth
@festoluhwago287
@festoluhwago287 4 жыл бұрын
Yes! This is the President we have been seeking to for many years years.Glory be to God.
@festoluhwago287
@festoluhwago287 4 жыл бұрын
Nani angeyaweza hayo? Lisu! Thubutu!!!
@amonmathiasnikotnawapongez7
@amonmathiasnikotnawapongez7 4 жыл бұрын
Hapo penyetim
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
JPM tutampa kura bila kinyongo kabisaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
@hajjiayanle
@hajjiayanle 4 жыл бұрын
We wish we had maghufuli in Kenya we will lead Africa but corrupt uhuru is with us.. GOD ONE DAY WILL GIVE US BETTER president
@nyamohangagisire9165
@nyamohangagisire9165 4 жыл бұрын
Mm kiukweli mwanzoni nioikua siamn kwa Jpm lakin sasa naamn na kiukweli hamna haja ya kuandaa wasifu mwingine was Jpm popote pale utakapohitaji zaidi ya huu wa Filip mpango. Safi sana mungu akupe ngvu raisi wetu jpm
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
Yaani umesheheni kwakweli
@samweljuma585
@samweljuma585 4 жыл бұрын
Hayo yote atalipwa na Mungu wanadam ni wasahaukifu.
@darlingtonezerioha8081
@darlingtonezerioha8081 4 жыл бұрын
That nice one
@potiyowatz836
@potiyowatz836 4 жыл бұрын
Tanzania mungu kaichagua kwa mapenzi yake, asili yetu ni wabin adamu alisi kwa %.dunia itaelewa tu, jinsi tunavyoishi,nimafunzo kwa wengine.mungu wabariki watanzania,,wabariki viongozi wetu na ibariki afrika.
@samweljuma585
@samweljuma585 4 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania tuliyoachiwa na Mwl Nyerere itunze Baba.
@justineulimule6530
@justineulimule6530 4 жыл бұрын
Hii ni moja ya hotuba bora kwangu kwa mwaka huu 2020.
@bahatidamiani8546
@bahatidamiani8546 4 жыл бұрын
Watanzania tunampenda JPM ana mazuri mengi, umesahau hata wanyama wakiwemo Tembo wqnamshukuru rais Magufuli chini ya utawala wake hawauliwi ovyo wameongezeka
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 жыл бұрын
Kabisa,awalinwalikuw wanauliwa hovyo hovyo tu bila . 😢😢
@mwaaang
@mwaaang 4 жыл бұрын
Idiot
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 2 жыл бұрын
Mathayo 11:28
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 жыл бұрын
USHUHUDA WA KWELI, UWEKE KTK KITABU UWE KUMBUKUMBU DAIMA.
@charlesmarwa6513
@charlesmarwa6513 4 жыл бұрын
Top 10 of the cabinet of our president Hon: Dr. Magufuli are: 1:Himself 2: Mama Samia 3: PM Majaliwa 4: William Lukuvi 5: Philip Mpango 6: Professor Kabudi 7: Ummi Mwalimu 8: Hussein Mwinyi 9: Seleman Jaffo 10: Dotto Biteko. Please vote for them in a general election on October 2020. I really Love you Mama Tanzania❤ Stay safe My Beautiful Country❤
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
daaaa kaamsha wabunge kwa simba na yanga🇹🇿😂😂😂😂
@josephsilla2271
@josephsilla2271 4 жыл бұрын
Amekuwa mfano bora, kuhusu Kiswahili Je mbuge limechukua hatua gani?
@evancetesha3836
@evancetesha3836 4 жыл бұрын
Mh mipasho mibaya sana
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 4 жыл бұрын
Rushwa bado ipo
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Imepungua
@nozgeniuz1812
@nozgeniuz1812 4 жыл бұрын
NI MUNGU BABA TU NDANI YAKE ANATUONGOZA NAKUPENDA MAGUFULI
@shirazmunawar4433
@shirazmunawar4433 4 жыл бұрын
Machozi yatakutoka tu kwa wewe mzalendo mpendwa, Eee Tanzania yetu
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 жыл бұрын
Hizo nisifa za mfa maji umsifu ili upate tonge kweli ana maonyo ndio maana nchi ameingiza deni si LA mchezo uchumi umeshuka ukulima umeshuka makontena ambayo hayalipiwi ushuru yamezidi hizo ni nyimbo tulizo zizoweya kutoka ccm tokea 64 mpaka Leo nikusifiana mwambieni nimejenga choo changu aje anifungulie twambie uchumi umekuwa kwa asilimia ngapi napato LA taifa nikiasi gani
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
Abdhihari watutaka kumsifu mkuu wa sacoss 😏😏😏 utakesha saaaaana. Tupo na JPM mpaka mwisho🇹🇿🇹🇿💪
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 жыл бұрын
Anatafta kumsifu mlevi alokuwa kulewa pombe na mademu wakanvunja muguu koma ww
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 жыл бұрын
@@sistajeremiakalinga5436 anaesifiwa tunamuona mwambieni aje anifungulie choo changu
@federicamgeni590
@federicamgeni590 4 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu aliyetupatia Raisi JPM
@mrmarwayosiayakobo5209
@mrmarwayosiayakobo5209 4 жыл бұрын
Ata ujishtukii wewee....
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 304 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA WAKUU WA MIKOA ,15 MARCH 2016
25:03
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 10 М.