MAKONDA AMUHOJI OCD "NJOO HAPA, MAISHA YANATABIA MOJA UNAWEZA KUWA NA CHEO BAADAE UKAENDESHA BODA"

  Рет қаралды 234,830

Millard Ayo

Millard Ayo

8 ай бұрын

Пікірлер: 422
@johnbidya119
@johnbidya119 8 ай бұрын
Makonda umerudi kwa watu maskini.. wanyonge.. waliochwa bila mlezi karibu sana katika harakat za kumpambania mnyonge.. mungu akupe nguvu tunajua wema ulifanya kwa magufuli.. japo hatuambiwi safali ya mwisho ya filikunjombe alitakiwa kuwepo lakini kwa uwezo wa mungu hakusafili..kwaiyo ukiwa na nguvu ya mungu hauhitaji mashabiki weng km simba na yanga ili wa kupambanie..
@user-my5nu8sd7p
@user-my5nu8sd7p 8 ай бұрын
Baba makonda mm nakupendeaga apa dar mpaka Leo tunaingia mjini nakupenda Sanaa nataka siku moja uwe wazili wa mambo ya ndani uinyooshe nchi Barabara
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 8 ай бұрын
Makonda kama makonda tulikumisss mzeee Asante mama kwa kumrejesha mwamba kazin wacha kaz iendeeleeeeeee
@user-wf3dh1nv6m
@user-wf3dh1nv6m 8 ай бұрын
Nimependa makonda Asante kwa kutetea watanzania
@jumasaid6073
@jumasaid6073 8 ай бұрын
Mungu Akujaalie uwe Rais Nakupenda had naumwa.
@Hancymtembo
@Hancymtembo 8 ай бұрын
Yuko sawa kabisa makonda, maisha ni siasa huyu anapooza machungu ya watu serikali haitoi hajira bodaboda mama lishe na wamachinga watafanya kazi gani? yuko sawa sana kwa sababu serikari inaongozwa na chama cha mapinduzi jeshi likiburuza wanainchi chama kitakosa hatamu 2025 piga kz makonda
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 8 ай бұрын
Hizo ni porojo tu za kisiasa ni usanii tu . Aende na Loliondo watu wanakonyanyaswa
@aud548
@aud548 8 ай бұрын
Utumishi wa Umma ni moja ya kazi za ovyo basi tu ni vile umasikini aseee ...
@mohamedally5225
@mohamedally5225 8 ай бұрын
Kwan hata huyo police ni chini ya cm sio serekal tena
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 8 ай бұрын
Police department inabidi msimame kukemea ili uyu jamaa anawaitaje wakati Ni mtu wa chama na police aitakiwi kuwa na mambo ya chama asee
@michaelbigvai1199
@michaelbigvai1199 8 ай бұрын
Ni ungese sana acha tuu
@aud548
@aud548 8 ай бұрын
@@elvisoscar9912 Nchi hii anafukuzwa kaka au kutengenezewa zengwe🙌
@kulwastima3993
@kulwastima3993 8 ай бұрын
Sana tu
@jumanyanda5761
@jumanyanda5761 8 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu ili kuitumikia taifa leti
@sultanramadhan5269
@sultanramadhan5269 8 ай бұрын
Umeongea umeacha gap simamieni sheria, hapo kwenye sheria, na sheria zenyewe wao ndiyo watungaji waziri anapitisha ktk utekelezaji ni biashara mfano tukiwafukua driver's zote za bodaboda tukiwauliza mmekufa sbbu hamkuvaa element wengi watakanusha kifupi element haizuii kifo ktk safari ya bodaboda Kuna watu hawapandi boda hata km Kuna nini lkn wakubwa wa polisi weshapitisha sheria km taifa lazuia ajali wafunge road zote kwa sbbu kila jambo Sasa hivi ni chanzo cha ajali duniani.
@grobwairo791
@grobwairo791 8 ай бұрын
Jeshi la polisi limepoteza mwelekeo kabisaa linaingiliwaje na chama sjawai kuona nchi Kama hii ya ccm ndio inalipangia jeshi namna ya kufanya kazi au ni kiherehere Cha bashite
@ChristerShao
@ChristerShao 8 ай бұрын
Makonda mmm umeujua ubaya mungu akusaidie .
@user-xn3gs9qc8u
@user-xn3gs9qc8u 8 ай бұрын
Hongera Sana Makonda natamani nikuone nikupe kadhia tunayoipata.
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 8 ай бұрын
Kazi njema brother. MUNGU akuongoze
@MBATINOFILMS
@MBATINOFILMS 8 ай бұрын
Makonda we noma sana nakubali mwamba
@ibrahimucharlessatto3449
@ibrahimucharlessatto3449 8 ай бұрын
Hongera Makonda
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 8 ай бұрын
❤ i see the sprit of magu
@ManuuNgingo-dm1vs
@ManuuNgingo-dm1vs 8 ай бұрын
Hongera makonda mungu aendelee kukuongoza hakuna kiongozi anaye kuja kwa bahati mbaya ni mungu kakuweka hapo wakosoaji wapo lakini wewe Songa mbelee mtazame mungu
@ramadhanmaulid4088
@ramadhanmaulid4088 8 ай бұрын
Mzee amekua kiongoz safi sana. Good
@moha9043
@moha9043 8 ай бұрын
Good talking from experience 😅😅
@williamsamwel1715
@williamsamwel1715 8 ай бұрын
May God bless you..
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 8 ай бұрын
Hii sio sawa upuuzi na sifa za kipuuzi,kiongozi wa chama anamshighulisha kiongozi au afisa wa Serikali upuuzi huu
@jasperluoga6788
@jasperluoga6788 8 ай бұрын
Huu ni upuuzi sana siasa na utendaji wa serekali with individual professionalism ni vitu tofauti sana. Watu wajifunze sio Kwa sababu umepewa kipaza sauti ndo umuinglie kila mtu kwenye kazi yake this is wrong kabisa Kua na mipaka ukitambua na kuheshimu watu na kazi zao.kila mtu ana faham kitu fulali hakuna mtu anae faham kila kitu isipokua mungu pekee
@clustermqsir9840
@clustermqsir9840 8 ай бұрын
Sasa kaka umesema hakuna mtu anayefahamu kila kitu, kwanini umuite mpuuzi aliyekosea kwa kutojua.. Hajatoa amri ila ameshauri ndio maana OCD hajapiga saluti kwa Makonda kwa maana hiyo hafanyi kazi kwa maelekezo ya Makonda/kiongozi wa chama, pili angalia ujumbe Wa Makonda kama ni chanya au hasi kwa jamii husika... Tatu na mwisho ni serikali sio serekali.
@user-ou7pg1tx9x
@user-ou7pg1tx9x 8 ай бұрын
Ila OCD ni chuma anajielewa, HAJAMPIGIA SALUTI, alicho ongea makonda hapo ni Ushauri tu, sio maelekezo,. 😅😅😅
@AbdalahMussa-xo6fh
@AbdalahMussa-xo6fh 8 ай бұрын
Mwenyizi mungu hakutie nguvu katika shughuli za ujenz wa taifA
@tryc_579
@tryc_579 8 ай бұрын
Mungu tukumbuke Watanzania hii nchi imeisha kifalafala Nyerere pumzika kwa aman lakini juwa nchi ulio ipigania ni Bora ungeachaga tu tukafa kifala😢
@kisanduBarafu-bp4rm
@kisanduBarafu-bp4rm 8 ай бұрын
Kwanza wewe ni msenge na maoni yako ni ya kifala vilevile
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Umeirudisha Ccm kwenye wakati Makonda oyeeeee Mama Samia umefanya vizuri kumrudisha Makonda utapata kura kwa wingi sana kwa Wasukuma waliyokushauri wamekusaidia sanaaaa
@bahatitumaini347
@bahatitumaini347 8 ай бұрын
Good saana kuzungumuza point
@MwanashaZahabu-vf9vv
@MwanashaZahabu-vf9vv 8 ай бұрын
Munguakutangulie kilaiitwapoleo
@user-ss2hz9zs9n
@user-ss2hz9zs9n 8 ай бұрын
Thanks
@kassimkassim6386
@kassimkassim6386 8 ай бұрын
Chama kilipoteza iman kwa wananchi makonda anajaribu kuludisha iman kwa wananchi kwa ccm Ila.kwa haraka haraka uwez kuelewa
@IvonJasson-ww2ij
@IvonJasson-ww2ij 8 ай бұрын
Nimeelewa bro
@lucasmapunduone4616
@lucasmapunduone4616 8 ай бұрын
makonda ulikuwa wap unajua ww unakuja kwenye nyao za magufuli kabsa kaza dingi naamini magufuri amekupika sawasawa acha haowanao kaaa kwenye viti kama vivuli hawana lolote lakusemea wananchi wao ili mradi familia zao zinashiba basi hawana habari na sisi💪💪💪💪🤜🤜
@Zenny89
@Zenny89 8 ай бұрын
Kwani Chama cha Nchi Ndo serikali??? Inakuaje Chama kinamhoji Polisi???
@user-ls1ki7fl7y
@user-ls1ki7fl7y 8 ай бұрын
Hongera
@sankajoseph4627
@sankajoseph4627 8 ай бұрын
Safi kaka yetu
@Frazztraveller
@Frazztraveller 8 ай бұрын
Makonda sizani kama ana ulewa mzuri kuhusu urban planning, maana kuruhusu bodaboda na machinga mjini ni kufanya miji yetu iwe soko kila mahali leo hii ukitembelea posta dar yote ni uchafu jiji chafu sana na makelele tu ya machinga na bodaboda
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 8 ай бұрын
Safiii Sana makonda waonyesheee
@SamwelJr-go6iy
@SamwelJr-go6iy 7 ай бұрын
Asante babaaa
@musanzowa8988
@musanzowa8988 8 ай бұрын
Huyu Makonda binafsi sijawahi muelewa!
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 8 ай бұрын
Ww ushajielewa kwanza
@user-ds8lg4xd4l
@user-ds8lg4xd4l 8 ай бұрын
Safi sana mkuu
@rajabulipongo5595
@rajabulipongo5595 8 ай бұрын
Kwa hutuba hii hongera sna
@mathiasmatiku9444
@mathiasmatiku9444 8 ай бұрын
😢mmmmh! Kama ninamuona Magufuli 😭
@johnjulius6986
@johnjulius6986 8 ай бұрын
Hahaha...tuko wote alafu anaongea kama magu vile
@donaldmsery7856
@donaldmsery7856 8 ай бұрын
Mh. Makonda tafadhali tafadhali njoo Bunju ulipoondoka tu na Kituo Cha Police hakikujengwa Tena njoo tuzaidie ee mtetezi wa wanyonge.
@user-jj4kj9zt7k
@user-jj4kj9zt7k 8 ай бұрын
safi sana mzalendo ww
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 3 ай бұрын
OCD Unamtetemekea Mpuuzi Mwenezi wa CCM? Mwenezi wa CCM na Mwenezi wa TLP Tanzania Wana Nafasi Hii Moja.. Hana Uwezo wa Kumwamrisha OCD
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 8 ай бұрын
Aisee Brother
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 8 ай бұрын
Mhm😂😂😂HAKUNA MWALIMU MZURI KAMA MAISHA
@amrymhina8649
@amrymhina8649 8 ай бұрын
Inasikitisha sana
@user-fr2pf5eg2g
@user-fr2pf5eg2g 8 ай бұрын
❤❤❤❤ makonda JPM daima
@davidsuleman-eu4mc
@davidsuleman-eu4mc 8 ай бұрын
Kazi kazi
@sadickshedrack5066
@sadickshedrack5066 8 ай бұрын
We makonda tulia Muda wa kampeni bado acha kuja na mbwembwe kwa kuwazalilisha watu wanaokuzidi elimu we ni paka tu.
@ABBASIKANDULU-kl8zc
@ABBASIKANDULU-kl8zc 8 ай бұрын
Ndio Kiongoz sasa utaki unatakaa ndio kashapewaa
@maswamills3161
@maswamills3161 8 ай бұрын
Hapa kazi tu.
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 8 ай бұрын
Mama kweri hapo amechagua jembe ni kama angekuwa katibu mkuu vile wanaunga mkono makonda kuwa katibu mkuu gonga like hapa kuunga mkono hoja
@jumarajab5316
@jumarajab5316 8 ай бұрын
sasa mambo ya RTO unamuelekeza OCD hujui kama OCD ni mdogo kwa RTO hawezi kuelekeza hayo mambo labda ajionee mtandaoni
@Gamba177
@Gamba177 8 ай бұрын
Anafirwa huyu makonda.
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 8 ай бұрын
Anatoa ziro kweliii??
@AdamFundikira-jb9vq
@AdamFundikira-jb9vq 8 ай бұрын
@@Gamba177 wewe unamtukana makonda wewe unafirwa na baba yako
@badiomary822
@badiomary822 8 ай бұрын
Vunga tu za Kisiasa kuwalewesha Wananchi wa Kada za Chini ambao ndio wengi na ndo Wapiga Kura hakuna Jipya !!
@nicodemmabala1904
@nicodemmabala1904 8 ай бұрын
Inategemea RTO anaweza kuwa na madaraka ya level ya mkoa lakini akawa na cheo kidogo cha kijeshi akazidiwa na OCD
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 8 ай бұрын
Kweli makonda mmmh.
@user-lb6ke2lo3f
@user-lb6ke2lo3f 8 ай бұрын
Swali, Makonda ni kiongozi wa serikali au wa chama!!!
@Gamba177
@Gamba177 8 ай бұрын
Ni msenge kumamake mwizi.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 8 ай бұрын
Mwenyewe sielewi natamani kujuwa majukumu ya katibu mwenezi
@jovinjones4777
@jovinjones4777 8 ай бұрын
polisi anapokea maelekezo ya katibu mwenezi wa chama!!???
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 8 ай бұрын
Neno kubwa sana hilo kwa wanaojitambua tu,hongera makonda cheo dhamana
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 8 ай бұрын
Yaani Tanzania 🇹🇿 ndio nchi pekee yenye wana siasa ambao humwona mtu mwenye professional aonekane haja soma au haja enda shule.visit Tanzania ujionee professor ana tukanwa hadharani na mwana siasa oh 😃😀🙌
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 8 ай бұрын
Sure
@sadickshedrack5066
@sadickshedrack5066 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nimesoma comment yako kwa umakini sana adi nafurai ni kama nilichotaka kuongea tayari ushakimaliza akili moja
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 8 ай бұрын
hebu ona anavyomthalilisha mwenzake.
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 8 ай бұрын
Asikudanganye mtu mwanasiasa ananguvu sana kuliko mwenye taaluma
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 8 ай бұрын
Asikudanganye mtu mwanasiasa ananguvu sana kuliko mwenye taaluma
@nafutarymajogoro30
@nafutarymajogoro30 8 ай бұрын
Makonda ni chaguo la mungu
@Nesrev95
@Nesrev95 8 ай бұрын
hii nnchi ukijaribu elewa sana mambo utajiona wewe ndio mwehu 😅
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 8 ай бұрын
Kamanda kamanda kamanda !dooh
@roxboy44
@roxboy44 8 ай бұрын
Kumbe Magufuli amerudi kwa kupitia mwili wa makonda😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 8 ай бұрын
Sasa nimeanza kuamini maneno ya Gwajima dhidi ya Makonda
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 8 ай бұрын
Umeonaeee!!!
@user-og4ox5jb4v
@user-og4ox5jb4v 5 ай бұрын
Kweli dar ulitutetea
@jumahassan273
@jumahassan273 8 ай бұрын
Safi makonda
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 5 ай бұрын
Jmn wananchi wao kwa wao hawana bifurcation, tatizo ni wananchi vs polisi, Uhamiaji, ardhi, diwani n.k. Inatisha sana
@MorganFred1
@MorganFred1 8 ай бұрын
Magu mtupu😢😢❤❤❤
@victorjames3730
@victorjames3730 8 ай бұрын
Ngoja ninyamaze tuu
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 8 ай бұрын
Mgh!!! Ivi si makonda aliwahi kusema kama mtu hajaoga asikanyage mjini mbona watanzania tunasahau sana
@LovegodMinja-vi8ky
@LovegodMinja-vi8ky 8 ай бұрын
Siasa inaweza ingilia Taaluma za Watu na kuweza kujinasibu mbele ya umati ili tu uwin hadhira iliyokusudiwa ifike mahali Siasa ikome kuingilia vyombo vya ULINZI na USALAMA !!! 🙆
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 8 ай бұрын
Makonda.safi
@ransonlema3916
@ransonlema3916 8 ай бұрын
Makonda, asante baba wewe na Magufuli mmeacha alama mioyoni mwa watanzania wa hali ya chini, mtakumbukwa daima, mioyo yetu imejaa shukrani kubwa kwa ajili yenu mbele za Mungu
@fidemgonja1966
@fidemgonja1966 8 ай бұрын
Nimeipenda Sana hiyo maisha yanatabia ya kubadkika
@fidemgonja1966
@fidemgonja1966 8 ай бұрын
Nimeipenda Sana hiyo maisha yanatabia ya kubadkika
@fidemgonja1966
@fidemgonja1966 8 ай бұрын
Ila haya maelekezo ya kwenye majukwaa hayazingatiwi wakidai niyakisiasa
@victordanistan7470
@victordanistan7470 8 ай бұрын
Aiseeeee...
@user-kh4vd9jw2s
@user-kh4vd9jw2s 8 ай бұрын
Bado hujasema..😂😂
@swalehemchora3167
@swalehemchora3167 8 ай бұрын
Kila la kheri ❤❤
@ustawiwetu
@ustawiwetu 8 ай бұрын
Huyo ni Kiongozi wq chama, kwanjni anajikweza kama kiongozi wa Serikali. Kuwe na mipaka. Makonda hatakiwi kutoa maelekezo yeyote kwa wafanyakazi wa Serikali. Atambue mipaka yake
@BenderaRulenge-er7wx
@BenderaRulenge-er7wx 8 ай бұрын
Mmmmh.kwahiyo wakivunja sheria wawache au?.kila kiongozi ni kambale baba shurubu watoto shurubu!
@user-ch2xi5zm8y
@user-ch2xi5zm8y 8 ай бұрын
Sana baba
@floramarinyo3517
@floramarinyo3517 8 ай бұрын
Kazi iendelee Sasa ndo hiii ,kwishaaa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 ай бұрын
Huyo ndo MAKONDA the 2nd JPM
@mohamedmwinjuma
@mohamedmwinjuma 8 ай бұрын
Huyu ndo anaweza kuvaa viatu vya magufuli
@user-fy9lo9bw7p
@user-fy9lo9bw7p 8 ай бұрын
Kazi ipoo
@merinankullua5874
@merinankullua5874 8 ай бұрын
Mmmmh ,hii ndio Tanzania .
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o 8 ай бұрын
Hi bwana Makinda muenszi tattizo la nchi ni umemd wa mgao hali ni ngumu sana solution ni umeme wa bwawa l a nyerere
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 8 ай бұрын
Kisheria sio sahihi makonda kumpa maelekezo police direct namna hiyo lkn hao police wenyewe wengine wapo wapo tu hawajui hata hizo sheria nilishawahi kumwona police ktk mitandao ameishika ilani ya CCM na kijinasbisha nayo so tuseme tu police wanatumikia hawa watu Alitakiwa tu kutoa ushaur kma Mzee Kinana aliposema traffic police wapunguzwe barabarani kupitia Wazir anaehusika lkn kumpa maelekezo police haipo sawa yeye sio mtumishi wa umma ni mtumishi wa chama cha siasa
@Abdul-zx9vn
@Abdul-zx9vn 8 ай бұрын
Elezea ametumwa na rais
@Avit_khan
@Avit_khan 8 ай бұрын
Meza wembe
@suleimansalym7537
@suleimansalym7537 8 ай бұрын
@@Avit_khan Wewe ndo meza wembe maana sijaongea hayo labda ukadhani nimeongea kwa chuki maelezo aliyotoa Makonda kwa police ni msaada mkubwa sana kwa wananchi sisi tumeongea sheria Sasa inaonekana ww ndo umeumia Sasa ww ndo wakumeza wembe kma yamekuuma lkn ndo ukweli na ukweli unauma sio😂😂😂😂😂😂
@jonasmyala1268
@jonasmyala1268 8 ай бұрын
Bongo fikra zetu zimeegemea kwenye nani hatakiwi kumwambia kitu nani...nani yupo juu au chini ya nani. Kwa kifupi tunawaza kuvimbiana TU. Lakini ukweli ni kwamba kila mtu hata awe na cheo gani unayohaki ya kumpa maoni, mawazo na hata maelekezo muhimu usivunje Sheria. Hajakosea mahali huyo jamaa. Hebu tulegeze fuvu mambo yawe yanaenda na sio kuwa negative kwenye kila kitu
@jonasmyala1268
@jonasmyala1268 8 ай бұрын
Lakini unaweza kutusaidia hicho kifungu cha sheria pia ili tuelimike.
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 8 ай бұрын
Umeongea ukweli mh
@uwembatvonline
@uwembatvonline 8 ай бұрын
Sasa 0CD unakubali vip kuitwa na mtu sio wa Serikali 😅😅et njoo hapa na yeye anaenda kabisa, mwambie pita hivi
@getrudainolelo9992
@getrudainolelo9992 8 ай бұрын
Majukum ya katib wa chama jamn
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 8 ай бұрын
Unamaanisha kweli! Hao mnaotaka kuwavunja miguu wanaichi wa nani!
@user-yz8nh4px5v
@user-yz8nh4px5v 8 ай бұрын
Sisi hapa oyeeeee
@user-sl2hk8wp1p
@user-sl2hk8wp1p 8 ай бұрын
Tatizo sio kukamatwa jee wanajua sheria za barabaarani bodaboda wengi wao wanaendesha hawana leseni mulikuwa muwaekee shule km wanavojifundisha magari lkn km kila 1 ajifunidishe vichochoroni kisha aingie barabarani mutawaonea bure asikari
@shebbyelphonce8514
@shebbyelphonce8514 8 ай бұрын
We like you brother akuna kamata kamata kwa boda boda ad raha nasisi boda tuwe wastaarabu sasa
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 8 ай бұрын
huyu Yuko na jukumu gani Kwa serikali ya mama Samia??? ,,wakati WA magufuli alikuwa mkuu WA mkoa
@costasendama113
@costasendama113 8 ай бұрын
OCD siyo mtumishi wa C.C.M, unamlaka gani ya kumhoji namna hiyo . Shida nchi yetu huwezi kutofautisha kati ya chama na serikali, hata kama chama kiko madarakani haimaanishi kuwa viongozi wote wa chama wana mamlaka na waajiliwa wa Serikali.
@nabosedward4836
@nabosedward4836 8 ай бұрын
Serikali ya ccm ndo wanaongoza nchi kwahiyo katibu mwenezi anauwezo wa kumhoji mpaka waziri
@ramsonhudson4013
@ramsonhudson4013 8 ай бұрын
Ukienda ofisini kwa IGP Leo utakuta Ilani ya CCM ndiyo ujue CCM iko Hadi kila mahali
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 8 ай бұрын
SERIKALI YA CCM INAMAMLAKA MPAKA VYOMBO YA SHERIA NA UJUE KUWA CCM NDYO FINAL SAY
@ibrahimubakarisuhuzwa4737
@ibrahimubakarisuhuzwa4737 8 ай бұрын
@@nabosedward4836 halafu ajuwe kwamba makonda ametumwa na raisi afanye hayo
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 8 ай бұрын
We hujui kitu kabisa
@allythabiti8150
@allythabiti8150 8 ай бұрын
Makonda kazi Kazi
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 8 ай бұрын
NCHI YETU NI KAMA NCHI YA KUSADIKIKA KTK RIWAYA FURANI NILIYOWAHI KUISOMA!
@butotanto
@butotanto 8 ай бұрын
Serikali ni tofauti na chama, huyu mi mfanyakazi wa chama na siyo serikali. huu ni upumbavu
@butotanto
@butotanto 8 ай бұрын
Makonda ni mfanyakazi wa chama na siyo serikali. serikali ni muhimili unaojitegemea
@user-tn3cv9eg9l
@user-tn3cv9eg9l 8 ай бұрын
Kweli umejifunza
@mrjeyjamal6288
@mrjeyjamal6288 8 ай бұрын
He supposed to be prime minister
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 8 ай бұрын
Huyu jamaa mwamba sana
@user-ok3ws8jl2s
@user-ok3ws8jl2s 8 ай бұрын
Mwaka huu tutayaona mengi magu mwenyewe sikuwahi ona akifanya haya kwa kweli
@fristonactary1371
@fristonactary1371 8 ай бұрын
M kuniambia Makonda Cheo alichopewa Huko ccm Ndy CHEO Chake Nakataa!,,Polepole Cjawai kumuona Anaongea Kwa Ujasir Kama Hivi😂😂😂 kuna kingine Anajivunia huyu,,
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 3,5 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН