USIKU MNENE MADEREVA WAFURIKA VITUO VYA MAFUTA, KUPANDA BEI MAFUTA "ABIRIA WATAKATAA"

  Рет қаралды 9,535

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 13
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 2 жыл бұрын
Tununue mafuta Urusi kama India,kwanini tuingie mgogoro ambao hautuhusu?wakati Wanaogombana ni matajili,tena wazungu sio Waafrika,alafu masikini,eti unamtetea tajili,🤔🙄
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 жыл бұрын
Haswaa Tena serekali ilisema haiegemei upande wowote wa Vita hii
@popiya2368
@popiya2368 2 жыл бұрын
Mnh jamani haya maisha tunaenda wapi dha
@yusufm1
@yusufm1 2 жыл бұрын
Kwa hyo yani ukijaza kabla hayajapanda bei ni kwamba yataganda kwenye tank ama? Tz bhanahh
@Happydaysworld
@Happydaysworld 2 жыл бұрын
Stupid people that's why
@tusajigwemathias9185
@tusajigwemathias9185 2 жыл бұрын
Yatapita amiin
@wilbartwilliam
@wilbartwilliam 2 жыл бұрын
Hakuna cha urusi wala ukran wananasiasa wanatwambia Tanzania ina lasilimali nyingi mpaka mafuta sasa inakuwaje Hali inakuwa ivi kinachofata nijiudhuru tu Amna jinsi.
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 2 жыл бұрын
Kufa kufaana,India wamekuwa wajanja wamepata mafuta bei chee wanachekerea,nasisi tufanye hivo, tuutumie huo mwanya kufaidika wao wanavyo anzisha vita kwa waarabu alafu wanawaibia mafua,sisi tunachekerea hatuzemi,sasa ni zamu yao nisiye tufaidike,tusiwe wajinga.
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Litapita2
@ayubukaaya4576
@ayubukaaya4576 2 жыл бұрын
Waache visingizio visivyo na msingi
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 2 жыл бұрын
Nchi ngumu sana hii
@saidpazi6620
@saidpazi6620 2 жыл бұрын
HIVI KWANI MAFUTA SS SIKUZOTE TUNANUNUA WAPI. JAMANI NARUDIA WATANZANIA HIPO SIKU WATACHOKA HIVO
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 2 жыл бұрын
Sisi Tanzania tunanunua mafuta kwenye nchi zenye mgogoro tu, na si nchi zilizo na amani
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
The Evil Design of Japan's Death Penalty
9:54
Hoog
Рет қаралды 1,7 МЛН
Top U.S. & World Headlines - July 24, 2024
9:22
Democracy Now!
Рет қаралды 166 М.
RAILA ATAIBIWA AU- AFANYA HANDSHAKE || OMOSH JAKA BABA 1 HOUR
11:20
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 1,9 М.
Ruto forced by Gen Z to make a Short Speech in Church today at Taita Taveta
4:39
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН