USIKU WA VITASA | Hizi hapa 'show' za Mandonga na Shaban Kaoneka - 30/07/2022

  Рет қаралды 708,575

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 2 жыл бұрын
Big up mandonga japo umepigwa lkn kwa yale majigambo yko umefany tufatilie mpambano naamin siku utakayo Mdondosha mtu mashabiki wako tutafurahi sana 💪🏿💪🏿💪🏿
@roselinasandi6509
@roselinasandi6509 2 жыл бұрын
Mandonga mtu kazi
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 2 жыл бұрын
Mandonga ameshakuwa brand tayari
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 2 жыл бұрын
Daah huyu mwamba kweli muonekano wake na kazi yake ni tofauti kabisa,,
@abelmsachi1943
@abelmsachi1943 2 жыл бұрын
Hahahahahahahaha..... Housing ya Simba ndani kondoo
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 2 жыл бұрын
Mandonga deserved reverence for being ambitious and courageous. #Mtukazi 🥊🥊🥊
@yahayabihoga1890
@yahayabihoga1890 2 жыл бұрын
Watanzania tunapendaga Vitu vya Hovyo 😄😄 tunampenda tu Mandonga hata akipigwa
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 2 жыл бұрын
Shida tunapenda tambo za mandonga
@husnamiraj9252
@husnamiraj9252 2 жыл бұрын
Mi nampenda mandonga jomon tena haswa akipgwe ndio nampenda zaid😂
@rattydelilah162
@rattydelilah162 2 жыл бұрын
Sijawai kuangalia highlight za ngumi...nipo hapa kwaajili y mandonga😂😂...endeleza domo ili huu mchezo upate watazamaji.😂😂 #domo linasadia kuweka mvuto wa boxing 👍
@richardmbugi2746
@richardmbugi2746 2 жыл бұрын
Tatizo la mandonga anaingia uwanjani kashakunywa pombe,apate mshauri aache kilevi,na awe seriously kama anahitaji kweli kufanikiwa na kupata kocha mzur kuzingatia mazoezi ya kila aina
@Ram_1893
@Ram_1893 2 жыл бұрын
Mwamba kajitahidi sana Kafika raundi ya nne 🙌🙌🙌
@Kingkongchuma
@Kingkongchuma 2 жыл бұрын
Huyu Mandoga Yuko na experience sana amejipiga mwenyewe zowezi hakufanya ya kutosha ame kata pumzi mapema na speed yake iko chini but anajua kurusha punches
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 2 жыл бұрын
Kumbe alijitahid sana mandonga
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 жыл бұрын
Mandoka maneno mengi sana Mwenzake hakuwa na maneno mengi alikuwa anajuwa kujipnga
@waliobakezeta4873
@waliobakezeta4873 2 жыл бұрын
Mandonga watanzania tunakuukubali japo umeshindwa pamabana utuheshimishe
@khalidsoud235
@khalidsoud235 2 жыл бұрын
Politics za boxing mbaya sana. After first knockout refa alipaswa ampe time ya kurecover coz alipigwa ngumi ya Haramu. Mondonga anahitaji mafunzo tu kidogo then his good to go trust me
@anthonygitau9772
@anthonygitau9772 Жыл бұрын
Big up Shaban Kauneka
@sajidaalqubaisi3018
@sajidaalqubaisi3018 2 жыл бұрын
Yuko vizur mandongaa..na nidhamu ya mchezo wanavyo...🌹🌹😘😘😍😍
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Mandonga, kama Mandonga, sipendagi ngumi ila kwa jina lako na mbwembwe imenibidi niangallie hii. Pole Mandonga🤣🤣🤣
@zachariakibah2002
@zachariakibah2002 2 жыл бұрын
Karim mandonga nakubali sana beat lake tu unaeza ghairi mech😁😁😄😄👏
@dicksonchambo1896
@dicksonchambo1896 2 жыл бұрын
Mandonga UMETISHA UPO vizuri.
@kenethhenry3613
@kenethhenry3613 2 жыл бұрын
Ila mandonga kwa kweli
@universitylink
@universitylink 2 жыл бұрын
Mandonga anajua boxing ila hana stamina nzuri ya miguu, pili anakuwa kama vile ana msongo wa mawazo iliyosababishwa kukosa kupumzika vizuri, anatakiwa awe anafanya masaji ya mwili mzima siku moja kabla ya fight na apumzike tu bila kufanya zoezi lofoten, yawezekana anachoka sana na misuli iko tight
@allybakari8558
@allybakari8558 2 жыл бұрын
Mandonga hajui boxing completely
@HamicKauno255
@HamicKauno255 2 жыл бұрын
Ndonga Mtu kazi 💪💪💪
@tonymaster3619
@tonymaster3619 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hp3EZ5ZrjKyiqqM🤣
@ibnmoses979
@ibnmoses979 2 жыл бұрын
Mnachelewa ku post mpaka walio copy imetrend mpaka namba moja
@robinsonmwambegu2797
@robinsonmwambegu2797 2 жыл бұрын
Kwa mtazamo TU mandonga anakaa mlevi macho yake niyamtu amechoka napombe sana ukilinganisha na mpinzani wake anakaa macho kavu
@Nyanda506
@Nyanda506 2 жыл бұрын
Mpaka afe tupo naye tu 😀😀😀😀😀
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Shaban kaoneka,Mwakinyo,Dula mbabe,Seleman kidunda,Twaha kiduku these are among of the best boxer in Tz so Kenya's don't think we have only mandonga mtu kazi😂
@waleedbinali3211
@waleedbinali3211 Жыл бұрын
We are Kenyans not kenya's
@issabaruani4433
@issabaruani4433 2 жыл бұрын
Ipo siku tutamuamini mandonga😁😁😁😁😁😁😁
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 2 жыл бұрын
Unajuwa majigambo yke mandonga ameleta ladha mi namkubali sana kwa yale maneno yke binafs ndo alonishawish niangalie mpambano huu
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
The match that made Mandonga most famous
@yotehapatv7705
@yotehapatv7705 2 жыл бұрын
Azam first my favorite
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Madonga abadili technical bench..bado ni boxer mzuri
@josephatybennedictor5396
@josephatybennedictor5396 2 жыл бұрын
Mandonga brow unaweza game Tena xna!!!
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 2 жыл бұрын
Mandonga Chali tu ata mkono unatoka kama apapasa mtoto mchanga alafu anajisifu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊mandonga jikaze
@salhaayubu6027
@salhaayubu6027 2 жыл бұрын
Mandonga mwanangu sana 😅😅
@iddymalima1952
@iddymalima1952 2 жыл бұрын
kaoneka safi sana baba
@uswegehamza5968
@uswegehamza5968 2 жыл бұрын
imani yangu bado ipo Kwa mandonga kunasiku mandonga atakuja kuua mtu.
@allynassoro2080
@allynassoro2080 2 жыл бұрын
Karimu mandonga comedy sana
@nuruzebedayo7067
@nuruzebedayo7067 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@momojr9749
@momojr9749 2 жыл бұрын
Mandonga ana ongea sana ngumi hawezi 🤣
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 жыл бұрын
Bado shabiki wa man ndonga
@MM-ew5ut
@MM-ew5ut 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂This guy's funny hope he fights in Kenya soon
@nimahnoizy8068
@nimahnoizy8068 2 жыл бұрын
Fala Sana mandonga jicho gani Hilo😂😂😂🙏
@JKQGAME
@JKQGAME 2 жыл бұрын
Kufufu alikuwa anakiita jicho kumchuzi
@chrispinchristopher5883
@chrispinchristopher5883 2 жыл бұрын
Kwanza mandonga anajisahau sana kujilinda yaani haweki guard kabisa
@ramadhanmadebe9631
@ramadhanmadebe9631 2 жыл бұрын
Wasuuzane vizuri
@allexmathias3593
@allexmathias3593 2 жыл бұрын
Mandonga bondia mzuri.
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 2 жыл бұрын
Mh bia tamuuuuu 🥰🥰🥰
@emmanuelmika7402
@emmanuelmika7402 2 жыл бұрын
Mandonga afanye mazoezi ya miguu na atafute pressure bila hivyo itakuwa ngumu sana kwake
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
Mandonga akicheza ,inakua ni kama Comedy show AKA cheka tu
@egnonemes7008
@egnonemes7008 2 жыл бұрын
Pia coach apate mzuri
@waliobakezeta4873
@waliobakezeta4873 2 жыл бұрын
Mandonga ajengewe sanamu mdomo unatoa hamasa
@shaneshane4175
@shaneshane4175 2 жыл бұрын
Kipigo cha kujitakia watoto wadogo dam zina chemka vipi ujiingize kinyumenyume sasa kipigo have 🤣🤣👌
@luthermbio1865
@luthermbio1865 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Mm narudia rudia2 pale kwny sura ya mandonga ya hatua mwisho mpka anaangalia mashabiki zake Kwa huruma dah,,nikirudia bas mm hoi
@fatumasalumu2869
@fatumasalumu2869 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@muhamadtoya3455
@muhamadtoya3455 2 жыл бұрын
Mashabiki mlikosa huruma😂😂😂😂😂😂😂
@tonymaster3619
@tonymaster3619 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hp3EZ5ZrjKyiqqM✍️
@vanslausvv3699
@vanslausvv3699 2 жыл бұрын
Dakika 12:17 nmecheka mno anavyotembea😂😂😂😂
@egnonemes7008
@egnonemes7008 2 жыл бұрын
Mandonga akiacha kumwagilia moyo wakati wa kuenda kupambana ni mtu kazi kweli. Shida anamwagilia moyo ndo anaingia ulingoni
@nuruzebedayo7067
@nuruzebedayo7067 2 жыл бұрын
Jamaniii namkubali sana madonga asinge kunywa pombe
@egnonemes7008
@egnonemes7008 2 жыл бұрын
@@nuruzebedayo7067 yuko vizuri tu
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😁😅😁😁😁😁😁
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Huu Mchezo Atakuja kuzirai mtu Ulingoni na Kuingia Kwenye Mtumbwi Wa Vibwengo😂😂😂😂
@stevensimbey182
@stevensimbey182 2 жыл бұрын
Me nipo tofauti xana na nawatu wengine kusema ukweli kwanza mandonga no mtu mwenye mvuto kwa watu na ni mtu mwenye umshawishi xana kwa mashabaki wengi na azam tv pamoja na maporomota wa pambano hili same nufaika na uyo mandonga coz mapato makubwa mlangon ni kwaajir ya mandonga,niseme kweli hu ni mchezo jasho xana tusione kupotza hilo pambano co kwamba amafeli tukumbike na mema yake kwenye ndondi ame lete kod kwenye hi nchi
@aziarahomary351
@aziarahomary351 2 жыл бұрын
Kweli kabisa isingekua mandonga mm ningeangalia bayern na leipzig tu
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 2 жыл бұрын
Mandonga hana akili ya mchezo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣analeta ugomvi wa mtaani
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
😂😂apigani kwa akili anapigana Kama anavyoongeaa kwenyeee camera
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 2 жыл бұрын
@@salim02tv24 eti bado ana game na mkongo nyie nyie hapo kwanza nicheke 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kondohamis9685
@kondohamis9685 2 жыл бұрын
Duuuu uyu kaoneka hatariiiiiiii saaaaanaaaa
@allymwazoa8750
@allymwazoa8750 2 жыл бұрын
Ngumi mbili za faulu ndio zilizomtoa mandonga mchezoni.Alafu lilivyoanzishwa pambano nao ni msiba mkubwa.ila mandonga ni mtu sports sana.hajalalamika wala nini.kakubali kua kapoteza ili maisha yaendelee
@DonaldJulian
@DonaldJulian 2 жыл бұрын
Mandonga, "big hat,no cattle!"😂
@KidotiTwiga
@KidotiTwiga 2 жыл бұрын
Nina stress za simba ila nmekuja huku walah nmecheka kwa saut ucku huu😂🙌
@cpatemmanuelmmary2006
@cpatemmanuelmmary2006 2 жыл бұрын
Mandonga Hana pumzi
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 жыл бұрын
Mandonga raundi ya kwanza ulicheza vizuri...Uwe unacheza hivyo...Usiwe unajishau ku guard ...kutokujilinda ndio tatizo lako...Halaf acha mapambano ya mchongo Kama la Sensa na la Kigoma utapoteza mvuto ...Piga ngumi usikabali watu wakuandalie mapambano ya mchongo washabiki watakosa mzuka
@donaldsteven731
@donaldsteven731 2 жыл бұрын
Bangi mbaya sana
@denismassey8919
@denismassey8919 2 жыл бұрын
Boys kabigwa kizembe
@fadhilikalinga5998
@fadhilikalinga5998 2 жыл бұрын
Naomba pambano na mandonga😂😂😂😂😂
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 2 жыл бұрын
Mandonga awe anapimwa ulevi kabla ya pambano
@miyagitz7131
@miyagitz7131 2 жыл бұрын
Kachezewa fau
@Best_tz
@Best_tz 2 жыл бұрын
🔥 🔥
@alexndimbo4016
@alexndimbo4016 2 жыл бұрын
OK ndgu pamja
@jeremiadaniel523
@jeremiadaniel523 2 жыл бұрын
Mandonga hata wampige mandonga atabaki kuwa mshikaji wangu wa nguvu....!!!hata mninyonge maana anifurahishaga sana!!! Maana mwalimu alikuwa anatumiaga virse versa is true sikuelewa anamaanisha nini!! Leo naiona kupitia mandonga maneno tofauti vitendo tofauti hahahahaaa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 Жыл бұрын
Madonga ni mtu kazi mm napenda Ile kauli yake yani ukinipiga nimekupiga nanikikupiga nimekupiga tu huyu ni Simba
@anethzephulin2064
@anethzephulin2064 2 жыл бұрын
Mtu yupo chini Bado anapigwa sijapenda wamekuonea mandonga
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Sijapenda maneno ya refa hutakiwi kusema hivyo unatakiwa kutaja sheria za ulingoni
@naimaally6719
@naimaally6719 2 жыл бұрын
Very unprofessional😂
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
@@naimaally6719 ndio hii inakuwaga sana hapa kwetu daaaa sijui kwann hii!!!
@queendangote2248
@queendangote2248 2 жыл бұрын
Namwelewa uyo mwamba
@mirajitoba3210
@mirajitoba3210 2 жыл бұрын
Mtangazaji lkn hunamchukulia poa mandoga
@ahmadnyidad2050
@ahmadnyidad2050 2 жыл бұрын
Yaaani kumbe Yale manenoo yotee ya mandonga ilikua MKWARAA TU!!!!
@ambelemwaitebele6131
@ambelemwaitebele6131 2 жыл бұрын
Kabonika hoye hoye
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 жыл бұрын
Ubondia mwachieni wakina mwakinyo 😂 Mandoga miguu imekuaje tena.
@JahSonPK
@JahSonPK 2 жыл бұрын
😂😂😂😅mwakinyo
@businesstanzania
@businesstanzania 2 жыл бұрын
Bongo Zetu Ngoma Na Miuno Tu, Mtu Yupo Chini Bado Anapigwa Na Refa Anaendeleza Mchezo😬
@rukia5286
@rukia5286 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 mtu kaziiii
@zerobudgetemcee8363
@zerobudgetemcee8363 2 жыл бұрын
😂😂😅😅😅😂
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Mandonga 😄😄😄👋
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
Mtu kaz
@georgymahi149
@georgymahi149 2 жыл бұрын
kwa nini refa hakusema "protect yourself at all times"
@stewartmnenwa3250
@stewartmnenwa3250 2 жыл бұрын
Ipo gud hyo cana2
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 2 жыл бұрын
Yaani nimetoka darkuangalia ngumu nimekutana na ujinga
@mumaheza151
@mumaheza151 2 жыл бұрын
Hatare
@tonymaster3619
@tonymaster3619 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hp3EZ5ZrjKyiqqM🤣
@yousirsports7482
@yousirsports7482 2 жыл бұрын
sasa azam tuleteen Christopher magambo na shaban kaoneka wote wamempiga mandonga kwa ko tuone vitu
@nelsonkasambala6849
@nelsonkasambala6849 2 жыл бұрын
Ngumu ni technic plus tactics.
@alexndimbo4016
@alexndimbo4016 2 жыл бұрын
Ngoja tuendelee kumwanga lia atakapo kua anatangaza
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 2 жыл бұрын
Mandonga kaanza vizuri Ila Miguu imemsaliti
@josephnkango1905
@josephnkango1905 2 жыл бұрын
Mandonga mtu kaz
@stevenhassan269
@stevenhassan269 2 жыл бұрын
Mandonga
@evancekisambo1995
@evancekisambo1995 2 жыл бұрын
Asili aipotei
@harunaemanuely6526
@harunaemanuely6526 2 жыл бұрын
Dahh jamaa kaanza vizurii
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Tangu lini mlevi akawa mpiganaji
@salhaayubu6027
@salhaayubu6027 2 жыл бұрын
Jaman sio mlevi mandonga mwanangu sana 😅😅
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 жыл бұрын
Ila huyo kijana kashinda sema watu wanampenda madonga kwa mbwembwe zake
@aliabdallah8908
@aliabdallah8908 2 жыл бұрын
Mtumbwi wa vibwwngo kaingia mwnyewe😂😂😂
@mumaheza151
@mumaheza151 2 жыл бұрын
Mandonga anakila sifa ya boxer tatz ni mazoezi y stamina bado ila niamini ni mzure mzuri mzur waulizen walimu wa ngumi watawapa majibu
@tonymaster3619
@tonymaster3619 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hp3EZ5ZrjKyiqqM🤣
@sajidaalqubaisi3018
@sajidaalqubaisi3018 2 жыл бұрын
Yko vizur kimechezooo kindongo yuko vizur..Hanoi akiendelea ma zoez ni mtu hatariiii
@wizjunior8689
@wizjunior8689 2 жыл бұрын
Mandonga choko tu
@josephallamano6335
@josephallamano6335 2 жыл бұрын
Weeeh😂🤣hizo ngumi alizipokea Kwa ujasiri mkubwa mno
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Mandonga mtu kazi 😂🤣
@christinaagostino4257
@christinaagostino4257 2 жыл бұрын
Mandonga😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁hoi
@HD_mark
@HD_mark 2 жыл бұрын
Hapo 12:38 anapoangalia mafans ni kama anataka kuomba ushauri 😁😭
@alidingongo443
@alidingongo443 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂anaomba sub
@HD_mark
@HD_mark 2 жыл бұрын
@@alidingongo443 au pengine alikua anatafuta ruti ya kutokea😁
@alidingongo443
@alidingongo443 2 жыл бұрын
@@HD_mark chezea masumbwi we kila akitazama anaona vibwengo tu 😂😂😂😂😂
@HD_mark
@HD_mark 2 жыл бұрын
@@alidingongo443 maanina🤣
@alidingongo443
@alidingongo443 2 жыл бұрын
@@HD_mark 😂😂😂😂😂😂
@ligobetjoji2862
@ligobetjoji2862 2 жыл бұрын
Huyu mwamba hajapata coach mzur
@johnngongi4810
@johnngongi4810 2 жыл бұрын
Fact broh bado anapaswa atrain saaana!!
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 2 жыл бұрын
Huyu Kaoneka kwel mzoefu halafu cjui ni mm peke yangu ninaemuona kafanana kama Tyson
@mlyuka-p6q
@mlyuka-p6q 2 жыл бұрын
Sem a amekosa mwili tu wanafanana sana
@emmanuelimani4732
@emmanuelimani4732 2 жыл бұрын
Morogoro ni noomaaaaaa
@hassansammy1076
@hassansammy1076 2 жыл бұрын
Mandonga oyoooo😂😂😂😂😂😂
FULL FIGHT: FRANK SHAGEMBE VS ASEMAHLE WELLEM
26:05
MafiaOnlineTv
Рет қаралды 55 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
MANDONGA HUMWAMBII KITU KUHUSU WEMA SEPETU | BIG SUNDAY LIVE
8:01
Wasafi Media
Рет қаралды 718 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 84 МЛН
MVUVI NA MSOMI
7:21
Joti TV
Рет қаралды 1,6 МЛН
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03
Spartacus-Crixus vs Theokoles best fight scene
8:16
Clips Adda
Рет қаралды 4,6 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 10 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН