USIKUBALI IKUPITE HII, BAJAJI Bei SAWA na BURE, Tazama HAPA UJUE UTAIPATAJE...

  Рет қаралды 20,725

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

USIKUBALI IKUPITE HII, BAJAJI Bei SAWA na BURE, Tazama HAPA UJUE UTAIPATAJE...
KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED
inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM AUTO, Jumamosi hii ya Machi 13, 2020 kuanzia saa 4 asubuhi tutauza Bajaji hizo.
Ukaguzi wa Bajaji hizi utafanyika Alhamisi na Ijumaa kuanzia saa 3:00 asubuhi - 10:00 jioni katika ofisi za SunBeam zilizopo Barabara ya Nyerere karibu na SIDO, Dar es Salaam.
MASHARTI YA MNADA
1. Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa papo hapo asilimia 25 ya bei itakatokuwa imefikiwa, na asilimia 75 nyingine atalipa ndani ya siku saba kuanzia siku ya mnada na akishindwa kulipa mnada utarusidiwa na pesa aliyolipa awali haitarudiswha.
2. Mnunuzi atalazimika kuondosha Bajaji aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu.
3. Gharama zote za kutoa Bajaji alizonunua ni za mteja mwenyewe.
4. Bajaji itauzwa kama ilivyo na ukiharibu haitarudishwa
5. Kwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo RITA Tower, Posta jijini Dar es Salaaam au piga simu namba 0715683777 au 0716535221 au 0717593890 au 0713076161
Nyote mnakaribiahwa!

Пікірлер: 18
@wandishaomani8392
@wandishaomani8392 3 жыл бұрын
Mbona bei hamtaji👌😏
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Si mtaje na bei watu tujue
@KelvinAmos-ow7pf
@KelvinAmos-ow7pf 4 ай бұрын
Good
@robykigehe1980
@robykigehe1980 3 жыл бұрын
Mbona hamtaji Bei au kila moja na Bei yake pia Kama za zaman so mopyaa
@jorudukani9319
@jorudukani9319 2 жыл бұрын
Uchafu mbovu sana tunataka TVs king
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Msiuziwe mbuziiii kwenye gunia WEKA milioni yako benk
@mbonileslie5673
@mbonileslie5673 2 жыл бұрын
sawa
@JeremiahWilliam-d6d
@JeremiahWilliam-d6d 11 ай бұрын
What time are they good night
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
BIGGES NASRI TV
@jokhakassim9335
@jokhakassim9335 2 жыл бұрын
Bei gani
@gavethhans5242
@gavethhans5242 3 жыл бұрын
Mambovu sana
@siryklyubov7989
@siryklyubov7989 3 жыл бұрын
bei gani?22.07.21.
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 3 жыл бұрын
Kwa hizo4 , itafika wakat mpaka m1
@jorudukani9319
@jorudukani9319 2 жыл бұрын
Mbona mpka 300000
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
bado zpo
@izackkatema5689
@izackkatema5689 3 жыл бұрын
Bado zipo
@malisanikodemas5257
@malisanikodemas5257 2 жыл бұрын
Munabawapikipki
@masudially2154
@masudially2154 3 жыл бұрын
Vimeo😂
19 September 2024
3:10
Chimwala Alex
Рет қаралды 3
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 21 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 28 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
SIJAWAHI Ona BAJAJI Inauzwa BEI RAHISI Kama HIZI, BEI Kama Bure....!
4:15
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 108 М.
MADARAJA YA LESENI ZA UDEREVA
9:24
LatraTV
Рет қаралды 93 М.