Hongera sana ndugu yangu kwa kufikiya ndoto yako, ni wachache watakao kupongeza, naona wengine ni kukuponda pahali ya kukupongeza, nasema tena Hongera kwa kazi nzuri, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Gar mkomao sanaaa big up Sana 💪 kwake kwishaaaaaaa anamfaa Sana masd kipanya waendeleze kampuni
@dennisevarist Жыл бұрын
Gari nzuri ila kuna makosa makubwa sana mwenye gari hajui kuielezea gari yake ilikuwa njema sana kama mngeenda kwa huyo Bosco mwenyewe mkiwa na hiyo gari ndio aielezee maana huyu mmiliki anaongea sana kujisifia kusifia gari pasipo kugusia features za gari yake na kosa lingine kubwa ni la camera man hajui kushoot alikuwa busy kumshoot mwenye gari badala ya gari yenyewe na vitu anavyovitaja muhusika.
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
Sawa ni Gari nzuri sana bro,umeikosea sana umeinyima haki yake kuifanya auto badala ya manual
@mwami_the_don_ Жыл бұрын
Atutaki shida
@evancesolomon4544 Жыл бұрын
Ni kweli mkuu
@nickmoshi824311 ай бұрын
Kweli kabisa
@bigshallythedj67311 ай бұрын
Walai
@ZAMB33411 ай бұрын
Nunua yako😂
@antonymwita6078 Жыл бұрын
Amejielezea yeye binafsi kuliko kuielezea gari yenyewe.. Kamera man ametupiga maana hata ndani ya gari hatujaona hizo tv . Kama Ni advertisement mngetafta mtu anayejuw magari vzuri akaelezea gari cyo mmiliki wa gari maana cyo professional yake. Content nzuri lkn fanyeni maboresho katika uwasilishaji wa content.. content Ni nzuri sanaa I appreciate but imewasilishaa kwa kiwango Cha chini🇺🇸🇺🇸
@BenedictMatete Жыл бұрын
Milard kijana wako wa arusha anajituma sana pamoja sana
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
MZEE HAWEZI KUJIELEZA KABISA YANI NA KUELEZEA GARI YAKE BADALA YAKE NIKAMA INABIDI MTU UJIELEZEE MWENYEWE KWA ULICHOKIONA
@mathanikibuti6676 Жыл бұрын
Anae watambua au kuwa juwa vizuri #GTPtz #OTAKU MAP,plz like pale ❤❤
@itNeza Жыл бұрын
Sasa Cameraman Kweli Umetupiga. 😢😢😢😢
@johanesnixon5473 Жыл бұрын
Ange tuwekea after and before
@jumalihumbo5314 Жыл бұрын
One day yes ntamilik land rover km ii😊❤
@harrisonkinuthia375411 ай бұрын
Land rover defender best 4x4 off-road machine in history. Manufactured since 1948 till now.
@bagengift348811 ай бұрын
Leo interview yenu sijaelewa kabisa🤌
@isacklukinda6054 Жыл бұрын
Tatizo jamaa sifa zinazidi kuliko maelezo ya kawaida, mhaya nini huyu mwamba.
@MabulamalembekaMoris Жыл бұрын
😂😂😂 we umeleta story mpya
@anwaryabdallah7782 Жыл бұрын
@@MabulamalembekaMoris😂😂😂
@Oscarokran8133 Жыл бұрын
Kina lambat pia wahaya😂
@katabaroonlinetv968811 ай бұрын
Weee shika adabu muha huyo wa mwanga
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
Kigoma😮 aaah kumbe familia
@MusaMollely11 ай бұрын
Ongera sana brother
@user-go5wb2pi2i11 ай бұрын
❤am coming kupanda
@juliuskivuyo527110 ай бұрын
Kazi nzuri kwake mwamba ila bhana kuna makosa sana hapo Mengi moja kujieleza tatizo pili camera man akapimwe mkojo bado sana
@thebushguy5774 Жыл бұрын
Ingekua nyeusi ingekua unyma sanaa
@deogratiasshija589711 ай бұрын
Guud...
@gastonamnon700511 ай бұрын
GARI KWA NDANI HATUJAIONA VZR KWA NDANI ...CAMERA MAN UNACHEKA CHEKA TUU KAMA KUKU UMESAHAU KAZ YAKO
@vandelinaugust43729 ай бұрын
Uyu cameraman alkua bang uyu
@jumakassim53519 ай бұрын
Mzee anapenda tv😂😂
@M_tika11 ай бұрын
Kwani ni taarifa ya habari? Camera zungusha kwenye gari ngani nje nyuma mbele pembeni tuone hizo unique features 😰
@daluckyFinancialServices Жыл бұрын
Dadekiii engine 4.0 😢😢😢 inapepeeusha hiyo gari
@brianngowi447411 ай бұрын
Ulie andaa hii umezingua Ulipaswa umshike maic yeye ndio akuonyeshe hiki ni hiki na kile ni kile cameraman naww miyayusho
@georgevalilanga7412 Жыл бұрын
Mwanga majenga una wafahamu wakina gazi Buti
@kilimanjarobrothersclimbin752011 ай бұрын
Kidogo ameguzia kuwa Gari in Taa zenye mwanga mkali, sijaelewa ni za nini tena barabarani au ni kwa ajili ya night game drive porini?
@ahmedadan217710 ай бұрын
Too much unnecessary talks, Well built.
@nasibusaid416111 ай бұрын
Amesema kibachoendelea ndani ya cabin na nyuma ni same same na AC nyuma inafika?
@jamespk1154 Жыл бұрын
hatari sana hiyo mashine
@collinsstanley612610 ай бұрын
Camera man jau sana
@teachingtruthmission214011 ай бұрын
Baaadae mtaona hapo awali
@idreamfoto11 ай бұрын
Jamaa Anamaritingo Anajisifia Tu Badala Ya Kutuonyesha Hizo Vitu Anavyovosifia
@elinamilyatuu733711 ай бұрын
Gari ni kali sana iyo
@benjaminsanare-ug6ge11 ай бұрын
Cameraman kazingua aisee
@user-bl3rq8fj9u11 ай бұрын
Mara v8 mara ranger rova😮😢
@christopherwami2006 Жыл бұрын
Sio land Rover tena kama haina engine ya land Rover
@frankgichuhi8993 Жыл бұрын
Range rover engine manufacturer is land Rover...
@nurudinmwakisale150910 ай бұрын
Siyo rend rova Tena
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
Defender nazionaga tyu arushaa ila mikoanii duh cjui kwann hata
@Zanga9311 ай бұрын
Arusha utalii huku mikoani ni chache mno nyingi ni zile za zamani
@user-ip3ey7xw8b Жыл бұрын
Ni kweli,,,habari karibu 75% ni Arusha tu,,,ikizidi ni Moshi,,,kwingineko hakuna habari?????
@leskarmeikok8956 Жыл бұрын
Jiji la kitalii habar zipo za kutosha
@robin_MMM Жыл бұрын
aliyenyuma ya camera ni hopeless kabisa. milard kama huyu cameraman anakudai mlipe au kama vipi mpge chini utafute mwingine.
@nikodemumakibonya378 Жыл бұрын
Eti baadae mtaona hapo awali!!r chuga automatcally wanazaliwa wakiwa tayar bange kichwani
@gasparmpoma3860 Жыл бұрын
Kila siku habari za Arusha tu daah millard unayumba sana mikoa mingine huna reporters?
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Mikoa mingine ime poa
@aggreyenock122111 ай бұрын
Imepoa mingine
@michaelkessy5740 Жыл бұрын
Tanzania bado kwa maendeleo. Dubai ni nchi wanapost vitu ambavyo kila duniani akisikia ana vutiwa na Dubai. Hasa, Habari kama hizi ni local sana, Atutakuwa kimataifa. #HonMichaelDeusdedityKessy.
@harrisonkinuthia375411 ай бұрын
Land rover defenders are more powerful than land cruisers in offroading and tug of war!!🏋️🏋️💪💪 MACHINE POWER V8!!!💪💪💪
@EnesforoSama-my1om11 ай бұрын
Millard Millard mludishie Mzigo wake Message not Yet kama umekula Pesa yake nakwambia hiyo ni champion😂😂😂😂
@waziriomar141411 ай бұрын
Ungevua hiyo gearbox uweke manual mkuu
@pcthemaster909610 ай бұрын
Labda awezi kuendesha manual ndio maana. Coz chuma kama hizi mm zote naona ni manual. Sasa ikiwa auto na kwa jinsi ilivyo ameinyima heshima yake
@Alkibosstz11 ай бұрын
sielewi mimi aki but ongera basi 😢😅
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
TDi
@adamsafari7657 Жыл бұрын
baadae mtaona hapo awli
@maddog612310 ай бұрын
Hakuna mtu hapa
@karimsolyambingu633510 ай бұрын
4:50 Baadae mtaona hapo awali 🤔
@reticiakaria61510 ай бұрын
Kuongea hujui unakera aisee
@masoudalriyamy629810 ай бұрын
SHIDA YOTE YANINI UKASUMBUKE KUUNDA MAGAR MAGAR YAPO ZAMA ZA KUUNDA MAGARI ZIMEISHA USUMBUFU WANINI
@bagengift348811 ай бұрын
Yaa yaaa yaaaa yaaa😂😂😂
@scholahsimon-om1gt Жыл бұрын
One day land rover
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc11 ай бұрын
Anayerekod nae ganzi
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
110
@robinsonmaleo3711 ай бұрын
Ni wangapi hawajaona tv
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
Defender
@brightontheogenes50939 ай бұрын
jamaa amejielezea mwenyewee hyo million 40 haijaonesha imepatikana vipii cameraa alilewa nini mbonaa content ya hovyoo hiviii
@shadrackkassale296810 ай бұрын
Arusha kama mbele
@Alkibosstz11 ай бұрын
sasa wewe siuliamuwa wewe sasa ikawa gari powa wacha kutusubuwa bwana duuu😂😂😂😂 mbona rangi ni mutu anaweka
@davidpaschal77811 ай бұрын
Ajui kuelezea
@liberatusjackson5045 Жыл бұрын
Tereza nipopobawa
@aggreyenock122111 ай бұрын
😂
@jofreymata5343 Жыл бұрын
Mwamba kama dalali
@kiaphs622211 ай бұрын
SS MASTA UNATUONYESHA MTU BADALA TUONE HYO NDINGA ULITAKIWA UREVIEW HYO GAR TUIONE JAMAA ANATUELEZA TU BUT GAR ZUR
@ibrahkartel977811 ай бұрын
Mzee ni hatari
@aminakasim119811 ай бұрын
Kumbee milioni450 unapataa gari
@babalad983 Жыл бұрын
hatujaiona hiyo gali camera man na edita wabovu ni kama mnampa promo jamaa ila hatujaona chochote
@saidyfikirini967911 ай бұрын
😂😂😂hio gari mpe mtoto achezee ww ni mtu mzima unahitaji manual transmision bro
@mugishamajeba9628 Жыл бұрын
Sas mutatuerimisha nin apo
@erastomapunda144411 ай бұрын
iyo gali ata uku zm ipo
@edwardmkwelele11 ай бұрын
una pesa lakini hujuwi kujielezea
@josephnjella491911 ай бұрын
Ungete ngeneza Ka ma ulivyo ulivyo inunua
@user-rg5sg1xz8p11 ай бұрын
Weka manual ww
@shamsaazhar34737 ай бұрын
Ajatengeneza amecopy tuy huyu
@leahmgunda415410 ай бұрын
Engine za v8 bei gani
@petronilamtei7470 Жыл бұрын
unaongea sana mwamba
@user-cd2pk7pg7j11 ай бұрын
Unadaiwa shilingi laki 2 za kitanzania seat cover hukulipa
@everlyne85958 ай бұрын
Ndo umdai mtandaon
@daudiobedi5070 Жыл бұрын
Apo awali tenaa
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
😂
@gasperjohnson338811 ай бұрын
Muongo huyu 😂
@goodluckkilala81310 ай бұрын
Uchafu uo
@elinamilyatuu733711 ай бұрын
Cameraman shame on you
@hamissnjumba30211 ай бұрын
Kiswahili ulicho tumia ni kichache mno
@bobanthony132611 ай бұрын
what is this all about - worst report ever witnessed on ayo tv.
@abubakarizuberi716511 ай бұрын
4:49 "baadae mtaona hapo awali"😅😅
@steveprosper408410 ай бұрын
Ujinga ni automatic transmission chuma hizi ni manual bwebwe zisizo za msingi
@robertphilip38511 ай бұрын
Hamna gari ya milioni 40 hapo tusidanganyane labda milio 8