Mbarikiwe kwa wimbo unaotia nguvu na matumaini kwa waliochoka na kukata tamaa
@AmosPhales-y8f14 күн бұрын
Barikiweni sana nami nabarikiwa na ujumbe wenu 3:10 3:28
@bennykhalfan798613 күн бұрын
Mungu azidi kuwatumia katk kuwabariki wengine na kuleta tumain na farajiko kwa wengine, Ameen!!
@AgapeIntSDAChoir12 күн бұрын
Barikiwa pia zidi kua karibu nasi Kwa nyimbo nzuri zenye utukufu na Baraka tele
@bennykhalfan798612 күн бұрын
@AgapeIntSDAChoir 🙏🙏🙏 tuko pamoja wapendwa
@anneouma2372Ай бұрын
I love you BEROYA, you know what you are doing. Ask God to lift you up with hospitality! Be hamble! Be patient!
@BoniphaceKaje2 ай бұрын
Jamn nyimbo nzuri saaana
@ReginaMatiko22 күн бұрын
Ombi langu la usiku na wimbo wenu umenifariji sana
@AgapeIntSDAChoir18 күн бұрын
Barikiwa sana
@IsaachLyololoАй бұрын
Nyie wapendwa Mungu awabariki sana.
@GidionMairo2 ай бұрын
Barikiwa sana Agape Samwel Maitarya watching from Dar es Salaam
@charlesmwita66752 ай бұрын
Wa kwanza hapa ❤
@jacquelinemayaka80682 ай бұрын
Usiogope hata majaribu yanapokuwa mengi 🙏 ujumbe mzuri wapendwa. Hongereni. Bro Amos ameutendea haki wimbo huu 🙏
@benardotuoma592 ай бұрын
Napenda nyimbo zenu nikiwa hapa Makongo juu Dar es Salaam 🇹🇿
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Barikiwa sana
@BeatriceEzra-c9k2 ай бұрын
mbarkiwe sana agape mungu awepamoja nanyi
@gracetrophese76382 ай бұрын
Nabarakiwa sitaogopa milele mpaka Yesu aje
@JacksonMiroboАй бұрын
Barikiwa kwa wimbo mziri
@Dlameck-b2e25 күн бұрын
Amina mbarikiwe
@sporamavanza293916 күн бұрын
Asante Mungu kunilinda mwaka mzima 🙏
@AgapeIntSDAChoir16 күн бұрын
Barikiwa unapo kwenda kuanza mwaka mwingine #USIOGOPE
@mutuabenjamin81122 ай бұрын
This is my favourite song. Tunangoja ile ya makambi sasa
@mwiquabekubyo8835Ай бұрын
Mbarikiwe sana
@nyandanaftali80142 ай бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo wa matumaini, pia hongereni kwa kuongeza idadi ya waimbaji.
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Asante sana Barikiwa pia
@EstherMayenga-p5u2 ай бұрын
Wow my lovely friend Amos.keep it up dear
@isacksamwel74322 ай бұрын
Mungu yuko nanyi songa mbere
@d.m4532 ай бұрын
Mmmh!! Sijui niseme nini!!! Hivi kumbe ladha tamu za nyimbo bado zinatungwa🙌🙌🌹
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Zidi kua karibu na Agape Kwa ladha tofauti tofauti za muziki wa kumtukuza Mungu
@olebilangombe25992 ай бұрын
Maduhu rafiki yangu nimekuona Agape wimbo mzuri sana, nimepamisi kewanja, tangu makambi ya mwaka jana tukiwa Shamaliwa, karibu Kenya ndugu zangu
@EstherEmmanuel-s2c2 ай бұрын
❤amina nabarikiwa songwe na wimbo mzuri wenye kutia nguvu
@SamwelMaziba-vb9oyАй бұрын
Barikiweni na Bwana
@rachelmbughi4913Ай бұрын
Mungu awabariki sana🙌 maisha marefu kwa hao wakaka wanatubariki san na sauti zao🙌
@AgapeIntSDAChoirАй бұрын
Barikiwa pia
@simionnyamohanga50052 ай бұрын
Huyo kaka anadamu yauimbaji musiishie hp mungu awe nanyi ameimba kwaya nyigi san anaimba vizuli
@IsabelaChristopher-i4lАй бұрын
Ni mwalimu pia alikuwa mwlm wa njiro mambo ya kishindo cha wakoma, mwlm wa beroya mission pia
@BoniphaceKaje2 ай бұрын
Agape Bwana awabariki saaaana
@CharlesJulius-w4y2 ай бұрын
Mbarikiwe sana kipaji ni kipaji tu barikiwa maduhu
@yunesondicho44982 ай бұрын
Amen. The song is so powerful
@jameselias3799Ай бұрын
nimebarikiwa sana na huu wimbo umenitia moyo sana
@AgapeIntSDAChoirАй бұрын
Barikiwa pia
@EvaMassasi2 ай бұрын
Mungu awabariki sana. Mungu awainue pia🙏🏼❤️. Nawapenda🌹🌹.
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Tunakupenda pia zidi kubarikiwa na nyimbo nzuri zinazo kuja hapo baadae kidogo
@ednamburi22802 ай бұрын
Bwana awabariki sana Agape choir
@mwajumamwamba25502 ай бұрын
Maduhu barikiwa❤❤❤ be blessed all
@Baracamatico2 ай бұрын
Amina agape sito ogopa milele mpaka yesu aludipo
@HellenMalagila2 ай бұрын
Mbarikiwe🎉❤
@SamweliZakaria2 ай бұрын
Amen Mungu ni mwema tusiogope
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Barikiwa sana
@kilalomaerlymauya66322 ай бұрын
AMENI ... MUBARIKIWE KWA UJUMBE MZURII... SITAOGOPA
@DeborahGasaya2 ай бұрын
Amen nawapenda sana❤
@eunicenyandiko13892 ай бұрын
AMEN HALLELUJAH 🙏 ❤❤
@GraceAdam-e1k2 ай бұрын
Mbarikiwe saan
@linamjema56402 ай бұрын
Solo kaka solo nimeelewaa
@linamjema56402 ай бұрын
Wimbo mtamu sana ,mfanye mpango na ule wa makambi
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Hivi karibuni utapandishwa zidi kua karibu nasi Kwa utukufu wa Mungu
@SamsonVincent-mn6jk2 ай бұрын
Mungu awapiganie Mfike mbali
@PeninaSultan2 ай бұрын
Agape mbarikiwe
@PeninaSultan2 ай бұрын
Bwana awalinde 1:39
@PeninaSultan2 ай бұрын
Piiga vita kwa uaminifu amosi na sultan msiogope
@deboradaniel95672 ай бұрын
Aminaaa, mbarikiwe Sana!
@rhodaobedi2 ай бұрын
Ameen wimbo mzriiii❤
@farajmanuar35892 ай бұрын
Ameni,nyimbo nzur sana.❤
@PeninaSultan2 ай бұрын
Barikiwa
@mussayohana19872 ай бұрын
Barikiwa kwa nyimbo nzuri
@PendoLubua2 ай бұрын
Mbarikiwe sanaa
@yesekapomola9302 ай бұрын
Hatar sana bwana amos
@BarakaSeleman-zj2jr2 ай бұрын
Barikiwen sana agape
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Barikiwa pia
@simonmagabe8362 ай бұрын
Amen Good performance may the Lord bless you.
@gracegideon99992 ай бұрын
🙌🙌🙌❤ Mavado Jr❤
@saesu01892 ай бұрын
Nice song, good performance by mavado💯
@SophieNyamhanga2 ай бұрын
Mbarikiwe sana wimbo mzur kweli kweli dahh wish mamdogo angekuwepo nawapenda mno
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Tunakupenda sana na zidi kubarikiwa na nyimbo nzuri zinazo kuja hapo baadae
@Meshomukobrandtumaini2 ай бұрын
Baraka Tele 🙏
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Amina
@kitulatv59982 ай бұрын
Amazing song fear not
@PeninaSultan2 ай бұрын
Waoooo
@deborahboniphace87402 ай бұрын
Mbarikiwe 🙏
@RuthMbega-hj5eq2 ай бұрын
Amen Mungu awabariki❤
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Barikiwa pia
@SuzanaHussein2 ай бұрын
Mbarikiwe ❤
@KristinaWasandateni2 ай бұрын
AMENI MBARIKIWE SANA
@paulmangera9022 ай бұрын
Ameeen Mungu awabariki sana tunawaombea
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Amina tunakuombea pia uzidi kubarikiwa
@JoyceMapesa-f7c2 ай бұрын
Hee jamani mi mnisaidie kidogo kuhusu soro wetu ni mwalim maana kunasehem tofauti tofauti namwona beroya mission huku agape international au ni mapacha wanafanana Kule aliibisha wimbo unasema Jerusalem mji wa MUNGU 😍😍😍😍
@nuruamry2 ай бұрын
Ni yule yule sema kazi ya Mungu haina mipaka unapo itwa unaenda tumika
@JoyceMapesa-f7c2 ай бұрын
@@nuruamry kumbe sawa
@HellenMalagila2 ай бұрын
Ndie yeye
@maximillianjohn25082 ай бұрын
Ndiye Huyo Huyo mpendwa
@MaryMbusi2 ай бұрын
Nice song may God bless you
@fideliskivai26692 ай бұрын
Amna!
@salomejohnson4552 ай бұрын
Mbarikiwe sana.
@sasiamos45152 ай бұрын
Amazing 🙏
@fadhilimagambo91102 ай бұрын
Mungi ni mwema
@annethjohn91802 ай бұрын
Wimbo mtamu
@omodesignerАй бұрын
❤❤Amen.
@macochieng58722 ай бұрын
All sorts of stuffs in music involved tumewaalewa sisi wasafiri wa Mbinguni wanaopitia Cuba kidogo😅 be blessed.
@DanielGairig2 ай бұрын
Mtaacha lini aina hiyo ya muziki ndugu zangu
@AgapeIntSDAChoir2 ай бұрын
Pole sana mpendwa katika Bwana Bado tunakusanya maoni mbali mbali ya wadau kuhusu muziki tunaomba aina yako unayoipenda
@MassagaJohnАй бұрын
❤
@samwelmtaka29862 ай бұрын
Ameni
@JosephKisusimatanga-o7f2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️
@MarietherRaphael-fg7uu2 ай бұрын
🎉🎉
@ernestchachatv94842 ай бұрын
Waooo
@AdventinaGhati-lf4km2 ай бұрын
Mbna sauti hmn
@VailethKegoye2 ай бұрын
amen
@nikundiweamosi50872 ай бұрын
1:46 wimbo mzuri ila upload vizuri sauti haiko clear
@pillyemmanuel4070Ай бұрын
Kwani hii agape ipo wap?
@AgapeIntSDAChoirАй бұрын
Agape int sda choir inapatikana Nyamongo, Tarime, Mara, nchini Tanzania Karibu sana kanisa linaitwa Nyamongo central
@thomaskichogoti73912 ай бұрын
Audio haisikiki vyema
@moraisachacha6375Ай бұрын
Good song but poor video.
@ivanbusumbiro6429Ай бұрын
Amina . masubo
@AmosPhales-y8f14 күн бұрын
Barikiweni sana nami nabarikiwa na ujumbe wenu 3:10 3:28