Mtoe support kwa Watanzania wanaotengeneza mashine.........ki bajeti na ufundi
@guzomc2 жыл бұрын
Mashine zina umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu ningeshauri serikali iweke mkazo katika maswala haya na ningependa kuona wamiliki wawe ni watanzania ama serikali yetu . upande wa bei ya mashine hizi kwetu sio rafiki Ila natamani kuona watanzania wakimiliki na kuzifanyia kazi ipasavyo ninaimani tutajiweka katika nafasi nzuri na kupunguza gharama .. Yote kwa yote Hongereni sana Hivi ndo vitu tunavyotaka kuviona katika nchi yetu ila inabidi mtengeneze mazingira kwetu vijana pwent yangu kubwa nalenga kwetu watanzania tuwe ndo wamiliki
@yahayaallytv28522 жыл бұрын
Vitu kama HIV ndo vinatakiwa kua n taarifa ya habar Kila siku
@fidelfidel-jz4iw3 ай бұрын
Toeni fursa mikoa yote bila hujuma sio watu wote kurundikana Dar na uzuri Tanzania inawezekana kila mkoa