USIOGOPE PALE UNAPOONA DAMU NDOTONI | HII NDIYO MAANA YAKE

  Рет қаралды 18,372

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

Күн бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #TafsirNdoto

Пікірлер: 24
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 3 жыл бұрын
MashaAllah .shukran sheikh
@dhhccfgui9400
@dhhccfgui9400 25 күн бұрын
Mm nilianza kwenda kwenye shughur ya x wangu na kweli kaoa yan baba wa mtoto wangu ndugu zake wakaanza kunizodoa alaf baadae nikaenda chooni nikawa nakojoa Dam nimeogopa sna shekhe sikulala.usiku alaf n saa 8 usiku
@faudhiahussen7320
@faudhiahussen7320 3 жыл бұрын
Shek asante Sana
@hamisimsangi8274
@hamisimsangi8274 3 жыл бұрын
Sawa shekh
@najahahmed4794
@najahahmed4794 3 жыл бұрын
Ukitapika damu macna yake nini
@AllyHamadi-kh7hz
@AllyHamadi-kh7hz Жыл бұрын
Shekh m nimemuota mama yng anatoka damu puani
@Mamabrayan-f2o
@Mamabrayan-f2o Ай бұрын
Assalamu Alaikum me ni mjamzito lakn nimeota natokwa na damu kama na breed nikaenda choon nikachuchumaha hkawa bado hnatoka halafu hapo choon wakaja watoto wengi wakiume na wakike nikawa nawafukuza wakiume nikawaacha wakike sasa sijuh hnamaana gan naomba shehe nisaidie nakaa na was was plz
@malaikaspriani4199
@malaikaspriani4199 2 жыл бұрын
Nimeota nimemkata dada yangu kisuu dam zikanimwagikia kwenye mikono yangu lkn dada hakukasilika akaishika mikono yangu nikashituka usingizini
@ShinaidhaHussen-tl8ds
@ShinaidhaHussen-tl8ds 11 ай бұрын
Nimeota nimemaliza kusex alafu nikashuka nikaona hedhi maana yake nini
@dorlinraphael9104
@dorlinraphael9104 2 жыл бұрын
Nimeota mwanangu anatokwa na damu kitovuni afu Amalia sanaaaa cjaelewa maana yake!
@HamisaRwambogo
@HamisaRwambogo 5 ай бұрын
Shukran nimeelewa nilienda kufanya interview kwenye campuni ya Mikopo nikakosa lkn usiku huo nikaota natokwa na damu naona Mungu alikua ananionesha kua hiyo mali niliyokua naipambania ni ya haramu maani inajihusisha na riba Alhamdulillah
@SakinamohammedSakina
@SakinamohammedSakina 2 ай бұрын
Asalam alaikum ustadh,,mm nmeota nko katika kikundi cha wanawake ilikuwa tuna harakati ya nafasi ya kazi,,lkn walipokuwa wakiita majina za nafasi kama twasubiri nkaamzwa ktoka damu za puani,akaondoka apo kuelekeya inchez zanitiririka,,wenzangu wote walinifata kunisaidia,,
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Ай бұрын
Ukiota unazaa damu shekhe inamaanisha nin
@NassraAbdallha
@NassraAbdallha 3 ай бұрын
Mm nimeota damu chooni nasio mm iliyonitoka aliyekuwa mumewangu
@groliarafaeli7232
@groliarafaeli7232 Жыл бұрын
Nimeota nimekaa kwenye kiti cha kifalme alafu watu wamesimama pembeni wengi wananimwagia dam
@hafidhmilinga7453
@hafidhmilinga7453 Жыл бұрын
Shehe mm nimeota namnyonyesha mtoto damu
@rihanahenaga
@rihanahenaga Жыл бұрын
Niliota mum angu amemwanga damu kwenye kitambaa cha white
@joanithaedsoni6987
@joanithaedsoni6987 2 жыл бұрын
Shekh me niliota damu zinatirika miguun mwangu na nilikuwa katikati ya kundi la watu tafathar apo me ntaona nin
@baruamwakilanga1963
@baruamwakilanga1963 2 жыл бұрын
Km mm jmn sielew
@aminatatu5692
@aminatatu5692 2 жыл бұрын
Kama Mimi 😳
@ReymarRaisa
@ReymarRaisa 7 ай бұрын
Ukiota unazaa damu shekh inamaanish nn
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Ай бұрын
Hata mim nimeota
@MwajumaKondo-ie6kn
@MwajumaKondo-ie6kn 2 ай бұрын
Ukiota mtu kaanguka afu kweny kichwa damu zikaanza kutoka kwa kasi ya maji ya bomba kichwani
@husnatybaby2413
@husnatybaby2413 Жыл бұрын
Vp ukiota unatapika damu Kama mabonge bonge iv??
TAFSIR YA NDOTO: MWENEYE KUOTA PERIOD USINGIZINI
11:30
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 20 М.
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
UKIOTA UMEPOTEZA VIATU | MARA KWA MARA HII NDIO MAANA YAKE.
3:30
Prophet Joseph Minja
Рет қаралды 483
Tested and Trusted Ruqyah to return Black Magic Back To the Sender | RETURN TO SENDER
18:26
Inside Healer (Al-Quran Ruqyah Shariah)
Рет қаралды 738 М.
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 9 М.
AINA 10 YA NDOTO ZA UTAJIRI WAKO NA USIHADITHIE MTU. Tiba Zakissuna tv
21:34