Рет қаралды 2,227
Kuna mambo muhimu katika maisha ambayo hatupaswi kuhisi aibu kuyafanya au kuyazungumzia. Haya ni mambo yanayoweza kutusaidia kukua kibinafsi, kuimarisha uhusiano wetu, na kufanikisha malengo yetu. Kuwa wazi na jasiri katika mambo haya 6 kunaweza kukupa nguvu ya kuishi maisha yenye maana zaidi na furaha.
Like video hii, share na rafiki na Subscribe kwa video mpya kila wiki
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako.
🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa
Usiache pia kuniandikia kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
🔴 BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385
#Aibu #ujasiri #mafanikio #aibu