UST KINYOGOLI AMGALAGALA MCHUNGAJI NDACHA KUHUSU YUPI WA KUFUTWA BAINA YA MTUME MUHAMAD (S.A.W/ YESU

  Рет қаралды 10,952

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 112
@twahahassan-pr7rw
@twahahassan-pr7rw 4 ай бұрын
Namkubali huyu sheikh hua yuko sawa mungu amhifadhi ampe umri mrefu azidi kuinusuru dini ya Allah
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
😂😂😂😂 Dini will not take anybody to heaven. Soma Biblia
@husseinkatana4573
@husseinkatana4573 4 ай бұрын
Masha Allah ALLAH AWAJAZI kheir na neema zitokazo kwake.. Aameen
@AbubakarKi
@AbubakarKi 4 ай бұрын
Mashaalah Allah akbar
@AshamMussa
@AshamMussa 3 ай бұрын
Mashaallah mwalimu Kinyogoli wakristo poleni
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 4 ай бұрын
Allah akulipe pepo shekhe kinyogoli
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 3 ай бұрын
Wewe hujui bibilia.hiyo ilkua zama za Yesu kwa wana kondoo.hizi si zama za Yesu.Yesu hakutumwa Dunia nzima.
@jumamitamba6029
@jumamitamba6029 3 ай бұрын
Shekhee kinyogolii unajuwaa allaha akulipee
@ibrahimngamba876
@ibrahimngamba876 4 ай бұрын
Assalam a'alaikum warahmatullahi Kwa kweli uyo ndacha kwanini anajitia na Wakati ajuwi kitu
@SaidiMazaila
@SaidiMazaila 3 ай бұрын
Pesa, Kwan hajui ukweli Bax?
@SurprisedApron-uq7kg
@SurprisedApron-uq7kg 4 ай бұрын
Mungu angekua kama binadam angekumariza ww kafiri ndacha huogopi Allah namtum wake Muhammad (S.w)
@SWALEHERINDANO
@SWALEHERINDANO 4 ай бұрын
Hila walim wa kiislam mnamdhalilisha Ndacha kwa hiz mada paka anachanganyikiwa leo anasem Yesu ni Nabii kesho anasema ni Mungu kwel wakristo mtapat tabu sana na hawa walim wenu
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
Sijui wana hubiri nini wakati bibilia yao ina wachapa wenyewe
@SaidiMazaila
@SaidiMazaila 3 ай бұрын
Yaaan Hawa ni wajinga wameikumbatia Dunia kuliko kesho zao
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 4 ай бұрын
Tatizo la wakristo kila analosema Ndacha wao masikini wanakubali na kupiga kelele za kishetani bila kujua masikini poleni sana ndugu zangu wakristo
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
😂😂😂😂tatizo mavi mulio lishwa na wachungaji kanisani sakramenti 😂😂😂
@shaurikhamisi5689
@shaurikhamisi5689 3 ай бұрын
Ndacha hajielewi
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 4 ай бұрын
وقل جاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 4 ай бұрын
Muda gani? Huu.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
Yesu mwenyewe akasema ndie hupeana uzima wa uzima
@AMINGULAMRASUL
@AMINGULAMRASUL 4 ай бұрын
NDACHA WAKATI WALIPOWEKA MIDAHALO NA WAKRISTO WENZIE ALISEMA YESU NI MTUME AMETUMWA LEO AMEGEUKA KWA WAISLAMU HUYU NI MNAFIKI MKUBWA
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 4 ай бұрын
Masikini ndacha hujielewi
@RashidAmanya
@RashidAmanya 4 ай бұрын
Kazi kubwa ya Ndacha ni kukatakata mandiko
@jumamitamba6029
@jumamitamba6029 3 ай бұрын
Ndachaa ukiitajii elim njoo walim wakislam wakufamishee akunaa mwenyee elim kumzidii waslam kwasababuu qu ran ajaachaa kituu ndioo maanaa waslam wanaeliim zaidii kamaa unabshaa skumojaa utaumwonaa ukwelii allah akufanyiee wepess
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 4 ай бұрын
Mashaallah tabarak Allah ❤❤❤
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
Ndacha kaumbukaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila kutetea uongo ni kazi sana Ndacha amejiingiza mwenyewe kwenye mtego mmalizeni kabisa na mashetani wenzake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 4 ай бұрын
Ndacha ni muhuni anayabaka maandiko, anatiatia viraka ili mrad apate content lakini waaapi!!!, uislam ni unbeaten bcz its all about truth
@IsmailKhamis-c3t
@IsmailKhamis-c3t Ай бұрын
Waislm elimuyenu ipo juu mnaeleweka vizuri yaani mwenye macho ameona na mwenyemasikio amesika
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 4 ай бұрын
Ndacha tunamjua ata uku Kenya ni mtu wa kupotosha maandiko hana nia ya kufundisha...imagine ukiuliza mkristo bila maandiko atakuambia Mungu anaweza kila kitu anafanya peke yake,lakini ikifika kwenye midahalo ati anakubali Mungu kasaidiwa kuumba.,sasa kwa akili tu ya kawaida Mungu gani huyo anasaidiwa kufanya kazi,ina maana Mungu wa Kikristo hana nguvu mpaka anasaidiwa kuumba? akili gani izi lakini
@bitsanjE
@bitsanjE 4 ай бұрын
Hayo ni maoni yko,. Bibilia unaisoma kama gazeti utaelewa ?
@jumahamad9463
@jumahamad9463 4 ай бұрын
NDACHA ANAFANYA MADUDU KWENYE MDAHALO MBELE YAWAUMINI
@KhamisiJuma-xd7il
@KhamisiJuma-xd7il 4 ай бұрын
Ndacha kwa nin usisome vizur na ukaelewa?? Maana sijakuelewa hata kidogo ukiongea ni matusi tu ila mwenyezi mungu akujaalie uijue khaqi na kama unaelewa ila unawapotosha watu mungu akulipe kwa unayo yasema inshaallah
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
Hauwezi Kwa ajili ya Roho wa mungu hamna😮😮
@Ismailmusa-y6b
@Ismailmusa-y6b 4 ай бұрын
mashaAllah
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 4 ай бұрын
Wamemteuwa ndacha kumbe ndy box
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
Any proof about that ⁉️⁉️⁉️
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 ай бұрын
Ndacha hela zooote tunazokuchangia ndio unakuja kudhalilisha Ukristo hadharani. Rudisha fedha zetu haraka sana. UISLAMU huwezi kubishana nao hata kidogo kwani UISLAMU Umekamilika Kila idara.
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 4 ай бұрын
Nakuunga mkono kaka
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 4 ай бұрын
Ww saidi haukuchanga kitu acha tumbo joto shindano inaingia polepole
@IbadeAssiqui
@IbadeAssiqui 4 ай бұрын
Assalamu alaicumo, kinhogoli mungu ncu acubaliki sana nema ni amani cua ueue
@PeterNjeru-m9o
@PeterNjeru-m9o 3 ай бұрын
Ndacha ananyorosha injili kamilifu
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 Ай бұрын
Injili inayosema yesu ni muhukumu😅😅😅😅😅
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 4 ай бұрын
Yaani ndacha huna hoja toka uanze uongo umekufaa nn unakataa mtume wetu mohamd s.a.w na maandiko yko wazi kisha unamuita vizuri jina mtume ulipotea sana na wenye kukupeleka tz kuwakilisha ukiristo wajutia majibu yko
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Asante muhuni ndacha upo vzr Kwa kukata maandiko
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
😂😂😂😂yani muna karangwa na bibilia yenu wenyewe 😂😂😂
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
Sasa Kwa hizo dakika unaweza soma sura yote 😏😏😏
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 4 ай бұрын
Ndacha ananyorosha barabara yesu anarudi,watu warudi kwa yesu
@VEYRON891
@VEYRON891 4 ай бұрын
Yesu ni mtu kama wewe
@bitsanjE
@bitsanjE 4 ай бұрын
Wewe ushawahi kufufua nani
@SWALEHERINDANO
@SWALEHERINDANO 4 ай бұрын
Sasa mnaona vyenye Ndacha hajielewi yeye hua anasema Yesu ni Mungu na leo amegeuka anasema Yesu ni Nabii kwel Dini ya kwel ni Uislam
@bitsanjE
@bitsanjE 4 ай бұрын
@@SWALEHERINDANO yesu ni yote ndani ya yote
@omariselemani6578
@omariselemani6578 4 ай бұрын
Hiyo ni kweli kabisa
@Swaleh-px1ug
@Swaleh-px1ug 4 ай бұрын
Assalam'alaikm warahmatullah wabaraka2 Nasem, Sikuzote NDACHA NI PANG'ANG'A TU
@SaumuMlongo-t5d
@SaumuMlongo-t5d 3 ай бұрын
Nenda ufundishwe tena ndacha
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 4 ай бұрын
Tuache unafiki Ndacha Ni Mch wà kweli, ametuambia yakweli Sasa tunabaki tunajilaumu ss wenyewe,
@SaidiMazaila
@SaidiMazaila 3 ай бұрын
Ukwer Gani ulopata pale😮
@masoudsaidsaidjuma5368
@masoudsaidsaidjuma5368 4 ай бұрын
Kama ndacha umekula na kunywa yesu hakujuwi tubia kbs kabla yesu hajaeenda kukukataa
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 3 ай бұрын
Waisilamu siku zote hamnanga point someni na kwa kweli mtahama kwa misikiti hiyo yenyu
@Muniro_Mnyoro
@Muniro_Mnyoro 4 ай бұрын
Ndacha Huwa Ana kataga maadiko Akiona Yana mban hamnaki2 apo
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 4 ай бұрын
Ndacha kuchi nei silimu haki ipo wazi
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 4 ай бұрын
Ndacha anazingua ana maajabu uyu jamaaa
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 3 ай бұрын
Ndacha ni pwagu tu. Wapi kwenye bibilia Mariamu alimmwita Yesu Mungu? Huu ni upagani tupu. Yani Mariamu alisema kwamba kambeba Mungu tumboni?
@HelemSaid
@HelemSaid 4 ай бұрын
Dacha mjinga
@shaurikhamisi5689
@shaurikhamisi5689 3 ай бұрын
Hajuwi ana Sema nini
@AbubakarKi
@AbubakarKi 4 ай бұрын
Ndacha rudi nyumbani, elimu yako ni ndogo,
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
Tena ujue wana karangwa na bibilia yao wenyewe 😂😂😂😂 tena hio hio bibilia inawatusi wachungaji ina sema wachungaji ni umbwa walio bubu 😂😂😂
@salehrwigemagisa81
@salehrwigemagisa81 4 ай бұрын
Ndacha hajawahi kuwa na elimu.Ni mpayukaji tu wala hana lolote.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
​@@سعدياقوت-ت2خ😂😂😂😂 you were brainwashed dear soma Quran yenyu muielewe Kwanza ndio musungumuze
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 3 ай бұрын
​@@salehrwigemagisa81nenda Kwa hoja nayeye Basi 😂😂😂😂 nacheka kweli kweli 😂😂😂
@jamalkishangu
@jamalkishangu 3 ай бұрын
Ndacha sio mjinga anajua kila kitu, anafahamu kuwa Muhammad s.a.w ni mtume wa kweli, jamaa analipwa posho kubwa kwa kazi hii ya kupapasa chuma UISLAMU.
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 ай бұрын
Ndacha hamna kitu 😅😅😅
@ogdosho93
@ogdosho93 4 ай бұрын
Ndacha nrudishie pesaangu!
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
Kwa nini Ndacha akurudishie pesa kwani ulimpa?! 😂😂😂
@Sumailamussaafitoww
@Sumailamussaafitoww 3 ай бұрын
Ndacha kidume
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 Ай бұрын
Nilichokigundua kwa ndacha yeye hatoi helimu kwa wakristo ili watu wauelewe ukristo bali yeye anasoma tu kilichoandikwa pasipo kufafanua,
@JordanRichard-s2d
@JordanRichard-s2d 4 ай бұрын
Angalieni mpaka mwisho alivokuja kuwajibu. sio mnatoa comment tu! Hichi kipande hakiishii hapa . Ndacha alisema akipewa nyie mpaka jioni mtabatizwa.
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 4 ай бұрын
Si kweli.Ndacha maneno Mengi ya kuzua na kelele nyingi za debe tupu.
@JordanRichard-s2d
@JordanRichard-s2d 4 ай бұрын
@@jumanjenga7682 jamani alichokua akisema Ndacha si bahati nzuri anataja na misitari Aya Kutoka Quran ata biblia? Leo unasema ni maneno yakuzua, uzuri KZbin aikimbii unaweza kurudia kuangalia . Akitaja Aya nenda kwenye biblia,, akitaja Aya nenda kwny Quran ukahakikishe. Usipende kujiridhisha. Kwasabab hii mikutano bila shaka anaendesha Mungu na ana makusudi yake . Ila Mungu ni mvumilivu sana kama pia atakua anapitia na comment zetu asee ,, Basi amtie sana nguvu mtumishi wake ndacha ili maagizo yake yawafikie kwa manufaa sio ushabiki.
@rukiakadzo8053
@rukiakadzo8053 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 4 ай бұрын
Mmmmh😢😢😢
@JordanRichard-s2d
@JordanRichard-s2d 4 ай бұрын
@@AssdfAssd-g3y unalia
@IsmailKhamis-c3t
@IsmailKhamis-c3t Ай бұрын
Wakiristo akilizo kama za ndacha uwelewa mdogo
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 Ай бұрын
Yaani mimi nije nihukumiwe na yesu? Mbona haya ni masihara? Yesu ni binadamu hawezi beba nafasi ya mungu katika kunihukumu
@binadimseif2668
@binadimseif2668 4 ай бұрын
Ndacha Tanzania unadhalilishwa huna elimu
@jumahamad9463
@jumahamad9463 4 ай бұрын
NDACHA USO UMEMSHUKA KWAKUJILIKANA UDHOHIFU WAKE WAKUHUBIRI MAGUMASHI
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
Hili niliongo kigeugeu
@Davidkariuki-zs6jn
@Davidkariuki-zs6jn 3 ай бұрын
Hili limekuwa funzo kwa wengine walio na tabia ya kudanganya kama dacha.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 4 ай бұрын
Ndacha kelele tu?
@AllyNshimirimana-u2i
@AllyNshimirimana-u2i 2 ай бұрын
Kalale'usingizi'Mbo naunapenda'matusi?
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 4 ай бұрын
ndaxha hana akili kabixa
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 ай бұрын
Ww ndacha alokuroga kafa na kaburi lake hulijuwa
@AllyNshimirimana-u2i
@AllyNshimirimana-u2i 2 ай бұрын
😂
@kusweymohamed
@kusweymohamed 4 ай бұрын
Ndacha akili yako ni mbovju aya ulio toa nauzima wa milele ndio wakujue ww wa pekee mungu wa kweli na yeso krristo ulio mtuma aya inaweka wazi yeso ni mtume alafu utakuja sema yeso ni mwana wa mungu mara yeso ni mungu Sasa tu shike wapi aw umetanganyikiwa aw hunaakili
@allymussa4646
@allymussa4646 4 ай бұрын
Kwani ndacha yy anatumia biblia gani
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@fashion7442
@fashion7442 4 ай бұрын
Ndacha wewe shindana na sule kwa kuwa hana ufasaha wa lugha,usishindane na kinyogoli
@konandawise4550
@konandawise4550 3 ай бұрын
Huu ni ukweli wanaposema wanakata maneno na kupotosha maana kzbin.info/www/bejne/fofGgIRundOoo7csi=MStwg0v592khpSro
@AshamMussa
@AshamMussa 3 ай бұрын
Ndacha mjinga ktk wajinga wewe ndo baba lao la wajinga leo nimeani kuwa ujinga ni chakula chako Cha roho hufai hata kusikilizwa ujinga wako
@mozesdaniel7484
@mozesdaniel7484 4 ай бұрын
Assalaam alleykum 😂😂😂😂 Nimecheka sana title na uhalisia Mm nilikuwepo na nikona jinsi waislamu tumefeli sana kwanza wahadhiri WALICHELEWA SANA pili KULIKUWA NA MAKERERE SANA KTKA JUKWAA LA MASHEHE tatu ..NDACHA amewavuluga vibaya mno 😂😂😂 Sasa nimejua ukweli ..Mohamqd alitumwa na watu wala siyo Mungu. Na Yesu ndiye kristo Na ndiye njia ya kweli na uzima Sasa kinyogori haelewi maana ya maamdiko kabisa ni zeroo aliposema anataka bible ya kiafrika tu na kung'ang'ania andiko moja bila kujua tafsiri tofauti tofauti ilikupata maana ktk bible ny8nginw kama Union version nk..hapo waislam tulifeli sana 😂😂😂😂
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
😂😂😂 wewe ni muongo hakuwepo na wala huu mdahalo hata haukuuangalia full kwenye hizo video, ungeangalia usingesema kushabiki namna hiyo... ungekuwepo si ajabu ungebakiwa kusikitishwa tu na kilichomkuta ndugu yako Ndacha... alizidiwa mpaka aliacha kutumia Qur'an na Bibilia akawa anabandika vipande vipande vya maneno ya watu kutoka ktk vitabu vya ajabu ajabu anavyovijua yeye.... mwenyewe huwa anaviita viraka 😂😂😂😂
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 4 ай бұрын
Ndacha ni kiboko anatisha
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
#SHEIKHMSELEMALY SHETANI NAE ALISHIRIKI KUMUUA MTUME MUHAMMAD
10:08
ONLINE WINGA TV
Рет қаралды 3,4 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 68 М.
MCHUNGAJI ASHINDWA KUTHIBITISHA KUWA YESU N MUNGU
1:07:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 28 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН