Ustadh Shafii Amaliza Mabishano ya Wakiristo Wenyewe Kwa Wenyewe-Majibu Sahihi Kwa Wakati Sahihi

  Рет қаралды 29,535

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

usisahau ku subscribe channel hii

Пікірлер: 383
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 ай бұрын
Wallah ndio maana mm nilisilim,yaan Ukristo ni shida sn
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 4 ай бұрын
Ulienda kwenye uislamu kumfata Muhamadi aliyeolewa na Bi Hadija??? Kweli wewe rafiki yangu kama ni kupotea ndo umepotea kabiiiiiisaaaaaaaaaaaaa
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 ай бұрын
@@alexandernyambo7739 uko sahihi ni bora mm nilie mfuata alie olewa akapiga na show kuliko ww una mfuata Yesu jogoo alikuwa hapand mtung mpk anaondoka hajui Raha ya Dem😂😂😂😂
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 4 ай бұрын
@@huseinshedrack6180 Na huyohuyo ndiye aliyewafundisha umalaya, maana yeye aliolewa na bi Hadija na akamwoa tena Ahsha mtoto wa miaka 6.... 🙄🙄 Jamaa alikuwa malaya na mbakaji, kisha eti ni mtume, ametumwa na shetani 😈 kueneza umalaya sivyo eeeeh?? Ndo maana nanyi mnaendeleza mambo yake kwenye TARAWEY 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏 Na wanawake wenye macho kama vikombe wanawasubiri huko Kuzimu kwa baba yenu...
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 4 ай бұрын
​@@huseinshedrack6180😂😂😂 ila wewe umenichekesha mungu akubariki
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 ай бұрын
@@hasaniabdalah6148 ni hatar ndgu yng,hawa makafir wanacho kijua ni kukashifu metume wa Mwenyez Mungu tu,mm toka niingie ktk Uisilam cjawai kuona Waislam wakiwakafu Manabii,sasa ni kwenda nao hvyo wanavyo taka wao maana hta mm nilikuwa huko kwenye akil zao za kijinga
@abdulJambe
@abdulJambe 3 ай бұрын
Swali langu kabla yesu hajazaliwa nani alikuwa mungu
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 16 күн бұрын
Dada upo sahihi sana
@user-qv3xp1fd4u
@user-qv3xp1fd4u 3 ай бұрын
Yesu si mungu bali ni nabii t ni mtume wa mungu
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 4 ай бұрын
Safiiii sanaaaa...sheikheeee umewamaliza vizuri sanaaa...duuh kumbe wakristo mungu wao yesu..na yeye pia yesu anamungu wake..huwa anamuomba...yani mungu arafu na yeye pia ana mungu anae mtegemea kumuomba...daaah wakristo kweli baadhi yao 0.0 hamna kitu kichwani
@yassamdossantos5936
@yassamdossantos5936 10 күн бұрын
Shekh shafiii Allah akuzidishie katika elimu yako na busara na ufahamu lakin pia akuweke kweny njia nyoofu hakika unasimamia katika ukwel
@ashrafnuru6402
@ashrafnuru6402 4 ай бұрын
Bibilia ni kitabu kinachochanganya watu huwezi kusoma bibilia ukamjua yesu mana mara aitwe mungu, mara mwana wa mungu, mara mtume, mara nabii wazungu washafanya yao,
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 4 ай бұрын
Ninyi waislamu ndio madishi yenu kichwani yameyumba Kwani mwana wa mbuzi naye ni nani, mwana wa nyoka ni nyoka pia, sasa nini cha kushangaza kwa Yesu kuwa mwana wa Mungu na kuwa Mungu pia
@ashrafnuru6402
@ashrafnuru6402 4 ай бұрын
@@alexandernyambo7739 Kwahiyo unamaanisha mungu Anazaa,yaani nyinyi imani yenu ni imani tu bila logic yaan, Bibilia ni mvurugano tu ety husipungeze wala husiongeze neno wakati Bibilia zenyewe zietofautiana idadi ya vitabu
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 4 ай бұрын
@@ashrafnuru6402 Luka 3:21~22 "Ikatoka sauti ktk lile wingu ikisema... HUYO NI "MWANANGU" MPENDWA, MSIKILIZENI YEYE" Wewe ni nani hata uhoji kuzaa au kutozaa 🙄🙄 Na hiyo ndiyo sifa ya kuwa Mungu, kwamba ANAWEZA mambo yote Hakuna asicho kiweza aiseeeeh Anaweza kuimba, kubomoa, kujenga na hata kuzaa kwanini asiweze!!!!!!!!
@saiddgsmg
@saiddgsmg 4 ай бұрын
@@alexandernyambo7739 kwamaana hiyo mungu wako wawili yesu na baba yake,sasa je yule mama yake maliya atakuwa mungu mariya,na baba yake yusufu atakuwa mungu baba yusufu,sasa swali langu kwako kabla ya huyo mungu yusufu dunia ilikuwa inaongozwa na mungu gani???!!!...
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 4 ай бұрын
Kwa kweli BIBLIA ni kitabu kinacho changa ya sana sana.... Hauwezi ukawa na mzigo wa Majini, Maruhani na akina Makata na Subihanj kama mliyonayo ninyi Waislamu kisha ukaielewa vizuri Biblia... Biblia ni Takatifu, hueleweka na wenye Roho Mtakatifu tu, kwa kuwa ni Biblia Takatifu tu
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 4 ай бұрын
Wataelewa tuu na sasa kweli inaanza kuwa bayana baina yao. Alhamdulillah ☝️🕌♥️♥️♥️
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 4 ай бұрын
Huyu dada jamani kaupiga mwingi hebu wano mkubali huyu dada joooni tujuwane kwa laiki
@UmarMasudi-so2hi
@UmarMasudi-so2hi 2 ай бұрын
Wakristo hawana oja dhidi ya uislamu... Ustaadh wangu nakufata 100%toka drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 3 ай бұрын
Yesu si Mungu ni Mtume wa Mungu
@sudihammad7387
@sudihammad7387 4 ай бұрын
Warumi 9:5 ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina.naomba isomeni taratibu kufata hizo alama za lugha
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 3 ай бұрын
Kwanza ujue hiyo warumi ni kitabu kikichotoka wapi? , Mtume paulo yeye ndiye aliyetoa mafundisho ya Uungu wa Yesu na huyo paulo ndiye aliyeleta fundisho la Utatu mtakatifu na yeye paulo ndiye muasisi wa Ukilisto na hayo mafundisho ya paulo kutoka kwenye vitabu vya Matende ndio Msingi wa Ukilisto na ukilisto mafundisho yake yanategemea vitabu hivyo
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 2 ай бұрын
Wapi kwenye biblia imeandikwa kristo ni jina la mungu ?
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 4 ай бұрын
Asante sana Shekhe, Darasa zuli sana Allah akulipe khery Duniani na Akhera Amiiin.
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 11 күн бұрын
Subhanallah
@saidgumbo2529
@saidgumbo2529 4 ай бұрын
Yesu hana sifa yakuitwa mungu hata kidogo kwasabubu ,ukisoma yohan 8:40 inasema hivi , lakini sasa mnatafuta kuniua mimi mtu ambae nimewambia iliyo kweli niliyo isikua kwa mungu Ibrahim hakufanya hivyo
@ashaomary5558
@ashaomary5558 Ай бұрын
Uko sawa dada
@SalhaHamisi-nn9fj
@SalhaHamisi-nn9fj 4 күн бұрын
Mashaaallah😢😢😢😢
@MejjatScott-mf2vi
@MejjatScott-mf2vi 4 ай бұрын
Kweli na Asante!,cc niwajinga wa mapokeo mabaya
@MidaMapunda
@MidaMapunda 4 ай бұрын
Safi shehee.. Ningekuwa karibu ungenisilimisha.
@Naw89
@Naw89 4 ай бұрын
Kama nia unayo mpigie simu akusilimishe Hakika dini ilio ya haki ni uislam anaeabudu dini isio ya kiislam haitakubaliwa bali atakua na hasara siku ya mwisho
@Naw89
@Naw89 4 ай бұрын
Pia unaweza kwenda msikitini sehemu ilio karibu na wewe hapo utasilimishwa
@hashirukitumbi6245
@hashirukitumbi6245 4 ай бұрын
Allah akufanyie wepes, tafuta msikiti wowote jirani yako utasilimu. Allah anawapenda wenye kuiona haki na kuifuata.
@user-ov9zg1gl5b
@user-ov9zg1gl5b 4 ай бұрын
Amani ya mungu iwe juu yako mpendwa
@salimobeid1470
@salimobeid1470 4 ай бұрын
Allah akuongezo ndugu yangu usilimu
@LaizaLaiza-oj9uw
@LaizaLaiza-oj9uw 4 ай бұрын
Uko sawa dada kabisa
@bakari52
@bakari52 4 ай бұрын
Asante mwalimu. Wenye kuelewa ataelewa
@saidgumbo2529
@saidgumbo2529 4 ай бұрын
Wakrsto wote mnaosema yesu ni mungu ,swali (1)yesu kazaliwa na nani (2) na mamake yesu kaumbwa na nani (3) wakati yesu Yuko tumboni mwa mama yake Dunia ilikua na nani.
@jombadulla
@jombadulla 4 ай бұрын
hawawezi kujibu,hawa wanaburuzwa tu,ni punguwani,huyu yesu mtume wa mungu kama mitume mengne hana chochote, hana tofaut na musa au daud,wenzetu wanakosea wapi
@sleymankassim4332
@sleymankassim4332 4 ай бұрын
Usisahau Yesu alikaa tumbon miez kadhaa,
@georgemartinmartin5423
@georgemartinmartin5423 4 ай бұрын
Mbona mepesi sana hayo maswali
@graceswai9166
@graceswai9166 4 ай бұрын
😢mwapotea kwa kuwa huyajui maandiko, hata Quraan imewaambia mtuulize mambo ya kiroho ninyi hamyajui
@ahmedabry293
@ahmedabry293 4 ай бұрын
​@@graceswai9166jibu maswali usizunguke
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 3 ай бұрын
Hii ndiye sababu ilifanya nikawa muislamu
@ayshahamisi
@ayshahamisi Ай бұрын
Maa Sha Allah tabaarakallah, Allah akufanyie wepesi
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Ай бұрын
Allah akujalie hidaya
@AhmedAbdallahBakari
@AhmedAbdallahBakari 10 күн бұрын
ALLAHU AKBAR
@athumanmkomwamkomwa2912
@athumanmkomwamkomwa2912 3 ай бұрын
Maashaalah
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 4 ай бұрын
Endeleen kubishan wenyew kwa wenyew sis tupo palee👉👉tunawaangalia tu😎
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 4 ай бұрын
Moja mungu alimuumba adamu ambae Hana baba Wala mama 2kisha aka muumba Hawa kwakutumia ubavu wa Adam akaatikana bin Adam mweny baba asie na mama 3
@ElizabethChuri
@ElizabethChuri 3 ай бұрын
Muombe mungu kwa lugha yako apate kuku elewa
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk 12 сағат бұрын
Dada wewe bado hujajua soma ujue roho Mungu akusaidie Shaff shehe anakutaman uingie kweUislamu umewasaitia walio gizani waislamu.
@mohammedawissa9863
@mohammedawissa9863 4 ай бұрын
Watakuli wakristo insha'ALLAH
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 4 ай бұрын
Acha waji fyatuw akili hivi kweli mungu umvalishe nepi umtundike msalabani upoge msumari ana kuangalia tu nyie warumi Mme walisha nini Hawa nduguzetu mpaka Wana kuwa kama mazombi
@saiddgsmg
@saiddgsmg 4 ай бұрын
mi naona wamelishwa maviiii😂😂😂😂
@LugomeRisasi
@LugomeRisasi 2 ай бұрын
Mimi ni mkristo kwa mafundisho haya shekh Yuko vizur jina la Alie mtuma yesu lihimidiwe
@BobgIsmail
@BobgIsmail Ай бұрын
Upo sawa ndugu
@Muslim-z3z
@Muslim-z3z 3 ай бұрын
Mbona Mzee wa upako kasema kweli kuhusu mungu
@alexalute6712
@alexalute6712 4 ай бұрын
Wapinga Kristo wapo wengi duniani leo shekh wangu. Soma 1Yohana 2:18-26
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Soma yohana 17:3
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 4 ай бұрын
Kwaiyo nyinyi iyo bibilia yenu inabishana maandiko..kweli iyo bibilia ipo sahihi..kitabu cha mungu kimekamilika akina makosa..God is perfectly..mungu ajawai kukosea..kwanini iyo bibilia yenu inapingana maandiko..?iyo iyo bibilia inakataa yesu sio mungu kwa matamshi yake mwenyewe yesu..iyo iyo bibilia yenu inasema yesu ni mungu..daaah huruma sanaaaaaa kwa wasio na akili🤣🤣🤣 nacheka sanaa
@UstadhiRai
@UstadhiRai 11 күн бұрын
😂hili piya lahitaji Tochi Shafii 🎉🎉
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 4 ай бұрын
Kwa hiyo mungu wako ana ulithi kutoka Kwa nani acheni kumkufulu mungu
@Naw89
@Naw89 4 ай бұрын
Sikiliza maandiko wacha jazba Yesu avalishwe nepi kama wewe na bado umfanye kua Mungu hata akili ya kawaida haingii akilini
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Ай бұрын
​@@Naw89upofu upo moyoni wajinga ndio waliwao
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 4 ай бұрын
Sura gani iliyosema yesu ni mungu
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 13 күн бұрын
Uyu mwananke Ana maarifa ,una roho Mtakatifu
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 12 күн бұрын
Waislamu siyo fungu la YAKOBO
@user-qg7el6gc5j
@user-qg7el6gc5j 4 ай бұрын
Yesu na Mungu, Muhamad na Allah. nadhani tumeelewana....... Yesu ni mwana wa Mungu. ndio maana huwezimsikia mkristo anakemea mapepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la Yesu. kwamba sisi tunaunganishwa na Mungu kupitia mwanawe Yesu Kristo
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 4 ай бұрын
Yesu na Mungu inakuwaje tena wakati Yesu ni Mungu
@user-qg7el6gc5j
@user-qg7el6gc5j 4 ай бұрын
@@saidsuleiman1753 ukisema yesu ni mungu basi muhamad ni mungu....
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 3 ай бұрын
Muhammad ni Mtume na Yesu ni Mtume tunaamini mungu ni mmoja (Allah).
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 ай бұрын
Allahuvakbar ama kwa hakika mola wetu hanana mtoto wala hajazaaa wala hajazaliwa na wala haikuwa kifano na kitu chochote na yes ni mtume wa mwenyezimungu
@issakakolwa
@issakakolwa 3 ай бұрын
Duuuuh kz kwelkwel, mungu gn aliye zaliwa?, mungu gn anae kula kunywa na vngne kama hvyo?, co kuw waislam wanachkelea kw uelew wenu nooo, cc waislam 2na wacktkia kw ujnga wenu kueni wajanj bac, kw nn mambo yko waz ksha niny mnayafchia ukwel wke?, ALLAH TAA'LA akueleweshen in sha ALLAH.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 ай бұрын
YESU ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu Yesu ni Mungu mkuuuu Muhammad asikie na majini yote yaipate hiyo taharifa
@KaitaKatema
@KaitaKatema 4 ай бұрын
acha ujinga MOHAMMAD anaingiaje hapo mjibu huyo dada
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 ай бұрын
Sio Taharifa .. 😂 ni TAARIFA .. Jifunze Kiswahili kwanza
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 4 ай бұрын
Wadanganye wasio na maarifa tulio na maarifa tushajua zamani kuwa Kalam ya waandishi imetiwa hukoo kwenye bibilia na alie iris Kalamu sio Muhammad ila ni hao mayahudi ilu msitambue ukweli ujao ambao ndio huu uislam juu lako kufuata au usifuate kesho yako ndio itakupa majibu anayo pinga leo
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 4 ай бұрын
@@KaitaKatema Sasa sheikh Shafii amekuwa mdada sikuhizi? Hapo hamna hoja ya msingi , YESU NI MUNGU TITO 2:13 imeisha
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 ай бұрын
@@hasaniabdalah6148 kesho yangu Kwa Yesu aliye mbinguni wew kesho Yako Iko Kwa marehemu Muhammad huko kaburini sisi ni WA juu nyie ni WA chini njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo mlango upo wazi njia yeupe
@NyumbayaWakfukkoo
@NyumbayaWakfukkoo 14 күн бұрын
Sheikh panga nao MJADALA HAO waje LIVE
@jafarimsigwa277
@jafarimsigwa277 13 күн бұрын
Soma Isaya9;6
@user-yw2si9xq5s
@user-yw2si9xq5s 2 ай бұрын
Kwahiyo mzee waupako yupo sahihi
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 21 күн бұрын
Wameanza kuelewa 😂😂😂
@kiumbeabdul
@kiumbeabdul 4 ай бұрын
Mtu yoyote, kama akikusikiliza vizuri, ni lazima aseme kwamba yesu sio mungu ila ni nabii
@MwalimuD
@MwalimuD 4 ай бұрын
Kinachosumbua wengi ni kuelewa Yohana 1:14.The Word became flesh.Neno alifanyika mwili. Kumtambua Yesu akiwa kama Neno na akiwa kama Mwili.Roho atufunulie zaidi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yohana 17:3
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 4 ай бұрын
@@Catherine-mh8sw Na wakujue hii ni continiously kauli endelevu Na wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma Huwezi ukatwambia kwa andiko hilo tayari umeshamjua Mungu wa pekee ilihali andiko linasema kauli endelevu "WAKUJUE" Bado Yesu ni Mungu tu Tito 2:13
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
@@ANDREWKIMARO-by3zl yesu katumwa na mungu. Nding nding nding
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
@@ANDREWKIMARO-by3zl Sasa aliyekaa mbinguni na yesu mkono wake wa kulia ni nani? . Na wewe ni nani yako? Na baba yake yesu aliye mbinguni ni nani yako.
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 4 ай бұрын
@@Catherine-mh8sw Twende taratibu ili uelewe Kulingana na Yohana 4:24 Mungu ni nini..........?
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 3 ай бұрын
Yesu kristo alikuwaweko kabula ya dunia Soma methali 8 22_30quran alaha akumba yoate kalamu peke
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv 3 ай бұрын
Vitabu vimetungwa na wazungu kwa faida zao wametoa ukweli wameweka uwongo
@omaraly7226
@omaraly7226 Ай бұрын
Nduguzetu wakristo someni bibilia
@tajiriwaroho
@tajiriwaroho 3 ай бұрын
Katika jambo la kujivunia kwa Waislamu tumeanzakueleweka wanakataa sasa Yesu si Mungu wenyewe kwa wenyewe wale wanaosema Yesu Mungu wajiulize kwanini ametumwa wanajichanganya mara wanasema mwana wa Mungu mara Mungu mwenyewe hawajuwi wanachokiamini lakini washaanzakuelewa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
hakika huyu mtoto ndo mwalimu wao
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 4 ай бұрын
Kabissa
@majidabas3843
@majidabas3843 4 ай бұрын
Ni talent yapekee
@YusufuYusufu-g9l
@YusufuYusufu-g9l 12 күн бұрын
Mtu yeyote anayesema yesu ni mungu Hana akili Tena mjinga sana amuombe msamaha mwenyezi mungu mm nipo Mozambique.
@user-jk3su3or9w
@user-jk3su3or9w Ай бұрын
Yesu atawachanganya vichwa mpaka kufa mmemjadili tangu mababu zenu walishindwa kupata majibu juu ya uugu wa Yesu amjapata mwafaka Yesu si wakawaida atawavuruga ninyi wanazuon mpaka mtakoma mana Mungu hachunguziki
@ScentsationalHeven
@ScentsationalHeven 25 күн бұрын
Sii kweli Ila Wewe Ndo unachanganya Mambo mmedanganywa Sana mpaka waandishi Wa biblia wamedanganya ili ujue hili kiongozi wenu papa Wa Sasa na Viongozi waklisto wengine wanataka kubadilisha bibilia wakisema eti hio iliyopo imepitwa na wakati he Wewe hujui na ndiomaana Kila andiko lililosema yesu Ni Mungu Ni katika Kutengeneza maslai Yao binafsi na ndiomaana Leo jina Hilo kwasasa Ni biashala kwa Viongozi wenye tamaa Wa kikilsto Kaka some bibilia vizuli na fatilia Mahisha ya Viongozi wako utakubali haya kalibu ndani ya unyenyekevu Wa kweli islamiya
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 25 күн бұрын
Dada huna elim ya Dini pa moja nahuyo mkristo mwenzako.nenden mkatafute elim ndio muje kuongea na waislam.
@husseinSadick-kz9iu
@husseinSadick-kz9iu Ай бұрын
Da ase sawa tuna wakumbusha zidi ya usafishaji wa mizigo kilwa dr apopote nchizima ya tanzani kalibu tupo mbagala dar
@saiddgsmg
@saiddgsmg 4 ай бұрын
wakristo akiri zao zimejaa matope ukweli wanaujywa ila ,wanajifanya punguani,hivi.kweli mungu anaweza kukamatwa na kupigwa na kuzalilishwa.
@RapaFata
@RapaFata 4 ай бұрын
Hata mimi nashangaa ikiwa muhamad hakuelewa chochte kuhusu msalaba, je hawa maamuma wa leo wenye kuagua watu wataelewa kweli? Je, Allah hawezi kufanya kama Yesu kamwe mbona waja wake hoi kwenye elimu na imani?
@punnamalaba4445
@punnamalaba4445 4 ай бұрын
Mungu awasamehe mbadirike msiyabadiri maandiko, hata shetani alitumia biblia kumjaribu Yesu endelea tu kuxiondoa yodi ktk biblia
@RapaFata
@RapaFata 4 ай бұрын
@@punnamalaba4445 Waislam wakishindwa kukielewa kipengele kwenye biblia wanadai kimekorogwa. Yani mie nilipokuwa nataka kuslim nilijiona mjanja na mwenye akili maana nilianza kupoteza ule utu wa ndani na kuvaa hasira na ujinga. Lakini ashukuriwe Kristo aliyeingia tena ndani yangu na kunibadilisha ufahamu. Nikatoka mbio sasa nimeokoka nipo huru. Nawacheka tu wale maimamu na midevu yao na magauni
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
​@@RapaFatahahahaaa mwehu wee wewe unayemuabudu mwanaume mwenzio ndo unaakili
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
​@@punnamalaba4445muongo wewe shetani hakutumia bibilia kumjaribu yesu kwa sababu bibilia haikuwepo siku alizokuwepo yesu ni kitabu kilichotungwa baada yake kuondoka
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 3 ай бұрын
Ushauri wangu kwako pambana na mashehe wenzako wa mitandao kuhusu peteza kichawi ukristo uwezi kuu elewa labda ubatizwe tu
@allyyasini9944
@allyyasini9944 3 ай бұрын
Yesu sio mungu .. mungu ajazaaa wala ajazaliwa ..
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Ай бұрын
Ni kweli yeah sio mungu wala mtoto WA mungu Bali yesu ni mtume WA mwenyezi mungu Rudi kwa Allah mungu gani ya yeye halali kwa kuomba Acha usikubali ujinga WA watu kwa kusema yesu ni mungu kubali maandiko yesu mwenywe amekata na kusema yeye mtu sasa wewe unasema mungu
@HasaniIbrahimu
@HasaniIbrahimu 12 күн бұрын
Huyo dada me nimemunga mkono umewaelemisha
@user-tc9vi3ow3n
@user-tc9vi3ow3n 4 ай бұрын
Naomba Hilo andiko mungu kuwauliza nani amtume Yesu anasema mitume Mimi,andiko Hilo lipo wapi?
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 4 ай бұрын
Hivi Hawa wakiristo wanasoma vitabu Gani .,.au hawaoni je kusikia Pia hamsikii
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Ай бұрын
Yan niwajinga ujue na hizo biblia kila wkati zinabadilishwa maandiko hawashtuki tu
@AlfaMwahasanga
@AlfaMwahasanga 4 ай бұрын
Soma hapa shehe 1yohana 5:8 ni kweli kabisa Mungu ni mmoja wala hakuna shaka. Ila katika huyo Mmoja kuna nafasi tatu Yohana 14:6-10 isaya 9:6
@Naw89
@Naw89 4 ай бұрын
Michongo ya Paulo hiyo amewazushia kama hamtasoma vyema kitabu chenu mtaingia motoni fuateni haki twende pamoja peponi Yohana anawaambia mtaenda mbinguni wakati mbingu pia imeumbwa na Mwenyezi Mungu anasema ataikunja mbingu sasa wakati ikikunjwa na wewe upo huko si utakunjwa pamoja 😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yohana 17:3
@AlfredZacharia-of3je
@AlfredZacharia-of3je 4 ай бұрын
Hatuwezi kuingia kwenye dini ambayo Muhammad alimsilimisha shetwan akawa muislam
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 4 ай бұрын
​@@AlfredZacharia-of3jeumesahau tuu hata sheitwani pia ni kiumbe cha mungu ndio maana sheitwani alikua mbinguni akiabudu pamoja na malaiika kosa lake ni husda alioiweka alipo ambiwa amsujudie Adam akapinga hata wewe kama mkristo kosa lako ni kumpinga Muhammad kama nabii wa mwisho wa Mungu . unaweza ukatenda matendo mema na hayana malipo kukataa haki na njia ya mitume na manaabii 😢😢😢 huzuni juu yako una masikio husikii una macho huoni
@sudihammad7387
@sudihammad7387 4 ай бұрын
Njooni msilim uislam unasema kila siku dunia ni sehem ndogo kosea kuishi usikosee kwa mungu ukirudi kwako utajikuta unataabika maisha yoote ya kuishi mbele ya Mungu mwenyewe
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 3 ай бұрын
Wewe Sud umechizika bado kifaranga hivyo 😂🤣😂🤣 Nani asilim na kuingia kwenye dini ya mauza uza, dini ya majini Makata na majini sharifu, Maimuna na Subihan 🙄🙄 Si ndiyo maana mnafanana nayo majina Wenzenu tunajazwa Roho Mtakatifu na tunakuwa Watakatifu 😁😁😁. Ninyi mnajazwa hayo majini na mnaendekeza ngono, kuoa wake wengi na ushoga kwa wake zenu na huko Madrasa kwa watoto wenu 😣🤗. Mnapokutana huko TARAWEY mnafanyiana nini?? Mnadhani hatuyajui eeeh 🙄🙄 Njooni kwa YESU huku kuna Utakatifu na Uzima wa kweli..... TUNA MWABUDU MUNGU MTAKATIFU, BIBLIA NI TAKATIFU, SISI NI WATAKATIFU, MBINGUNI WATAINGIA WATAKATIFU TU KAMA MIMI HAPA...... WENYE MAJINI SHARIFU HAWAWEZI KUWA WATAKATIFU NA WOTE SEHEMU YAO NI JEHANAMU NA MOTO 🔥🔥🔥💥 USIO ZIMIKA 😁SHITUKA, UTOROKE UJE WEWE.... RAHA YA UKWELI IKO HUKU
@AbbsharMaulid
@AbbsharMaulid 16 күн бұрын
Nyie mmepotea kweli
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 4 ай бұрын
😢
@JumaJuma-gw1dq
@JumaJuma-gw1dq 4 ай бұрын
Mwisho ya yote nyie mnao sema yesu ni mungu kabla hajakuepo huo yesu Dunia ilikuwa na nan
@DeoGeorge-uf3ym
@DeoGeorge-uf3ym 9 күн бұрын
Uyo dada nimkweli ndiyo maana ana maneno .ANALO NENOLAMUNGU MUNGU NI CHEO YUPO MUNGU BABA NA MTOTO WAMUNGU KIMUITA YESU MUNGU SIMAKOSA
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 4 ай бұрын
Bibilia inatuchanganya bhana
@isaackusupa9635
@isaackusupa9635 4 ай бұрын
Kwanini msihubiri uisilamu wenu Badala ya kuhangaika na ukristo? Kama huujui uungu usiongee kitu. Mwanzo anasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu Mungu alikuwa na nani? Katika Agano la kale unalolizungumzia sheria zake zilikuwaje? Na waisrael walishindwa soma vizuri Yeremi 31:31-34 utaelewa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yohana 17:3
@user-qv3xp1fd4u
@user-qv3xp1fd4u 3 ай бұрын
Tumemfanya mtu kwa mfano wetu maana yake ni kwamba; Wewe una akili mungu naye anazo akili lkn akili zako hazifanani na mungu, wewe una nguvu ni kweli mungu naye anazo nguvu lkn nguvu zako hazifanani na mungu, wewe unasikia ni sawa mungu naye anasikia lkn usikivu wa mungu na wewe ni tofauti lkn wote mnasikia, maona, mna nguvu nk katika dhana hiyo lkn UKWELI ni kwamba mungu hafanani na KIUMBE CHOCHOTE
@sadikiHussein-gy9ii
@sadikiHussein-gy9ii Күн бұрын
Tatzo kubwa ni wakirsto kutokusoma vitabu vya mungu
@pwezapwezafelix7222
@pwezapwezafelix7222 4 ай бұрын
Tafautisha maandiko mangine yamechomekwa ktk biblia kur an ndio kiboko yao huwezi kuchomeka ktk kuran
@mohamedsoud3225
@mohamedsoud3225 Ай бұрын
Kinacho jadiwa kingine majibu yanatolwa mengine sijui ni kiswahili ndo shida hoja dada anasema yesu siyo mungu jibu lioneshwe kwenye bibilia wapi yesu monyewe amejinadi kama yeye ni mungu , majibu mayotoa ni polojo Sasa Dua hii c ya plojo watu wanataka ukweli wanasoma vitubu wanavielewa
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 4 ай бұрын
Hawa makafiri wasiposilimu wataishia motoni
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 4 ай бұрын
MIMI NINACHO JIGAMBA NIKWAMBA 1.BABA=MUNGU mfano msimwiite yeyote baba duniani,baba/mungu in mkuu kuliko Mimi,baba au mungu wangu in mungu wenu😅😅😅MANENO YAKE KRISTO KINYWANI
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 4 ай бұрын
Weunae bishana na huyo dada akili huna bichwa kama tofali latope kama yesu niMUNGU kabla hajazaliwa dunia alikua nayo nani? kidevu kama kona ya kiazi
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 4 ай бұрын
Ndugu umeua
@kabithechoreographerandcom7439
@kabithechoreographerandcom7439 4 ай бұрын
John 10 :30
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
John 17:3
@theodorythobius3965
@theodorythobius3965 4 ай бұрын
Wako tayari kuungana na roho ovu ilimradi tu waonekane mbele za macho ya wanadamu wanahaki.Nyie endeleeni kumkufulu Mungu ila wakati utaongea wenyewe. Biblia ukiisoma bila kuongozwa na roho mtakatifu haya ndo madhara yake na ili uongozwe na roho mtakatifu lazima uwe umempokea Yesu kuwa bwana na muokozi wako. Na haya makufulu myatamkayo hayana budi kutukia ili yatimie yale yaliyoandikwa. Kabla hujatoa neno fanya reseach kwanza itakusaidia maana kila neno utalitolea hesabu yake siku ya mwisho. Tubuni Nawatakia kila la kheri katika kumtafuta Mungu aliye hai wapendwa.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yohana 17:3
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 4 ай бұрын
Qur an ilipo shushwa aya moja ilisema kitabu kisicho na shaka kwa wamchao Mungu hapo ndio ukaona masheikh wanasoma bibilia na kugundua kuwa kweli qur an imesema kweli na ni muongozo kwa wachamungu . kwenye uislam hatutaki wingi au
@mckobatz5861
@mckobatz5861 4 ай бұрын
Ili mtu awe anahitaji vitu vitatu roho, nafsi na mwili kitabu cha mwanzo kimesema "na tumfanye mtu kwa mfano wetu" ndipo inapokuja sense ya trinity Mungu baba mwana na roho mtakatifu. Malaika kiumbe wa mwenyezi Mungu mwenye kazi ya kutoa roho anaweza fanya hivyo kwa sekunde moja ktk maeneo tofauti Mtwara, Rukwa, Mwanza, China marekani na Palestine Mungu kwanini mnamuwekea limit kwamba kuna anavyoweza na vingine hawezi?(kuwa mtu na kuwa Mungu at the same time). Israelites jangwani walipoomba kumuona waliposikia ngurumo tu kidogo wakasema basi je huyu bwana mkubwa angekuja ktk utukufu wake jicho la nani lingeweza kumtazama? Hapo mwanzo palikuwako na neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu katika yeye vitu vyote vilifanyika. He's God that's it.
@user-bq2zp5vq3e
@user-bq2zp5vq3e 4 ай бұрын
Kipara yesu simba wa yumba atakuja mungu
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 4 ай бұрын
Kumbe ndiyo maana munawapenda waisrael hatakama hao waisrael wako mbali na ukristo
@BobgIsmail
@BobgIsmail 2 ай бұрын
Siyo kama wakiristo hawaelewi wanaelewa kila kitu na ukweli wote wanaujua bali ubishi tu
@NduwimanaMoise
@NduwimanaMoise 4 ай бұрын
Wacha iyo Yesu ni Mungu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yohana 17:3
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Ай бұрын
Hebu lia kidogo😂😂
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 12 күн бұрын
Kama yesu ni alfa na omega maana yake mwanzo na mwisho hilo shafii na dada haujasoma ufunuo sura 1
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 4 ай бұрын
P1a wasome yoh:17_3. Km watakuwa na ufahamu huwenda wakasilimu
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 4 ай бұрын
Na wakujue hii ni continiously kauli endelevu Na wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma Huwezi ukatwambia kwa andiko hilo tayari umeshamjua Mungu wa pekee ilihali andiko linasema kauli endelevu "WAKUJUE" YESU NI MUNGU TU TITO 2:13 Hapo sheikh kawashwa tu hajui kusoma wala haji kuelewa mpaka aachane na majini
@DuduMagau-sm3pd
@DuduMagau-sm3pd 8 күн бұрын
shida wengi wanashindwa kutafsiri maneno ya biblia!!
@dstaroficial
@dstaroficial 4 ай бұрын
😂😂😂😂 Mungu ana kikao . Mungu xijui mnamchukuliaje mabos
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Ай бұрын
😂😂bwana waache
@AntonyManeno
@AntonyManeno Күн бұрын
Uta Baki Comedy Tu Wewe Shafi Nyinyi Hamuna Yarohoni Hata Kidongo Nyinyi Mwayajua Ya Mwili Wala Sio Ya Roho Na Wakrisito Walipea Am Bibilia Ina Tufundisja Mambo Mawili Moja Ni Mwili La Pili Ni Roho Naye Yesu Alikuja Dunian Kuwa Mwili Kwani Alikua Roho Sasa Nynyi Mwamjua Kwa Mwili Wala Sio Roho. MFATENI Kwa Roho Ndio Mta Jua Ukweli
@AminaMsiyu
@AminaMsiyu 13 күн бұрын
Aje mtu ateketee nyinyi mustarehe?
@user-uy5ue2tz6g
@user-uy5ue2tz6g 7 күн бұрын
Yani wakirsto bana ata cjui akili zao zkoje
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Wote kundi moja, hawajielewi wao wenyewe hawana uhakika na dini yao...na hakuna mkristo mwenye uhakika na dini yake ila ubishi tu...
@AbbsharMaulid
@AbbsharMaulid 16 күн бұрын
Biblia inatuchanganyaaaaaaaaa
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 4 ай бұрын
Ikiwa hadi leo hujui yesu au issa ibni Mariam ni Nabii wa Mungu bali unaamini yasu ni Mungu basi jua huna tofauti na hayawani yaani basi kuna binadamu ambao wanaumri mkubwa kuliko Mungu? Yani kabla hajazaliwa sikulikua na wanadamu? Kwaihivyo wao wanaumri mkubwa kuliko Mungu hivi mnatutania au
@brothermuadhwam890
@brothermuadhwam890 4 ай бұрын
Msipo elewa hapa aaa hamueewi tena ni moto tuu shekh shafii kashamaliz kaz maan maandiko yashajitosheleza hayo mbna wakristo wabishi sana moto hamuuwez heee nawahurumia sana na kufuru zenu wazwaz
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 4 ай бұрын
Biblia ni maneno ya watu na sii ya mungu kwani biblia ni nyingi na zote ni tofauti na hizi zimetungwa na wanadamu.
@sarabura8933
@sarabura8933 4 ай бұрын
YESU kirsto ni MUNGU
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 4 ай бұрын
Fikiria Tena uwezekano wa mungu kula na kunywa mvinyo (pombe) na wanaadamu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yohana 17:3
@HamisiMohamed-je8fj
@HamisiMohamed-je8fj 4 ай бұрын
Akiri auna wewe naukafiri wako
@HamisiMohamed-je8fj
@HamisiMohamed-je8fj 4 ай бұрын
Mungu anatailiwa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
@@HamisiMohamed-je8fj 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mungu kaenda jando kama kaka angu Hamis 🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 4 ай бұрын
Hivi uislam na ukristo kipi kilianza? Bila shaka ni ukristo( baada ya miaka kama 600) . Je ni kipi kinaweza kuwa na ukweli? Vyenye kumbukumbu za kipindi hicho au kilichokuja baada ya miaka 600?
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Acha pombe ukristo ameanzisha paulo pale antokia wakati uislam ulikuwepo tokea Adam alikuwa muislam, ibrahim, mussa na yesu wote walikuwa waislam, sasa iweje ukristo uanze mwanzo.....soma uelewe usiwe kichwa pumba
@listerferdinand9653
@listerferdinand9653 4 ай бұрын
Ukongwe sio hoja ukongwe ingekua hivyo basi injili ingekua sio ya kweli kwa sababu torati ilikua mapema zaidi yake.
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
@@listerferdinand9653 kichwa chako kizima nakukubali mkuu
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 4 ай бұрын
@@samxx411 Nani alikudanganya kuwa at niwaislam
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@hoseasteven6241haya sema Ibrahim alikuwa dini gani?
@Lameckrichvsix
@Lameckrichvsix 4 ай бұрын
Ninani na nani ulowaona hao wakristo wanabishana wao kwa wao kama sio ujinga wa ku'dis imani za watu we ostazi zungumzia mambo yako ya kiislam nani anakupa ww uchungaji wa kutuhubilia habali za yesu hali ya kuwa muislam au ww ni kafili
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 4 ай бұрын
Yani majibu ya yesu ni mungu majibu yapo ktk hihi biblia Mzee wa upako yupo sahihi sana
@user13375
@user13375 4 ай бұрын
Wenye ndugu Majini
@user-nl1ou9ow2l
@user-nl1ou9ow2l 4 ай бұрын
Suleiman alikuwa akiwafanyisha kazi.je alikuwa ni ndugu zake hao majini na je Suleiman hakuwa na elimu kwa maoni yako.kuingia duniani ni laisi ila kutoka kwake ni kugumu.maana unaingia ukiwa hauna dhambi ila unatoka ukiwa na madhambi.dini tumeletewa,ni vyema tukatumia akili zetu vema ni dini ipi tuliyoletewa inaweza kutuweka ktk njia ya haqi.ama ndio tufuate ushabik na amasa.kama watu wa siasa.
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
@@user-nl1ou9ow2l 🤣
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
@@user-nl1ou9ow2l nyie hamtofautiani kihusu Maulid ? Unaweza kudhani ulipo ni salama tafakari ,na ndo maana hata mwandamo wa mwezi huwa inawatofautisha kufungua.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 703 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 99 МЛН
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 76 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 703 М.