No video

USTADHI SHAFII AMVAA UST. DANIEL KUHUSU MAFUTA YA MAJINI KUTUMIWA NA ZUMARIDI, MACKENZIE NA EZEKIEL

  Рет қаралды 8,378

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Ай бұрын

BAADA YA USTADHI DANIEL KUTOA ELIMU KWAMBA WACHUNGAJI WANATUMIA MAFUTA YA WAISLAMU KUFANYA MIUJIZA, USTADHI SHAFII AMEJIBU

Пікірлер: 82
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 Ай бұрын
Mashallah allihamdullilah kupata nuru yakuwa mwislam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
na motoni bado utaenda
@user-nq2np6de6l
@user-nq2np6de6l Ай бұрын
@@favoritebrayo lete ushahidi nipo hapa?
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
@@user-nq2np6de6l Yohana 14:6 hakuna njia ingine ya uzima wa milele
@user-li2el5vb8w
@user-li2el5vb8w Ай бұрын
Ramadhan Mwawila. Mash Allah' Shekh' SHAFII ALLAH AKUHIFADHI NA AKUPE UMRI MREFU ILI TUENDELEE KUNUFAIKA KWA ILIM ZAKO UNAZOTUFUNDISHA.
@mukhusinathuman6596
@mukhusinathuman6596 Ай бұрын
Safi sana shafii kwa hili nime kuelewa vzr sana Allah aendelee kukuongoza ktk ulinganiaji...
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 11 күн бұрын
Nakupenda sheikh shaffi kwa ajili ya Allah
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 Ай бұрын
Jesus is the way, the truth and life......🙏
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 14 күн бұрын
Umevurugwa na Sauli au Paulo aliyeichakachua Injili na kuunda dini ya ukristo, ambayo Yesu hausiki nayo.
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki Ай бұрын
Shekh shafi unatisha sana mungu akujalie elimu zaidi tujifunze kwako
@FridayMwassa
@FridayMwassa 25 күн бұрын
Anatisha kwenu maamuma
@babazungu3180
@babazungu3180 Ай бұрын
Wanachukii tu shekh shafii
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
Duuuuuuuu mungu wenu anaijua lugha Moja usiposwali kiarabu allah ajui ulichokisema waislamu na majini kazi mnayo sisi wakristo Mungu wetu lugha za wanadamu hazimsubui Sali vyovyote anapokea sala Yako njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 Ай бұрын
Uelewa wako Ni mdogo Sana soma lugha ya Arabic ndiyo waislamu waliekezwa kutumia katika maombi Haya umetowa wapi hiyo elimu ya kusema usipotumia kiarabu maombi yako hasikii Mungu
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
@@rashidibrahim8316 hiyo ndo lugha ya allah kiarabu ndomaana huyo shafi kasema popote palipo msikiti lugha ni kiarabu ndomaana hatumuelewi tukaamua kutomfuata huyo mtume wake WA kiarabu aliyeoa mtoto WA miaka 6 na majini yakamfuata na kuamini ndo mtume wao hawana mwingine na Wala kitabu kingine ni Quran tu Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
@@rashidibrahim8316 nyie waislamu hachana na majini mapepo wachafu yanawapoteza jehanamu ipo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 күн бұрын
​@rashidibrahim8316 Mnaposema Yesu, Adam, Musa, Daudi na suleman walikuwa waislam inamaana na wao walikuwa wanaongea kiarabu?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 28 күн бұрын
@@FridayMwassa weweee hicho kitabu kiosema hao walikuwa ni waislamu ni kitabu Cha majini mashetani kisikuumize kichwa ukiwauliza wanaokiamini wapi walisema Mimi ni mwislamu hawana majibu potezea huo ni uongo WA shetani maana shetani ni baba WA uongo
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c Ай бұрын
Nakukubali mwalim
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats Ай бұрын
9:59 Tatizo la shafiii mwambie akupe vifungu sio maneno mdomoni. Shafii anatumia maneno sana
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
yaani ana story za jaba huyu kadhee nakwambia
@AzizaNurdin
@AzizaNurdin Ай бұрын
​@@favoritebrayohumjui suafii kakojoe ukalale
@julius795841
@julius795841 26 күн бұрын
Fanya mdahalo na yohana omar
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Ww shafi jua namna yakuongea hakuna mahali yesu alitumia majini hamna kabsa usiharibu bibilia tueshimiane,
@FridayMwassa
@FridayMwassa 25 күн бұрын
Uislam bila kudanganya unaweza kufa
@danielkamau2987
@danielkamau2987 Ай бұрын
Wee fanya mdahalo na Ndacha tunjue ukweri.
@jomeshastudio7046
@jomeshastudio7046 Ай бұрын
hahaha ndacha pasua kichwaa hakuna wa kumuwezaa
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 14 күн бұрын
Tafuteni ukweli msimtegemee mtu huo ni ujua.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
Eti Mungu haangamizi umma mpaka siku ya kihama,eti kwasababu kuna mtu Fulani aliomba ---- kwahiyo Mungu mwenyewe hana ratiba wala utaratibu wowote,ispokuwa anategemea maelekezo ya mwanadamu --- " Hadithi za kizee "
@user-nq2np6de6l
@user-nq2np6de6l Ай бұрын
Kwani uwongo hili? Km ni uwongo leta angamizo moja tuu kutoka kwa Mungu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 күн бұрын
​@@user-nq2np6de6lgharika wakati wa Nuhu na moto wa sodoma na gomola
@omarsultan4502
@omarsultan4502 Ай бұрын
Endelea kuwaaelimisha ili wote waipate pepo inshallah
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Pepo ya majini hatuitaki nendeni wenyewe
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Ай бұрын
Nliona rafiki yangu kenda fanya Ibada Kanisani lakini ibada yote yupo nje dirishani kabeba mtoto,mwingine kila Jumapili asema aenda kufanya ibada lakini akifika kazi yake ni kumpikia mchungaji chai mwaka wa 30 sasa...inamaana hajawai ata kufanya ibada io yao wenyewe ata kama sio ya kweli
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 күн бұрын
Visa vya kutunga,
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Moja ya vitu vingi ambavyo Waislam wengi hawajui ni kuhusu kuteremshwa kwa Quran wengine husema iliteremshwa puuuuu wengine hudai kunawaandishi wanne walio tumika kuiandika, na wengine husema Quran hii ya sasa iko tofauti na Quran aliyo iacha Muhamad lakini pia kuhusu kujuwa kusoma na kuandika kwa Muhammad wengi hawakubari kuwa hakujuwa kusoma na kuandika japo pia hakuna sehemu inayo onyesha mtume huyu aliwahi kuandika, lakini leo shafii anasema kumbe iliandikwa na watu wakiwa chini ya usimamizi, lakini pia hawa watu ambao waliandika hizi Aya ambao wanaaminika kuwa walikuwa maswahaba je nikweli walikufa wakiwa ktk imani hii ya Uislam au waliacha Uislam coz zipo hadithi zinazo weka wazi kuhusu maisha ya waandishi hawa Wanne kuwa walikufa ktk hali yakuwa walevi kupindukia na mmoja wao aliacha Uislam.
@hassantoure7472
@hassantoure7472 Ай бұрын
Bana we,,sasa nini hujaelewa hapo😂
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
nakwambia uislam ni kaburi la wazi yaani wote maiti
@yohana1242
@yohana1242 Ай бұрын
Uislam kwanz sisi hatubagui mitume wala manabii ukifa mkiristo ww motoni tu
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
@@yohana1242 ata si hatubagui ndo maana tuna vitabu vyao wote
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 күн бұрын
​@@yohana1242Huo moto ni wamama yako,umebadili dini kwa kidanganywa na mwanamke
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Ай бұрын
Bado tunahitaji mkutano na ndacha tuwaone mnavopapaluka katika utetezi wa maandiko
@lydianyangau8142
@lydianyangau8142 Ай бұрын
Wacha kupotonza watu Yesu hawezi tumia majina Kama ndugu wenyu Mohamed nyinyi kaa na majini Kwa misikiti yenyu but sio kanisani
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
shafiu hili ni jina la maji. ni njoo kwenye mdahalo aja kupitia mbali hata hujui qurani wewe muisilamu kamili lazima awe na jini , qurani ni kitabu Cha majini
@rweyemamueustace4254
@rweyemamueustace4254 Ай бұрын
Luka 4:14-22 Yesu alijua/ anajua kusoma na kuandika. Achani UONGO we Shafii
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
Huyo shafi mjinga hanataka kumfananisha Yesu na kilaza wao mtume asiyejua kusoma Wala kuandika Quran 7:157
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 Ай бұрын
Yesu alifundishwa na nani???
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
@@salimchimwaga8384 Yesu ni Mungu aitaji kufundishwa Yesu sio kama allah aliyeshindwa kumfundisha Muhammad kusoma na kuandika kwaili allah hatakuwa naye ajui kusoma Wala kuandika 7:157
@FridayMwassa
@FridayMwassa 25 күн бұрын
​@@salimchimwaga8384Wayahudi walikuwa na vyuo vya kielimu mapema sana,ukisikia sinagogi maana yake ni nyumbani za kifundishia sheria kwa wayahudi.siyo kama mnatafsili nyie kwamba sinagogi ni msikiti
@RichardHenjewele-gs8rk
@RichardHenjewele-gs8rk Ай бұрын
Sheeee uko vizuli
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
ndacha Yuko usinyamasiye haya mrekebishe ju huyu ametawaliwa na majini nakudhània wakristo NAO ni watu wa majini
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
jini unasemaje huyu nijini tena jike
@user-le4wr7mq6v
@user-le4wr7mq6v 23 күн бұрын
Kumbe hawa watu imani yao kali wameiga kwa majini mwenye akili timamu hawezi kuwa muislam ni mpuuzi tu
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
majini huyu naye ana jini usipingane
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Ай бұрын
Waislamu hujadiliana na wa Christo kwa sababu ni amri kutoka kwa mwenyezi Mungu, ila elimu ndani ya uislamu, ni Pana sana na inahitaji mtu mwenye kutumia mental capabilities vyema. Wakristo hamna akili na hampendi kufikiria.
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
Kama waislamu Wana akili mbona Marekani kila siku anawatandika na kuchukua rasilimali? Kama mna akili mbona Macca na Medina zinalindwa na Mifumo ya ulinzi wa Marekani? Kama mna akili mbona waganga wote wa kienyeji ? Kama mnaakili mbona gudunduzi nyingi zinatoka magharibi?
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Ай бұрын
Ukraine ni waislamu? Congo ni waislamu? Africa ilivyocolonaiziwa mpaka Sasa ni waislamu? Ndo Nika Sema hamna akili, Ata hufikirii kabla ya kuuliza swali. Fanyisha akili kazi siku ya qiyama mwenyezi mungu atakuuliza ulitumia akili vipi?
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Ай бұрын
@@joshuajohn8533 pia hauna uelewa wa mambo ya politics, ndo nikasema hampendi kusoma, mpaka msomewe na wachungaji. Piga research kidogo usiropokwe tu. Unazidi kuonekana mjinga.
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Ай бұрын
@joshuajohn8533 technology is at your fingertips, use it.
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
sasa wewe mwenye akili nyiiiiiiingi na bado upo gizani
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 Ай бұрын
Ikiwa mnaiamini Injili ya YESU MBONA hamuitangazi tena mnamkana Mungu Yesu Kristo?
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 Ай бұрын
Kwani yeye mwenyewe Yesu alisema Mimi ni Mungu??
@AzizaNurdin
@AzizaNurdin Ай бұрын
Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe mungu wa kweli na wa pekee na yesu kristo uliyemtuma.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Yule jamaa anachuki dhi ya muislam? Sasa sikuizi wanalimana wenyewe na ndacha kuhusu usabato.
@dullahfar7775
@dullahfar7775 Ай бұрын
Yele Daniel sijapata kuona mkiristo bwege kama yule
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 күн бұрын
Bwege maana yake nini,unapenda kusifia hata uchafu
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
Mtume Muhammad heti katumwa na Mungu? Kwaiyo Mungu alishindwa kumfanya ajue kusoma na kuandika? Mungu huyo Mimi simtaki maana kunavitu anashindwa ndomaana allah atumtabui kama ni Mungu WA kweli hataki kuitwa baba wakati Mungu WA Musa anakubari Wana wa Israel ni wanaye torati 14:1
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
allah si ni shetani mwenyewe
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Uwo ndio upuuzi wenu mliokua nao Mungu hufanya kitu vile anavo taka yeye sio unavo taka wewe, kwani hakuna mkiristo mwenye ulemavu mbona wewe hauna ulemavu au kama unao mbona wenzio hawana lazima akili zenu muwe mnazitumia vyema
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
​@@favoritebrayoAllah atakuongoa In Shaa Allah
@favoritebrayo
@favoritebrayo Ай бұрын
@@MohamedAhmada-ie7ke sisi na nyinyi nani hawatumii akili my friend?
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
@@favoritebrayo kama wewe utakubaliana na ayo mawazo ya uyo mwenzio na wewe pia utakua hauna akili
@BadruHisha
@BadruHisha Күн бұрын
K wakweli weye nimwalimu kweli
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 19 МЛН
MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI
31:52
TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOSAVE MAISHA YANGU.
42:22
THE PROFESIONAL TOURGUIDE SCHOOL
Рет қаралды 1,9 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.