No video

USUSI UNALIPA MAREKANI | ISIKILIZE SAUTI YAKO YA NDANI NDIO MAFANIKIO YAKO

  Рет қаралды 9,683

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Evelyn ambae ni Mausi anaishi Marekani, ameeleza Safari ya Maisha yake, mahusiano na ujasiliamali
Namna ndugu wanavyorudisha nyuma watu na uzuri na changamoto za kuishi Marekani
Anakwambia ususi unalipa Marekani

Пікірлер: 53
@user-wq4zq7rn1v
@user-wq4zq7rn1v 8 ай бұрын
Kwa kweli unatutia moyo kwa sisi tunatamani kufika Mahali fulani Mungu awabariki sana
@estermgata9617
@estermgata9617 8 ай бұрын
You are quite right, maisha ya huku North America ni ghali.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 8 ай бұрын
Nilichogundua ni kwamba Shena una IQ kubwa sana japo sikujui ila kwa muonekano tu nimegundua hilo.
@WinWilly4162
@WinWilly4162 7 ай бұрын
Ahsante sana Dada's Evelyn na shena..
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 8 ай бұрын
Ahsante sana Shena. Nimejifunza kwa kujiandaa na utafutaji kila mara.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
Thanks dear Evelyn kwa kutufunza
@dayana5513story
@dayana5513story 8 ай бұрын
God bless you Evelyn❤
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 8 ай бұрын
Kaongea ukweli wote. Asanteni nyote
@user-ly6xz5zf7n
@user-ly6xz5zf7n 8 ай бұрын
Apo kwenye Miami,Miami kila mtu ana shape nilikua si choki kushangaa😂😂😂
@BerthaKihanga-qd5hy
@BerthaKihanga-qd5hy 8 ай бұрын
Kaz nzuriii mnoooo.
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 8 ай бұрын
Nice interview ❤️
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 8 ай бұрын
Congratulations Evelyn
@Abuu-bakarAbdullah
@Abuu-bakarAbdullah 8 ай бұрын
Ahsante shena
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 8 ай бұрын
Mpaka nilipo fika kuskiliza interview yako ni nzuri maneno yako yamaana sana. Huna mengi ya kulaumu na bado unaishi huko.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
Marekani ubaguzi upo na nimkubwa ,tena wabaguz wa kwanza ni wa marekani weusi , akikupenda jua anafaidika na wewe 😂 nje ya hapo kwa nlipokaa mie weee ubaguzi upo , kuna kauvhoyo flan kikubwa uwe positive kuishi na watu wa tamaduni nyingine kwa akili na pia jimbo gani unakaa , maana nimewahi kaa sehemu ukiwa hukohuko unahisi uko AFRICA 😅😅😅 ALAFU UKIENDA MASAA 2 NDANI YA NCHI USA UNAONA UKO USA , BUT INATEGEMEA NA ULIPO GREAT SHARING
@kaupigwe
@kaupigwe 4 ай бұрын
Very true the police will stop and ask you if you're ok.
@helinahenry2363
@helinahenry2363 8 ай бұрын
❤❤
@vickysteven1172
@vickysteven1172 8 ай бұрын
😂😂😂😂 kwa kweli ni huzuni
@sovajulius3870
@sovajulius3870 4 ай бұрын
Eve yupo Bomba Sana Kuna siku alipost anaingia sijui Macdonald au Nini kunywa soda akapost wabongo wivuuu wakaanza oooh ushamba unapost kila kitu eeeh jamani Sasa kuingia Marekani mchezo Eve post hata ukiwa unaoga
@peterdismas7480
@peterdismas7480 8 ай бұрын
Eveline hongera, wewe unampango gani wa kusaidia mabint wa kitanzania wenye kipaji kama chako kuja kufanya kazi huko
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 8 ай бұрын
Mausiano ya mbali mwanamke akiwa mwaminifu na hana mambo mengi ni rahisi sana kutobowa maana anakuwa hayumbishwi na chochote na kama mwanaume akiwa namsimamo ataona waz uyu mwanamke ni sahihi kuowa na kujenga nae maisha
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 ай бұрын
Ila uaminifu unapaswa kua kwa wote, mwanaume na mwanamke 🤷‍♀️
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 8 ай бұрын
100% @@OfficialDatingAssistance
@reginanicolas8720
@reginanicolas8720 8 ай бұрын
​​​@@OfficialDatingAssistance naomba kuuliza my dear vipi kuhusu utamaduni unaotumika hususani kwenye tendo la ndoa?Ni vema pia ukaliongelea hilo maana sisi huku tuna myth kuwa wazungu wanapenda pia kuingilia watu kinyume na maumbile.Please ongelea pia utamaduni wa tendo la ndoa hususani kwa wanaondoa kwa ajili ya kipata uelewa.
@marthakunaga7347
@marthakunaga7347 7 ай бұрын
​@@reginanicolas8720miaka ya nyuma nimekua nikiwaogopa wazungu sbb ya maneno ya kuaminishwa kuhusu mapenzi kinyume na maumbile.Ndugu yangu hakuna ukwl wowote.Kana inatokea mtu anataka hvo anakuweka wazi,na kama hupendi hawez kukufanyia.
@user-px2le5ty9u
@user-px2le5ty9u 6 ай бұрын
Nakufatilia sana uko vizuli sana
@estermgata9617
@estermgata9617 8 ай бұрын
Evelyn, I am so proud of you. If you have an interest in braiding, you may opt to start a business in sister locks. It really pays. One day appointment ranges up to 1,000 dollars. Therefore, you can potentially make lots of money.
@user-ku1hp1ur6h
@user-ku1hp1ur6h 8 ай бұрын
Duka lake liko wapi?
@nitwelesimon4303
@nitwelesimon4303 7 ай бұрын
My dear Mimi nataka Product Original za ngozi Naomba Namba yako
@dn.n4983
@dn.n4983 8 ай бұрын
Mazungumzo mazuti
@loycemukali2195
@loycemukali2195 8 ай бұрын
My dear shena naamini u mzima wa afya njema mm nimejiunga na app yako lakini namna ya kulipa ninataka kulipa kwa njia ya simu na pia ninataka ile app ya dini y kisabato pls nielekeze
@AshaMohamed-ib4le
@AshaMohamed-ib4le 8 ай бұрын
Kwakweli mi napnda kuish bize bize huk kunanifaaa kabc
@NeemaShababi-nu8dr
@NeemaShababi-nu8dr 4 ай бұрын
Mi nataka suti
@oliverlyimo1972
@oliverlyimo1972 7 ай бұрын
Hakika hii nchi ni kupambana tu ukiwa na kitu pambana ukifanye
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
NAFIKIRI ULIKUWA WAKATI WA MUNGU TU MY DEAR NA ALIKUPA NJIA NYEPESI , HAKUNA CHA ZIADA HAPO ,UNAWEZA FANYA KILA KITU MWENYEWE LAKIN KAMA MUNGU HAJARUHUSU UTASUFFER
@samniza1763
@samniza1763 8 ай бұрын
Ni tabia tu za ndugu zetu, sisi wengine mbona sio watu wa mitandaoni lakini utaombwa pesa wewe na mtu hata humjui ni ndugu lakini humjui, ooh namba mil. 1 looh!
@ashaidei5680
@ashaidei5680 8 ай бұрын
Ni kweli kabsaa eti upostii kazi yako si ndio itakua shida kabsaa.ila watu wamesahau zamani tulikua na album ndani wageni wakija wanaitazama kwa hiyo ni tabia tu inayokomaa.
@aminakassim831
@aminakassim831 8 ай бұрын
Ukitaka kwenda Marekan tiketi ni dollar ngap na ukitaka kwenda huko labda kujiajir kama hivo labda kusuka unaanzia wap
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 ай бұрын
Kama umeisikiliza video vizuri Kasema ndoa ndio iliyompelekea Marekani Kwa wanaohitaji kwenda wenyewe tu basi mumuone EBM scholars
@KhadijaMiteya-hh8xl
@KhadijaMiteya-hh8xl 8 ай бұрын
Napenda mafuta mazuri ya mwilini napataje?
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 8 ай бұрын
Hv mtu kama huyo dada aliejiajili kwa kusuka na kuanzisha biashara Tanzania anawezaje kutengeneza credit yake apo USA ili maisha yaendelee kwa uzur??
@mwanamnyika4085
@mwanamnyika4085 8 ай бұрын
Kusuka Bei gani kwa uko marekan na pamoja na Rasta niulizie Hilo swali da shena
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 ай бұрын
Nimeuliza na kajibu hapo
@oliverlyimo1972
@oliverlyimo1972 7 ай бұрын
Mh? Jmn hiyo state gani nywele $800? Uwii huku niliko haizidi $300
@kizasango9400
@kizasango9400 4 ай бұрын
😳😳na mimi nimshangaa
@annatemu4488
@annatemu4488 8 ай бұрын
Everlin anatumia jina gani Instagram?
@NeemaFabiola
@NeemaFabiola 8 ай бұрын
Hello.eveline.mimi.niko.hapa.marekan.naomba.namba.yako.yasim
@user-ly6xz5zf7n
@user-ly6xz5zf7n 8 ай бұрын
Apo kwenye Miami,Miami kila mtu ana shape nilikua si choki kushangaa😂😂😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 8 ай бұрын
Nilichogundua ni kwamba Shena una IQ kubwa sana japo sikujui ila kwa muonekano tu nimegundua hilo.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 ай бұрын
Thanks I take it as a compliment 🙏
@user-ly6xz5zf7n
@user-ly6xz5zf7n 8 ай бұрын
Apo kwenye Miami,Miami kila mtu ana shape nilikua si choki kushangaa😂😂😂
@user-ly6xz5zf7n
@user-ly6xz5zf7n 8 ай бұрын
Apo kwenye Miami,Miami kila mtu ana shape nilikua si choki kushangaa😂😂
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
😂😂😂
WANAUME WA KISWAHILI WANAMAISHA MAZURI ULAYA KULIKO WAZUNGU
40:31
Official Dating Assistance
Рет қаралды 8 М.
WAZUNGU WANAPENDA KUKUHAMISHIA STRESS NA NDIO ZILISABABISHA TUTENGANE NA MWENZA WANGU
1:21:40
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 26 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,6 МЛН
KAZI ZA KULEA WATOTO NA KULEA WAZEE UJERUMANI | MAPENZI YA WAZUNGU SIO YALE YA TELEMUNDO
55:20
SIMULIZI MPYA - MILELE
2:05:16
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 46 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН