Huyo mdudu ni kweli yupo na nilimkanyaga kipindi cha nyuma sana nikiwa naenda kazini, nilipapita na kuzunguka bila kupaona kwa masaa mawili baadaye nikakutana na mtu akanishitua ndio akili ikarudi
@ChenchiKing4 ай бұрын
Nawapenda Xan Hawa Watu 🎉🎉
@hellenmudanya92074 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤machinations Steve ajui.
@RichardJonathan-on4ql4 ай бұрын
Vijana mko vizuri sana😢😢
@MercyKahindi-go2nr4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ndaro Na Steve mtaniua SKU moja😂😂 much love from kenyaa
@Bushman54444 ай бұрын
Steve always anijiingiza taabani ❤🇰🇪 .
@tayk47454 ай бұрын
IFIKE HATUA MKUE MAFALA NYINYI😅😅
@pastorbaraka4 ай бұрын
Pumbavu
@hamadihamisiambale89434 ай бұрын
Steve yuatka maombi na akili zake.more love from doha .kama wamkubali steve gonga like yako
@barakakifyasi69594 ай бұрын
Nitafutie kaziii pande hzoo ndgu
@GuylainMichel4 ай бұрын
Stiven naku kubali sana toka Congo DRC🇨🇩
@Fokalino4 ай бұрын
Kati ya steve na ndaro unamkubal nani et ❤😊
@thadeobinga4 ай бұрын
Sijachelewa jaman like bac
@LazaroDalodi25 күн бұрын
Poa
@mumberearistote85184 ай бұрын
Wakwanja basi likers zangu🤝🏾
@christinenangoni80634 ай бұрын
😂😂😂😂kaacha wenzake wengine wapi 😂
@SamuelMangala-os8nm4 ай бұрын
Smjp4 apa ndaro naomba like zangu
@Natasha.suzane-4 ай бұрын
Cool
@mishastationary3994 ай бұрын
nakupenda sana steve😬😬😬😬😬
@OmarAli-vj9kg4 ай бұрын
Wakwanza kukomet naomba like moja
@francismuthiani3494 ай бұрын
Kwekwe ipigwe marufuku kabisa tz sasa uyu Steve &Ndaro wanatuuuwa Kwa kichekoooooooooooo 🤣🤣🤣🤣.
@cyamatareealexis1373Ай бұрын
Sasa Steve na Ndaro munachanganyikiwa mpaka na huyo Boss mwenyewe mnamucjanganya😂😂😂😂😂
@frankkihinga37032 күн бұрын
Daaaaaah hawa jamaa wanatulia mb kwa vicheko tu😂😂😂😂😂😂
@BrianKhan-nq7ob4 ай бұрын
Mambo zenu wana steve comedy paoja na nyie marafiki mnao fuatilia steve mweusi hivi mwajua kama saiz 🇯🇲 hamna mpinzani kwenye anamweza steve wakupinga apinge tu ila mimi kama khan namkubali steven mwanzo mpaka mwisho🇳🇦🔥🔥🔥
@user-oz2mz3zn1d4 ай бұрын
Stive na Daro bwanaa😂😂😂
@ZainaHalifa4 ай бұрын
Nimekua wa kwanza kuwafatilia Steve na ndaro naombeni like zangu
@hongomanyanya82334 ай бұрын
sasa kuwa wa kwanza ina mahusiano gn na like? acha ushamb
@MlokoziKamugisha4 ай бұрын
Qw😊😊😊😊😊 2:20 @@hongomanyanya8233
@JustinKambale-sf9ex3 ай бұрын
IYK
@Fokalino4 ай бұрын
Mimi naona steve amna ki2 yan kichaa 😂
@Ezekiandokeye4 күн бұрын
Vp ww
@elipidiusgerazi19244 ай бұрын
Mmebugi kweli😂mahukaji toka mwanzo anaonekana hawajuani na Steve mwisho anamtaja jina
@michaelmwashitete53814 ай бұрын
Like moja tuu 😁
@user-fx2mm6kx8e4 ай бұрын
Nipeni like zangu wakwanza mm
@CrimeMerci4 ай бұрын
Kazi kubwa kweli
@calvogb77284 ай бұрын
First kenyan jamani nipeni likes ata mm 🇰🇪
@Abdullaziz-f3lКүн бұрын
😂😂😂😂 mzee wangu Steve minyoosho
@omarbendera35922 ай бұрын
Ndaro kakimbia 😂steve NAE KAPIGWA eti selekali😂😂😂
@Kizboyog14 ай бұрын
Mini wagwaza nipeni like zagu
@ZakaboyMusa4 ай бұрын
Naombeni like zenu leo jamani pia nawakubali sana wanangu steven na ndaro.
@cyamatareealexis1373Ай бұрын
Aimumgemuuliza Hamadi kijicho ndio akawaelekeza pengine uko mkuranga pana makinjio😂😂😂