UTACHEKA UTANI WA DOTTO MAGARI NA BOSS WAKE ISSA TAMBUU ,AKISHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE ,YATCH

  Рет қаралды 19,269

BONGO 24

BONGO 24

6 ай бұрын

Пікірлер: 23
@MetrixJohn-cx5jb
@MetrixJohn-cx5jb 6 ай бұрын
Mimi namkubali sana Huyu Issa tambuu sababu mambo yake yote lakn nimtu wa kumtaja Allah sana na Pia havuuki mipaka hadharani humuoni kuvaa cheni wala vipini
@MetrixJohn-cx5jb
@MetrixJohn-cx5jb 6 ай бұрын
Na kukubali sana lssa endelea kuwa karibu na mungu nafuatilia sana clip zako nakuona nimtu huchezi mbali na Mungu kwenye kauli zako
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 6 ай бұрын
Allah akupe miaka ming kwel ikimtii MUNGU anakupa nguvu
@Marjeby
@Marjeby 6 ай бұрын
Mie kwetu Gongoni Tabora jirani sana na Kiloleni sehemu anayotoka Issa Tambuu na sehemu hiyo Kiloleni kutoka mtu kama Issa Tambuu mtu wa dini mnyenye kevu asio na makuu ni jambo la kumshukuru sana mungu sana Kiloleni ni sehemu vijana wamevurugwa vibaya sana kuna kila ushenzi
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 ай бұрын
Dotto haribu haribu tu kila sehemu😂😂😂😂
@skybatech7956
@skybatech7956 6 ай бұрын
😂😂😂
@KarimOmar-fp5kq
@KarimOmar-fp5kq 6 ай бұрын
Big up tambuu motors
@MetrixJohn-cx5jb
@MetrixJohn-cx5jb 6 ай бұрын
Matajiri wengi Wakipata huona ni bidii zao sio mungu na ndio ukaona mambo yao husherekea kishetani mapombe wana wake na maasi yote ila huyu m2 ni tofauti sana namkubali sana mm
@MusaAgwallo-uy5ic
@MusaAgwallo-uy5ic 5 ай бұрын
insha'Allah upo vzr kaka Issah Tambuu
@user-qv8jb5tj9l
@user-qv8jb5tj9l 6 ай бұрын
Doto anaogopa maji hahaha
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 5 ай бұрын
Namuona bodyguard wa Diamond zamani
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 ай бұрын
Na Mimi natafuta bodyguard asimame na kununa pembeni yangu😂😂😂😂😂😂
@BerthaModest
@BerthaModest 6 ай бұрын
Wanakodishwa kwa siku elf 10😂
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 ай бұрын
@@BerthaModest 😀😀😀😀Mimi natoa 50 kwa sababu mm muhaya😂😂😂😂
@madieugendo4950
@madieugendo4950 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j 5 ай бұрын
Mwarabu fight namuona Kwa mbali
@AmiriMalenge
@AmiriMalenge 5 ай бұрын
Uyo bausa mbona kama ni David moringa😂😂
@aliawadh9825
@aliawadh9825 6 ай бұрын
Issa yupo very low profile ..safi just chill bro
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd 6 ай бұрын
Sherehe gan hamna mabinti
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 ай бұрын
Mashallah
@khamisjuma-ko5vp
@khamisjuma-ko5vp 6 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 6 ай бұрын
Eeeeehee moringa kawa bod gud
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 ай бұрын
Mashallah
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 86 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4,7 МЛН
MAKAMPUNI 7 KUJENGA NYUMBA YA BABA LEVO KIGOMA
2:30
SEVEN MEDIA
Рет қаралды 1,7 М.
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 2,9 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
0:16
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 4,7 МЛН