🔴

  Рет қаралды 27,139

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@globaltv_online
@globaltv_online 6 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Mohaa4309
@Mohaa4309 6 ай бұрын
Huo mziki niwa nn na mko na Sheikh hapo????
@FatmaSalim-bd9ix
@FatmaSalim-bd9ix 3 ай бұрын
Mambo ya Familia kuelewana na kukwaruzana umeelezea vizuri Mashallah ila ya kuwa na wake wanne au zaidi ya mke mmoja kidogo umepitiliza ,kwani kuna hata wagonjwa wako na zaidi ya mke mmoja ,na kuna baadhi ya mwanamke kwa kweli anawakilisha uwezo na nguvu na utaratibu wa kimaisha zaidi ya wake wanne…yaani anajimini kisawasawa,na Allah awabariki wanawake wote wanaojua wadhifa wao Inshallah.
@littlelunie.7653
@littlelunie.7653 6 ай бұрын
Katika wingi wa siku kuna wing wa maarifa Una hekima sana Shekhe Nmependa Hekima zako Dr Mungu akuongoze na akuzidishie maarifa na Hekima
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 6 ай бұрын
Doctor akiendelea kunguruma kwenye media.akiutangaza ufalme WA MwenyeziMungu na dini yake.safi Sana.Allah akulipe heri duniani na akhera
@Mohaa4309
@Mohaa4309 6 ай бұрын
Safi sana nn ,anayoongea ya Majini huyaskii?
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 6 ай бұрын
​@@Mohaa4309ameulizwa kuhusu majini!ndo ameeleza majini niviumbe wasio onekana tunaamini yapo au?? ni nini tatizo tuhabarishe wewe unae fahamu zaidi kuhusu hao viumbe
@mohamedswalehe4777
@mohamedswalehe4777 6 ай бұрын
Safi sana na kuna mapigo ya muziki?! Mmekuja kuwaje waislam mnapuuza vitu vidogo vidogo ila mnakua kama mnahalalisha mambo
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 6 ай бұрын
@@mohamedswalehe4777 ktk mialiko studio wanawakosea wanatakiwa kujua mgeni wao ni mtu wa aina ipi! Lkn sheikh Sulle nadhani ameghafirika tu kuhusu huo muziki wa studio,angesha waambia waondoe mziki,Allah atusamehe sote kwa kughafilmrika kama binadamu hatukosi mapungufu
@IbrahimKussaga
@IbrahimKussaga 6 ай бұрын
Anatangaza ufalme wa shetani
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 4 ай бұрын
Mashallah Kwa kuichambua 🎉🎉ww kiboko
@FatmaSalim-bd9ix
@FatmaSalim-bd9ix 3 ай бұрын
Yaani mambo ya kifamilia khususwan kisakolojia nimependa unavyowalewa wanawake na ndiyo maana Allah amekufanikisha kukaa na wake zako vizuri na Allah awajalie familia zote ziwe na amani na upendo na baraka,khaswa zenye changa MOTO…
@Mnyalu-q6q
@Mnyalu-q6q 3 ай бұрын
Dkt upon vzr sana
@MohmmedGandhi-zc9wo
@MohmmedGandhi-zc9wo 6 ай бұрын
Sule unailimisha hio suratulfatihah wingi hawajui usemayo nimesoma kitu shukran
@hawasaid5286
@hawasaid5286 6 ай бұрын
i ptay that one day you will meet the living God
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 6 ай бұрын
Your living god supports gaysim! Stupid.😡
@AdowIbrahim-ck3vp
@AdowIbrahim-ck3vp 6 ай бұрын
Masha Allah good
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 27 күн бұрын
Naomba namba za dr sule
@littlelunie.7653
@littlelunie.7653 6 ай бұрын
Maneno ya hekima sana Dr hayo maneno
@Midayakubet
@Midayakubet 6 ай бұрын
Jamani ndugu hapo studio naomba namba za sule kwajiri ya ushauli
@hawasaid5286
@hawasaid5286 6 ай бұрын
tunaishi siku za mwisho.....
@hajiyusuf3837
@hajiyusuf3837 6 ай бұрын
Kwa hiyo quran ndivyo inavyoeleza kuhusu ndoa ama maarifa yako tu!fata maelekezo ya mkuu darajaS.A.Wassalam.
@VeronikaJoho
@VeronikaJoho 6 ай бұрын
Niko na mk wangu nimekupat dokta Sule akubarik mung
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f Ай бұрын
Leo umepaka wanja umependeza kweli kweli
@Shariffshariff-q7j
@Shariffshariff-q7j 6 ай бұрын
Mnatiya music wakati mnaongeleya maneno ya Allah,,ujinga huo pia ni usheytwani...
@karimdaud3993
@karimdaud3993 4 ай бұрын
Kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa .hakuna barka ndio moja ya sababu .DR SULE PIGA VITA KUONJANA.
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 6 ай бұрын
UO MUZIKI WA NINI KWENYE BACKFROUND ?WACHENI USHAMBA
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 6 ай бұрын
Tunakuaminia baba
@linkreuben3108
@linkreuben3108 6 ай бұрын
Huyu anatumika kwenye propaganda. Hatari sana!
@IsmailYussuf-km5nl
@IsmailYussuf-km5nl 4 ай бұрын
Dr.Sule.Kweli Umepotea.Umewapoteza wengi.
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 29 күн бұрын
Hajapotea
@hawasaid5286
@hawasaid5286 6 ай бұрын
tunakoenda ni kubaya zaudi
@FatmaSalim-bd9ix
@FatmaSalim-bd9ix 3 ай бұрын
Mtume ametakaswa na madhambi yote ibada yake haina uhusiano na kusamehewa dhambi kwani mudhnib ndiye anayesamehewa Mtume saw hana anachokifanya wala kusema kwa matakwa yake ila ni kile alichoamrishwa na MOla wake.
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 29 күн бұрын
Mwiteni tena shehe sule await
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 6 ай бұрын
Sasa Mbona kunabiti y’a singeli upunbavu huu
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 6 ай бұрын
Dk Una baya
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 6 ай бұрын
Sule ni mkweli, Mimi ni shaidi, wanaadamu kuwa hawawezi kuyakubali ila ni kweli.
@IssaBacar-i2i
@IssaBacar-i2i 6 ай бұрын
Dr naomba Allah anijalie akili yako niirithi.
@MalewaKapala-qi8ij
@MalewaKapala-qi8ij 6 ай бұрын
Dr sijawahi kuchoka kumsikiliza, huyu jamaa ana akili Sana. Iko siku ntajitahidi nikutane maybe live, yapo maswali yangu nataka nimuulize
@ZuhuraChuma-si4wv
@ZuhuraChuma-si4wv 6 ай бұрын
Uyu mtu anajua anakipaji
@alimau7939
@alimau7939 6 ай бұрын
Huyo ni selemani anaimbwa na wasanii
@rajaboally8687
@rajaboally8687 6 ай бұрын
Docta muongo
@khadijaa815
@khadijaa815 6 ай бұрын
Hayo masuali ya kijinga wanaume pia wanauliza km mpo nyote chumbani kukagongwa mume anauliza nani uyo wakati nyote mpo ndani
@feiswalislam8465
@feiswalislam8465 6 ай бұрын
Mbona bro watusi sipowa
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 111 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН