UKISTAAJABU YA MUSA..?? MTOTO ATELEKEZWA KWENYE BAJAJ NA MAMA ATOKOMEA KUSIKOJULIKANA

  Рет қаралды 105,182

Nitetee TV

Nitetee TV

Күн бұрын

Пікірлер: 357
@wemaroy1535
@wemaroy1535 3 жыл бұрын
Jmn wengne tunatafuta watt lkn wengne wanawatupa eeeh ALLAH 🙏 nijaalie kizazi chenye hofu juu yko na chenye Aman,furaha na upendo ndan yke🙏😭
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 3 жыл бұрын
Amina Kipenzi roho imenikata mno jaman uwi
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 3 жыл бұрын
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 жыл бұрын
😭😭😭 nakwambia
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
@@Iragibarune1. Amin😭😭😭😭
@thomasijonasi9375
@thomasijonasi9375 3 жыл бұрын
@@shanimbaruku2071 yct5f Ym
@tabbywamtz501
@tabbywamtz501 3 жыл бұрын
Woi jamani dada flora naomba unipe huyo mtoto nitamlea mie ni mkenya 😭😭jamani watu wanamuomba Mungu awape mtoto hawaja pata, lakini waliopewa hawawathamini inauma kwa kweli 😭
@deograsiasjohn9747
@deograsiasjohn9747 3 жыл бұрын
Jamani kwani huko mwanza kunanini 😭😭 Mungu atunusuru Jamani Mama unabeba mimba miezi 9 leo unatupa Mtoto huko alipo mkono wa Bwana yesu umhukumu Tu 😭😭😭
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Nahisi huyu mtoto baba ake ni huyu dereva bajaji hapeleki matumizi hivyo kaletewa mwanae akamtibie, muangalien huyo ongea yake.
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Umewaza kama flora kahisi hivo
@irinemagongo7154
@irinemagongo7154 3 жыл бұрын
Kwer kabisa ni yeye kwan kabita bajaji ngapi
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Jamani msihukumu msjie kuhukumiwa nyie wenyewe
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 3 жыл бұрын
Mtoto kafanana na huyo dereva bajaji
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
@@fainajaffary4070 ni mwanae na amekubali kumhudumia
@rachaelnjeri8412
@rachaelnjeri8412 3 жыл бұрын
Aki mtoto mrembo kweli,God bless you sana dada flora.following from kenya
@marymmarymo9262
@marymmarymo9262 3 жыл бұрын
Jamani mamiiii flora ili alijaisha unakutana na lingine, unamoyo wa upendo na uvumilivu kwakweli 😍😍
@mariamumuhamedi7422
@mariamumuhamedi7422 3 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu duniani ili uendelee kusaidia zaidi mungu akubariki dada frola
@rayjuma1898
@rayjuma1898 3 жыл бұрын
Dada mungu akupe nini
@rayjuma1898
@rayjuma1898 3 жыл бұрын
Mtoto muzuli kweli jamani
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Huwenda huyo Dereva wa Bajaji ndio Baba ake pengine hapeleki matumizi ndio karnda kymtupiya muulizrni huyo Dereva.
@juliasmihwela1326
@juliasmihwela1326 3 жыл бұрын
Nikweli inawezekana maana hawezi kuja kumuweka bila kuoneka
@mourineongoi5502
@mourineongoi5502 3 жыл бұрын
Hata statement ya huyo dereva
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
🙄😳
@salmaabduli700
@salmaabduli700 3 жыл бұрын
Usimpoz mwezako kwamaerez yako
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
@@salmaabduli700 Hivi fikiria kazipita Bajaji ngapi hapo unataka kusema hiyo ndio ilikuwa ya kwanza?? kwenye folen.
@rahmaomary8021
@rahmaomary8021 3 жыл бұрын
Uyo mtt ni wauyo musndesha bajaji kwasababu maelezo yak ayajajitosheleza hata kidogo
@alimaamwangome466
@alimaamwangome466 3 жыл бұрын
😂😂wanafanana kisha
@grace-st2bc
@grace-st2bc 3 жыл бұрын
Aki da Flora sijapata kuona mwanamke mwenye roho kama yako Mungu akuzidishie na akufungulie milango yako yote
@yolo5261
@yolo5261 3 жыл бұрын
Mnipeni mimi jamani 🥺
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Daaa inauma jamani mtoto mzuri sasa ukiona hivo huyo mwenye huyo mtoto ameoleka kwengine sasa huyo mwanaume hamtaki huyo mama Mungu anamuona pole sana dada flora mungu akubariki.
@fridasanga7923
@fridasanga7923 3 жыл бұрын
Damu ya yesu kristo imponye huyu mtoto mungu akubariki dada
@munimuni3365
@munimuni3365 3 жыл бұрын
😏
@tanzaniat7151
@tanzaniat7151 3 жыл бұрын
🙄
@Sandra39823
@Sandra39823 3 жыл бұрын
Hmmmm 😏😏😏😏yaani nyinyi na hizi damu zenu, miaka yote mpaka wa leo mungu wenu anavuja damu 🤨🤨🤨🤨😅😅😅
@munimuni3365
@munimuni3365 3 жыл бұрын
@@Sandra39823 🤣🤣🤣unachekesha
@Sandra39823
@Sandra39823 3 жыл бұрын
@@munimuni3365 uwa wanakuwa kama comedy, jiulize, miaka zaidi ya maelfu mungu anaunguza kidoda cha kuvujika damu.
@apichitseso3073
@apichitseso3073 3 жыл бұрын
Mtto mzur mashallah lkn daah mtiani gan ymekukuta pk ukafanya uamuz huu😓😓
@arnesyaurio6346
@arnesyaurio6346 3 жыл бұрын
Asante sana dada Flora 😢kwa kumuokoa malaika huyo Mungu akuzidishie roho ya imani 🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤❤❤
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Huyo mtoto ameshakuwa na sura ya kutambulika anavyotangazwa mama ake atajulikana tu.
@fariarizaq7528
@fariarizaq7528 3 жыл бұрын
Oh my God mtoto mrembo sana mashaallah mashaallah dada flora Allah akubariki sana huyu malaika jamani amekosea nini wamama jamani tuwe na roho ya ubinadamu 😭😭😭😭
@oumsamia7382
@oumsamia7382 3 жыл бұрын
Kher hvyo kuliko agemua
@josephjohn9578
@josephjohn9578 3 жыл бұрын
Dada flola mungu akutia nguvu uendelee Ku na moyo huo huo
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Yani na mimi niiwaza hivyo hivyo Flora huyo dereva wa bajaji ni baba mtoto atakua alikataa mimba sasa baby mama kaja mtupia mtoto wake Subhallah Inna ilayhi wa inna lillah rajuni we Mama uliye tupa mtoto mzuri hivyo Mungu ana kuona hata kama jamani kibaya chako Subhanallah 🥲
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
LAHAULLAH 😲😲 . Mama mtoto atapatikana manake imefika kwa mtandao na watapatikana wanaomjuwa . Hongera sana Dr. Flora ubarikiwe sana. Kumbe anaskia Jamani sio kiziwi waliviosema .
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
KABUGI ALIYEMTELEKEZA MTOTO ANA MAJIRANI MTOTO SURA INASEMA KHAA!!
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Yeeeees tena kabisa . Majirani wamesha muona .
@abigaelmabuga1315
@abigaelmabuga1315 3 жыл бұрын
Mtoto mzuri sijui mama yake anajisikiaje kumuacha mtoto wake😭😭😭
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Masikini
@habibahabiba7128
@habibahabiba7128 3 жыл бұрын
Inaonekana anapitia mtihan kutokana na mtoto vile haongen na bado miguu imelegea, ila asichokijua ni kuwa yampasa kushukuru wa yote
@abigaelmabuga1315
@abigaelmabuga1315 3 жыл бұрын
Ni kwel ni mara mia angeomba kusaidiwa kuliko kumtelekeza mtoto alohangaikanae mimba hadi huo umri.Wapo wamama wanalia ucku na mchana ila hawajabahatika hata kuujua uchungu ulivyo
@rafbrownmose4310
@rafbrownmose4310 3 жыл бұрын
@@abigaelmabuga1315 jaman inaniuma Sana nahangaika kutafuta mtt wengine wanawatelekeza ee mungu naomba unisaidie nami niweze kupata mtt
@abigaelmabuga1315
@abigaelmabuga1315 3 жыл бұрын
@@rafbrownmose4310 Mungu akupe hitaji la moyo wako,mpendwa!🤲🤲
@mwajumajumamwajuma6400
@mwajumajumamwajuma6400 3 жыл бұрын
Da frola mwenyezi mungu akujaarie nakuombea kwa mungu mtetezi wawanyonge msaidizi wetu nakupenda nakupa salam kutoka oman Muscat love so much my mommy
@habbibty3274
@habbibty3274 3 жыл бұрын
Derva umeletewa mwanao huyo huenda ndo rizk yako amchukue tuu 😭😭😭jamani mtoto mzuri
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 жыл бұрын
Labda mtoto wake
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 3 жыл бұрын
Ni.mtoto wake kweli mama kashaeleza ni wzkwake huyu mwenye bajaji ni baba mzazi kabisa alaf anajifanya hajui anatakiwa achukuliwe hatua
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 жыл бұрын
@@mimahmimah1595 kumbe nilihisi ukweli
@emelivaly1720
@emelivaly1720 3 жыл бұрын
Dada. Flora. Namba. Sana. Mwenyezi. Mungu. akubariki. Tu. Sana. Hongera. Dadangu. Am. From. Kenya 🇰🇪.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Katoto karebu mashaallah mungu amkuze vyema amen 🙏.
@shamzone388
@shamzone388 3 жыл бұрын
Subhana allah hata kama sina pesa nitakachokula nitakula nae mtt wangu... Kumtupa mtt ni jarima kubwa....
@munguremary1627
@munguremary1627 3 жыл бұрын
Dada flora Mungu akubariki sana
@joharymussa5820
@joharymussa5820 3 жыл бұрын
Jamani huyu mtoto na huyu mwenye bajaji wanafanana itakua alimpa mimba mama yake kuhudumia labda hataki achunguzwe maana wanaume washenzi wanatia mimba kuhudumia wanasepa
@dianajohn3535
@dianajohn3535 3 жыл бұрын
Alafu ni mtoto wake kwel hujakosea
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 3 жыл бұрын
Maashalah kazuri sana jmn mungu akutunze mwangu ukue use na.afya njema. Da flora mungu akulipe.inshaalah
@sofyakahnsofya6049
@sofyakahnsofya6049 3 жыл бұрын
Dada flora mungu akusaidie katika kazi yako na pia ubarikiwe sana
@MAUREENMTV254
@MAUREENMTV254 3 жыл бұрын
Watu wakitafuta watoto na wengine wanatupa jameni karembo
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 3 жыл бұрын
umeona eeh
@mwadawasaid3566
@mwadawasaid3566 3 жыл бұрын
Tena sanaa
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Kulea mimba si kazi kulea mwana ndio kazi✋
@victoriasitephano2548
@victoriasitephano2548 3 жыл бұрын
oh baby girl 😘😘😘😘😘 uyo mama aliyemuacha uyo mtoto Zinamtosha kweli
@OmanOman-mc2bl
@OmanOman-mc2bl 3 жыл бұрын
Kaundime kitwana Yarabbi mungu wanawake tunakwama wapi kutuba watto jamani tuwe na uruma jmani ww ulietupa mtoto na ww ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje ata kma mwanaume akupi matumizi ya mtto usisubutu kufanya hivyo mungu apendi bora ungetafuta njia mbandara ikusaidie lkni selekali itasaidia na watu tofauti mungu atasaidia tu huyo mdada anapatikana kwa rehema zake ataonekana
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
Lkn Bola alivyo. Kuacha umo. Kuliko. Kwenda kumtupa polini
@anathsalum68
@anathsalum68 3 жыл бұрын
Jaman roho inauma mtoto msafi mzur manshallah mungu atamlinda
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
sasa itawafanya watu kutelekeza watoto kila siku iwapo km mtu kaacha mtoto anapelekwa kwa Flora anapelekwa skuli ptivate basi yamekwidha .ilivyo mzee mwenye kumtelekeza achukuliwe hatua na serekali hakuna jinsi kukomesha haya matesi ya watoto. mtu km huna uwezo kwa nini uzae ? family planning si zipo ? kamtupa kwa kuwa mlemavu ni mshenzi huyo mama na pengine ana matatizo ya afya atasema hana uwezo kumtibu . hii wizara ya ustawi wa jamii ina kazi gani ? km haiwatafuti hawa wazee ?
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Wizara ya ustawi wa jamii wangenipa hii nafasi ili niitendee vyema haswaa naumia sana
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Kweli kbs. Mwendo nipolic tu wastutanie kbs
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@jackyluns8224 ni jambo laku fight tu iko siku utafanikiwa .
@rehemarehema9839
@rehemarehema9839 3 жыл бұрын
Huyu mama anayo akili kwanni alimuleta kwenye bajaji kunasiri kaka aseme vinzur mtoto niwaoo
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Muweke karibu na huyo Dereva halafu muulize Baba yuko wapi wekeni wanaume hata wa 4 pamoja na huyo Dereva huwenda mtoto atamjuwa baba ake.
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Umeonaeeee, nahis ni mtoto wa huyu dereva coz namuona Kama anawasiwasi flani hivi
@namungolubala1788
@namungolubala1788 3 жыл бұрын
Jamani duniani kunamengi Mdogowangu flora unaonamengi sana kabisa Nambiye huyumama alietupa huyumtoto!!! Kwenye yeyeiko anajisikiaaje??? Warozi niwengi sana kabisa Dadangu Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu sana mno barikiwa sana
@pendodickson2878
@pendodickson2878 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 katoto kazuri jamani ,mungu akupe maisha maref dada flora
@ashuraissa7044
@ashuraissa7044 3 жыл бұрын
Huyo mtoto atakua wa deleva bajaji I
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Inauma sana 😭😭😭
@swaphiatysaid5332
@swaphiatysaid5332 2 жыл бұрын
Duh Wallah m cjawah fikiria k2 hko mwanangu ana miez 11 hajakaa na ana ulemavu kdg lkn nampenda kuliko chochote Wallah ctothubutu kumdhihaki wala kumuweka mbal namm nampenda sn mtt wng. Cjui hawa wnawake wengne wana majini au vp
@زينبعىر
@زينبعىر 3 жыл бұрын
Allah akusimamie na akulinde kwakila aina ya hasada kwakweli nimagumu unayapitia
@rajipamrema7732
@rajipamrema7732 3 жыл бұрын
Mungu akutunze umekua mtetezi wa watu wote ubalikiwe sana
@lailajeremia1259
@lailajeremia1259 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana Anti Fulora
@franciscaaugustino4305
@franciscaaugustino4305 3 жыл бұрын
Nashindwa kusema hata kitu, ila akina mama tupambane, wanaume ni kama pito tu ila uchungu tunaujua. Da Flora Twakupenda kuna vitu vingi sana unatufunza sisi akina mama
@ashuraissa7044
@ashuraissa7044 3 жыл бұрын
Jamani we Mama kwann unamtesa malaika huyu hajui chochote maskini inauma sana
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 3 жыл бұрын
Yan mtu kabisa akasema mtoto anafanana na mwenye Bajaji na kumbe ni wake kweli lakin mwenye Bajaji kakana kabisa wanaume nyie mungu anawaona
@cristerthomasy4978
@cristerthomasy4978 3 жыл бұрын
Jmn mtoto mzuri❤️❤️..... Lakini mbona kama Watu wameshaanza kuweka kamchezo kakutelekeza watoto..... Au mm mawazo yangu
@fredymaswimwita3091
@fredymaswimwita3091 3 жыл бұрын
Mungu akulinde dada yangu flora,,, unacho kifanya mungu atakulipa dadangu
@rendozrendo7804
@rendozrendo7804 3 жыл бұрын
Hello Dr . Mungu azidi kukujalia ktik majukumu yako ya kila siku . Nadhani huyo mama mtoto karukwa na akili. Mwenyezi Mungu amsaidie huko aliko
@fatumakingi9753
@fatumakingi9753 Жыл бұрын
Mungu atamtetea kiumbe uyo niko mbali lkn mngenipa mm
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Maashaallah mzuri sana mtoto
@ayoubjohn5934
@ayoubjohn5934 2 жыл бұрын
Jmn mbn watu hawana huruma lkn mungu mulinde huyo mtoto 🙏🙏🙏
@safaasaid7514
@safaasaid7514 3 жыл бұрын
Jamani mpimeni mtu wa bahati mbona kafanana nae kweli
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Kafanana na dereva bajaji
@lolinamfugale476
@lolinamfugale476 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama ang frola
@neemamushi9370
@neemamushi9370 3 жыл бұрын
Flora ushahidi wahuyo Kaka haujitoshelezi mtt niwahuyo kijana
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Kweli kabisa muangalie hata ongea yake na amefanana nae kabisa
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 жыл бұрын
Duh Mungu jaman wengine wanatafuta watoto wengine wanatupa dah
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 жыл бұрын
Huyo alokaa akiongea na mtt ndo mama ajabu hakumpiga picha na akakubali kumuachs mama kutoka
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Huyu dereva nina wasiwasi nae
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 3 жыл бұрын
Flora dear ndio naanza ujenzi jamani naomba nikimaliza mnipe huyu mtoto awe wangu daah namaanisha
@MAUREENMTV254
@MAUREENMTV254 3 жыл бұрын
Ok fika tuko pamoja
@moreenkasekwa9737
@moreenkasekwa9737 3 жыл бұрын
Inauma sana mama kwann umefanya hivyoo jaman mtoto mdogo huyu nimejikuta uchungu
@abdulqareemabdallah2579
@abdulqareemabdallah2579 3 жыл бұрын
Mashaallah mtt mzur jaman dah kwann Lakin mama kafanya ivyo
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 жыл бұрын
Ila ss wamama kwann tunapenda kutupa watt wa kike' hata Kama n mlemavu mgonjwa kwann unamtupa mwanao uliemzaa kwa uchungu" alafu mkikamatwa mnadai ugumu w maisha". Hamjui mitandao inaishi n kudumu jm
@afraalramadhani9159
@afraalramadhani9159 3 жыл бұрын
SubhnAllah..mama anabebe miba miyazi 9halafu unamtuba
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
MUNGU wangu uchungu unavyouma mm nimtupe mtoto wangu sithubutu hata aweje ni wa kwangu tu na atabaki kuwa wangu.
@cherrydinero7181
@cherrydinero7181 3 жыл бұрын
Dreva bajaj we2👌😋
@sadasalum8778
@sadasalum8778 3 жыл бұрын
Dah aisee wamama wengine ni mtihani sasa unamtupa mtt keshakua mkubwa ivo umeangaikanae weee alaf kisha unaenda kutelekeza kweli dah😭😭😭
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Mmmmh wamama wegine ovyo kama chai ya sahani
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 3 жыл бұрын
Mbona anafanana na mwenye bajajiiiiiiiiii
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Kumbe na wewe umeonaaaa
@janethmalaika5241
@janethmalaika5241 3 жыл бұрын
Huyo mama itakuwa anashida kidogo inaweza akawa hata na depression hana msaada kokote maana mtoto msafi sana mzuri afya nzuri tu .
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Nikweli, ila mi nahisi huyo dereva ndo baba ake alafu alikuwa hataki kumhudumia na mtoto ni mgonjwa
@zippypretty6949
@zippypretty6949 3 жыл бұрын
Mamake asipopatikana DNA na dereva ifanyika Alaaah
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
mtt mashallah ni mtihani sn wallah wazazi tuna roho ngumu sn
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Mana mtoto kafanana nae, dereva anaonekana kuwa na wasiwasi
@merytarimo7868
@merytarimo7868 3 жыл бұрын
Jamani jaman jaman da flora katoto kazur nimekapenda sina mtoto wengine wanatupa watoto mungu wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mariampaschal5937
@mariampaschal5937 3 жыл бұрын
Huyu mtoto siku akija kuiona hii ishu atajisikiaje jamani mama kamtelekeza kwenye bajaji kumbe mwenye bajaji ni baba yake nae baba kamkana sio mtoto wake ee mungu dada msaidie huyo mtoto mungu atakulipa 🙏
@ashuralwekika3048
@ashuralwekika3048 3 жыл бұрын
Da firo mbona mtoto kafanana na dereva wa bajaji???na mashaka da firo ahojiwe vzr dereva hyo
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Ni kweli hata Mimi nimeona hivyo itakuwa alikuwa atoi matumizi kwa mtoto
@ashuralwekika3048
@ashuralwekika3048 3 жыл бұрын
@@upendoabraham2942 ehee na ana kigugumizi kbsa eti huyo dada unamjua akasita eti namuonaga mpita njia hpn kwakweli mtoto wa dereva yaan mpk rangi wamefanana
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Mungu amponye na pia akumze huyu Malaika why 😭unazaa kwa uchungu wote unatelekeza mtoto hata kama ana matatizo Bora uombe msaada ungesaidiwa na mtoto angetibiwa kwa nn utupe mtoto mbona ww wazazi wako hajawakutupa
@mahadiamswagilo6556
@mahadiamswagilo6556 3 жыл бұрын
Hakika Allaah akuzidishie flora unapambana sio kwaajili ya mwanadam nikwaajili ya mwenzimungu mashaallaah
@cattydaniel5016
@cattydaniel5016 2 жыл бұрын
Wabajaji huenda ni mwanae amemtelekezea mtt hatoi matumizi mama kaamua kumpelekea🤷🤷🤷
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 3 жыл бұрын
Mtoto ni mzur sana.Mungu akulipe dada frola.
@mariyammaria3366
@mariyammaria3366 3 жыл бұрын
Mashaallah yni karembo adi roho inaniuma kwa nini uyu mama kafanya kitendo hiki duu
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 жыл бұрын
EeeejamAnii
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 жыл бұрын
Jamaniiii mbonasisi wanawake nimashetanii jamanii mtoto mzuriimunguwa .miminamtafuta mtotosimpati
@mariyammaria3366
@mariyammaria3366 3 жыл бұрын
@@asha.mwambamwamba1774 😭😭😭Pole dada mwenyezi abariki uzao wa tumbo lako usikate tamaa Mungu akujalie mii mwenywe natamani kuwa na mtoto naami Mungu atatenda miujiza na kwako pia🙏🙏🙏
@shamilamo9159
@shamilamo9159 3 жыл бұрын
Mwenyezimungu azidi kukulinda da flora katoto kazuri jamani
@kalengemochi9471
@kalengemochi9471 3 жыл бұрын
Hawa ndio waandishi wa habari wanaotskiwa bongo. Nimeguswa sana. Tunawapata tukiwa japa mozambique. Nitetee TV.
@happynessbarongo4372
@happynessbarongo4372 3 жыл бұрын
Haki mungu akulinde mum flora msahaidie maraika
@priscaken4987
@priscaken4987 3 жыл бұрын
Wewe kaka mungu anakuona kabisa Jeremiah Joseph wewe duuuu ni baba ila sijuwi nn kimekukuta
@jhmtemba2464
@jhmtemba2464 2 жыл бұрын
Alivyomsuka alipanga kwenda kumtupa ama ni pepo jamani mtoto duh
@kassimsaid6046
@kassimsaid6046 3 жыл бұрын
ubarikiwe sana dada kwa wema mkubwa unaowafanyanyia watu.
@jaliaotien.o6995
@jaliaotien.o6995 3 жыл бұрын
Hila wanawake mna roho gani jamani mtoto wako uliyembeba tumboni miezi Tisa unamtelekexa kwenye bajaji hata kama ni mlemavu niwako jamani acheni hizo wanawake
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 3 жыл бұрын
Dereva nakushuku
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Tena wamefanana
@queeneliza7448
@queeneliza7448 3 жыл бұрын
Mbwa sana wee kaka
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 3 жыл бұрын
Katoto kazuri mno🥰
@zahrajumaa8965
@zahrajumaa8965 3 жыл бұрын
Masha Allah bless you frola but she is very beautiful baby
@elvirajohn2741
@elvirajohn2741 3 жыл бұрын
Ila watu hawana moyo wa konde uugue mimba changa uendeshawe mimba uweke uchungu alafu uweke kunyonyesha na upendo pale kakushikapo alafu ukamtupa alisema Mungu musaidie huyo mtoto akue vizuri
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 3 жыл бұрын
Yesu na Maria katoto kadogo jaman
@jamilankaya3667
@jamilankaya3667 3 жыл бұрын
Jamani kina mama. Mbona wengine. Mroho mbaya Sana..daaa .yaani..tukisema was mama wanahuruma,,sikweli,,asikimia,70,,magaidi sana
@lucymsoma3295
@lucymsoma3295 3 жыл бұрын
Huyo mtoto ni wahuyo kaka mwenye bajaji huenda huwa hatoi tumizi dawa ndo iyo.
@mariammsua6453
@mariammsua6453 3 жыл бұрын
Jaman wanawake tunadhambi mnoooo wengine wanatafuta watoto wengine wanatupa jaman jaman jaman Mungu atusamehe bure
@salumallysalum4858
@salumallysalum4858 3 жыл бұрын
Ina uma sana uyo mtoto ata kama mlemavu ina husu na kumtelekeza kwani ni mipango ya mungu kila kitu kaumba na kasoro zake mama zetu mnafeli wapi
@zaitunibashiri9962
@zaitunibashiri9962 3 жыл бұрын
Mtoto mzuri mashaallah
@stellamwakatulile3202
@stellamwakatulile3202 3 жыл бұрын
Uyu kaka uyo atakua Mtoto wake mama kachoka kulea
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Na kafanana na mtoto itakuwa hataki kutoa matumizi
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 3 жыл бұрын
Mimi nadhani huyo mama aliekuwa anamsemesha atakuwa ndio mama yake! I wa mama siku hizi sijui tumekuwaje! Unaweza je kumtelekeza mtoto ulie Mwendea labour jamani!
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 3 жыл бұрын
Tobaaaa mbona natetemeka jaman nikienda tu kazini mwanangu huwa namuwaza muda wote dah
@esterpaul3146
@esterpaul3146 2 жыл бұрын
Da frola umewaza vzur unawezakuta alimpa mtt wawatu mimba akamkataa kaamua akambwagie
@زينبعىر
@زينبعىر 3 жыл бұрын
Wallah siwezi kusema nalia tu yani natamani hata nimchukue awe wangu niliteseka sana ktk ndoa kuhusu mtoto leo mtu unatupa mtoto mh
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Mhh jamani tanzania moto mbona unawaka?
@safaasaid7514
@safaasaid7514 3 жыл бұрын
Unaweza kuwa kamueka babaake kweli namtizama kwa matumizi
@mwenifiona797
@mwenifiona797 3 жыл бұрын
Afadhali yeye kuliko kuua
@dulamkali9090
@dulamkali9090 3 жыл бұрын
Ni kweli bora yeye kuliko yule anaye ua
Wall Rebound Challenge 🙈😱
00:34
Celine Dept
Рет қаралды 23 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
GHOROFA LA KIFAHARI LABOMOLEWA MBEZI BEACH MCHANA KWEUPE
5:17
Millard Ayo
Рет қаралды 199 М.
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44
Millard Ayo
Рет қаралды 820 М.
Wall Rebound Challenge 🙈😱
00:34
Celine Dept
Рет қаралды 23 МЛН