Asante kaka Sky kwa tarfa hiii love you SNS iko na muna hapo sio buree
@SarhaSaidАй бұрын
Yani Tanzania sasa ivi inatisha kwaukweli daaa😢😢
@jpkkakudji9402Ай бұрын
Jamani jamani jamani mbona Tz inakuwa inakuwa ivi
@JKQGAMEАй бұрын
Mambo ya nchi za nje saivi tunayo tz daah mpaka aibu
@allymtunge5530Ай бұрын
Mungu angu tusaidie
@MsAggie5Ай бұрын
Siku zote hizo polisi wameshindwa ku track simu yake? Polisi Bongo hawafanyi kazi au ndo mpaka uhonge kama kawaida yao? Mungu anawaona polisi
@wadantz123Ай бұрын
Hii ndo nchi yetu dada mpk aibu
@JosephKingwereАй бұрын
Jamn hiii Tanzania yetu sasa hivi vifo vya hivi vinatisha sasa nn lakini jamn sasa alitekwakwa au aliuwawa au 😢
@kanezajoella6663Ай бұрын
Mwenyezi MUNGU ameipenda tanzania na kuwapa kila kitu ila ushirikina ni mwingi na kufanya mambo ya sio mpendeza MUNGU na raisi wenu kazi kutembea na wasani mialiko isio kuwa na maana na vifo kutokea kila pande haumizwi na kinacho endelea kikubwa tu rahia wamuombe MUNGU awape rahisi mwenye hofu ya MUNGU
@J4UProАй бұрын
R. I. P Mwamba
@abdulrazack9577Ай бұрын
Tanzania 😢😢😢
@neemayatosha1618Ай бұрын
Its definitely a murder, then staged as a suicide. Anyway damu itadai kama kawaida so aliyehusika,asubiri matokeo huenda yakaja miaka 20 ijayo na akashuhudia wanae wakipigika
@lisawilliam2491Ай бұрын
Dah
@wadantz123Ай бұрын
Kesi ya bint wa yombo imefikia wap mbn kimya
@EsterLazaro-u8cАй бұрын
Kwer hata Mimi nilitaka kujuwa
@FredySemkiwa-or7knАй бұрын
Kama alikua anajua kinachomfatia asingeandika ujumbe huo itawaumiza zaidi familia yake
@rahmaabdallah4514Ай бұрын
Hakika sote ni wa mungu na tutarejea kwake....siku yake imefika mara mbili kajaribu kujiua na hakufa
@IbrahimShan-qu3umАй бұрын
Inarillah 🙏
@Zawadi-yx7izАй бұрын
Daktar wangu
@rukiyyarukiyya6317Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
@lilianjeremia1024Ай бұрын
Mmh yaani police kwaiyo uchunguzi wa awali alishajrbu kujiua mmmh 😢
@SINADATITOАй бұрын
Mtu kujiwekea canural mwenyewe mbona sioni Kama inawezekana labda kujidunga sindano inawezakana but mmh ukweli anaujua yeye na Mungu tu pumzika salama 💔💔🙏
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Kwaiyo kama alilazimishwa kufanya hivyo!?
@JeannetteManirambona-o6mАй бұрын
😢😢rip
@ChoroTeslaАй бұрын
Mnachelewa sana sijui mnavizia vizia
@Sidrasidra636Ай бұрын
😭💔
@salomewandya7257Ай бұрын
Duh ni hatari sana
@DavidngomuoАй бұрын
September 11
@davidwalalason7630Ай бұрын
If you know you know the Samia government is afraid of these guyz
@fatumamwalimu5765Ай бұрын
Miaka 15 hadi 16 nyuma maalbino waliuwawa sana Tanzania hadi dunia ikashangaa, je, hapo pia ilikua ni serikali ya samia ?
@paulinewangila-cs6ysАй бұрын
@@fatumamwalimu5765mpashe huyo hajuwi Tz hakuna mambo mengi ya siasa
@michelinemapendo6652Ай бұрын
Depression 🤕🤕😢😢😢
@ChoroTeslaАй бұрын
Yawezekana
@robertmrema5408Ай бұрын
Sio kweli
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Noo big no
@EliasKasomi-db4ioАй бұрын
Ukute alipita na mke wa mtu
@patrickmarco964Ай бұрын
😢😢
@SimonJeshi-nq1hsАй бұрын
CCM
@lovenessvisent9408Ай бұрын
Ninachoomba jeshi la police jitahidin sana kujisafisha Mimi naamini jeshi letu ni jeshi la wananchi Tena waaaminifu
@nickalreadyknowsАй бұрын
Kujisafisha vipi wewe unajuaje hiyo inahusiana na polisi kifo chake..?
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
🤔🙄😳
@eestermos9933Ай бұрын
Itakua kajiua
@mr.yahzadochuno7914Ай бұрын
💔🇹🇿🩸😭
@saumuabdallah198Ай бұрын
inasemekan alitekwa cku13... na mpaka kuandika mesej hio means kwmb alishajua nn kinamfwatia😔😔 na mesej znaonyesh kua kuna namna ambay alijua waz hana jinsi icpokua akubali kifo...KUNA KITU KATIKAT WATANZANIA HATUKIJUI📌📌📌📌📌 in'nalilah 🕊🕊🕊 nchi ina michezo michaf ya siri
@hassanihussein4479Ай бұрын
Sasa umeambiwa marehemu alijaribu kujiua marambili na badao wewe wasema katekwa
@hassanihussein4479Ай бұрын
Sasa umeambiwa marehemu alijaribu kujiua marambili na badao wewe wasema katekwa
@upendoeliya9329Ай бұрын
Maelezo ya kutaka kujiua X2 yametolewa na familia???
@RonnieBertinАй бұрын
Sns tafadhali tuwekee video za Dr arikana huyu mama ana madini mengi sana tafadhali tafadhali