Korea Kaskazini imewezaje kujenga mijengo bora hivi! Wanapewa bure! Jionee Mapinduzi ya Kim Jong UN

  Рет қаралды 47,440

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 253
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 3 ай бұрын
Sma ni mtu alonifungua sana kuelewa Geopolitics, God bless Sma
@soyamBay
@soyamBay 3 ай бұрын
Kwa kweli wanaumbuka vibaya wamagharb, Ahsante kwa kutufungua ubongo maana!
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 3 ай бұрын
Asante sana 💥🥰🇧🇮🇧🇮 ndakwemera cane 💥 BURUNDI 🇧🇮 tunakupenda sana
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
Burundi 🇧🇮 &Tanzania 🇹🇿 🤝🤝🤝🤝🤝 ♥️♥️♥️♥️♥️
@sadikiswidik
@sadikiswidik 3 ай бұрын
Nakukumbali 100%
@graceKisomopepe
@graceKisomopepe 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤natoka Congo mimi nakukubali sana ndugu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 ай бұрын
Dj smaa nakukubali sana uchambuzi wako
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 3 ай бұрын
Hizi zama ukweli hata uufiche vip utajitokeza tu
@EriyaRichard
@EriyaRichard 3 ай бұрын
Hiyo mijengo ni moto sana ❤🎉🎉 cjui MAGHARIBI na media zao wameona hii
@godwinmandary5116
@godwinmandary5116 3 ай бұрын
Magharibi wameipotosha Dunia kwa mda mrefu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 ай бұрын
​@@godwinmandary5116kweli wanasemaga Waafrika ni maskini
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 3 ай бұрын
Tujishughulishe na maisha yetu tunapoteza muda kujadili magharibi hakuna aliyekuambiaufatilie media zao
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Maghreb media za mashoga
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 ай бұрын
@@goodluckmsoka3660 😂😂
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 ай бұрын
Korea Kaskazini siyo masikini kama tunavyo aminishwa ila ni propaganda tu za magharibi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 ай бұрын
Ni kweli Ile ni NCHI ya kijamaa uchumi unamilikiwa na serikali na sio wananchi
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 3 ай бұрын
In'chi inavikwazo tena inamahendeleo kuzindi in'chi zetu ambazo hazina vikwazo
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 3 ай бұрын
Sisi kazi ni siasa tu
@RAMAMOHA-vn9xv
@RAMAMOHA-vn9xv 2 ай бұрын
mimi ni ramadhani mohammed Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatu kutoka kenya nairobi
@appolonation
@appolonation 3 ай бұрын
Dj Sma nakukubali sana kbs!!! Nakusikiliza kutoka Rwanda Kigali 🙌
@FrancisDonald-go9cs
@FrancisDonald-go9cs 3 ай бұрын
Kigali wapi uko mbinde ndani ndani
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@FrancisDonald-go9csunaumia ww choko
@bahatihamissi1161
@bahatihamissi1161 3 ай бұрын
From Mwanza nawakubali sana
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Dj Smaa. Team Russia, China, North Korea, Iran tukiongozwa na Vladimir Emirovic Putin lengo ni kuwaondoa Mabepari Barani Afrika kupitia Viongozi Vibaraka.
@JumaAyo-qp3fm
@JumaAyo-qp3fm 3 ай бұрын
upo poa ,👍kutoka pemba
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 3 ай бұрын
Dj Smaa mimi nimshabiki wako ninakufatilia kutoka Switzerland🇨🇭
@surusuru1994
@surusuru1994 3 ай бұрын
Ila mee toka niazekujua manaya siasa sijawahi kuiugamkon ulaya yote kabis ❤
@davidndaha9607
@davidndaha9607 3 ай бұрын
Mimi niko USA 🇺🇸 ila kuna city na state zimechakaa hapa huwezi jua kama ni USA
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 ай бұрын
True
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 ай бұрын
True 👍
@Kidavoxe_Tz
@Kidavoxe_Tz Ай бұрын
😂😂
@Expl0rer.
@Expl0rer. 3 ай бұрын
Asante bro 👍
@WadySaidi
@WadySaidi 3 ай бұрын
Njaa hata marekani wanayo mbona Wana kuja afrika kuchukua chakula
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 3 ай бұрын
Mbona hata hizo picha wanazoonesha wa magharibi sio mbaya sana zinaonyesha kuna nafuu kuliko huku kwetu!
@niyibigiratimothy5448
@niyibigiratimothy5448 3 ай бұрын
Nakufuata kutoka Cape Town city center CBD, Cape Town 🇿🇦 ila mimi ni mwananchi wa Burundi 🇧🇮 Bujumbura.
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 3 ай бұрын
Pamoja kaka frome Oman 🇴🇲 Al amraty
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx 3 ай бұрын
Dj sma ningekuwa na pesa ya kuwapeleka Korea oya nyote mngeenda mukaimbia ukweli dunia mungu awabaliki sana
@mansooranam831
@mansooranam831 3 ай бұрын
SNS ni wazungumza ukweli yaani facts and logics mungu awasimamie, amiin!!
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 ай бұрын
Tumekuelewa 💯
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 3 ай бұрын
Dj smaa hawa vichwa vigumu tuachie sie wana fuse tutawapa ngumu kumeza..😂😂😂 tutawapeleka BBCpropaganda bila nauli 🤗 🫢
@dengepandu9734
@dengepandu9734 3 ай бұрын
Kutoka Zenj ddj smaa tunakuelewa vyema
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec 3 ай бұрын
Ruto kazi anayo
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
😂😂
@ABDULShq-wv6st
@ABDULShq-wv6st 3 ай бұрын
Upo vizuri kijana good job 👍
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 ай бұрын
Thanks mr.dj sma
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 3 ай бұрын
From kigoma Asante tunakupata vzr
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 ай бұрын
Congratulations sana DJ Smaa na Hao maraisi Putin na Kim
@kenochieng3098
@kenochieng3098 3 ай бұрын
Dj sma wewe utaki mumerika kweli kweli amerika ako kwa power kwa ajili ya mungu
@selemancokker4994
@selemancokker4994 3 ай бұрын
Dj smaa ubalikiwe
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 3 ай бұрын
Nakufata vizuri kabisa nikiwa Mwanza Tz
@valentiniradukunda
@valentiniradukunda 3 ай бұрын
From burundi kk❤❤❤
@talents7934
@talents7934 3 ай бұрын
Uzalendo na kauli moja Ndio imewafikisha hapo walipo😢
@davismuzahula907
@davismuzahula907 3 ай бұрын
Nchi zenye watu walio serious na maisha
@IshakaIssa-h4w
@IshakaIssa-h4w 3 ай бұрын
Asante sma kwa kuzid kutup madini ambayo huyapt popote
@Jitumasta
@Jitumasta 3 ай бұрын
Nchi pekee yenye mafanikio bila IMF na WB
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 ай бұрын
Moja kati ya sera za mashoga (west) nikuuhadaha ulimwengu yaani uwongo kila maali
@rogatimushi689
@rogatimushi689 3 ай бұрын
Leo nakupata Thailand umetisha sana
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 3 ай бұрын
Magharibi ni wa hovyo sana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Dj sma mtu Wa fact 👏
@SelemaniKizenga
@SelemaniKizenga 3 ай бұрын
No economic restriction
@dominic4727
@dominic4727 3 ай бұрын
Mti unao pigwa mawe ndio wenye matunda
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 ай бұрын
Mashallaah ni mzuri sana
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 ай бұрын
Kutoka Zanzibar
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 3 ай бұрын
Pamoja sana 🎉❤
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 ай бұрын
Damn it, North korea is fuccin beautiful
@19ddr
@19ddr 3 ай бұрын
Sma kama Richard medhust
@user-pi3vj5sn3l
@user-pi3vj5sn3l 3 ай бұрын
Mimi binafsi nasema Korea kaskazin hakuna njaa na wanaishi vzr sana hayo ndio maisha yao nchi za magharib tushazielewa mipango yao ni kutia ila maendeleo ya nchi nyingine
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 ай бұрын
Duh naomba nchi zetu za Africa japo moja kuwa kama hivi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊✌️👍
@brownshirima5924
@brownshirima5924 3 ай бұрын
Sma. Hakika nakuambiah leo north ni watu brave sana. Na wanachokisema BBC n uwongo mtupu jua kuwa mwanamke awez msifia mke mwenzake bhnan. Ila big up una open sana mind za watu hakika
@CrissManda
@CrissManda 3 ай бұрын
And its the most sanctions country in the world, but still doing good, tanzania haina hata sanctions lakini full kukopa
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 3 ай бұрын
Most sanction saa hivi ni Russia na bado uchumi wake umezidi kukua kila mwaka na ndio uchumi namba Moja Ulaya nzima
@BeatriceBeat-hk5cy
@BeatriceBeat-hk5cy 3 ай бұрын
Yaani wako vizuri kuliko nchi ambazo hazina vikwazo
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 3 ай бұрын
Africa tu ndio tupo nyuma ila nchi nyingi za Asia zimeendelea na licha ya vikwazo vyote Korea kaskazini sio masikini
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 ай бұрын
Me naona hizo nchi zinazopewa misaada na hazijawekewa vikwazo ndio taabani kuliko hao wenye vikwazo.
@milindiibrahim8285
@milindiibrahim8285 3 ай бұрын
Dj sma habari za geopolitics Drc-rwanda please
@technicalgearboxenginebysc1360
@technicalgearboxenginebysc1360 3 ай бұрын
Ngozi nyeusi tuna laana wizi ndio tunajua
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 3 ай бұрын
Halloo kweli
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 3 ай бұрын
MWANETU DJ SMA THE GENIUS MAN
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 3 ай бұрын
Keep it up
@millionairementorndobandol4724
@millionairementorndobandol4724 3 ай бұрын
MAREKANI PIA KUNA SEHEMU MBAYA SANAAA NA WANAKAA WATU
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 3 ай бұрын
Wa kwànza nipeni likes 😂
@khamisshee803
@khamisshee803 3 ай бұрын
Waalekum musalam warahmatullah wabarakatu AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@furahamwaseba7910
@furahamwaseba7910 3 ай бұрын
Bora nasisi tuwekewe vkwazo labda ndo tutapata akili ya kujinasua kamavmataifa yalio wekewa vkwazo ndo wanamaendeleo kuliko cc
@DANIELWILLIAM-jo5bw
@DANIELWILLIAM-jo5bw 3 ай бұрын
tuko live sma
@sharifali178
@sharifali178 3 ай бұрын
BBC ,DW,CNN, Ni vyombo vyakwao wenyewe haviwezi kusema ukweli
@josephjulio6112
@josephjulio6112 3 ай бұрын
Nimependa viji vyao
@husseinhamisimwindadi2211
@husseinhamisimwindadi2211 3 ай бұрын
Walikuwa wanatuaminisha kuwa Urusi njaa kali,mpaka wakatufanya kwenye viwanja vyetu vya mpira,wanaokaa upande wamashariki(waopingwa jua usoni)wamekaa upande wa Urusi.Wakati ukweli...watu wa wamagharibi wategemea mafuta,gas,nani nk.kutoka huko
@shijakuligi2674
@shijakuligi2674 3 ай бұрын
❤ na hitaji kujiunga kwenye whsapp group....
@INFORMATIQUE-yr5mx
@INFORMATIQUE-yr5mx 2 ай бұрын
Ili niwe kwenye groupe tunafanyaje
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 3 ай бұрын
Nipo bagamoyo
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 ай бұрын
Kutoka dodoma kaka
@salumkasongo7507
@salumkasongo7507 3 ай бұрын
Russia sanction zote hizoooo 😅😅😅
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 3 ай бұрын
North Korea yenye vikwazo ni Bora kuliko tz isiyo vikwazo
@AlmachNestory
@AlmachNestory 3 ай бұрын
Hakika vikwazo vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa kwetu Afrika, Korea kasikazini ina vikwazo lakini wana maendeleo endelevu yao wenyewe.
@omariddi
@omariddi 3 ай бұрын
@edisonbayona-rz9ed
@edisonbayona-rz9ed 3 ай бұрын
Sis atujawai kuwewa vikwazo mbona Bado wamasikini
@MosonVevo
@MosonVevo 2 ай бұрын
Hayo majengo yapo kwa eneo dogo tu la aridhi ko sina lakusema
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 ай бұрын
Mimi binafsi habari za bbc france 24 huwa sitizami kabisa naonaga ni propaganda
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 3 ай бұрын
Maendeleo makubwa yanafanywa Kwa njia ya usiri. Ili kupunguza changamoto kutoka Kwa maadui wako wa karibu. Notes: Kuna watu ni lazma uwaonyeshe, Mtazamo wa kawaida Ili uweze kuwapumbaza kwenye malengo yako, Wasijue una malengo gani. NDIO SIRI YA MAFANIKIO KWA MAADUI. #HonMichaelDeusdedityKessy.
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 3 ай бұрын
Kaka Sma hizo picha hata Tz vjjn ni hali mbaya ila ukienda majijin hali ni zuri
@shegiahuseinshegia9008
@shegiahuseinshegia9008 6 күн бұрын
BBC,Hawajawahi kutangaza mazuri yoyote sio kwa North Korea tu,hata Tanzania ya kijani wanaona magojwa na uvunjifu was haki za mashiga tu.
@jskills019
@jskills019 3 ай бұрын
Mtangazaji anakaza San maneno
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 3 ай бұрын
Daah kama bongo KUBABAKE 😂😂
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 3 ай бұрын
Wanavikwazo hila mji wao ni mizuri kushinda nchi nyingi vibaraka..
@dr.chaplickobaraka1398
@dr.chaplickobaraka1398 3 ай бұрын
Asa mbona sisi hatuna vikwazo na bado tunahangaika2
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 ай бұрын
Wanakula siraha
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 15 күн бұрын
Vp Africa??? Africa vs north Korea???
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 ай бұрын
Kaka naomba utuandalie makala ya Kenya na Afrika Kusini maana nahisi maandamano ya Reject Finance Bill ya Kenya very soon yatahamia Afrika Kusini
@sondemtanashati6164
@sondemtanashati6164 3 ай бұрын
Ww bna unashabikia hao wapuuz so usiseme eti unabalance mambo, ila ww huyo na wenzio nawambiaje hao watu wenu hawana uwezo wa kushindana na Marekani.
@BimHamdi
@BimHamdi 3 ай бұрын
Marekani baba lao ila tatizo wauwaji kusapoti vita sana
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Huyo marekani shoga la dunia
@CalisahBrown
@CalisahBrown 3 ай бұрын
🇧🇮
@African511
@African511 3 ай бұрын
Mimi binafsi huwa siwaamini wazungu,maana akikuambia maneno yake,weka uchunguzi wako wa kina ili uone kupitia maono na usikilize kwa kina zaidi hawa wajomba waongo mno,unaweza kuambiwa Africa kuna tembo wa kupaa na usipochunguza unaweza kulishwa matango pori😂😂😂
@jumaciza461
@jumaciza461 3 ай бұрын
Wakati putin anatembelea Urusi nilivyo ona Nika comment kwenye sky news. Wanavyo ponda north korera Eti hakuna maendeleo nimepata majibu zaidi ya 100 😂😂😂
@DANIELWILLIAM-jo5bw
@DANIELWILLIAM-jo5bw 3 ай бұрын
kutoka kagera kayanga nakupata vyema dj sma
@USDisdoomed
@USDisdoomed 2 ай бұрын
Nchi zamagharibi ziko nawivu sana na nn hasidi dhidi yahii nchi ndio maana wanmuita huyu jmaa dictator,,,,,N.korea haijawai kuvamia nchi zengine nakuziharibu kma walivyofanya wao manya'ngau
@bakarussi5428
@bakarussi5428 3 ай бұрын
Tunaambiwa hii nchi ni maskini...sasa najiuliza kma hivi ilivo tu ni maskin je ikija ikawa tayar itakuwa na muonekano gani...maana huu mji wao hata nairobi hauingii ndani
@mozeekamana
@mozeekamana 3 ай бұрын
🙌🙌
@YoanePeace
@YoanePeace 3 ай бұрын
Achana nao watu wa marekani n'a ma rafiki zao, niwa Huni tu
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,7 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
John Mearsheimer and Jeffrey Sachs | All-In Summit 2024
54:05
All-In Podcast
Рет қаралды 1,5 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,7 МЛН