📞MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA✨ KUPITIA: 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.🫲🩻
@GetrudyGtАй бұрын
Ww mzazi mwenza nimekupenda bure una mbambamba unajielewa big up sana nimejifunza kitu kutoka kwako na pia hongera kwa mama mwenye ndoa umejua kusimama kwenye nafas yako❤️❤️❤️
@piusmdoe3200Ай бұрын
Samahani,hii huna na una inaleta maana tofauti
@gililwiseАй бұрын
Safi sana wakili ndoa na iheshimiwe na watu wote ameen
@HarsonKisangaАй бұрын
Wakili upo makini sana sana.hongera.
@IGANASCOSMASАй бұрын
Mke mkubwa upo vizuri mama. Ni haki yako.
@judithgodfrey6503Ай бұрын
Wanaume wa kichaga wanadharau Sana wanawake. Safi kabisa mke wa marehemu. Mahakama itende haki na apewe heshima ya kumzika mume wake. Wachaga mnatia aibu. Acheni hizo!
@chaggatv818Ай бұрын
Mchaga ata afie wap atapelekwa nyumban ndugu yangu sa huyo mke mdogo anataka akamzike sehemu alonunua ili iweje? Akazikwe kwenye shamba alilopewa na baba yake afu kuhus mali wakae kifamilia mke mdogo nae apate haki yake. C’z hapo hawampiganii marehem wanapigania MALI 😂😂 akizikwa kwangu sitanyang’anywa nyumba au gar 😂
@JenniferJacob-hh3ijАй бұрын
Izi mbwa zinaangalia hela haziangalii utu
@nyellaregani7990Ай бұрын
Tengua kauli! Usichanganye madhaifu ya m2 m1 kwa wanaume wote wa kichaga tafadhal San ,,,,,!
@irenebeatus9481Ай бұрын
@nyelndio mko hivo wachaga wenzangularegani7990
@rahema1992Ай бұрын
Asante dada awal ni awal hakuna awal mbovu
@gililwiseАй бұрын
Wakili yuko vizuri anajua kujieleza
@TinahFrankАй бұрын
Nikweli kaka ukovizur mungu akubariki
@abdulkarimabdallah9536Ай бұрын
Wakili unajielewa sana huripoki Naomba ukasimamie pia kesi ya bint wa yombo watuhumiwa wasije wakatoroshwa
Jamani mama Huyu ni mke halali wa Marehemu, ninyi wengine mnataka nini, Tena kapiga pingu ya Maisha vip wandg zangu kaeni karibu na mke wa marehemu awape Mkate aliyoitafuta na Mumewe Sio kumpigia kelele Mahakama mpeni mama mwili akamoumzishe mumewake jmn
@AnethMinjaАй бұрын
Nimekupenda bure wewe Dada . Mungu akupiganie
@MangiKivuyoАй бұрын
Polen Sana familia ya Bo's wetu mungu awaweke pamoja mkamlaze kamanda wetu
@hezronjoseph405Ай бұрын
Kwenye msiba wafukala Mambo huwa shwali lakini kwa mwenye mali nimatatizoooo,
@myunaniniahmad6463Ай бұрын
Hiii meseji yako nilikua naitafuta.😁😁😁
@hezronjoseph405Ай бұрын
@@myunaniniahmad6463 😂😂😂
@JosephineMegoraАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@humphreymwaipaja6784Ай бұрын
Ikitokea mwenye mali mahututi..utasikia wanaanza ..hata watt wake watadhulumiwa!
@hezronjoseph405Ай бұрын
@@humphreymwaipaja6784 😂😂😂
@rayjuma1898Ай бұрын
Kwili wanawake tunaonewa na dugu wawanaume
@DaudiMadeАй бұрын
Kwa hy nyinyi ndugu wa marehemu mnaweza kuizibitishia mahakama kuwa mnachokihitaji ni kumzika ndugu yenu na si mali zake? au kumzika ni mengine lengo lenu kutaifisha mali zake? Na kama ndugu yenu alikuwa anasali Roman catholic hizo ndoa nyingine mnazopokea pokea hp zinatoka wapi?
@leokamil6284Ай бұрын
Wanaleta mahawara hao
@annamussa185Ай бұрын
Mke ni mmoja hao wake mmewatoa wapi makahaba hao mnataka mgawane nao mali nyau nyie
@OfficialA83640Ай бұрын
Ila nimempenda huyo hawara hajajitapa na anajua km yy ni kimada hana sauti na ndy inatakiwa hivyo sio hawara awe juu km Catherine Magige yule Mbunge😅
@twiseghekisilu8845Ай бұрын
😂😂
@leokamil6284Ай бұрын
Huyo ana akili ila kuna mmoja hana busara kabisa
@OfficialA83640Ай бұрын
@@leokamil6284 Kwahy kuna mwingine😳😳
@yukundapeter8200Ай бұрын
Lile lilikuwa jambaxi.
@FatumaChombo-j7hАй бұрын
Asante
@leokamil6284Ай бұрын
Kama hakuna Wosia basi familia kaeni na Mke wa ndugu yenu muelewane ubabe hauwezi kusaidia
@marymremi1051Ай бұрын
Mungu simama kwenye haki
@HanifaChalresyАй бұрын
Wanawake kuzaa na mume wa mtu nikujipa mitihani njaa zinawaponza duuh aibu sana,mtu akifa ndipo mnajitokeza
@zamzanimakundi2546Ай бұрын
Kwa hiyo tatizo ni wake wengi ambao wameshikana na ndugu
@yukundapeter8200Ай бұрын
Hilo mke mdogo ni mwixi limeiba mume wa m2 bado linaiba Maiti.
@StellaJohn-dz6gvАй бұрын
😂😂😂
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Columba nilikumiss ulikuwa wapii kwaanoooo😢
@ruthjapheth174Ай бұрын
Angekuaa masikini haya yotee yasingetokea
@samwelikastuli9890Ай бұрын
Wakili nimemuelewa san aise hongera san Wakili
@fetyalmas698Ай бұрын
Mnapokuaga mnawatukana waislam oooh wanawake wengi na huyu nae muislam
@MsAggie5Ай бұрын
Mke ni mmoja WA ndoa mwingine/wengine ni nyumba ndogo na kama alifunga nae serikali atakuwa kafanya kosa kwani certificate inasema ndoa moja Tu! Itakuwa imekula kwake Kwa sababu ni batili
@ashamahadi5281Ай бұрын
Mke wa kwanzandio muhusika mkuu wasizingue haki inabac kuwa haki.
@YusuphMwangobolaАй бұрын
Shida kuzaa na Kila ukoo huo ni ujinga sana mara nyingi inareta tabu utakuta mtu akipata pesa anakuwa na watoto kibao Kila mtoto na mama ake kumbukeni mkifa uku nyuma ni matatizo.
@frankkessy1260Ай бұрын
ukiwa na hela unategeshewa na kila unayepita nae
@fidelismwakanyamale6787Ай бұрын
Kasikazini sio sehemu salama kuoa munatisha wanawake
@masoudalriyamy6298Ай бұрын
Kwanza kesha kufa mkimuacha ataoza mtu akisha kufa ni sawa na mzoga ukikaa haujazikwa unauza
@anithawidambe7543Ай бұрын
SERIKALI MSAIDIENI HUYO MJANE HAWA NDUGU HUWA WANAWANYANYASA SANA WAJANE SERIKALI WALA MSIKUBALI. HUO NIUTOTO SANA WAO WALIKUWA WAPI?MTU AMEFARIKI WAO WANAJITOKEZA HY C KWELI.
@maryamkokani4683Ай бұрын
Ss wa frica tuko na shida sanaaaa.bora mtu kuzikwa kislamu..gafla utaskia vita vya Mali.
@MsAggie5Ай бұрын
Kwani waislamu hawagombanii Mali? Uliza uambiwe
@HellenMendardАй бұрын
Ivi kweli umefiwa na baba mtoto wako unavaa miwani kichwani!au kwavile alikuwa awara,
@FatumaChombo-j7hАй бұрын
Ulitaka nivae chupi kichwan au
@irenebeatus9481Ай бұрын
@@FatumaChombo-j7h😢
@MsAggie5Ай бұрын
Hayo ya kuvaa kimsiba ni ushamba 😂😂 kibongo bongo siku hizi watu wanaenda shopping na saloon kutengeneza nywere
@mollelyally5213Ай бұрын
Wachaga tamaa ya Mali itawafikisha kuzimu
@bahatirobert1009Ай бұрын
Ila ndugu wa mume ni balaa,kweli mtu kaishi na mke wake na watoto wote hai,Leo hii mnamkana ,nini maana ya familia ,hata mm sikubali
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Ndugu wa mume wakikuchukia wanaona hata haki yako haikifai jamaniii😢nyinyi waatu
@ziadasalimu1730Ай бұрын
Kwani ana wake wa ngapi si mkristo huyo jamani uwiii wanaume wetu Hawa mtihani sn
@MsAggie5Ай бұрын
Ukristu zamani leo hii mwanamme akiwa na pesa hana dini wala hana habari
@saeaaa8571Ай бұрын
Tajiri akifa mambo memgiiiii yanajitokeza looh😢
@SaumuSaidi-z2vАй бұрын
Kwny msiba wa fukala mambo huwa Shalini,lkn kwa wenye mali ni matatizo
@KuruthumBilaliАй бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@leylamohamed9939Ай бұрын
SHIDA NI MALI HAPO, NDUGU WA MUME WANATAKA MALI HAPO HAWANA LOLOTE WANATAKA TU KUPAMBANIA MWILI THEN WAJE KTK KUPAMBANIA MALI
@DevothaMelkioryАй бұрын
Jamani mbona nyie ndugu mna unyanyasaji wa kijinsi nyie akina Tem Mungu anawaona wachagha wa wapi nyie hamjielewi
@DottoDotto-j6tАй бұрын
Wanacho kitafuta haondugu nikuzika au nimali waache usulutani tamaa msaidieni uyo mama
@mankamushi4588Ай бұрын
Wanamtesa tu marehemu kwenye friji la mochwari.wamzike baba wa watu apumzike salama.mambo ya ugomvi wayaache
@joycekisamo4896Ай бұрын
Wala hasikii chochote hata angekaa mwaka. Acha apewe heshima halali
@abdulkarimabdallah9536Ай бұрын
Ninjia yakutaka kudhulumu urithi wa wtt na mke2 hapo hakuna jambo jingine ninachokiona
@eleonorashirima1604Ай бұрын
Washindwe na walegee wamuache mke halali amzike mumewe
@agnesspaul1866Ай бұрын
Uke wenza ni shida wanaume watengenezeeni wake mlio zaa nao kabura ya kifo
@Fatima-v9k6fАй бұрын
Mimi naona uyo mke njo wamupe akamuzike ju ni mke wa ndoa
@rahema1992Ай бұрын
Duh bora kuoa muislamu
@ritapiusnicolaus7068Ай бұрын
Mke anahaki zote kumzika mumewe
@FatumaChombo-j7hАй бұрын
Hilinifunzo kwa wanadamu wote
@abdulkarimabdallah9536Ай бұрын
Mahawa wengine ni akinani mbona wanaitwa wake wadogo au mahawara nao niwake zenu
@apronialubacha5157Ай бұрын
Masulia wa mfalme😂
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun
@JUU-lw2jeАй бұрын
Mnamtusa marehemu kisa mali alizotafuta mwenyewe
@Shekhahamed-v2fАй бұрын
Marehemu muwakabidhi familia yakewakewahudhurie kuzika nakuondokakila mtukwake
@OfficialA83640Ай бұрын
Unajua sheria ww kwann mke akifa apewe mume na mume akifa wapewe ndugu ? Yaani mkioana muwe wakristo au waislam lazima maamuzi anayo mke au mume. Sasa hapo mke hashirikishwi unategemea nn na yy ana watoto wa 5 nani wakubeba misalaba km sio watoto wake na kwann wasiwashirikishe aah tuangalieni jaman mengine maovu tusiyatetee
@josephineokama2200Ай бұрын
@@OfficialA83640achana na huyo kilaza haelewei anakoenda bwege tu
@OfficialA83640Ай бұрын
Wanaume muache umaraya hiko ndy kinawaponza muonekane hamfai mkifa ona sasa mnawapa tabu watoto hawajui baba yao anazikwa wapi Astaghafilullah Ndoa hizi nyie jaman hamu nayo sina🙌
@jullykweka4502Ай бұрын
Tena anatabasamu
@YacntaJohn-i7cАй бұрын
We nae shangingii mtu mzima unaenda msinani nusu uchi
@NeemaNjera-ho6lnАй бұрын
Hayo.mashika.matiti.vip.we Mama
@emmalyanga3726Ай бұрын
Marehemu alikuwa na wake wangapi?
@justinelukumay5308Ай бұрын
Tajiri anaowaga kijiji ndg halo ni huyu unayemuona na kuutaka mwili akauzike
@SaumuSaidi-z2vАй бұрын
Mh kz ipo
@leokamil6284Ай бұрын
Huyo Mke alikuwa akilea watoto wa Mume wake bila shida
@graficitv4412Ай бұрын
Tena kwa wema huwez amini kama si wake
@JUU-lw2jeАй бұрын
Huyu mwanamke wa mwisho kuhojiwa amekuja msibani au amekuja kudanga?
@JosephineMegoraАй бұрын
Kaja kutafuta mabwana wa madini
@FatumaChombo-j7hАй бұрын
Huyo simke wamarehemu bwana
@deejeydaevАй бұрын
Mali hizi..dahh
@abdulkarimabdallah9536Ай бұрын
Wewe nimke au hawara Mbona una furaha na miwani juu Alafu naombaa kuuliza nyie wakristo mwisho wenu kuoa wake wangapi Mana naskia mwisho moja au sijaelewa vzr
@beatricepallangyo2821Ай бұрын
Tatizo watu wanaongea tu lkn hawaujui undani wa issue. Mwanamke alizaa nje ya ndoa na kusababisha kuachana sasa hiyo haki iko wapi? Tuwe tunafuatilia zaidi kuliko kuongea sana.
@irenebeatus9481Ай бұрын
Anae Anza aonekani ila anae maliza ndio anaonekana. Hakuna mwanamke mpumbavu anae fanya ujinga bila Mumewe kuanza
@masoudalriyamy6298Ай бұрын
Kwani nyie misheni unaowa wake 2
@Brunn-mh2bqАй бұрын
Misheni ndio nini wewe
@neemayatosha1618Ай бұрын
😂😂@@Brunn-mh2bq
@SaumuSaidi-z2vАй бұрын
Nyie ndugu mtapata zambi
@abdulkarimabdallah9536Ай бұрын
.
@midilastahans7188Ай бұрын
Watoto wadogo Malaya mbwa nyie.tafuteni wenu nyoko
@Shekhahamed-v2fАй бұрын
Make mkwa na make mdogo wakitane kwa wazazi wa.marehe marehemuazikwe kwa ndiguzake.