Asante baba askofu, nakoshwa na mafundisho yako tangu ukiwa Dodoma. Nimekupenda, unafanya kazi ya utume kwa mstari mnyofu.
@fortunatamango84417 ай бұрын
Asante Mungu kwa kutupatia Mapadre tisa.
@KasianiAloyce7 ай бұрын
Nilikuwepo Msimbazi Centre Kwenye Adhimisho la Daraja Takatifu la Upadrisho Kwa Hawa Mapadre. Mmoja wapo wa Shirika la Mt Joseph Benedict Cottolengo Padre Bernardo Msuya Nilisoma nae Minaki High School. Hongereni sana Mapadre wetu. Mungu awalinde na siku zote katika utume wenu!
@thomaskwibonelwa92407 ай бұрын
Hakika, wewe ni zawadi ya Mungu kwa taifa letu. Mungu akupe afya njema na baraka zake katika kutimiza wajibu wa ukuhani aliokupa.
@edsonkulyakwave23027 ай бұрын
Mungu awatie nguvu na awatangulie ktk safari ya wito wa Mungu wa kuwatumikia waamini wake