Рет қаралды 5,626
KIJANA ALIYEBUNI HELKOPTA SONGWE APEWA MIL 99 NA SERIKALI, AFUNGUKA ALIVYOPATA WAZO...
Serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Imempatia fedha kiasi Cha Tsh mil 99 kwaajili ya kuunga mkono Juhudi za Mbunifu Adam Kinyekile aliyebuni na kutengeneza Ndege Helcopter Kwa kutumi Injini ya Gari.
Mbunifu huyo ameyasema hayo katika maonyesho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika Kimkoa mjini Tunduma Mkoani Songwe na kuongozwa na mkuu wa Mkoa huo Dkt Francis Michael.
Akitoa shukrani zake Bwana Adamu amesema kuwa katika maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano anatambua mchango mkubwa wa Serikali Kwa kumuunga Mkono kiasi hicho Cha fedha ambacho alipewa kwaajili ya kuungwa mkono Kwa ubunifu wake
Adam amekuwa Mbunifu namba Moja Nchini Tanzania katika mashindano ya wabunifu MAKISATU yaliyofanyika kitaifa April 2023 mjini Dodoma.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...