BIASHARA YA ASALI INALIPA MZINGA MMOJA UNATOA DEBE MOJA LINAUZWA 150000 KWA MIEZI 3

  Рет қаралды 5,516

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

2 жыл бұрын

MAFUNDI WA MIZINGA YA KISASA KUTOKA KIJIJI CHA IBOYA MKOANI NJOMBE WANADAI KUWA BIASHARA YA ASALI INALIPA NA INAWEZA KUZALISHWA KWA WINGI UKITUMIA MIZIGA HIYO
NI MIZINGA AMBAYO IN NAFASI NDOGO YA KUZALISHIA WATOTO WA NYUKI NA SEHEMU KUBWA YA KUZALISHIA ASALI
UNAWEZA KUIPATA MIZINGA HIYO KWA BEI NAFUU SAANA PIA WANAWEZA KUSAFIRI NA KUTENGENEZA KATIKA MAENEO YAKO ILI KUPUNGUZA GHARAMA.
IKUMBUKWE GHARAMA ZA UWEKEZAJI WA BIDHAA HII YA ASLI SIO KUBWA KUTOKANA NA KUWA HAIHITAJI SHUGHULI ZA UFUATILIAJI UKISHA WEKA MSITUNI UNAOWAJIBU WA KUVUNA ASALI TU

Пікірлер: 5
@barakalema7274
@barakalema7274 2 жыл бұрын
Man speak very knowledgeable...
@sechagodfrey1936
@sechagodfrey1936 3 ай бұрын
Mzinga unatakiwa kuwa na ukubwa gani ndani kwa ndani? Upana,urefu na kina
@simonimshigwa5322
@simonimshigwa5322 2 жыл бұрын
nimefurahishwa na maelezo hayo je hiyo mashine ya kuchuja asali inapatikana wapi?
@sakinaabas6668
@sakinaabas6668 2 жыл бұрын
Naomba kupata mawasiliano ya fundi mizinga
@njbtv2982
@njbtv2982 2 жыл бұрын
Kataja nambazake kwenye v8deo hiy
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
KUMBE BIASHARA YA ASALI INALIPA KULIKO KILIMO CHA MITI YA MBAO
11:35
NJIA RAHISI YA KUTATHIMINI UBORA WA ASALI
22:12
Tanzania Forest
Рет қаралды 40 М.
Mama huyu anajikimu kimaifa kupitia biashara ya asali
3:21
DW Kiswahili
Рет қаралды 6 М.
Mh. PETER PINDA;ASALI NI UTAJIRI MKUBWA
10:43
TanTrade Tanzania
Рет қаралды 13 М.
Mzinga wa Nyuki wa Kibiashara Mwaka 2010, Kisaki-SINGIDA,Tanzania.
9:42
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 11 М.
CHANGAMKIA FURSA ZA UFUGAJI NYUKI ...
13:53
Tanzania Forest
Рет қаралды 4,4 М.
KIJIJI CHA NYUKI -SINGIDA: FULL DOCUMENTARY
14:00
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 7 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН