MAUAJI ya KUTISHA! MHADHIRI SAUT ANYONGWA HADI KUFA NDANI KWAKE, MFANYAKAZI WAKE ADAIWA KUHUSIKA..

  Рет қаралды 30,668

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAUAJI ya KUTISHA! MHADHIRI SAUT ANYONGWA HADI KUFA NDANI KWAKE, MFANYAKAZI WAKE ADAIWA KUHUSIKA..
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino SAUT MWANZA, Hamida Mussa (64) anadaiwa kuuwawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wake wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo kudaiwa kutokea novemba 29 mwaka huu.
Mwili wa Hamida ulikutwa novemba 29 nyumbani kwake mtaa wa Buzuruga mashariki Wilayani Ilemela jijini mwanza ukiwa umelala sakafuni kifudifudi ukiwa na mtandio shingoni ambapo Mhadhiri huyo alikua idara ya Uhandisi kitivo cha mawasiliano na teknolojia ya habari (ICT) SAUT.
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo Martin Muya amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku Mtoto wa marehemu Rehema Mbaga aakisema uchunguzi wa awali uliofanyika kwenye hospitali ya rufaa ya bugando unaonyesha kuwa Mama yake aliuwawa kwa kunyongwa na kitambaa shingoni.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 92
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani haya tuu shetani aendele kufanya kazi yake iko siku yatakwisha pole kwa familiya
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Inna lillah wainahy llah rajioun poleni wafiwa
@mkumbwasemima6907
@mkumbwasemima6907 Жыл бұрын
Mungu tusaidie. Pole sana wafiwa
@saudasieber2082
@saudasieber2082 Жыл бұрын
"INNA ILLAHI WAINNA LILLAHI RAAJIUUN "
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Simiyu tena mtihani,kachawi hako
@fatmazahor357
@fatmazahor357 Жыл бұрын
Subuhannallah 😭 Innallillahi wainnaillah rajioun
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun kwann jmn kakosa nn mama wa watu jmn 😭😭😭😭
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Humu KZbin nisipo ingia Kwa masaa tu. Nikilud lazima nikute mauaju🤔🤔
@rahabumwakajoka6721
@rahabumwakajoka6721 Жыл бұрын
Mungu atusaidiye sana kwa haya yanayoendelea
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Kweli jaman huyo binti anangivu gani wakati mtu lazima ajitetee tu kujiokowa
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Alimuuma binti anabonge la jino mkononi itakuwa alijitetea
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 Жыл бұрын
Lazima huyo dada atakua na mshirika hakua peke yake
@lulumwashambwa8272
@lulumwashambwa8272 Жыл бұрын
Dunia hiii
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 Жыл бұрын
Hawa mabinti WA simiyu wengi wachawi ukiwaona wanaonekana wapole kumbe ,! Nmetendwa na hawa mabinti sina hamu
@kulthumcadir5425
@kulthumcadir5425 Жыл бұрын
Hata kama Kuna mtu mwegine kahusika lakini huyu mfanya kazi hanajua Zaid koliko oute kwasabbu kama watu wa kesi yye angebakia ndani japo ajidai kulia mamaake kafa atafute huyu mtto 😭😭😭
@mariamkingazi6416
@mariamkingazi6416 Жыл бұрын
Pole sana aunt yangu
@selinashirima5594
@selinashirima5594 Жыл бұрын
Nashindwa hata kukoment etieeh
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 Жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayh rajiun...hap kuna mawil huenda wamemuua kisha mfanyakaz wakampa kitisho aondoke asionekane na mtu
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Duuuh ni mtihani kwa kweil Mimi mawazo yangu yanavyo niongoza uyo Binti sizani kama anaweza kufanya ilo jambo itakua watu wamelifanya Hilo tukio na uyo Binti wamemteka na kuondoka nao ila mungu mkubwa na yeye wasije kumfanyia kitu kibaya bora aonekane ili atoe ushahidi poleni sana wafiwa 😭😭😭
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 Жыл бұрын
Poreni famiria
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Hao aliokuwa na kesi nao wachunguzwe, binti wa kazi pia akipatikana atasaidia
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Kesha patikana tuliona wanamkamata misungwi uko anakidonda mkononi kama jino
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
@@edinakyaruzi9226 Asante Mungu kwa hilo, kama ana kidonda itakuwa alipambana na marehemu😭
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Subhana llah
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 Жыл бұрын
sio uyo.msichana mana mdogo mno yaonekana kuna mtu au watu walimyonga na wakaondoka na kadi za bank na wakamteka uyo msichana ili asitoe ushahid aiwezekani kabisa heri sumu lakini kumyonga sidhani ela mungu amsamehe
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Dubuhanallah . Inalillahi wainailahi rajuin...
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
HUYO BINTI YA KAZI KASHIRIKIANA NA MTU, PEKE YAKE AWEZI.
@upendolema9809
@upendolema9809 Жыл бұрын
Ni hao wenye kesi naye,msichana kaogopa ushahidi katoroka
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Huyo msichana alikuwa na mtu, atafutwe mpaka apatikane.
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 Жыл бұрын
Mbona kishakamatwa
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Eee Mungu tulinde .Sasa hata tutaogopa kuwachukua wasaidizi
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Yaani hata sielewi jamani Dunia Ina enda wapi yaani dada wa kazi miaka 16 ndio aweze kunyonga huyo mama sizani kama mama alishindwa kumzibinti huyo dada labda kama alimstukiza kumpigia na kitu kwanza
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
@@ziadasalimu1730 uyo mama umri umesogea ni bibi. Pia labda alimshtukiza akashindwa kujitahidi kumkabili
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Huyo Dada atapatikana tu Damu ya mtu nzito 😭 Kama alikuwa na kesi basi hao wenye kesi naye wahojiwe
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Nimeona taarifa emekamatwa huko misungwi
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
@@hellendaniel3809 Mungu ni mwema,kama si yeye alifanya,basi anawajua walotekeleza jambo la kinyama 😭
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Жыл бұрын
Inamaana Mama wa Watu anafariki Hakupiga hata kelele Majirani Wasikie Au Amemfanyaje?jamani bila ya kupiga kelele Daaaaaah INNALLILLAH WAINNA ILAYHI RAAJIUN😭
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Itakuwa alikuwa usingizini shida jamani ni shida
@simoncharles683
@simoncharles683 Жыл бұрын
Inamaana huyo bint alikua na nguvu kiasi hcho ? Inawezekana kuna chain jeshi la polisi linafanya kazi kubwa Sana na nzur hope makachero wetu wataipata chain nzima
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Жыл бұрын
Uchunguz mzur ufanyike mana pengine iyo kes Ndo imechukua uhai mfanyakaz ANAWEZA veshwa tu,
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 Жыл бұрын
Sasa jamni tz ruache kulaa nawatu jamani? Iba basii usiue jamni
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Haingii akilini binti umri huu kunyonga mama atakuwa zaidi ingekuwa sumu
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Dunia imeisha
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 Жыл бұрын
Dunia inatisha sana
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Hapana kwa Akiri ya haraka huyo Binti kuna watu wameshirikiana kufanya tukio,au alimpa kitu akalewa ndo akamuua maana sidhani mtu mzima auliwe na Mtoto, au ndo zile hadithi sisimizi kumuua Tembo🤔
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Kuwa na taarifa sahihi za wadada wa Kazi ni point ya muhimu sana... Dunia Kuna mengi... Iwe heri anapo Shari
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 Жыл бұрын
Haiwezkani msichana 16yrs amnyonge mtu mzima bhana no way hapa kuna kitu
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Huyu mama hakuwa na familia jamani
@zakayomaiga6822
@zakayomaiga6822 Жыл бұрын
Unapokuwa watoto wanajitegemea, mume alishafariki siku nyingi, inafika muda unabaki mwenyewe
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
mshahara alikua analipwa asijekua kuwa alikua anamyanyasa kaona ngoja amuue tu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Peke ykebint hawezi kuuwa ila huenda lasaidiwa
@saudasieber2082
@saudasieber2082 Жыл бұрын
CCT CAMERA YA BANKI ITAONYESHA NANI KATUMIA KADI.
@marthangwiza6554
@marthangwiza6554 Жыл бұрын
Anaweza kuvaa kofia asionekane
@saudasieber2082
@saudasieber2082 Жыл бұрын
Bado wanaweza kumjua na technology ya sasa
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Жыл бұрын
Vp Wajuwe Password
@eliudijustinyindi5939
@eliudijustinyindi5939 Жыл бұрын
Sasa shida ikokwabinti wakazi nauyo mama anaumri wamiaka mingapi kama binti wakazi ndomshukiwa maana binti miaka 17 au 16 sizani kama anaweza tekeleza ayo mauaji japo sijui kwanini kaondoka nyumbani baada ya tukio ilooo ila poleni sana Kwa msiba ila mtafuteni binti wakazi labda anajua kilicho muondoa mama uyooo
@irenejuma440
@irenejuma440 Жыл бұрын
binti amekiri na leo ameletwa maan amekubali kwa mdomo wake alimnyonga na kumvuta dah ntakukumbuka sana mam kwa ukarimu wako mtaani mpk naogopa maan binti alikuwa hata afananii kufanya hvyo lkn amekir eti kafanya peke ake anatakiw ajibu vzr
@lilianilimbe4508
@lilianilimbe4508 Жыл бұрын
Inatisha kwakeli
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Chuguzeni kwaumakini sana
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mtihani huo mungu atunusuru na shida hizo mtihani hata kuliwa huyo mama au walikuwa na njama za kumuwa huyo mama mungu apunzishe kwa amani
@navioma4882
@navioma4882 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
Kwa mtazamo wa haraka haraka kama kadi za bank na licence ya gari imeibiwa haiwezi kuwa ni msichana wa kazi huyo ni mtu wa karibu ambae anajua hizo kadi za bank jinsi ya kuzitumia na namba za Siri anaezijua
@devothamturi7571
@devothamturi7571 Жыл бұрын
Umeonaaa eeeh
@nashnene6326
@nashnene6326 Жыл бұрын
Ushajiuliza kwa nini ame disappear?
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Жыл бұрын
@@nashnene6326 ukute ameogooa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Ameshakamatwa ni dada wa kazi kakamatiwa misungwi.
@ashuramussa2011
@ashuramussa2011 Жыл бұрын
@@hellendaniel3809 duh aise amefanya ukatili mkubwa sana bora angemuibia akimbie kuliko kumuua
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Ila iko namna apo
@ruqhaiyahshek7392
@ruqhaiyahshek7392 Жыл бұрын
Kbsa yani kwa uyo binty sidhani jeshi la polisi lifanye uchunguzi zaid
@yvonnerobert572
@yvonnerobert572 Жыл бұрын
Bint wa miaka 16 au 17 anawezaje kumnyonga huyo mama?
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
inawezekana , ila kwa haraka haraka hapa ni hiyo kesi ya mahakama pamoja na huyu binti watakua wame shirikiana.
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Imekuwa mazoea huko kuuana sasa
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Serikali ya wauaji lazim na watu wake watakuwa hivyo.
@deborajohn2447
@deborajohn2447 Жыл бұрын
Jaman muchunguze kwa umakin huyo dad hawez kumuuwa mt mzma hivyo yawezekan kuna kit Huyo mam alikosea kwa wengine ndio wamefanya hivyo musipende kuwahukum wadad wa kaz
@yohanalukanga6263
@yohanalukanga6263 Жыл бұрын
Apana mnamlaumu bure huyo mdada hawa watu huwa wana manyanyaso sana uwa wanawatesa sana wadada wakazi
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Usihukumu kabla ya kuujua ukweli kama aliona manyanyaso kwanini asingeondoka kwao?
@mariamumaliki6980
@mariamumaliki6980 Жыл бұрын
Ndio amuuwe
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
@@taseleli9181 si ndio hapo sasa
@hosea7919
@hosea7919 Жыл бұрын
Marehem alikua Anaishi nae vzr tu mpk alikua anamsifia kua anafanyakazi vzr... N bint mwenyewe tu aliingiwa Na roho ya kinyama
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Hakua na camera's nyumbani? Fuatilien hakua pekeake huyo
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
tunasikitika sana ila kwa nini mnatumikisha watoto wadogo wasio jitambua ila poleni sana
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Hayo sio majibu, mjinga sana ndio auwe
@samiahmlimanzila6406
@samiahmlimanzila6406 Жыл бұрын
Huyu binti akipatikana nahisi kunaukweli anajua yaweza kua niyy kafanya tukio au sio yeye kwanini auawe siku ya tarehe ya kesi whenda walomuua walimuaml7 binti aondoke ili asieleze chochote
@lgdnce8309
@lgdnce8309 Жыл бұрын
duuu inaumiza yani uyo dada wa myaka 16kweli ndio anaweza fanya ilo tukio au kuna mutu apo katikati kayafanya hayo kisha kamuchukuwa na huyo house girl ili asipate kutowa siri
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Umesema kweli .Msichana hausik
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 Жыл бұрын
@@hyacintagugu7 kakamatwa kakutwa na vitu kbao vya marehem
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 Жыл бұрын
Basi aliuliwa na hao walio kua nao kesi mahakamani ili kupoteza ushahid na wakamteka msichana
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 11 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 6 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
Polyneuropatidagen 2023 - Vad är polyneuropati?
33:05
Neuroförbundet
Рет қаралды 3,8 М.
Watumishi wawili Watumbuliwa: ,watano wasimamishwa kazi
28:28
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
Mtoto Mwenye  kipaji
4:36
Channel ten
Рет қаралды 567 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36