Watumishi wawili Watumbuliwa: ,watano wasimamishwa kazi

  Рет қаралды 5,176

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Watumishi wawili wa kitengo cha Ardhi katika Jiji la Dodoma wamefukuzwa katika huku watatno wakisimamishwa kutokana na kusababisha migogoro ya ardhi.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa jiji Joseph Mafuru kwenye kikao cha kamati ya Ulinzi na watumishi wapya wa idara ya ardhi.
Kikao hicho kimeitwa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka kwa lengo la kujadili mikakati ya jinsi ya kumaliza migogoro ambayo uimetajwa kukita mizizi na kuwa eneo lenye migogoro zaidi ya mengine nchini.
Mafuru ametaja sababu iliyopelekea miongoni mwao kuingia kwenye matatizo, ni uuzaji na viwanda na kubadili matumizi ya maeneo kwa lengo la kujipatia kipato.

Пікірлер: 15
@thomastemu3332
@thomastemu3332 9 ай бұрын
Mafuru anajitahidi Sana je hao maofisa ardhi hawafai ni wakufutwa kazi wote 😢😢
@abubakarhassan1915
@abubakarhassan1915 2 жыл бұрын
Daaah yaani Bora leo mmeliona hilo ,nikelo kelo ,mkurugenzi na RC kazi nzuri
@zajayojohn9860
@zajayojohn9860 2 жыл бұрын
Hii coordination nimeipenda mkurugenz na RC
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Fukuzeni tu jamani wizara ya aridhi inasumbua sana kwa rushwa
@aminaally7364
@aminaally7364 2 жыл бұрын
Rushwa imezidi
@mrishobhaya8965
@mrishobhaya8965 Жыл бұрын
Kwa mara kwanza nimepata faraja kwa maneno hayo Kwa ukweli kuna usumbufu mkubwa sana mkurugenzi. Kuna rushwa kubwa mnoo
@aaaaaah290
@aaaaaah290 2 жыл бұрын
HII NCHI BHANAAA…., WATU WAPO, ILA WACHACHE SANAA 😔
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Hata kama mama kamtoa lukuvi bado hali ni tete sana ardhi amrudishe tu yeye kabeba mijizi mitupu kajaza ofisi zote za serikali na ccm
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Watumbuliwe tu kama kipindi cha hayati magufuli nyie mnalea ujinga mtupu fukuza maafisa hao rushwa imetawala kila sekta zote za serikali tumewachoka
@matukutajuma156
@matukutajuma156 2 жыл бұрын
MAFULU OYEEEEH!
@aminaally7364
@aminaally7364 2 жыл бұрын
Ardhi dom mtihani
@hono1232
@hono1232 2 жыл бұрын
Bado tunamhitaji waziri lukuvi aendeleze mabadiliko ya mifumo yote
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 жыл бұрын
Morogoro kumeoza sijui RC anafanya nini ni hovyo upande wa Ardhi hasa Wilaya ya Mvomero Morogoro na tunawajua kwa majina, wamepitisha barabara kwenye viwanja vyangu vilivyopimwa na nimetoa tena hela kwa urekebisho toka 2018 hadi leo hii hakuna kitu
@mluziwajini4734
@mluziwajini4734 2 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi ni kichwa sana huwa namkubali
@safiaothman5175
@safiaothman5175 9 ай бұрын
Mafuru ni miongoni mwa waliosimamishwa kazi mwaka huu wa 2023.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 12 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 470 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
UZINDUZI JENGO LA TAKWIMU DODOMA
3:00
Nbs Tanzania
Рет қаралды 6 М.
Zungu azungumzia ushushaji mizigo Bandarini
3:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 220
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН