JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@RobertMboya-ys2ki6 күн бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu wa kuondokewa na kijana mpambanaji, Mwenyezi Mungu Ampe Pumziko la Milele.Raha ya milele ampe ee Bwana Apumzike Kwa Amani,Amina.
@fidesbernard483516 сағат бұрын
Amina
@neemaraphael70839 сағат бұрын
Poleni sana family, Catherine apumzike kwa amani
@allymwinyi81757 күн бұрын
Polen mungu awatie nguvu wanafamilia wote walio poteza ndugu na sisi pia kwa ujumla mungu atutie nguvu tz yetu
@magejuliani52937 күн бұрын
Pumzika kwa amani Binti! Mungu awafariji wanafamilia
@JohnAgustino-i2h7 күн бұрын
Poleni sana ndgu zetu . Mungu awape wepes na falaja
@JohnsonRutta-k1c7 күн бұрын
Pumzi ndo utajiri ambao mtu anao duniani global tv nawashangaa Mungu awafute machozi wote walio ondokewa na ndugu jamaa na marafiki mungu atusaidie tuliobaki duniani
@marymbugua54166 күн бұрын
Poleni sana Familia na marafiki . Sad !so young and beautiful, R.i.p baby girl .God is still on the Throne!
@jennet64847 күн бұрын
Hiyo kichwa cha habari kinaonyesha iQ yenu global ni ndogo sana..
@Zuu6737 күн бұрын
Wapuuzi kabisa
@lilyrose79837 күн бұрын
Shangaa na wewe
@Legends_Interviews7 күн бұрын
Ovyo kabisa
@itanzaniaAS7 күн бұрын
Yani ni ovyooo
@kokusimabayona41797 күн бұрын
Kabisaaaaa....sasa vina husiana vip
@Ramista756 күн бұрын
R.i.P. poleni naomba serikali iyotume wanayoifanya kupitia waziri Mkuu wakikuta Ghorofa lengine mbovu wavunje hapohapo jamani maisha kwanza hela baadae
@itanzaniaAS6 күн бұрын
@@Ramista75 YES
@rahimaaaaa56826 күн бұрын
Kweli kbs inauma san😢😢😢
@YusuphNgoni4 күн бұрын
Polen sana jamn,Mungu awape nguvu kaka kipindi hiking kigumu,tuko pamoja nanyi🎉
@SuleymanMadaha7 күн бұрын
Turudi kwa allah jm maisha yaduniyan sio chochote kabsa hatauwenani
@PeterGraceford2 күн бұрын
Poren sana ndgu! Mungu awe pamoja nanyiny kwa kpind hk kgun
@meshackthomas13417 күн бұрын
But haya majengo yakipindi cha miaka ya uhuru. Yaondolewe yote. Hata kama yanamuonekano mzur. Wakaguzi tuache. Janja au kupewa bahasha. Tuwe na hofu ya Mungu kutenda haki. Et jengo bovu linapakwa rangi tu nakuzibwa hi sio sawa
@shaabanayoub63437 күн бұрын
Hakika mauti yatakufuateni na kuwarejesha kwa mola wenu muumba....Ee mungu tujaalie mwisho mwema na uilaze pema peponi roho ya marehemu amiin
@emmanuelmogela58717 күн бұрын
Mungu aifariji familia poleni sana kwakumpoteza bint wenu
@aliciamwalimu5827 күн бұрын
Sasa kuna haja gan ya kusema familia ya kitajir? pumzika kwa aman cathe 😢😢😢😢
@MgeniRamadhani7 күн бұрын
Kwani utajiri una shida gani 😅😅😅watu bwana
@aliciamwalimu5827 күн бұрын
@MgeniRamadhani tuko kwenye majonz waandish wanatupa headline za kutaka umaalufu,asa kuna haja gan et mtoto wa kitajir kwamba tajir Hafi? Ila nimekosa usingiz 😭 watu wanavyolia jmn
@KhamisOman-g7n7 күн бұрын
@@aliciamwalimu582allah
@lilyrose79837 күн бұрын
Sasa utajiri unahusika nn na msiba?Mwandishi acha ushamba
@judyngowi3917 күн бұрын
Waandishi wa hovyo sana
@chikujuma187 күн бұрын
😢😢😢 inalilaahi wainalilah rajighun polen wanafamilia pamoja na jamaa zake mola ampe khauli thabiti ndugu yetu mbele yake nyuma yetu
@allyabdallah49707 күн бұрын
Kufa hakuna utajir wars Mussolini kufa mwanadam yeyoyote atakufa hata kam unalalia era eee Mungu nipe mwisho mwema
@BernadethaNyorobi2 күн бұрын
Pole Sana ndungu na jamaa bwana ametwaa na bwana ametoa jina lake libarikiwe
@lambertnicepypa75607 күн бұрын
Pole sana ndugu zetu!Pia Mola amlaze ahera
@nadirdoody79557 күн бұрын
Amin mungu awape nguvu ndugu zetu amen
@NestoryMhagama-ci5pq7 күн бұрын
Ni pigo kubwa kwa taifa na wanambeya kwa ujumla kufikwa na misiba hii mizitooo mungu awe faraja ktk kipind hiki kigumu
@CatherinedanieliMasenga7 күн бұрын
Wajina wangu jamani😢 pumzika Kwa Amani kipenz
@MuhamediSaidMohdКүн бұрын
Alhah amewapenda zaidi
@ThomasYohana-e6e2 күн бұрын
Poleni sana wanafamilia
@abdullahhashimu23807 күн бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun Poleni kwa kuondokewa na mpendwa wenu
@basilisamsaka84696 күн бұрын
Poleni sana wapendwa Mungu awape faraja
@NemaAli-zh6hr7 күн бұрын
Mtoto wa kitajiri which. Yn media kubwa km global wanaandika upuuzi
@EdsoniMtaonga-w3bКүн бұрын
Hapo sasaaa sijuiii utajiriii umeingiajee hapoooò
@meshackthomas13417 күн бұрын
Polen sana. Mungu. Awe pamoja nasi sote 🤝🙏
@gladnesswazir-zz9lk7 күн бұрын
Daaah upokelewe mbinguni kwny makao ya bwana uishi naye milele 😭😭😭😭😭🤲🙏🙏💔
@LindaMbilinyi-n3n6 күн бұрын
Global akil hamna sasa mtoto wa kitajir hafi??media kubwa lkn mnaboa
@RosePinji6 күн бұрын
Poleni Mungu awafariji
@halimashaban8117 күн бұрын
Innalillah wainnalillah rajiun mwenyezi mungu amrehemu Innsha'Allah
@Tatty-u8p7 күн бұрын
Japokuwa sisi sote njia yetu ni moja lakini inauma sana RIP binti mzuri .
@ShufaaMtigaКүн бұрын
Poleni sana wafiwa wote.
@subiramwaka97927 күн бұрын
Mungu wangu wafariji watu wako😢😭😭😭😭ni wewe tu unaye weza kuwagusa na kuponya majera
@Allybest5official4 күн бұрын
Pole sana
@josephinakiungo31044 күн бұрын
Mungu ututie moyo
@ninayamat82137 күн бұрын
Jamani poleni sana familia kwa msiba huu mkubwa
@Agnesskanyika7 күн бұрын
Kifo wewe Kathe mdogo wangu 😭😭😭inauma sana
@Aysheri-b5v7 күн бұрын
KIFO ni mawaidha jmn MUNGU ampokee. Atujalie nasisi mwisho mwema inshallah
@HASSANBAKARI-q9c7 күн бұрын
Dah afu ushuwani,,,skiliza we unaesoma coment hii,,usisubiri vifo vya watu ndio utambue kama kuna mungu,kifo kinakuja popote pale hata ndani kwako,takwimu zinaonyesha kila siku lazima watu wafe na wengine wazaliwe,,,people's go bak to the lord mapema kabla ya kuyaona majuto..
@aminafupi7 күн бұрын
Inailah wainailah rajuun 😭 😭😭😭poleni sana wanafamilia
@JustinKobero7 күн бұрын
Pumzikeni kwa amani amina
@spreadlove53007 күн бұрын
Jamani 💔 pumzika kwa amani Catherine 😢
@Zakia-v2o7 күн бұрын
Inalillah wa inalillah la juuni mbele yake nyuma yetu
@katherencharles82997 күн бұрын
😢😢 mwanga wa milele umwangazie upumzike kwa amani Catherine😭😭😭😭
@nusfiarashidi88707 күн бұрын
Mungu awape faraja family ya Catherine katika kipindi hiki kigumu
@felixsanga8946 күн бұрын
Jaman poleni kwa msiba huo
@JoyceKazimil3 күн бұрын
Poleni saan jaman
@Salome-rz8wc7 күн бұрын
Poleni Sana family
@MussaKingu2557 күн бұрын
Kifo maradhi na mqjanga hayachaguagi maskini wala tajiri
@monicamwainunu79087 күн бұрын
Mungu awape faraja kwenye kipindi hiki kigumu
@MonicaLuogaКүн бұрын
Mtoto wa kitajiri awe wa maskin ila nyumba yetu ni moja tu
@deomushy25946 күн бұрын
Mungu awe faraja ya mioyo yenu
@aishamwinyijumaa35416 күн бұрын
INAILAHI WAINALAHI RAJOUN
@Am-vo5cu7 күн бұрын
Poleni kwa msiba
@ramadhankakai73037 күн бұрын
Kwa hiyo kwa misiba yote mkaona mtoto wa kitajiri ndio msiba mzito zaidi unaofaa kuangaziwa na mkaenda hadi nyumbani kabisa kufanya mahojiano
@NeemaJuma-t4g6 күн бұрын
R l p pole sana ee mungu 😭😭😭😭😭
@erickmaximillian82763 күн бұрын
Kifo akiangalii utajiri wala uzuri. Pumzika mahala pema poponi. Waandishi acheni chumvi chumvi zenu hizo. So mnatizama family zakitajirindio mnazozihoji!!?
@MwasitiOmar6 күн бұрын
Apumzike kwa Amani 😭😭😭😭
@brunobalama60467 күн бұрын
dah pis Kali sana ningemuoa huyu am so disappointed 😢
@rambostalon28887 күн бұрын
Mungu akupokee
@mishimwarabu18246 күн бұрын
Inalillah wainaillah rajioun
@gracekagoma32317 күн бұрын
Tuache hasira na kulaumiana hili ni balaa hakuna mjinga 😢😢ni kisanga😢😢
@kautharjay58687 күн бұрын
Mtihani sana inauma
@Mahene-w1l7 күн бұрын
Duh bint Mrembo Ametutok hivhiv Kwel
@MgeniRamadhani7 күн бұрын
Mungu ukawe mfariji wa familia hii
@anithawidambe75437 күн бұрын
Poleni wote.
@halimamfaume19257 күн бұрын
Innalillah waina ilayhi rajiun 😢 poleni wafiwa
@OliverDavc7 күн бұрын
Kifo alina tajiri
@SimonMelon-k9p7 күн бұрын
Mtoto wa kitajiri ndo nini,why usiseme nyumbani kwa