INALIZA: Aliyehukumiwa MAISHA na KUKAA GEREZANI miaka 43, Atoa Siri Nzito toka Gerezani

  Рет қаралды 1,065,479

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 1 300
@selincharles3383
@selincharles3383 6 жыл бұрын
tangu nijue maisha sijawai kuona polisi aliestaafu akaishi maisha mazuri na yaamani... nilikuwa sijui sababu kumbe nilaana na matendo yao maovu ndio yanayowahukumu...sasa jamani kwanini mfanye haya... embu badilikeni duniani muhukumiwe bado na ahera inawasubili... duuu Magufuri bado naona kazi kubwa mbele yako... ila naamini Kama Mungu alituumba sote kipi kitamshinda..? pole mzee Pole Sana
@queenbrytn3627
@queenbrytn3627 6 жыл бұрын
wamerahaniwa kipindi cha yesu askal wanaishi kwa rahana😭😭
@callistmrema8331
@callistmrema8331 6 жыл бұрын
Selin Charles
@kassimnandala5136
@kassimnandala5136 5 жыл бұрын
@@queenbrytn3627 mtwara
@agathashayo6210
@agathashayo6210 5 жыл бұрын
Uwasamehe tu kwani utapata mema zaidi
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 жыл бұрын
Kweli
@dainesszuberi5033
@dainesszuberi5033 6 жыл бұрын
Mzeee umeninilizaa sanaaa nimeumiaa mungu kufanyie wepesi katika afya yko na maisha yako mungu yuu pamoja nawe nimeumia sanaaa malipo ni hapa hapa duniani shukrani za dhati zimfikie mh:pombe Jonh magufuri azidi kuwa na moyo huo huo nimeumizwa sanaaaa👏👏Ahsante muheshimiwaaa
@eliasenyapallangyo6423
@eliasenyapallangyo6423 6 жыл бұрын
nimelia
@sabunitv2121
@sabunitv2121 6 жыл бұрын
dah dia acha tu
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 6 жыл бұрын
Maisha yake yameishia gerezani masikini pole sana mzee wetu Mungu atakulipia,watu kama hawa wako wengi magerezani wanateseka bila kuwa na hatia. Naelewa mzee anajisikiaje. Pole mzee
@mtosimbakwamzungu7703
@mtosimbakwamzungu7703 6 жыл бұрын
🚶
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 6 жыл бұрын
True
@jumakiparis2267
@jumakiparis2267 6 жыл бұрын
Pole sana Mzee mbona hio mpaka Leo majambazi wakipora police wanapewa posho halafu wanaingia mitaani kukamata watu kuua soo na hata hutasikia waziri wa mambo ya ndani kwema magerezani kukutana na wafungwa kupata maelezo lao sema hivi sasa watatia akili
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Usikubali mtoto wako akasome chuo cha upolisi kwanza hatakaa amwone mungu pia hawana msaada ukipata shida ndo wanafurahi wapate pesa yaani pesa kwao ndo muhimu haki kwao hamna hayo machozi baba hayatakuwa ya bure yatakuwa juu yao mungu anawaona
@tumainijoseph6356
@tumainijoseph6356 5 жыл бұрын
ashukuriwe mungu
@allysaid1215
@allysaid1215 5 жыл бұрын
Kama polisi ni sawa na mbwa gonga like
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
Pole sana mzee Allah atakulipia ata mm machoz yananitoka iyo ndio Tanzania kila kitu chafanywa uenyeji uwenyeji tu
@brunonsungwe8676
@brunonsungwe8676 6 жыл бұрын
Mh jamani acheni Mungu aitwe Mungu ! Huyu baba yetu kaniliza sana! Asante Magufuri kwa ukombozi huu! Hakika Mungu azidi kukuimalisha katika kutafutia haki wanyonge! Mungu mpe maisha marefu huyu mzee
@neemaselemani3689
@neemaselemani3689 4 жыл бұрын
Askari mungu anawaona, askari kazi ya laana sana, aiseee pole baba
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 6 жыл бұрын
Pole sana Mzee ashukuriwe Mungu aliyekuweka mzima hadi unaiona tena familia yako. Muombe Mungu akuondolee uchungu kuhusu uonevu uliotendewa ili usije ukakuumiza na kukuletea madhara. Kuna maisha baada ya yote yaliotokea Yesu ni mfariji.
@raphaelngongo1310
@raphaelngongo1310 6 жыл бұрын
kwa kweli raïs Makufuli Mungu amujaliye yeye na familiya yake waishi maisha marefu kwa jambo kubwa alilotenda sababu ma raïs wengine wanajuwa kuhuwa na kuachanisha jamihi ndugu Raphaël shimama kwenye zamu ya kaziya Mungu .
@ameldamaungo1131
@ameldamaungo1131 6 жыл бұрын
pole sana mzee wangu nimelia sana
@saumukhamiskajembe5457
@saumukhamiskajembe5457 6 жыл бұрын
RAPHAEL NGONGO pole sana Allah akutangulie ktk maisha yakoo
@elisantelazaro3310
@elisantelazaro3310 6 жыл бұрын
RAPHAEL NGONGO and
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Amin
@Blaisebula-uo4fr
@Blaisebula-uo4fr 9 ай бұрын
Mungu nimwema siku zote .mungu akurinde baba
@denisclay8549
@denisclay8549 6 жыл бұрын
Kama una amini police ni kazi ya laana gonga like hapa mbn sioni jamaniiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@bernadethamsaki2921
@bernadethamsaki2921 6 жыл бұрын
Co laana ila walioajiriwa ndo wana laana! Ni kazi kama kazi nyingine
@shafiimarandu6971
@shafiimarandu6971 5 жыл бұрын
Denis Clay kwel
@basilisamsaka1221
@basilisamsaka1221 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kz ya police nilaana,na wamelaaniwa,wanasingizia watu sana
@bahatirobi6262
@bahatirobi6262 5 жыл бұрын
Denis Clay niwalaaniwa hata sijui kwa mungu watajitetea vipi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Polisi wana laana ndio maana ni maskini wa KUTUPWA.
@kananu578
@kananu578 4 жыл бұрын
Great job Mr President Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha big respect from Kenya
@reddyjulius3997
@reddyjulius3997 6 жыл бұрын
Pole sana mzee wangu ndo Tanzania yetu ilivyo hadi leo kuna kesi nyingi sana za kusingizia huku wakiachwa watenda maouvu machozi yako yatawalilia
@helenelikana8301
@helenelikana8301 6 жыл бұрын
ipo cku tutaonana kwa baba yetu
@manganamanganamanganamanga7313
@manganamanganamanganamanga7313 6 жыл бұрын
pole sana
@gsmtzinfogsm8601
@gsmtzinfogsm8601 5 жыл бұрын
Hiyo laana itawarudia
@emyrichard2152
@emyrichard2152 5 жыл бұрын
Wavivu wa kupeleleza sana,ndio maana wanakamata watu waio na atia.
@liliankipaya110
@liliankipaya110 5 жыл бұрын
reddy julius
@helenamhema3606
@helenamhema3606 5 жыл бұрын
pole sana mchungaji wangu mlyuka ukiwa makambako tulikukubali mungu amesikia maombi yako
@beautysimukonda4863
@beautysimukonda4863 5 жыл бұрын
poe sana
@hadijabashasha3337
@hadijabashasha3337 4 жыл бұрын
Dr.John Pombe Magufuli Mungu ndie atakae kulipa kwa wema na huruma yako akujaalie hapa Dunian na kesho Akhera
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 жыл бұрын
Unamshukuruh Allaah thummaah makufuli...Mwenyezimngu Atawalipaaa. Alokudhulluh ...
@delitonavaia3503
@delitonavaia3503 6 жыл бұрын
kwakweli nimetokwa na machozi, japo siyo mtanzania lakini Kama binaadamu nimeguswa. Allah atakulipa.from 🇲🇿
@dianadeus1308
@dianadeus1308 5 жыл бұрын
Pole sana jaman
@jumabaraka1212
@jumabaraka1212 4 жыл бұрын
Daaah yaaan na hii nyimbo inaleta huzuni zaidi
@ChalesKadologo
@ChalesKadologo 8 ай бұрын
Pore Sana babu yng mwnyz mungu akupe maisha maref
@omarkhamis9514
@omarkhamis9514 6 жыл бұрын
Hili jambo lisizikwe vivi-hivi, wizara husika ni lazima zifuatilie na mzee alipwe ridhaa na biashara zake, nguvu zake na mateso ya kihisia aliyopitia mzee huyu na yeyote aliyepitia dhulma za kusindikizwa. Imenivunja moyo sana. Udhalimu ulinuiwa mzee aozee jela milele, wapo wengi. Haki daima itaolea! Pole Mzee Raphael!
@sarahstanley3411
@sarahstanley3411 4 жыл бұрын
Jamaniii daaa chini ya jua chini yajua mungu mwenyewe ndo anajua 🙌🙌🙌 mungu hamtupi mja wake daa inaumiza sanaa
@tausijohn2569
@tausijohn2569 6 жыл бұрын
pole sana mzee kwa yaliyokkuta mungu atakusaidia maisha yako ysmeishia gerezani .
@jackfrancis8047
@jackfrancis8047 5 жыл бұрын
Daaah nimeumia Sana polen Sana Mungu ashukuriwe
@donlee2553
@donlee2553 6 жыл бұрын
POLISI WOTE PITENI HAPA MTAJIFUNZA KITU.JAMAANI NISAIDIENI KUWAITA POLISI.
@selincharles3383
@selincharles3383 6 жыл бұрын
mmoja tu nihuyo mwanae sidhani Kama yaliyomkuta baba ake anaweza mfanyia mtu mwingine
@siwemaseleman7091
@siwemaseleman7091 6 жыл бұрын
pole sana baba malipo ni hapahapa duniani umeteseka sana
@nikolymo9315
@nikolymo9315 6 жыл бұрын
Munngu in mweza ya yote
@janethotieno1281
@janethotieno1281 6 жыл бұрын
police piteni hapa mjifunze
@kingmazengo3643
@kingmazengo3643 5 жыл бұрын
Wajewajeeeeee
@obillaezra6205
@obillaezra6205 5 жыл бұрын
Cosmas namfahamu vyema Miaka tuliyosoma Makongo Sec !! Ni Soldier mwenye Maadili Mazuri na Wanafunzi wengi tulielimika kwa Nasaa Zake!!! Pole Mwl na Hongera kwa Kumuona Baba kwa Umri huo!!! Mungu amzidi kumuongezea Baba Umri na Afya njema!! Hongera familia nzima, na Hongera Mchungaji
@kadoaugust6497
@kadoaugust6497 2 жыл бұрын
Nadhani hata waliomfanyia hivyo watakuwa hawapo hai.
@josephineluge6693
@josephineluge6693 6 жыл бұрын
Daaaah!! Imeniliza sana. Pole sn Mzee wangu
@luckyestomih4774
@luckyestomih4774 4 жыл бұрын
Mungu amtangulie jaman
@aokinsindi6948
@aokinsindi6948 4 жыл бұрын
Pole sana mzee mlyuka mi ni mgum Sana kutoa machozi lakini ktk Hilo nimejikuta machozi machozi mwee 🇹🇿 JPM MUNGU akuongezee siku za maisha YAKO!!
@witedsteward4168
@witedsteward4168 5 жыл бұрын
Mimi nimemaliza form four nikaambiwa nijiunge najeshi la polisi kitu ambacho niliona siyo sawa kuliko nichague kazi ya upolisi bora nikachunge ng'ombe!!!! Jela wenye makosa siyo wengi!!!! Kama huw Kubali hawa jama zetu (polisi)gonga like
@patrickplatnumz4765
@patrickplatnumz4765 5 жыл бұрын
Wited Steward , nilichaguliwa pia baada ya kumaliza form four. Sikwenda wala sijutii
@helenjonsob5718
@helenjonsob5718 5 жыл бұрын
Wited Steward kwa kweli
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 4 жыл бұрын
Nimelia jamani eeeemungu magufuli msimamie azid kua kiongoz wetu bora yarabiy muweke rais wetu wallah nimelia sana
@roseondieki7443
@roseondieki7443 4 жыл бұрын
Ee Mungu jidhihirishe katika maisha ya huyu Mzee jionyeshe mwongezee miaka mbariki katika uzee wake mpe tumaini tena....Amen Amen
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 5 жыл бұрын
JELA NIMEKAA ZAIDI KULIKO NJE...Daah Mungu wangu
@lovefranco1884
@lovefranco1884 4 жыл бұрын
Imeniumiza sana iyo kauli maskn dah
@lucianisaay9752
@lucianisaay9752 3 жыл бұрын
Duuuuuuh pole sanaaa
@fidesrazalo8438
@fidesrazalo8438 4 жыл бұрын
Wote waliokufanyia hivo cku ya mwisho simamanao mbele ya mungu na mungu atawadhibu hapa duniani hakuna haki haki hiko juu mbinguni pole sana baba
@goodhelpnolland9637
@goodhelpnolland9637 6 жыл бұрын
Pole mzee inauma sana mtu anafungwa bila hatia
@jamilasaidi1020
@jamilasaidi1020 3 жыл бұрын
Inaumaxan pole sana police sio watu kabisa
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 5 жыл бұрын
Pole sn mzee omba sana mungu asikuache popote uendako kweli nimejifunza kitu kikubwa sana juu ya hili mh rais bc tu juu yako mungu akuangalie sn udumu baba
@onyokoreo7999
@onyokoreo7999 5 жыл бұрын
Inshallah you will get your justice Soon,magufuli ni Rais wa wanyonge
@salmabanga8962
@salmabanga8962 4 жыл бұрын
Duuu kumbe kuna watu wanafungwa bila hatia polee baba
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 4 жыл бұрын
Pole mzee Mungu analipa?Sahau yote na uamini Mungu anawezaa
@marymah7149
@marymah7149 5 жыл бұрын
Chozi ramnyonge ulipwa na mungu Inshaallah muachie mungu inaniuma kama baba yangu mzazi jmn inauma duuuh😢😢😢
@halimasaid4977
@halimasaid4977 3 жыл бұрын
Sana inauma
@smwansasu8605
@smwansasu8605 6 жыл бұрын
Mzee aache kuishi jana itamuuma sana. Mungu atamrejeshea miaka yake iliyopotea. Asamehe tu yote yaliyomtokea. Pole sana baba.
@b9media144
@b9media144 6 жыл бұрын
Nimeshindwa kujizuwia, hakika nimeumia, nimelia sana! Japo tunasema kuwa Mh Rais yupo kisiasa zaidi ya kujitengenezea mazingira mazur ya hapo baadae, (kila mtu anafikiria kutokana na utashi wa upeo wake). Lkn kwa hili basi amefanya uungwana wa ajabu sana na namuomba Allah amjaalie sikumoja apate kuona nuru ya uislamu na afe haliyakuwa yupo katika Qalma ya laailaaha ilallaah Muhammad rasuulullaah! Kwasababu sisi tote n wa M/mungu, anatupenda sawasawa kabisa
@zaifathussein8195
@zaifathussein8195 6 жыл бұрын
Dully Mtanzania Amina inshaallah
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Dh... pole sana Baba Mungu yup p1 na we we atakulipia Dh... hinaumiza sana kwakweli
@dvjaddie7176
@dvjaddie7176 5 жыл бұрын
Daa inauma sana mungu akujaalie afya tele ishaallah.
@raisonmwazembe7002
@raisonmwazembe7002 4 жыл бұрын
Ee yesu nisaidie,nifikesalama yote ya duniani pore_baba,mungu in mungutu
@atukuzwensellu8364
@atukuzwensellu8364 6 жыл бұрын
Poleee,,, namuona mchungaji mlyuka hapo nyuma kanifundisha bible knowledge,,,,poleeeee mzee
@marygathu3800
@marygathu3800 6 жыл бұрын
Hio machozi mwenyezi Mungu atalipisha.pole baba😢😢😢
@ibrahimmaroa5767
@ibrahimmaroa5767 Жыл бұрын
pole Sana baba maisha ni mungu tu anayachua ndo maana akatuma makufuli akuche hapo baba yasahau yalivyo bita si nywele baba 🙏🙏
@carolinetalimo8088
@carolinetalimo8088 6 жыл бұрын
mungu ni mwema ,,,na atakupa nguvu,,
@nicksonhelman3436
@nicksonhelman3436 3 жыл бұрын
Du, mzee namjua huyu niwanyumbni aise jamni maisha haya
@josewillson1813
@josewillson1813 3 жыл бұрын
Inasikitixha xn MUNGU atunusuru na haya maswaibu
@babaneygss6753
@babaneygss6753 6 жыл бұрын
Asante Mungu kwa wema wako,asante JPM kwa huruma uliyowatendea wafungwa wote ulio wasaheme 09/12/2017.
@jovinathobias7163
@jovinathobias7163 6 жыл бұрын
Inasikitisha mno kwakweli Mungu ni Mwema anamakusudi na maisha yetu kwanza kutupatiaMagufuli kila jama linamaana yake,Mungu so kiziwii wala sio kipofu,Asante sana Baba
@jamillahmansoory3652
@jamillahmansoory3652 6 жыл бұрын
Dah mzee kaniliza huyu acha mungu aitwe mungu
@e_know4d222
@e_know4d222 4 жыл бұрын
Mtangazaji nakupenda bureee, Na pole babu mungu kaliona chozi lako
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 6 жыл бұрын
Pole babaa Ndio Dunia naa aminn mtuu hafii ila kwa zakee na MUNGU NI MUNGU Atabakii kuwa MUNGU sio ww baba wengii wapo jela bila kesii nii kusingiziwa tuu
@johnbeda7620
@johnbeda7620 6 жыл бұрын
it painful alot mungu bado amakusudi na wewe mzee wetu
@khadijaabdully6284
@khadijaabdully6284 6 жыл бұрын
inatia uchungu kwakweli,machoz yamenitoka kwa huruma,pole sanna baba angu,mungu yu mwema,na shukran mh magufuli,m/mungu akuweke
@lissamsalu2179
@lissamsalu2179 6 жыл бұрын
Pole sana famille hiyo
@pendogeorge5379
@pendogeorge5379 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati, pole baba etu, asante rais wetu
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 6 жыл бұрын
Mi mpaka tumbo limeanza kuniuma. Dah!! Mungu anakupenda Baba
@masoudjumanne2761
@masoudjumanne2761 6 жыл бұрын
Pole Sana, Mungu ndye atakurinda. Nimeumia Sana Mzee Wang
@rehemabaraka9895
@rehemabaraka9895 6 жыл бұрын
Daaa pole sana mzee mungu amesikia kilio chako
@mrsrumondo8740
@mrsrumondo8740 5 жыл бұрын
Jamani magufuri ndio raisi anahangaria matatizo ya wananchi wake kira kona anapita mungu akubariki sana tena sana razima tukupe kura iri uongozi jahazi kwa Mara engine ccm oyeeeeeeeeeeeeee
@carolinesergon347
@carolinesergon347 5 жыл бұрын
Woiye soo sad. Poleni sana kwa familia ya mzee Raphael kwa ujumla na pongezi pia..i think they all need counselling especially the old man. He is still in a tough place 4 sure. Am grateful too for what ur president did. Btw big ups to the beautiful presenter mwenye sauti nyororo pia 😍😎
@aminanyangero7603
@aminanyangero7603 6 жыл бұрын
Chozi LA mwenye haki halitaenda bure
@princesspeter48
@princesspeter48 4 жыл бұрын
Pole Baba.... Mungu Atakulipia
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 6 жыл бұрын
Baba yngu Had machoz yananitok ila mungu yiko na atakufut machoz nyamaz Baba yngu 😭😭😭😭
@mohamedikibasa418
@mohamedikibasa418 6 жыл бұрын
Umeniliza mzeee wangu xanaa. Duh Mungu atakulipa kwa kweli. Na waliokusababishia hayo watapata tabu kwa Mungu. Mungu awaweke mahala pabaya motoni waliokutendea unyama
@TheMaarifa
@TheMaarifa 6 жыл бұрын
Dah! aisee inasikitisha sana. kuanzia sasa mimi kama wakili nikipewa jalada la kesi ya mauaji nitalifanya bure kabisaa kuwatetea watuhumiwa. Haiwezekani tukaacha hali hii iwe inaendelea kutokea mahakamani
@georgewilliam7657
@georgewilliam7657 6 жыл бұрын
Nakujua Wakili Augustus Fungo. Katika hilo Mungu akusimamie. Barikiwa sana. Nimesikiliza kilichozungumzwa na nikabaki mdomo wazi
@ghalibujamali3392
@ghalibujamali3392 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki wakili
@nancesebastian3464
@nancesebastian3464 5 жыл бұрын
Augustus Fungo asante na mungu atasimama pamoja na ww
@clemencehaule917
@clemencehaule917 5 жыл бұрын
polen wazee wangu!
@zalkiabendera7238
@zalkiabendera7238 3 жыл бұрын
Mungu wangu
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 жыл бұрын
Huyu Baba ana uchungu sana sana,Mungu amtiye nguvu sana,ampe umri mrefu wa kuishi.
@fortunatuswangubo6013
@fortunatuswangubo6013 5 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu kwa mkasa huo
@elizabethjohnyombo3875
@elizabethjohnyombo3875 2 жыл бұрын
Pole sana mungu akuzindishie maisha
@lucywilson5875
@lucywilson5875 5 жыл бұрын
Miaka 43, nimelia na huyu Mzee, kichwa kinaniuma. Mungu atunusuru
@jamestarimo2910
@jamestarimo2910 5 жыл бұрын
malipi na hapahapa diniani...na pengine washahukumiwa wote walio mzulumu maisha mzee wetu...Mungu amtie nguvu mzee wangu ..pole sama mzee
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 6 жыл бұрын
Mungu atalipa hapa hapa
@wardalward3693
@wardalward3693 6 жыл бұрын
Pole sana alhamdulilahi mshukuru mwnyezmungu na rais waimani mungu ampe maisha marefu rais
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 жыл бұрын
Masikini pole sana baba miaka 43 jela, kuna watu wengi wamefungwa kwa kesi za kubambikiwa police wana husika kwa kesi hizo hao walio toa ushahidi wa uwongo mungu awalaani mpaka kufa kwao .
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 жыл бұрын
Too much emotional I can't stop crying 😭😭😭😭😭😭 guys God is faithful and peaceful guys 😭😭😭😭😭😭😭😭 labda Mungu alipenda kuwapitisha kwa hau ile uwe ushuhunda kwa wengine hata mimi pia
@alphageorge4796
@alphageorge4796 6 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa hili
@karebodaud2013
@karebodaud2013 6 жыл бұрын
Mungu atakulipia
@sistersade9039
@sistersade9039 6 жыл бұрын
Hadi kesi imeniliza sana tokea mwanzo mpaka mwisho kusikia matatizo waliopitia family hii. Mtu afungwe muda wote huo kwa dhulma Pole sana Baba mzee, Mungu akupe umri mrefu Na mafanikio mema katika maisha yako.
@kacheali4777
@kacheali4777 6 жыл бұрын
pole baba mungu ndio mtetez wetu hapa duniani watu wajiona wakubwa kuliko mungu.lakn hak haipotei mungu akusaidie sana
@johnjoseph4832
@johnjoseph4832 5 жыл бұрын
Pole sanaaa bb yetu mungu ni Muaminifu
@zaifathussein8195
@zaifathussein8195 6 жыл бұрын
Maskini!! pole sana babaangu #dhulma uliofanyiwa hakika Mungu atakulipa na atakutilia wepesi katka kila jambo ulifanyalo kwa kipindi utakachokuwepo dunian #inshaallah tumshukuru mungu kwa kila jambo.
@raphaelngongo1310
@raphaelngongo1310 6 жыл бұрын
jambo kwa jamihi zote kwa kweli Mungu amemutowa ndugu Raphaël kwenye mavumbi kamuinuwa zaidi ya utajiri ushuhuda huyo wanipa tumaini kubwa mbele za Mungu mimi piya ni Raphaël nikiwa Congo jina hila la Raphaël limetimizwa kama lililo maanayake yani Mungu mponaji na ndiye aliyemuokowa amen .
@junaytadarwesh4708
@junaytadarwesh4708 4 жыл бұрын
Pole sana Mzee. Kutokana na maelezo yako na kama kweli unayoyasema amini waliokutendea uovu huo malipo yapo. Polisi jamani wacheni kubambikizia raia majanga muogopeni Mungu. Dhulma adui.
@winfred2546
@winfred2546 6 жыл бұрын
Pole sana baba Mungu atakulipishia. ...Kwa kweli nimelia😭😭 am so sorry
@trdr1915
@trdr1915 5 жыл бұрын
Oh my pole mzee mungu akunjalie na akulundishie chochote shetani amemba
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 6 жыл бұрын
Huyu mzee kweli alikuwa anajishughulisha miaka 34 nyumba 2 Vijana wa sasa miaka 35 anavaa supra hajui kodi hata ya chumba
@patrickplatnumz4765
@patrickplatnumz4765 5 жыл бұрын
ommie马瑞 , very true
@shuushuushuu2413
@shuushuushuu2413 5 жыл бұрын
Kwel kabisa
@kokufelix2186
@kokufelix2186 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@APILET
@APILET 5 жыл бұрын
@@kokufelix2186 koku Felix duh
@mwajeynzitto2367
@mwajeynzitto2367 4 жыл бұрын
Ndo mana walimfanyia fitna jaman ila kila jambo tumshukuru mungu tuu
@secylovenessadaa4245
@secylovenessadaa4245 5 жыл бұрын
Pole sana Mzee wangu Mungu atakulipia
@rahapaulina1451
@rahapaulina1451 6 жыл бұрын
Mungu utabaki kua MUNGU dah nimelia sana pole sana baba
@luciapeter1345
@luciapeter1345 5 жыл бұрын
Nmebaki Tyu kulike coment Za wenzang mana inaniuma sana jpo na meng ya kuxema but asilmia nying Imesemw na Wenzang Apa nmebaki tyu njiapanda tanzania kuna makafiri hvi?????????
@tabuabdalah8661
@tabuabdalah8661 6 жыл бұрын
Pole sana baba yetu kwakweli machozi yamenitoka nimejizuwia nimeshindwa asante mungu asante rahissi wetu makfuli mungu ampe maisha marefu
@lindahwazir7209
@lindahwazir7209 4 жыл бұрын
Hivi huyu Rais Maguli mbona alicheleweshewa urais ?Ulikuwa wp Baba? Naomba Mungu akutunze akulinde, nimelia sana kwani najua kunawengine wengi kama huyu Mzee anayetoa machozi, hakika machozi haya yataotesha kitu kwa waliofanya hiv.
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 4 жыл бұрын
Mimelia jamani
@rashidsimba3638
@rashidsimba3638 6 жыл бұрын
Dah! Pole sana Mzee umeniliza sana nimeshindwa kujizuia aisee
@mzeemombasa.3456
@mzeemombasa.3456 5 жыл бұрын
Pole sana mzee wetu Mungu atakulipa miaka yako yote uliyopoteza gerezani hakuna uzao wako atakayeteseka tena umemaliza.
@sadajasonie5909
@sadajasonie5909 6 жыл бұрын
Duuuuuh....pole Sana baba angu...mungu akufanyie wepec ktka maisha yako
@dianajafety4888
@dianajafety4888 6 жыл бұрын
nmeumia xana baba yaani c kila mfungwaana koxa mungu akutie nguv ad mzee ka huy anatoa choz hao police walaaniw na wote waliokufanyia ivoooo! mtalipwa kwa mlichotend nmeumia sanaaa
@selincharles3383
@selincharles3383 6 жыл бұрын
Diana sidhani Kama yupo hata mmoja.... wameenda na roho zao mbaya
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Duuuuu...! Huko jela wapo Wengi sana wenye kesi za kusingiziwaaaaa.. Sema ndio ivyoo na nadhani ndio maana Raisi alifanya uchunguzi kuhusu hizo kesi akagundua Zina utata ndio maana wakatokaa
@zalhahamadi9862
@zalhahamadi9862 6 жыл бұрын
pole Ba mkwe ndo mambo
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
nikweli
@faridaabdallah7620
@faridaabdallah7620 5 жыл бұрын
Pole nisanakakazangu pianampapole babayangu mungu awabaliki sana kuwane namoyo wakumliwaza baba yetu apete kusahau yari mikita japo hatasahau sana lakini mpenimoyo nimeumiasana 😭😭
@kavassay8899
@kavassay8899 4 жыл бұрын
Daaaaaaaa mzeee Amelia kwa uchungu sana
@zamanineema3057
@zamanineema3057 4 жыл бұрын
Kabisaaaaa filahun hawao Mungu atawalipaa kwa choz la mzee huyu
@lilianmwakapala3658
@lilianmwakapala3658 6 жыл бұрын
pole sana mzee wangu yalikufika hapo baba angu hukua na jinsi tena baba angu ila mwenyez mungu akupe maisha marefu sana
@gemkachar
@gemkachar 6 жыл бұрын
Natumai IGP Sirro pamoja na askari wake waniatazama hii video. Mwenyezi Mungu yupo.
@salmanamianga9868
@salmanamianga9868 5 жыл бұрын
Nimejikuta nalia kweli Mungu atakulipia mzee waaaah 43 years inauma ajabu kilio ya mnyoge hulipwa na Mungu
@baidaismail4061
@baidaismail4061 6 жыл бұрын
😭😭😭😭 Duh! inauma sana
@annahrosekennedy4542
@annahrosekennedy4542 5 жыл бұрын
Mungu Akutie Nguvu Baba yangu... Bwana Ni Mwema Amekutetea katika hili jaribu Nina imani hata wale wengine walio ndani pasipo makosa... Bado Mungu atawatetea...
@naylahkhamis1545
@naylahkhamis1545 5 жыл бұрын
inasikitisha machozi yananitoka wallah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@luckyestomih4774
@luckyestomih4774 4 жыл бұрын
Naylah Khamis 😢😢😢😢😢
@cressyheuser2840
@cressyheuser2840 6 жыл бұрын
maskini.... nimelia sana kwa kweli! inaonekana wazi mzee alionewa! pole sana mzee wangu
@estermbega8154
@estermbega8154 4 жыл бұрын
polen sana ndg zangu kwa maonezi hayo ambayo mliyapata ahsante Mungu kwa mh Rais wetu ajuaye kuna watu wanaonewa ila nimejikuta nimelia sana kwa maelezo ya mzee huyu
@fredmathubejr3547
@fredmathubejr3547 6 жыл бұрын
Wakowapi majaji na mawakili waliowafunga wazee hawa? Tujifunze kutenda haki coz nothing last forever
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 6 жыл бұрын
Fred Mathube jr tafuta hela wewe huyu mzee kaingia jela Na miaka 34 ana nyumba 2 Na watoto 10 maeeeee we laza duduuuuu tu
@fredmathubejr3547
@fredmathubejr3547 6 жыл бұрын
Hhhhhh umevurugwa
@denarddavid9202
@denarddavid9202 6 жыл бұрын
Fred Mathube jr Na HAO maaskari waliosingizia kesi bado WAPO. Mamlaka zichunguze
@romanachao245
@romanachao245 6 жыл бұрын
Ata yaeza kuwa walifariki na magonjwa,maajali ila mzee yuko hai na salama.Mungu akulinde sana Baba mpe Mungu Marsha yako zaidi ulivyo Tumika jela
@petersolomon2979
@petersolomon2979 5 жыл бұрын
Wengi wao walishakufa
@julytito3891
@julytito3891 4 жыл бұрын
Yaan Machozi yananitoka tu kweli maishani huwa tunapitishwa sana
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
Pengine police wenyewe walishakufa mamaaaaee, siyo kila kifo mnahuzunika watanzania wengine walitenda mambo mabaya wanalipia.
@anyelwisyemwakasungula7419
@anyelwisyemwakasungula7419 3 ай бұрын
Na sio kila stori mnaiamini Watz kueni stebo kwenye akili ivi mahakama zote zimuonee, Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaa zisimtoe, majaji sio wajinga kama mnavyozania
@الاو-ث5ر
@الاو-ث5ر 6 жыл бұрын
Pole sana mzee Babangu. SHUKURU TU MUNGU KWA HALI YOTE NA YEYE NI MWENYE HAKI AFANYANGI KAMA MTU. NI YEYE AME I NGIA NDANI YA RAIS AKATOA MUSAMA KWA FUNGWA SO ANA SITAILI SIFA NA UTUKU. UMENILIZA MZEE BUT MUNGU NI MKUU. Mukenya Halisi.
@gerraldbukelebe5152
@gerraldbukelebe5152 6 жыл бұрын
Mmmmh! Ni mtoto wa kiume lkn nimeshindwa kujizuia nmelia sana aisee!!
@bettymsongole2254
@bettymsongole2254 6 жыл бұрын
gerrald Bukelebe pore baba yangu
@swaumuramadhan1832
@swaumuramadhan1832 6 жыл бұрын
Pole sna baba
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
daaaa
@mussajuma2847
@mussajuma2847 5 жыл бұрын
Betty Msongole kweli
@zawadiommary8593
@zawadiommary8593 5 жыл бұрын
pole sana mzee machoz yako uliyo yamwaga kwauchung hakika watayalipa mungu ndomtoa hukum yamwisho pole san mzee
@reazahmohjey7724
@reazahmohjey7724 4 жыл бұрын
Wallahi inauma..Mungu atakulipia mzee..mwachie mola. Pole mzee
MZEE MATONYA ALIYEISHI MIAKA 43 JELA, ASIMULIA A-Z KILICHOTOKEA!
24:44
Global TV Online
Рет қаралды 185 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 23 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН