JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@deodartngaiza66642 ай бұрын
Poleni sana wafiwa, waTanzania nyote na Viongozi wetu nyote. Roho za marehemu zilazwe mahali pema peponi. Amina.
@nuggets17762 ай бұрын
Poleni wafiwa, 🎉🎉 hili nalo litapita Mungu atusaidie
@AlphonceMartine2 ай бұрын
Poleni sana familia zilizofikwa na janga la kufiwa na wapendwa wetu . Mungu awatie nguvu sana !
@nenenongi662 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu wote,Mungu awape faraja,na Mungu awalaze mahali pema peponi🙏
@Awaasha-cn6bx2 ай бұрын
MwenyenziMungu wafanyie wepesi waokoaji ili ndugu zetu watoke. Wakiwa hai
@ZuwenaZaidi-o2x2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa na pia muwe na subra katka kipindi iki kigumu
@RadShayo2 ай бұрын
Poleni wafiwa pole Taifa letu.mwenyezi mungu akawape faraja wafiwa na ahuweni kwa wafiwa wote jamani.
@malebolaurence84362 ай бұрын
Poleni sanaaa ndugu zetu wa tanzania mungu awatie nguvu katika kipindihiki kigumuu
@AmaniManase-x1i2 ай бұрын
Oooh Mungu wetu waondolee makosa yao wapendwa wetu wasamehe tu kama walikukosea aidha kwa kupenda ama sio kwakupenda wapokee na kuwahifadhi mioyo yao hakika tumeumia sana😢😢😢
Mungu azidi kuwapa nguvu wafiwa wote na awatangulie hamna namna
@innocentMallya-v4r2 ай бұрын
Tutawaombea kwa mungu na tulio hai tusjisahau hi safar ni ya wote kikubwa tujiandae
@ShadyaCHORA2 ай бұрын
Inna lilah wainna ilayhi rajiuun Allah awalaze Mahala pema peponi.
@catherinefaney9482 ай бұрын
Mungu awazidiahie hekima na Uwezo waokoaji,waweze kufanikiwa kuwapata ndugu zetu waliobaki wakiwa hai.
@halimashaban8112 ай бұрын
Innalillah wainnalillah rajiun mwenyezi mungu awarehemu Innsha'Allah 🤲 Ndugu jamáa na marafiki na kwa Sisi Sote poleni sana Mwenyezi mungu ATUJAALIE subra
@josephchuwa29052 ай бұрын
BWANA WA MBINGU NA NCHI WEWE NI MUNGU NA UTABAKI KUWA MUNGU WASAIDIE WATU WAKO NA KUSUDI LAKO LITIMIZWE HAPA DUNIANI KAMA UKO MBINGUNI WATEI NGUVU WATU WAKO HASA WALE WALIOATHIRIKA MOJAKWA MOJA NA TUKIO HILO LAKUPOROMOKA KWA JENGO..AMEEN.
@GeorgeKinyonge2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa wote poleni
@Isayadaudi-bh4eq2 ай бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi
@RitaDelatorre-l8g2 ай бұрын
Mwenyezi mungu wapokee wapendwa wetu
@Fatima-v9k6f2 ай бұрын
From 🇧🇮 pole san majirani zetu
@aishamchome11432 ай бұрын
🙏🙏
@AminaMkumba-u3z2 ай бұрын
Poleni sana katika msiba huo wa ndugu zetu
@catherinefaney9482 ай бұрын
Roho zao waliofariki Dunia wastarehe Kwa amani. Mama Samia na uongozi wote,Wa Tanzania sote tuwe pole, ninawaombea walioondokewa na wapendwa wao,Mungu awape amani ya moyo,tumshukuru Kwa Kila linalotukuta.Mungu ataendelea kuwa Mungu tu. Mungu ameyasetiri makusidi yake,atenda apendavyo.tumshukuru Mungu.
@vicentocta16752 ай бұрын
Inauma sana, ila hakuna namna, Tuwaombee walale salama.
@salimharrasy70472 ай бұрын
Mungu Mkubwa. Tuukubali mtihani huu. Tunamuomba Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu pahali pema peponi. Amin. Dada yetu anayechangisha hela msikurupuke kumkamata bila kuchunguza nia ya mchango huo.
@rahabnkya82762 ай бұрын
Rip all, wafiwa wote, poleni, all Tanzanian poleni . Ameen
@josekinyamagoa-sv4jh2 ай бұрын
Fundi uyo ana ushauri wa kiufndi. Afu mi knakitu nimewaza. Ivi badae selikali itakua ili ujiajili lazima usomee AJILA Yako na kupewa cheti na selikali ili wanchi wajue au wakujue kua wewe ni mtalamu.
@MarkoJohn-s4o2 ай бұрын
Poleni kwawote
@HassanMkwanda2 ай бұрын
Pole ni Sana wafiwa
@ThomasMmary-r7w2 ай бұрын
😢turudi kwa muumba wetu ndugu zangu 🙏
@DazuuMwajuma2 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu watanzania ❤😢
@MagrethEvarist-n9w2 ай бұрын
Waandishi wa habari muache kuuliza maswali yasiyo na tija kwa wahanga.
@MohammedJaizan-yf5yt2 ай бұрын
Safi sana huyo Dada anajifanya mjuwaji sana kwenye mambo ya michango. Ni mpigaji tu atauona moto wengine wanaomboleza yeye yupo kwenye upigaji
@eusebiaurassa34172 ай бұрын
Hili la kusema mwenye ghorofa asakwe daah
@Alijabed-q2m2 ай бұрын
Poleni nasa familia zilizo pata msiba jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭
@AdaAmos-pp5jt2 ай бұрын
polen wafiwa wote
@OmanOman-f7r2p2 ай бұрын
Ila kiukwel lnauma Sam Kwa Sababu hatutawaona faima milele. 😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
@RoseTembo-e2c2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa wote mungu awape nguvu inauma sana 😭😭😭 jamani
@Ester-c1w2 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu😂😂
@Zahra1-wf4kj2 ай бұрын
Mbona unawapa pole halafu unacheka tena 😢?
@haidhabushiri95582 ай бұрын
@@Zahra1-wf4kj yawezekana hajui matumiz ya imoji😢
@SophiaSimba-uq8ct2 ай бұрын
Ni kweli hajui kweli maana yke,. Kwenye kilio unaweka kicheko
@AmoIslamicTv2 ай бұрын
Hajui jaman msameheni tuu😭😭
@سوزي-ع1ل2 ай бұрын
😭😭😭😭poleni sana 🙏🙏
@alicemlelwa19812 ай бұрын
Poleni sana
@neemaelia34362 ай бұрын
lvi mtu watu wanaangaika kuwaokoa watu wewe Una changisha ela Una Akili timamu kweli 😭😭😭😭😭😭😭😭
@KamamaaOmar2 ай бұрын
Allah awarehemu
@EstharAndrew-q1v2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu
@zenobiasangawe70902 ай бұрын
Wapumzike kwa amani 😢
@habibabarker16442 ай бұрын
Yarabi usamehe wapendwa wetu uwapumzishe pema peponi utupe nguvu tusikufuru kwa machungu tulionayo
@EliphridaElipidius2 ай бұрын
Raha ya milele uwape Ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie,wapumzike kwa amani😭
@PendoKiyule2 ай бұрын
Eee MUNGU baba warehem waja wako,irehem Tanzania
@subiraibrahim81002 ай бұрын
Inalillah waina ilay rajiun 😢😢😢
@Kikuyunairobi20262 ай бұрын
What happened 2:44
@BoazKatema2 ай бұрын
Wapumzike Kwa amani
@emanuelmassawe19842 ай бұрын
Kwa nini hamkuafanya uchunguzi wa hayo magorofa kabla ya ajali kutokea munakua wp
@sultankivumbi92552 ай бұрын
Sasa huyo afande kuunyurula huo mdomo ndio ukakamavu au
@ElizabethOnyari2 ай бұрын
I send my condolence to those family members
@DaudiMazengoMasterDTEM2 ай бұрын
Duhh nguvu kazi imepungua. Wapumzike kwa amani ndugu zetu na ndugu jamaa na marafiki wakapate pole mnoo. Majeruhi wakapone. Maisha ni mafupi. Serikali ichukue hatua husika kuchunguza ujenzi ktk nchi ili mambo haya yapungue au yapotee kabisa.
@mwendemwende57892 ай бұрын
Poleni sana ila insurance inafaa kulipa
@PendoPogwa-c9r2 ай бұрын
Asakwe au nae apewe pole hakuna anaeweza kujua litalotokea hata yy mwenye ghorofa amepata msiba.😢
@kashimohamed9442 ай бұрын
Huyo niffer amfanyaje
@mimazcollectionmimaz88742 ай бұрын
Kimbelembele chake kimemponza....Achangisha watu bila kibali alafu waziri mkuu alipopost kwenye moja ya mtandao wakijamii niffer akajibu kwa madharau.....wacha kimrambe sasa
@ZahratAhmad-o1v2 ай бұрын
Jamani jamani poleni
@samiraabdimahamed44492 ай бұрын
Kariakoo ama ni moto ama ghorofa limeanguka 😒 mliosomea Cuba mtanielewa
@angellomarcel56772 ай бұрын
Duh..!😭😭
@tiffanymo94532 ай бұрын
🙏🙏🙏
@mwendemwende57892 ай бұрын
Niffer wema wako utakuponza ungetulia kama wenzako
@STE-v8g2 ай бұрын
😂😂😂
@FaithMbonica2 ай бұрын
Kafanya nini
@SharonAron-t1j2 ай бұрын
Mmh! Alikuwa anajua anachofanya acha akakabidhi hizo pesa na amejiingiza kwenye matatizo yani
@Awaasha-cn6bx2 ай бұрын
Majengo yaliopo mengi ni ya kizamani wamiliki wengi ni walliorithi ukarabati unakuwa mgumu kazi yao. Kuchukua kodi tu
@NanceCharles2 ай бұрын
Polen
@mynambwambo20722 ай бұрын
Niffer ni mpigaji..hii haijakaa mkaoo
@LucyKapinga-fg4dk2 ай бұрын
Maana animfanya Bishara Wakubwa kwakweri Wanaelewa hii kityuu
@AsendeNyota2 ай бұрын
😢😢😢
@RitaDelatorre-l8g2 ай бұрын
Uwapinguzie adhabu ya kabri
@mcback43842 ай бұрын
Kaburini hakuna adhabu acheni kujidanganya na wale wanaochomwa moto hiyo adhabu wanaipataje
@ndimimaskati36412 ай бұрын
Inahusu nini ZANZIBAR haya ni majanga ya TANGANYIKA?
@Mariam-ke4og2 ай бұрын
Wewe ni mwanadam wa aina gani mbona kwenu pakiwa na majanga mnasaidiwa na sisi mnaotuita watanganyika boti lililvozama mbona hukusema ya wazanzibari wacha roho ya kutu wazanzibar wamejaaa huku kwetu na wanafanya biashara ni watanganyika hao mbona unakuwa kama mnyama wa porini kuwa na huruma wewe usifurahie shida za wengine itakuja kukukost siku moja shauri yako
Wangejaribu kuchunguuza ukweli wake,kama ilikua Kwa Nia njema inasaidia pia,Kuna wakati michango hii inafaa kama imelengwa Kwa walengwa
@madetetv65762 ай бұрын
Hakuna nia njema hapo anachangisha yeye kama nani? Kafata utaratibu upi? Kila mtu akiamua kufaya kama yeye itakuwaje anaacha kwenda kutoa watu kwenye vifusi anachangisha hela tapeli huyo
@Kabwela7762 ай бұрын
Kiherehere na sifa za kihaya malaya huyo
@Kabwela7762 ай бұрын
Huyo malaya Niffer tapeli tu watu wanaangaika kuokoa watu yeye anachangisha pesa kama nani kupenda sifa sana sijui ni muhaya huyo malaya ! Sukuma ndani na mfungulieni kesi ya utapeli mbwa huyo Tanzania ni nchi Na ina utaratibu wake wa kusaidia majanga inaonekana ni mpumbavu hajitambui kabisa
@nashirkamugisha94252 ай бұрын
😂 wahaya wanapenda sifa (baadhi) ila sio matapeli
@Kabwela7762 ай бұрын
@ hao mbwa wahaya ni mijitu ya sifa sana ona ameumbuka sasa malaya huyo
@Kabwela7762 ай бұрын
@ wahaya wote ni watu wa sifa , wabaguzi na wana ukabila sana