MAKONDA AMTIMUA MKURUGENZI KWENYE MKUTANO - JAMAA ASHTAKI AMEMJENGEA NYUMBA HAJAMLIPA - ''KALIPE''

  Рет қаралды 48,754

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAKONDA AMTIMUA MKURUGENZI KWENYE MKUTANO - JAMAA ASHTAKI AMEMJENGEA NYUMBA HAJAMLIPA - ''KALIPE''
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 60
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 7 ай бұрын
Nilichogundua kila anapopita Mh Makonda, Kuna changamoto ya Wakurugenzi. Kuna shida kwenye mfumo wa utumishi kwa Hawa wakurungezi.
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 ай бұрын
Kabisa, wewe umeona kama mimi mkuu so anaeteua na kuwasimamia Wakurugenzi anapaswa azidishe nguvu katika ufuatiliaji wao wa kazi inshort hawawajibiki katika majukumu yao
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mbariki sana Makonda na Mama Samia.
@erickonesphor9630
@erickonesphor9630 7 ай бұрын
Mama ! Kuna watu utadhani hawajui wajibu wao wanakuharibia kazi ya kutuhudumia, wawajibishwe tu hawajielewi, mimi namshukuru Mungu kukupa maono hayo kumtuma Makonda ili uone wananchi wako tunavyo nyanyasika na kudharaulika na viongozi kuwa Kama Mungu mtu, Mungu akubariki kwa azima yako
@estakapufi7582
@estakapufi7582 7 ай бұрын
Daa jamani raisi wetu mama umeona haya mambo bila hii mikutano usinge jua haya madudu na kunamengi sana tz hii
@Zubaiba
@Zubaiba 7 ай бұрын
Shukran magufuli mdogo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 7 ай бұрын
Mama samia km utasoma hizo comment zetu hebu fukuza hawa wakurugenzi wanakuharibia chama na nchi timua wote 😢😢
@user-vb9yw7dc7z
@user-vb9yw7dc7z 6 ай бұрын
Makonda kaka yangu chapa job usijali mungu atakulinda sana pia naomba Kaz bac maisha nimekuwa manguu sana kaka yangu
@deuslucas2256
@deuslucas2256 7 ай бұрын
Vingozi wanajisahau mfano dar mwendokasi inavywo tesa wananch tunasubilia zaidi ya saa moja kupata gar na kibaha ndio kabisa na vingozi wapo nalo mbaka aje makonda ndio muanze kukimbizana
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 7 ай бұрын
Kwakweli inauma sana.piga risasi watu kama hao
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 ай бұрын
Kwakweli hatuna. Wamejaa vijana wa UVCCM nikubadilisha magari tu. Akiharibu hapa anahamishiwa kuleee
@josephmajembe3090
@josephmajembe3090 7 ай бұрын
Duuh! Noma!
@user-rf9vn7lz1n
@user-rf9vn7lz1n 7 ай бұрын
Watia asir hao watu kaka yang makond watu wakishaon wanaveo vyao tyu wanaamuw kuwatesea watu wa chin yaan hii nchi jaman daah 😢😢
@filbertkumburu8015
@filbertkumburu8015 7 ай бұрын
Funzo kwa waziri mkuu; mbona naye afuatiliagi hivo...aibu?
@aminaomary5567
@aminaomary5567 7 ай бұрын
Eti kwani hawa Wakurugenzi wananini?kila Mkoa ni wao.Shida sana.
@user-rn5iu5pw8t
@user-rn5iu5pw8t 7 ай бұрын
ccm hoyee .Endelea kutetea wanyonge
@user-xw2io8im4q
@user-xw2io8im4q 7 ай бұрын
mimi kama mim nipo kwajili ya mambo asikali nawao wafee tu hau wauni waue asikali kwangu mimi xhelehe kweli kwa sababu wana tuonea sana sis kwaio potelea mbali nyinyi amuoni tu viongozi
@kakazkanda
@kakazkanda 7 ай бұрын
👁️👁️
@user-zw9sx6cv8z
@user-zw9sx6cv8z 7 ай бұрын
Big up makonda😂
@user-yl9ym3ef1p
@user-yl9ym3ef1p 7 ай бұрын
Wakurugenzi nchini Ni tatizo hapa nchini waangaliwe upya
@rahimomary7663
@rahimomary7663 7 ай бұрын
Wakurugenziii wengiiii katika ziara hiii Ni shidaaa
@ericfelician7996
@ericfelician7996 7 ай бұрын
Nchi ngumu sana
@FastonNsangila-mr4bq
@FastonNsangila-mr4bq 7 ай бұрын
Hv wakurugenz mnakwama wap jaman? mbona kazi yenu ni rahis alaf mnaleta mzaha,yaaan kaz ya kusimamia halmashauri mnaifanya kimasihala,dash kwel upele umuota hasiekuw na kucha, Mama Samia naomba unipe almashauri moja niwaonyesha mfano niliojifunza kwa mstahaf Agrey Mwanily aliekuw mkuu wa mkoa Tabora
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 7 ай бұрын
MAKONDA akiwa RAISI sijui hii nchi itakuaje 😂😂😂😂🤣🤭
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 7 ай бұрын
ITAKUWA NIZILE HELA ANAZOZITAJI CAG.
@user-ij9pk5zu2x
@user-ij9pk5zu2x 7 ай бұрын
Kwa kweli inauma kama mtu anauza nyumba kisa kajenga kituo cha afya. Kweli serikali ione aibu na je huyu asingepata pa kulalamikia ingekuwaje. Halafu kuna mtu anasema waanzishe vituo ili waendelee kusumbua wananchi. Mm naona mawaziri sikilizeni wananchi kila mnkopita si mmeaminiwa na chama.
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 7 ай бұрын
Yaani viongozi wanadhambi sana halafu hawajali kbs yaani watoto wao wakishakula wakashiba hawajali, nani wa kumuokoa mtz mnyonge km sio Mungu jamani Mungu anawaona
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 ай бұрын
MAMA SAMIA ACHA KUWACHAGUA WAHUNI KUONGOZA NNCHI HII. WANAKUHARIBIA.
@tebelehondo8268
@tebelehondo8268 7 ай бұрын
Bada yakuona ako magu ayupo wamejisau kabsa kumbe kunakiumbe chengine kilipikwa kikaiva
@user-wu5dk2jd2r
@user-wu5dk2jd2r 7 ай бұрын
Makonda kazi unayofanya ni zaidi ya rais unapambania wanyonge mungu yupo ipo siku utakuwa kiongoz mkubwa wa taifa hili
@richardswai6100
@richardswai6100 7 ай бұрын
Ila hawa viongozi wana damu kama binadamu wengine?
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 7 ай бұрын
Wakurugenzi ni miungu watu aisee kiburi sana walafi wezi wanyanysaji hakika wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima soon kwa yale mnayotendea watu, balaa halitaondoka nyimbani mwenu
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 7 ай бұрын
Makonda mpeni tu urais tunyooke tena naona tumepinda tena
@katotoGenius-ml9ve
@katotoGenius-ml9ve 7 ай бұрын
Hujuma zimepindukia nchi hii
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 7 ай бұрын
Nguvu ya shetani wa Tanzania ni kubwa kuliko Mungu wa nchi hiyo
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 7 ай бұрын
Duuh hatuna wakurugenzii .... Wotee ni ovyoooo
@syliviakente9460
@syliviakente9460 7 ай бұрын
Watangaze kazi za ukurugenzi watu waombe wafanyie usaili ndio suluhisho na wachukuliwe wanaofaa
@user-zr8lq9lo8y
@user-zr8lq9lo8y 7 ай бұрын
Sio poa😢
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 7 ай бұрын
Makonda kwa nzia sasa naanza kukuombea mambo unayo kutana nayo kwenye ziara zako ni magumu
@sudymgeni701
@sudymgeni701 7 ай бұрын
Makonda kero zitakuua mana lazima zikushinde tu.
@LovenessFedrick-cy9fh
@LovenessFedrick-cy9fh 7 ай бұрын
Fedha za kujenga vituo SI huwa zinatolewa cash
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 7 ай бұрын
Fumua wakurugenzi nchi nzima jamani ukiwatembelea hao watu wamejenga mahekalu na maviwanja yasiokuwa na idadi na maafisa ardhi fukuza wasomi tunao wengi wako majumbani na vyeti vyao hao sasa inatosha walizovuna zinatosha nchi c yao peke yao
@mkandaabushiri5382
@mkandaabushiri5382 6 ай бұрын
NAMUONA MAKONDA MBELE KWA MIAKA KUMI IJAYO ANAWEZA KUJA KUPATA NAFASI YA KUIONGOZA MCHI HII KAMA RAIS .(Anacho kifanya sasa kwenye mikutano yake ndio tulitegemea viongozi tulio wachagua na walio teuliwa wangefanya aya katika kutatua shida za wanamchi wao wamengangana maofsini tu badae watamtafuta mchawi MAKONDA ndio anawaachaivyo.
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 7 ай бұрын
Fukuzaaaaaa huyo mkurugenziii hafaiiii khaaaa😮😮😮
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 7 ай бұрын
Nchii ngumu sana bado sana 😂😂😂😂😂viongozi wanawaonea sana watu magufuli ndo maana alikuwa anawatumbua mbwaa hawa
@user-yl9ym3ef1p
@user-yl9ym3ef1p 7 ай бұрын
Wakurugenzi Ni tatizo
@dignakanje4508
@dignakanje4508 7 ай бұрын
Makonda okoa hawa wanachi jmn wanateseka
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 7 ай бұрын
Futeni cheo cha mkurugezi ni washenzi watupu wanatesa sana wananchi yaani hii serikali ya ccm ni shida
@user-mt8op1gl4v
@user-mt8op1gl4v 7 ай бұрын
Jomon hadi huruma
@OmokaUomorwe
@OmokaUomorwe 6 ай бұрын
L
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 7 ай бұрын
Mukurugenzi huyo mbwa ahondolewe mahali pakatifu ambako ni office ya mukurugenzi
@williamsunday-yg2bz
@williamsunday-yg2bz 7 ай бұрын
Duh! Mbn haya mambo ni magumu! Kwanini hamjawalipa wakandarasi??? Miaka yote hyo watu wanadai
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 ай бұрын
makonda hana mamlaka ya kumfukuza mkulugenzi
@user-qo8qy8zv1f
@user-qo8qy8zv1f 7 ай бұрын
Mhhh
@joycemtambo2864
@joycemtambo2864 7 ай бұрын
Wewe unayoooo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 7 ай бұрын
Sio kila mtu anaweza kujieleza hadharani, simple Mkurugenzi useme pesa ya Serikali inaendana na bajeti ya mwaka, mwaka ukiisha deni hurejeshwa hazina.
@jeffhard5773
@jeffhard5773 7 ай бұрын
Sawa ana miaka sita anadai na kituo Cha afya kimesha kamilika Hiyo pesa inarudi hazina miaka yote sita au we ndio ujamuelewa makonda
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
MADUDU YALIYOMNG'OA MAKONDA HAYA HAPA
8:27
Wasafi Media
Рет қаралды 84 М.
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН