JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@Latifa-y6t9 күн бұрын
Naomba niungwe
@ZuinaAidi9 күн бұрын
Naomba kuungwa kwenye goup
@ZenasaidOmary9 күн бұрын
𝚗𝚊𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚔𝚞𝚞𝚗𝚐𝚠𝚊 𝚒𝚕𝚊 𝚗𝚒𝚙𝚘 𝚘𝚖𝚊𝚗𝚒
@hemedkassim8 күн бұрын
Naomba niunge kwenye group
@BishraaAmiri7 күн бұрын
Naomba niunge
@Latifa-y6t9 күн бұрын
Kweli kabisa sio wote wabaya wengine tunashukuru tunaishi vizuri tu tunashukuru
@husseinbahanzika79368 күн бұрын
Tuunganishe basi
@FghgRyy6 күн бұрын
Subhana Allah pole sana Dada kwa yaliotokea kwa upande wangu Alhamdulillah Namuomba Allah wasibadilike maboss wangu kwa kweli ni watu wema Alhamdulillah japo Kiu binadamu hawakosi kusema ila ni watu wema Alhamdulillah
@precious.11019 күн бұрын
Alhamdulillah napelekwa hospital na huduma napata zote kulingana na ugomvi sio wote wabaya madam wangu hajawai nifokea nikiunguza nguo anasema hakuna tatizo namshukuru Mungu sana
@Fathasssane-vs2th9 күн бұрын
Umebahaditika
@makkawi42949 күн бұрын
Mashaallah tabarak Allah heri ww
@jamilabakari12839 күн бұрын
hata mie jamani namshukuru mungu mwaka watano hu hata kujibishana wala kupishana kauli mungu awabariki mabos wangu.
@Zulekha-sg8fp9 күн бұрын
Mshukuru mungu
@hasnakid9 күн бұрын
MashaAllah mshukur sana Allah. Me pia Alhamndulillah kwa sasa nimepata boss mzur ananipenda kama mtt wake. Ila boss wa mwanzo, ukiumwa hospital wanakupelek kwa pes zako, baadh ya vitu unajinunulia mwenyew😒 but Alhamndulillah Allah alinipa subra nikaish nawo kwa mda wa 6 years.
@فيصلالبادي-ح1غ9 күн бұрын
Mm niliomba sanaaa mungu nisije pata mwaraabu wa kiswahili alhamdullah nimepata waarabu wa hukuhuku kiukweli naishi vizuli
@@NeemaJanganikweli kabisa mm mwenyewe sibanduki mpaka nimeloze mambo yangu
@husseinbahanzika79368 күн бұрын
Tuunganishe basi@@NeemaJanga
@husseinbahanzika79368 күн бұрын
@@RakaPktuunganishe basi
@Amena-k3v9 күн бұрын
Namshukuru mungu nipo na boss vizuri nakula nanunuliwa nguo napelekwa hospitali nikiumwa namshukuru mungu pia mshahara mzuri nikimaliza kazi nalala alhamdulllh 😊😊
@AlHamra-k4u9 күн бұрын
Alhamdulillah namshukuru Mwenyezi Mungu naishi km nipo nyumbani kwangu haya madhira sijawai Pata Asante Mungu 🤲🤲🤲
@HeryethAleck9 күн бұрын
Tumshukuru Mungu kweli ata mm nitakuwa mnyimifu wa fadhila
@RakaPk9 күн бұрын
Kwakweli hata mm nina mshukuru mungu Alhamdulillah 🙏
@yasminjuma91469 күн бұрын
Inaonyesha wewe mkorofi hukuweza kustahamili
@husseinbahanzika79368 күн бұрын
Tuunganishe basi
@AraphaCheki7 күн бұрын
Ata mm jaman allhamdullah naishi vzr tu tena jion nasaidiwa kupika kila siku allhamdullah Allah wangu
@alhamdullilla51089 күн бұрын
Asante mtangazaji asanteee kweli hawa wanaimboa wanakwenda Mabella wana kodi nyumba waschana wengi usiu wanajiuzaaaa 😢😢😢😢😢
@VictoriaFabiani-w2n6 күн бұрын
Kweli kabisa
@NajmaRajabu-y8b9 күн бұрын
Nyie mashaghala kuna maelezo mengine msisimulie kwakujumuisha watu wote...binafsi alhamdulilah sitokuja kumuongelea boss wangu vibaya abadani.. kwasabu khery ni nyingi mno kuliko madhaifu yao🎉🎉 Allah awalipe khery nyingi duniani na akhera kwajinsi tunavyoishi kwa kusubiriana 🤲.... kwasabu ata mimi pia nina madhaifu yangu pia... mkamilifu ni Allah pekee 💯 nitafanya nikimaliza inshaallah alhamdulilah 🙏
@HUpendo9 күн бұрын
Uyajakukutaaa dada😢😢😢
@stellanyamuhogota18329 күн бұрын
Wew kam una heri Acha wenzako waseme changamoto zao
@omanoman20449 күн бұрын
Kabsa hata mim sito wahi kuongelea hayo ya mshahar kwa sababu mie nilikuja 2016 nilikuja na 70 nilikaa miez 5 nikaongezwa 80 lakin sai nalipo 130 kwa lweli alhamdulillah tunajenga na tumejenga
@Husnasalim-f2g9 күн бұрын
@@NajmaRajabu-y8b sio wot hat mm hap ninamiak 5 tena mwak wa tano nimetimiza mwez huu tarehe 13 makwazano ya kawaid yap nikiumwa napelekwa hospital kwa bima niliotengenezaw sijawai kukatwa hat mia ya matibabu nishafany Ex -Ray ya goti nishafanya nishafanya Ex -Ray ya kidole nishafanya Ex-Ray ya meno nishaziba meno 6 ninaclenik ya macho na homa zingine kila kitu juu yao nishafanya Ex-ya kichwa sijawai kutoa mia yangu na kila karib ya sikukuu ananipa hela boss wangu niwape wazee wangu sadak nguo juu yao kila kitu ukion nimenunua kit nimeamua mm mwenyew 2 na nanunuag lotion 2 nazopenda mm mwenyew ndo natoa hela yangu wapo wabay na wazur my niliwai fany kazi Oman niliapa sitorud nchi ya kiarab nilipat mates ila nilivumilia dakik za mwisho tulishikan mkononi nusu nimzibue makof yule mam alienda kwao kuongea uongo familia yake yot ikanichukia ila yot kwa yot sijajali nilikuwa naangalia malipo yangu 2 mengine watajua wenyew nilivomaliz mkatab nikarud sasaiv nip uku miaka 5 sio km makwaruzano haman yapo ila sio yale san kunamda unavumilia vinavovumilika nasema Alhmdulillah
@rayahamisi1189 күн бұрын
Umeonaee wanaona sifa
@ummohamed44049 күн бұрын
Jamani mungu atusitiri na hawa viumbe Allha asinijaaliye na hawa viumbe Jamani mahala panapo kupatia riziki Ukisema ubakishe Kuna siku mtapatamani Lkn kwa kuomba no one mashallhaa
@nourannouuran35149 күн бұрын
Waoman ni watu wakarimu sana,tena nchi za kiarab oman ndo mwamba wao kwa ukarimu,baati mbaya zipo kama hivyo msiongeze na maneno kwa sababu wapo wanaishi vizuri sana
@Kabwela7769 күн бұрын
Hamna kitu mwaarabu ni mbwa tu
@mamialsawafi80209 күн бұрын
@@Kabwela776we mbwa mweusi
@hemedkassim8 күн бұрын
Sio wote wanaishi vizur wengine wamebahatika ja wengine wanapata shida
@MaimunaSaidi-z7f8 күн бұрын
Mm pia nami7 naishi vzur tu siowotewabaya@@hemedkassim
@AminatHamis8 күн бұрын
Kabisa oman wanaongozwa Kwa ukarimu
@HalimaKassim-yz3we9 күн бұрын
Asilimia nyingi wakishatoroa kazi umalaya wanatutiaibu sisi ambao tunajieshim tunaishi na ma boss zetu vizuri Alihamdulilah
@Kabwela7769 күн бұрын
@@HalimaKassim-yz3we mwarabu Hana jema kwa Ngozi nyeusi kwake wewe ni mtumwa wake hata umfanyie nini anaweza kukubadilikia muda wowote Na hata kukuuwa juzi kuna dada mmoja amesukumwa kwenye kisima kafa huko Oman 🇴🇲 Na wengi wanateswa
@KhadijaSalim-b8q9 күн бұрын
Huna lolote mbwa Wewe
@HalimaKassim-yz3we8 күн бұрын
@KhadijaSalim-b8q mbwa 2 ni ww haoo mna hasira nawaombea woote mnadanga kwa watu mukqmatwe washenzi watabia nyie
Mmmm Punguzeniii,Leo umeona mnarudishwa kwenu [MNAKAMATWA] ndio kurudi..WAONGOOO haisaidii kumjua..huko nje ungepata boss,ungebadili tu..
@SalmaAthuman-hp3en9 күн бұрын
Mtihani wallah mungu atupe subra team 💪
@shanimbaruku20719 күн бұрын
Aamiin
@salamalsawaqi12069 күн бұрын
Basi tena hatutaki watanzania kuja kufanya kazi kwetu 0man Alhamdulillah tunao wahindi wala hana maneno neno wana uongo uongo kama nyinyi
@SalmaAthuman-hp3en9 күн бұрын
@@salamalsawaqi1206 🤣🤣🤣kwenu wapi wenye nchi wala hawajui kiswahili
@alhamdullilla51089 күн бұрын
Hakuna mitahani ukiwaona hawa niwahuni unasikia alikuwa injeeee diku zoote hizoooo
@sifatiiman7 күн бұрын
Hakunaga mwarabu anaongea kiswahili wewe shagara tu unajiita muoman 😂😂@@salamalsawaqi1206
@jarsjam88949 күн бұрын
Kote kuna wabaya na wazuri hata Tanzania wapo kila siku watu wanauwawa
@Rehemaa-uz8rj9 күн бұрын
Kabisa ila Omani niugenn
@Kabwela7769 күн бұрын
Waarabu ni mbwa Ngozi nyeusi kwako ni mtumwa
@mamialsawafi80209 күн бұрын
@@Kabwela776mbwa ww mweusi kama mkaa kwani walitumwa waje hao weusi wenzako basi waajiri ww nyoko zako
@FayzaSultan9 күн бұрын
@@Kabwela776Kabisaa hawathamini watu kabisa hao unafq na ukafir basi
@FayzaSultan9 күн бұрын
@@Rehemaa-uz8rj Ni kweli na mazingira yao ni magumu sana sana yaani mmh mtihani unafiq na ukafir basi
@TawosiTawosi9 күн бұрын
Kwakweli umeongea ukweli kipenzi hata kama wabaya wapo sehemu zote lkn kunazidiana subhanallah naishi vzr lkn nikiumwa panadol nakazizinaendelea yotekwayote allah nimjuzi wayote isha allah 🤲🤲🤲
@umranim58542 күн бұрын
Ngoja nikusanye hizi habari hizi zote nikaonane na mkubwa wa magreshen nimfahamishe hizi habari money kama hawakufungiwa kuingia Oman tena
@salimaloufi64706 күн бұрын
MZURURAJI WEWE,HAMNA EHSAN
@umranim58542 күн бұрын
Tamaa mbaya ndio ina wasumbua
@shariffsagaf23055 күн бұрын
Hadithi za wafanyakazi zimekuwa nyingi sana na tunapata taarifa upende mmoja tu.fanyeni kazi huku bongo kwenu.
@Emilymama2boys4 күн бұрын
Uyu dada ameongea true kabisa
@Noor-o4i15 сағат бұрын
😭😭Allah ndy anatulinda lkn tunayo yaptia kama wazazi wetu wanaona bas wanaanguka presha😢
@Fatuma-p9y6 күн бұрын
Mimi nashangaa sana watu wakishudwa kazi kutwa kuongea sasa kuna kazi iliyokosa changamoto yani wao maneno kutwa oman jaman ata uko tz kuna watu wana rombaya sana na mishalaa ailipwi
@PrincessReen-n8t6 күн бұрын
Ubadilishwe na ulivyo DuBa hivo hata huyo mwarabu alikustir
@HildaSwai6 күн бұрын
Yaaañi kwa kweli mimi tangu nimeingia kwenye hii nyumba sijawahi kutoka zaidi ya kwenda kutupa takataka basi sina ijaza sina mapumziko ni kazi kazi kwa kweli maisha ya gulf nikuomba Mungu
@theresaelizabethelijah1176 күн бұрын
😢pole 🫂
@sitynyuni97615 күн бұрын
Duh kumbe tupo wengi
@IreneJohn-p2g9 күн бұрын
Kweli kabisa hapo kwenye hospital hakuna kabisaaa na kukipelekwa hospital utasimangwa hasaaa nimwendo wa panadoli tuu😂
@salamalsawaqi12069 күн бұрын
@@IreneJohn-p2g simlipe wenyewe hela ya hospitali si mnafanya kazi mIsha hala mlipwe na hospitali mlipwe kama mshahara mdogo si mrudi makweni mkalipwe MSHAHARA MINONO
@Bintmsanif5 күн бұрын
Ww muarabu koko ww @@salamalsawaqi1206
@MariamMustafa-w8e6 күн бұрын
Ndio wa burundi kwenye kusafiri hatupati shida kabisa kwa Hilo tuna mshukuru mungu
@humaidalnaamani78595 күн бұрын
😂😂hapo kuna uwongo wa kupigws kisu akatoroka dada ungelikuwa umeenda police kwa kosa la kupigwa na kitu chochote kila ukweli ulie mshitaki hatatoka police bila dhamana au ww kukubali atoke
@salimaloufi64706 күн бұрын
WASWAS UTOKE WAPI UNAE BWANA
@fatmaabdallah77096 күн бұрын
Sasa uliombewa kurudi ya nini na wewe unasema kibarua ilikuwa inakulipa vizuri kuliko mkataba?!
@zuweinaalhabsya87739 күн бұрын
Sasa da zari huyu Dada alifugwa Oman sijui miezi mingapi unategemea ataongea ukweli ni lazima atawachafua waoman. Natamani Sana wanao leta Hawa watu waje na wao waongee na wish ingekuwa wanakijua na kiswahili wakafaham wanavyotukana nadhani hakuna mtu angeharibu kuwaleta. Ni bora kupaza sauti wafungiwe tu wao wapunzike na waoman wapunzike.
@umranim58542 күн бұрын
Waongo hawa wanatoroka wanaenda kujiuza umalaya tu na parent kubwa wana toroka kwa ajili ya kufaya pat time na kufanya umalaya na embassy hawawezi kumjibu utajuana na boss wako
@Afrikalove736Күн бұрын
Inaskitisha malaya kuwalelea watoto wasafi watukufu.,😂😂
@umranim5854Күн бұрын
@Afrikalove736 na ndio sababu hakuweza kulea watoto kazoea kulea mapumbu 😅
@Afrikalove736Күн бұрын
@@umranim5854 waarabu hawawezi kulea watoto ndio maana wanawajiri hao mnao sema wamalaya wewe vipi hujaelewa.😂
@Afrikalove736Күн бұрын
@@umranim5854 Wanazaa mitoto mingi kwenye upande wa malezi wanaitaji msaindizi ,siwazae wanao wanao waweza kuwalea uvivu tu.
@AbdiBim6 күн бұрын
Anaonekana haswa kama mkorofi huyu mdada oman kweli kuna waarab wakorofi lakini huyu ni mkorofi yeye muongo danga hili bwana muwache kuwasakama watu bure.umalaya tu hamna lolote😊
@SaidNassor-xj6yp2 күн бұрын
Pole sna kwa mitihani
@umranim58542 күн бұрын
Huyu asirudishwe tena Omani
@MsafiriMakalanzi5 күн бұрын
Pole mama juma kama umerudi oman njoo moro utusalimiee
@rosemsafiri75682 күн бұрын
😂 ACHA tamaa
@rosemsafiri75682 күн бұрын
😂 ACHA tamaa
@rosemsafiri75682 күн бұрын
😂 ACHA tamaa
@rosemsafiri75682 күн бұрын
😂 ACHA tamaa
@rashidmkoga30533 күн бұрын
Najma mwenyewe anaonekana Mbishi sio kinyonge
@priscillahpendeza66229 күн бұрын
Its sad to hear this,as a Kenyan global fan its time for the government of Tanzania to do something,the citizens outside are suffering
Mungo alikaaa mwezi 6 ukooo alipelejwa jella kubwa uyooo muo go 😢😢😢😢
@ZakhiaKhanna5 күн бұрын
Huyu kwanza mdomo ndo unaomponza kwanza ndo alokuwa anamtukana mama Samia kisha katoroka ili akafanye umalaya tu
@GatekaFatma17 сағат бұрын
Unauhakika mpenzj
@Monaoom-x5m6 күн бұрын
Muongo huyu 202.mshahara mia naishiri.sio kweli ninamiaka 10 oman.
@fatmaalnabhani36099 күн бұрын
Jamani basi wa Tanzania kuingia Oman, malalamiko yamezidi Tena dohh😮😮
@hafsa05adil325 күн бұрын
Uroho mbay tu unakusubuwa wazanzibar ndio mumewaweka kooni lazima mutawatajaa tu kwachuki zeni😏
@dorcaskidoti2499 күн бұрын
Dada umeupiga mwingi hapo kwenye kubadilisha uraia safiii sana
@Shadia5449 күн бұрын
Haya tunasikiliza hapa ili tujuwe ilikuwaje jamaniii 😢😢kuna watu huku wanateseka sana 😢😢halafu miee mkataba wangu ulipotea jamaniii 😢😢
@SihabaAbdallah-li6dx9 күн бұрын
Bosi wako simzur kwan
@kurthummohamed62909 күн бұрын
Msiende kabisa oman nawashangaa mnasema mnateswa halafu kila leo mnaenda
@fatumadiwani40986 күн бұрын
Watanzania wajuaji na jeuri ndio maNa hamkai kazini mbona wenzenu wa mataifa mengine wanadumu kazini
@BobJohn-q9f8 күн бұрын
Ikiwa uligombana na boss wake kwanini hukurudi kwenu mwaka 3 unafanya nini huko
@zuweinaalhabsya87739 күн бұрын
Sasa huyu atasema kaonewa kufungwa 😮😊???
@margaretnyamwilahila2929 күн бұрын
Mikorogo wote imewaharibu jamani!! Punguzeni!!
@musnamohamed41998 күн бұрын
Nimekapu tu haja jichubua
@fatmaabdallah77096 күн бұрын
Wanataka kufanana na warabu 😂😂😂😂
@ashaabdalla9242 күн бұрын
Mkorogo huo 😅
@fatmaahmed86377 күн бұрын
KWA KUWA UNATAKA UHURU KAMA UPO TANZANIA..HII NI USALAMA WENU NA WENYEWE..NA SIO KUZINI MITAANI.KUULIWA.UWONGO HUO POLISI HAKUWACHI HIVYOO UNAJUA ULIFANYALO...
@FatmaTanzania-i3y8 күн бұрын
Minina mwaka 3 bos mswaili ataki kuniongeza pesa naamna siku yamapumziko naata sikukuu nijinunulie mwenyewe nguo ukimwambia mshaara ana kwambia mimi mwenyewe sijaongezwa kazini kwangu😢😢
@Ayuminchasi8 күн бұрын
Mkataba miaka miwili kwa nn ukae mitatu kuna ulazima gani MTU kma huyo ukimaliza mkataba unaondoka unarudi nyumba nyingine
@Fatima-i7h3w8 күн бұрын
Aswaaa @@Ayuminchasi
@Ayuminchasi8 күн бұрын
@@Fatima-i7h3w wadada wengine wengi hawajielewi kuna wengine wanalipwa Rial 80 na anaongeza mkataba kwa pesa hiyo hiyo kwani ndugu zetu hawa watu wenyewe kutuita majina ya wanyama malize angalie sehem nyingine unakomaa hapo na unalalamika dah sijui kichwa kukoje
@DanielaFrancis-m6e7 күн бұрын
Vumilia sio lazima ijaza Fanya kazi kikubwa uishi kwa Amani
@Ayuminchasi7 күн бұрын
@DanielaFrancis-m6e kupumzika ni lazima kwa sababu ni binadam sio mashine wala bunda ila waarabu wana matatizo ya akili afya ya akili
@aishaa29306 күн бұрын
Ila da zari unatamani sana kusikia mabaya ya omani kuriko mazuri pia wafanya kazi wengine wanaingia tamaa ya kupata pesa haraka ndio maana wanaishi magetoni ila wema wapo sana tena wengi majent wanaharibu sana wengine boss unakuta muelewa ila ajent anapanda dau ili usitoke pale
@princesssam62456 күн бұрын
Ufungwa wa nn umalaya tu
@manhutamankuta73668 күн бұрын
Kwani watanganyika munaenda kufanya nini oman wakati muna nchi yenu na ni Tajiri na hakuna mtanganyika anayelala na njaa ni neema tupu dhahabu, Tanzanite na madini yote munayo sasa munaenda Oman 🇴🇲 kufanya nini?
@SalmaMkwenda9 күн бұрын
Pole sana
@nasseralhabsi14838 күн бұрын
Si angevumilia huo mshahara wa Rials 90,baada ya hapo Allah atamfungulia. Sababu wanasema, mvumilivu hula mbivu. Basi ni hayo tu.
@fettyrashid90428 күн бұрын
Rials 90 ni sawa na sh ngapi ya Tanzania?
@RehamAlmamari8 күн бұрын
laki 6 na 80 @@fettyrashid9042
@GatekaFatma17 сағат бұрын
Kweli kabisa kazi za barabarani unaheshika sn na Kweli wa Burundi hawakawii hatuna embasi wiki2tu unaonfoka
@hailinhelen46755 күн бұрын
anaonesha mjuwaji sasa umetoroka kwann usirudi kwenu ukae miaka 4 nchi ya watu na viza ya wqtu si ndio ujuwaje uwo
@GatekaFatma17 сағат бұрын
Sio ujuwaji ww ungerudi na nini bila ticket we vp hayaja kufika ndo mana
@aishababy46408 күн бұрын
Mbona asimulii alivyokuwa anajiuza yani simpendi hy dada
@BintRasheed19998 күн бұрын
We ndo ulkua unamnunua
@AAA-zu1vyКүн бұрын
Kwahiy mwajuana eee mana mchai kujua muchawi mwenzio ulijua aj Kam alijiuz Kam ww hamukutan mahal 😂😂😂😂
@bintrobert-rg9cp5 күн бұрын
Huyu dada kaongea kweli bila hata chembe ya unafki mwenyezi mungu atutangulie wote tulio jitolea kuishi mbali na familia zetu
@zuweinaalhabsya87739 күн бұрын
Dd asikudanganye huyo eti walimkamata wakamwacha Nani kasema akamatwe hapa Oman halafu wamwache
@bahadurbahadur-ir4ub9 күн бұрын
Hasa hawa magent wa Oman mtihani mno sana😢😢
@BeatricesuleimaniBeatricesulei9 күн бұрын
Ila mengine tukanea tu sio lazima maisha ya ije sio mazuri
@ZuwainaSd7 күн бұрын
NAOMBA KUULIZA SAMAHAN LAKIN KWANINI WAFANYA KAZI WA OMAN MNAPENDA SANA KUTUMIA MIKOROGO SIO WOTE LAKIN ASILIMIA MIA KWANIN JAMAN MBADILIKE JAMAN DADA POLE HILA KUWENI MAKINI SANA BORA UBADILI NYUMBA MARA MIA KUSHINDA KUTOROKA KIKUBWA TUNASHUKUR UMERUDI
@WamidhAlsana9 күн бұрын
Mwambie aseme ukweli Kila ijumaa Al hamis yupo club Na viguo vya ajabu uyooo aseme ukweli
@Kabwela7769 күн бұрын
Acha kuwatetea mbwa hao waarabu
@Osm90-m3j6 күн бұрын
Kumbe mlikuwa mnadanga wote jamani 😂😂
@zuweinaalhabsya87739 күн бұрын
Sura tu anaonekana shangingi.
@MuniraMtika6 күн бұрын
Hodar ww kw kucoment😅😅
@aminaamina135-j9m9 күн бұрын
kabisa dada walabu sio nikijaliwa kuludi salama siwezi ludi Tena naona siku haziendi wazuli wa sula loho mbaya,
@IfadatAlly9 күн бұрын
Kata mkataba urudi usigeuke ngombe mchana unakunya usiku unalala
@FarajaSijali9 күн бұрын
Ata Mimi dada
@FatimaAli-of4gh9 күн бұрын
Dada mshahara sio mshaala kiswahili fasaha tuikumbuke herufi R
@HalimaKassim-yz3we9 күн бұрын
Nenda sasa mbona sasa upo Tanzania siungenda kenya mjinga ww
@ZuhuraSaidi-w3t4 күн бұрын
Ukweli mtupu mm nipo uku ninachangamoto kibao inshallah nikiludi kwetu natulia bora Wali dagaa kwenye Aman
@DanielaFrancis-m6e7 күн бұрын
Duh pole sana Mamy Rais wa Tanzania chukua hatua kuhusu watu wako waliopo uarabuni angalia watu wa filipino wanaishi wa kwa raha sana sheria ya filipino ni kali mpala raha.
Day work hakukugharamia chochote just umemtia gharama kubwa sana na umemsumbua sana just haki yake utailipa kwa mungu
@DelightfulMacawBird-tl5hf9 күн бұрын
Hawa madam hujifanya wababe wakati nguvu za kupiga hawana😂
@TinaKahindi5 күн бұрын
Chado umenipunga kweli bint Hussein akuwa sadam Hussein 😂😂😂😂
@user-solange9684 күн бұрын
Mbona muna sema wa Islam wana roho nzuri Ila waliyo anzazisha dini yawo kama wa rabu wenyewe wanaroho mbaya sana sijawayi ona 😢
@alhamdullilla51089 күн бұрын
Muongo uyoooooo saaaaana 😢😢😢😢
@NemaAli-zh6hr8 күн бұрын
Hya njoo wew useme ukweli!
@AAA-zu1vyКүн бұрын
Ap ss 😂😂😂😂 ndo tunasubir ukwel wake@@NemaAli-zh6hr
@sapnaarjun21756 күн бұрын
Pole
@VeronicaPaul-l8m9 күн бұрын
Dada huyu ni mpambanaji hata bongo anaweza kujituma atatoboa. Pole kwa misukosuko na mshukuru Mungu hujadhurika kabisa mwaya
@OnlyRuky9 күн бұрын
Zai bana amesha kujibu alisha kwenda ubalozini akajibiwa atajua mwenyewe bado unamwambia BALOZI haiwezi saidiya mtu alivunjaa sheria😮 wapi kavunja sheria? wakati alikwenda akajibiwa atajua mwenyewe na madamu wake! how come arudi tena kwa sehemu waliyomjibu vile? Niliwahi sema Balozi hawana msadaa kwa wana nchi wao mpka habari iende viral yani iwe yakushangaza(mtu Kesha uliwa😢) or Kik ndiyo ubalozi wata jup in ili waonekane wamesaidia big up kwa huyu dada bila kuogopa umesimamia ukweli wako hujawa muoga km Zai kutwa kuwapamba hao balozi. ukiwa unafanya kazi ya jamii you need to be strong and don't take side kwa kuogopa serekali.
@irenemichael9 күн бұрын
Ubaloz ulud tu kwao uliko toka hakuna chamaana
@Zuwenamchuzi8 күн бұрын
Mungu atusimamie hawa watu weupe mungu anawaona😢😢😢Mimi nakatwa mshahara toka mwezi wa tisa nakatwa liyari 20 ila simsamehe Mpaka kiama😢
@OmaSs-b7i8 күн бұрын
Kabisa Tzania hamna kitu Tazama alikufa mwamvua ,,hata kwenda kuonja hilo shimo hakuna alie enda mara amekufa Kwa pressure lakin Hadi sasa kmywa hamna kitu Tzania ,kikubwa kimuomba mungu atusimamie
@PrincessReen-n8t6 күн бұрын
Mama samia usimsikilize huyo alikuchafua ulipokuja pumbavu zake akwende huko rais anamjua leo hii akalime vimongo huko
@Aishajohn-o3m9 күн бұрын
Kukemboi ni changamoto me naona kama yamekushinda urudi tu nyumbani
@SakinaSakinat-qd9rs9 күн бұрын
Kwa kweli
@AlHamra-k4u9 күн бұрын
@@SakinaSakinat-qd9rshivi Huku Oman unaruhusiwa kupanga chumba?? 😅😅😅 Maana anasema alikuwa kapanga anafanya kazi za nje mmmmmmh mimi muoga wallah hapana 😅
@FgfgyGfyghhgft9 күн бұрын
Kweli kabisa hospital panadol
@Awaasha-cn6bx9 күн бұрын
Ubalozi wa Tz Oman hawatoi ushirikiano haswa kwa wafanyakazi wa ndani
@MputuDavid6 күн бұрын
wabongo eti panadoli ninisasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦
@alhamdullilla51089 күн бұрын
Jamani mumufatiyeni kwanza anavio zungumza 😢😢😢😢
@sharifajamal57649 күн бұрын
Hapo umesema ukweli warabu waswahili na washashi
@AAA-zu1vyКүн бұрын
Yan mwarab muswahil mm siex kua mutumish wak Yan wanavituk bisio isha
@aminumengo21236 күн бұрын
Ubarozi wa Kitanzania mtihani kweli kweli lkn za West Africa km za Kiamerica hawataki mwananchi wake ateswe
@MunaMuna-d4b4 күн бұрын
Kiukweli ubalozi watanzania nishida sana nchiyetu nimajanga
@DelightfulMacawBird-tl5hf9 күн бұрын
Ibri sio ibra mbali sana vijijin ndani pole sana ndugu
@umyazinkath1677 күн бұрын
Zote Zipo Ibri na ibra
@levinalyimo-i9k9 күн бұрын
duuu huyu dada ana kamdomo ile mbayaaa
@PaulinaSemindu-ob3de6 күн бұрын
Asilimia kubwa huko Oman wanaroho mbaya Sana mana Kila siku wao tu jmn mm ntakufa na umaskin wangu huku hukuTz mana naweza piga mtu wakanitupa gorofani mana wanaroho mbaya Sana hao watu
@Rizikialiamechannel7639 күн бұрын
Ww mbwa koma tena ukome malaya ww ww Acha ubaguzi kutaja Wazazibar Mm ndugu yngu mzazibar saiv ana mwezi wa 7 yumo ndani na kesi yke hukmu imetoka juzi atafungwa miezi 8 na kesi yakuishi nje tu sasa ao Wazanzibar unao wataja niwepi acha ubaguzi kenge ww nyoo yaani nimekuchukia bure mbwa ww
@mohmadalmahrizi37178 күн бұрын
Uwe mstarabu habibty matusi ya nini subhana llaha Allah atuongoze sote
@YusterMp6 күн бұрын
Kuna mdada mzanzibar alienda uko kilichomkuta😢
@ashaabdalla9242 күн бұрын
Wabongo ndio kazi yao kutaja wazanzibar mbwa hao wa kibogo sijui wana chuki gani na choyo na wazanzibar washenzi washenzi tu
@Rizikialiamechannel7632 күн бұрын
@ashaabdalla924 mm hushangaaa wazanzibar wapo mbona jela kwakua hatusemi O waubalozi wengi wabongo kwann watupndelee ss Wazanzibar mbona ss hatubagui na pngine ndo washamjumuisha mama samia ndo anaeto tamko kua Zanziba watolewe haraka akili ndogo sana huyu dada
@Rizikialiamechannel7632 күн бұрын
@@mohmadalmahrizi3717 hebu nenda uko yy mstarabu aache ukabila kabisa kma kusota nisite tunasota au na ww ndo yule yule ukabila muaache mbona kutwa mnakwenda zanzibar mahotelin mmejaa mbona hatubagui nyamaza kimya na ww
@UmayyaMunisi6 күн бұрын
Si mnasemsemaga ukiwa na mkataba hupati usumbufu 😢😢jmn mungu atujalie huku na sasa karudi bongo bila passport 😢😢
@Osm90-m3j6 күн бұрын
Nikwambie tatizo linaanzia Kwa maajent wao ndio wanawaambia mabosi nipe rial 1000 utakuja kumlipa 80 huu mkataba hawausikikilizi
@fatmaabdallah77096 күн бұрын
@@Osm90-m3j sasa unajua km hiyo 80 ukichenj unapata milioni moja na nusu ya tz ?! Tanzania mfanyakazi gani wa ndani anapata pesa hiyo?! Wangetulia kwenye kazi wangefaidika na mengi mbona wako watz ambao mpaka makwao wamejenga na wanasaidia familia zao wanashukuru
@Osm90-m3j6 күн бұрын
@@fatmaabdallah7709 We naona umetoka kulewa ndo ukaja kuandika 80 ya nyoko wanaopata milion Moja usinitubuwe katanuwe miguu huko bwanawako akuweke ili akili zirudi sawa wangepata hiyo milion wangellamika na mshahara elekezi 120 iweje iwe 80 kama hawataki kuchukuwa wafanyakazi watulize vinyeo😏😏😏
@fatmaabdallah77096 күн бұрын
@@Osm90-m3j bwanangu ananifanya vizuri ndo kwa maana nina akili sasa tatizo litakuwa kwako bwanako anayefanya huko nyuma anakukodoza sana mpaka akili zinakuruka. Sasa sawa hata km ni laki 5 mfanyakazi gani hapo tz anapata mshahara huo? Sana sana mshahara mkubwa ni laki 1 na wanashindishwa na njaa mabosi zao wakienda makazini! Nyinyi wachache ndo mnawatia ujinga wengi wakajiona km malaika kwa mabosi zao wakati bosi wako unatakiwa kumuheshimu ndo nidhamu ya kazi inasema!
@Osm90-m3j6 күн бұрын
@fatmaabdallah7709 Mi namfanya baba yako na mama yako angekuwa anakufanya vizuri usingekuwa na kiherehere nenda kapakuliwe huko