MOSES MWIZARUBI Mtoto Wa Askofu Aliyetaka Kumng'oa Lema 2015

  Рет қаралды 6,771

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MOSES MWIZARUBI Mtoto Wa Askofu Aliyetaka Kumng'oa Lema 2015
Huenda leo hii, MOSES MWIZARUBI, angekuwa mtoto wa kwanza wa Askofu kuwa Mbunge nchini Tanzania baada ya mwaka 2015 kugombea kuteuliwa kuwa mbunge wa chama cha mapinduzi CCM na kuambulia nafasi ya tatu katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho...
Global tv imezungumza na Mwezaburi kuhusiana na safari yake hiyo ya ubunge ilipoanzia mpaka sasa...
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...

Пікірлер: 20
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 жыл бұрын
Mosses Mwizarubi. Baba amepanda mbegu imeota na itazaa matunda mema. Baba askofu alitoka kwenye ubwana afya na Leo no mtumishi was Mungu. Kila LA kheri, Mungu akushike mkono.
@davidmlangwa5943
@davidmlangwa5943 4 жыл бұрын
Hongera sana kaka na MUNGU atatenda sawa sawa na haja ya moyo wako tuko sambamba na wewe bado tunakuombea zaid.
@rkyaruzi
@rkyaruzi 4 жыл бұрын
HONGERA Dr. Mwizarubi, nakutakia kila la kheri usisite songa mbele
@ombennassary7438
@ombennassary7438 4 жыл бұрын
Lema 2020?
@boniphaslaizer8565
@boniphaslaizer8565 4 жыл бұрын
CGM .Safi sana kijana Mungu akutangulie.
@oscarlucars2903
@oscarlucars2903 4 жыл бұрын
Bro mose naamini unaweza harakati zako nazielewa zaidi MUNGU akufanikishe kwenye nia yako
@greenluckymillers554
@greenluckymillers554 4 жыл бұрын
Dr tunakuami tunakuombea songambele ushindi tuuuuu
@shedykulanga9843
@shedykulanga9843 4 жыл бұрын
Jamaa anafaa kabisa kuwa mbunge anajua siasa tena siasa safii
@thobiasmushangaki4735
@thobiasmushangaki4735 4 жыл бұрын
NDG MOSES MWIZARUBI NIMEKUELEWA MWENYEZI MUNGU AKUSIMAMIE
@janethmarelay1018
@janethmarelay1018 4 жыл бұрын
Arusha ni lema tuuuuu
@gerizimchoirmatanga205
@gerizimchoirmatanga205 4 жыл бұрын
Mimi pia ni mtoto Wa askofu naelekea nafasi ya ubunge
@moseshaule586
@moseshaule586 4 жыл бұрын
Kweli huyu mwanasiasa kaulizwa swali anatoa maelezo kibaoo
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 жыл бұрын
Arusha ni ya lema!
@mgayamgaya
@mgayamgaya 4 жыл бұрын
Upo Arusha? ana kazi sana
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 жыл бұрын
@@mgayamgaya kazi tayari,ni mayokeo!
@mgayamgaya
@mgayamgaya 4 жыл бұрын
@@rasnchimbi Mi chadema aisee tang 2003 na npo njiro nauona upepo mbaya
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 жыл бұрын
@@mgayamgaya kimsingi pakawepo na tume huru ya uchaguzi kwanza,Vinginevyo ni sintofahamu.
@mgayamgaya
@mgayamgaya 4 жыл бұрын
@@rasnchimbi itatoka wapi hio tume
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 65 МЛН
SIMTAKI MTU
2:56
kingbale_tv
Рет қаралды 2,7 М.
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Topten Tv
Рет қаралды 117 М.
Kuna kuinuka tena - Askofu Dr. L.Mwizarubi
2:00:25
SAYUNI EAGT CHURCH
Рет қаралды 2,1 М.
Tazama Video Hii Kabla Hujakuza Mashine Yako
6:26
Topten Tv
Рет қаралды 62 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 65 МЛН