No video

KILICHO TOKEA E.A.G.T BUGANDO BAADA YA ASKOFU MAHENE KUOMBA MSAMAHA HIKI HAPA/ SIRI ZA FICHUKA

  Рет қаралды 10,232

SYLASS TV ONLINE

SYLASS TV ONLINE

2 жыл бұрын

#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079
YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079

Пікірлер: 33
@BarnabaChota-tw7ol
@BarnabaChota-tw7ol Ай бұрын
Amekutana na Mungu
@justinmande4238
@justinmande4238 2 ай бұрын
Hiv munasoma bibila ngani nyinyi ambayo halina msamaaha kama Mungu hanasamee nyinyi ni nani ambayo hamuoni nguvu ya msaamaa
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 4 ай бұрын
Tusigombanie majengo tugombanie Roho za watu Katika kweli na utakatifu
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 24 күн бұрын
Kweli ndugu yangu tuliko tuko mwishoni Kila mtu na asimame aingie mbinguni mambo ya kanisa yanatakiwa kuwa Siri huku nikuwakosesha wafuasi kukosa msimamo na kuhama hata taasisi
@pascaladloph4719
@pascaladloph4719 Ай бұрын
Na bado. Maana mmeikataa Injili ya kweli ya Yesu Kristo. Mmejiwekea utawala wa kidunia ambapo Kristo wala Mitume hawakufanya hivyo. La kuwashauri rudini kwenye injili ya kweli ya neema na kweli ya Kristo. Migogoro haitokuja kuisha katika madhehebu hayo maana yalianzishwa kwa sababu ya migogoro hiyo hiyo. Uchu wa madaraka. Hakuna ugonjwa kisa dhambi hakuna Yesu Kristo alisurubishwa ili kuondoa dhambi acheni kupotosha.
@ndemeeimana6633
@ndemeeimana6633 Жыл бұрын
Kwa hiyo we ndio mch mmh, Yesu anakujaa, ee Bwn wangu nitie nguvu nijifunze kwako, magumashi ni mengii
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 24 күн бұрын
Kweli
@omendavicent7731
@omendavicent7731 Жыл бұрын
Mnatuaibisha sana ndo maana kanisa la leo halina nguvu ya Mungu kabisa.
@BarnabaChota-tw7ol
@BarnabaChota-tw7ol Ай бұрын
Anae tubu ndoa Majanja
@dianamorisi
@dianamorisi 2 ай бұрын
Wewe achia kanisa
@mwakamelebarackthomas6834
@mwakamelebarackthomas6834 3 ай бұрын
Wewe sema unalitaka hilo kanisa. Acha kelele
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Kaumbuka na ufreemasoni wake alidhani angeweza shinda nguvu ya Mungu
@justinmande4238
@justinmande4238 2 ай бұрын
Munahuri masamaa nanyinyi hamna msamaa munakua kama watu wa dini au mafarisayo
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
Mbona kazi mmmh.kanisa linaelekea wapi.Yesu anarudi haraka hakika.
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 5 ай бұрын
Hao watu kweli wanajielewa? Wanagombania majengo badala ya kuhubiri neno la Mungu
@zukramlula1153
@zukramlula1153 Жыл бұрын
MUNGU arehemu. Waliogombana wamemaliza lakini washikilia bendera hawataki.
@nicholausrwezaura1971
@nicholausrwezaura1971 6 ай бұрын
Wewe hatuendi dhambi
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 Жыл бұрын
Wewe nahisi umechukia alivyotubu mtumishi wa MUNGU,na uroho wa madaraka unakuponza,na unakbali kuitetea dhambi?na kama ungekuwa mtumishi wa MUNGU kweli ROHO MTAKATIFU angekufunulia ungejua km ni kweli ametenda au la.Ila muacheni Mane ni vzr zaidi kutengeneza na MUNGU kuliko na watu.
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 Жыл бұрын
Na Sasa hamuoni km mmeaibika??mlikuwa mnatetea dhambi???na mpaka Sasa bado mnatetea,hiyo ni haki ya MUNGU?hata wewe mchungaji wa hilo kanisa unapaswa kutubu kabisa kwa kuikumbatia dhambi.
@Kanyawela
@Kanyawela Жыл бұрын
Rudisha Kanisa hilo kwa Wenye nalo vinginevyo roho ya maasi haitaisha
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 5 ай бұрын
Kea nini haya makanisa ya eagt yana matatizo ya ugomvi kila siku
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 2 жыл бұрын
Dah,kwani haya mambo bado yanaendelea uko!, Mbona shida hii inaendelea?,kanisa ni wazee wa kanisa wanatakiwa wasimamie mpaka pale Mungu atokeze Mchungaji wake mwenyewe.
@apostleagnes5769
@apostleagnes5769 Жыл бұрын
Hayawezi kuisha my dear wameasi maagizo ya mzee kulola unatarajia nini ? Mpaka Daniel kulola wanampiga vita
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 10 ай бұрын
Daniel kulola asingeweza kua askof wa e.a.g.t hata cku Moja
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Alitumwa na shetani, na kaaibishwa na shetani, baada ya Mungu kuingilia kati
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Analipwa matendo yake alitaka kucheza na nguvu ya MUNGU. Upande wa pili ni upande wa shetani, mwacheni aaende motoni, akatumike na shetani. Alichopanda Moses Kulola kitasimama milele.
@josephineshija104
@josephineshija104 Жыл бұрын
SASA KAMA KANISA NI LA EAGT HAO WAZEE WA KANISA SI WAPO CHINI YA EAGT//// ACHENI EAGT WAAMUE WANAMUWEKA NANI KUWA MCHUNGAJI
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hapa akitumiwa na freemason Anzia part no 9 kzbin.info/www/bejne/o4epomqfnr2MiqM
@frbm1729
@frbm1729 7 ай бұрын
Umevuna ulichopanda.
@enockyona154
@enockyona154 Жыл бұрын
IVI KANISA LA E A G T NIULIZE YA KUWA NENO MSAMAHA MNAPO LIHUBIRI KANISANI IVI MNAMANISHA AU NIKUJIFURAHISHA? ASKOFU MKUU NIKUOMBE KAMA KWELI UNAROHO WA MUNGU MALIZA MGOGORO HUU ACHA KUJIFALIJI UKIROHO HAUPO
@oscarmushi3212
@oscarmushi3212 Жыл бұрын
Labda niseme kitu hapa enyi waandishi wa habari upande viongozi wa Eagt hawaoni tija ya kuleta haya mambo kwenye midia kwasababu yapo mambo mengi yaliyo jificha ambayo wangeyaanika hapa mngeelewa ukweli amabao hamjaujua bado busara ndiyo inatumika
@pastoraminimgalla6819
@pastoraminimgalla6819 Жыл бұрын
liache kanisa LA mahene unaanzeje kukipandia kitanda cha babaako ulipoingia nipangumu sana
@apostleagnes5769
@apostleagnes5769 Жыл бұрын
Eagt tumeshawachoka na drama zenu wacheni ulafi wa hela na madaraka kumbe wewe pia ulikuwa mshirika leo umemgeuka mfyuuuu. Hata Daniel kulola mnampiga vita shame on you
CASSIAN AFUNUA UKWELI JUU YA KANISA LA EAGT ASIKOFU MKUU MWAKIPESILE
28:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
TOBA YA ALIYEKUA ASKOFU MKUU MSAIDIZI MCH DR  JOHN MAHENE KWA EAGT
21:47
TOUTE LA VERITE SUR KABILA PAR LE GENERAL LUMUMBAv
22:23
Mboka na biso
Рет қаралды 159 М.
Awamu hii CCM mtaondoka bila hata ya vyama vya upinzani. machief vs Mungu!
28:41
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 147 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН