#PART2

  Рет қаралды 7,036

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@FlorentinaBundala
@FlorentinaBundala Ай бұрын
Amen Kaka yetu mwenyezi mungu akubaliki
@azizirania400
@azizirania400 Жыл бұрын
Mfalme wa amani eeeh huinuliwe bwana wangu😢my mum anapenda sana nyimbo zako😊
@RuthnessJacob
@RuthnessJacob Жыл бұрын
Nimejifunza mengi asantee mungu ❤
@SharonAron-t1j
@SharonAron-t1j Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu barikiwa sana, lakini pale mwanzo uligusia tunda la Roho sio matunda 9 bali tunda ni moja lenye vipande 9 ndio mana utakuta mwingine katika hivyo vipande 9 mwingine anapungukiwa na viwili, mwingine anapungukiwa na upendo lakini anauvumilivu 🙏🙏
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Najifunza kwako bro solomon
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Жыл бұрын
Kama ungemfahamu kweli Kristo ungekuwa kielelezo kizuri kwa wanawake wenzako lakini check jinsi ulivyo kama yelizabeli,ishi katika asili yako na uvae vizuri,hapo utakuwa kweli wa Kristo
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 9 ай бұрын
❤❤❤Nimejifunza mengi sana kutoka kwa Solomon 🙏Dah! Hii talk inavusha hatua 1 kwenda hatua nyingine, nimeogeza kitu kikubwa sana🙏 Mungu awabariki zaidi na zaidi🔥🔥🔥🎉🎉🎉
@rosedohho8971
@rosedohho8971 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@aishaisbarty3934
@aishaisbarty3934 Жыл бұрын
❤❤🎉neno nnzur
@juliettumusifu2334
@juliettumusifu2334 Жыл бұрын
Amen 🙏🏻
@gedeonbucumi6842
@gedeonbucumi6842 Жыл бұрын
Amen
@musokedios8162
@musokedios8162 Жыл бұрын
Ni ujinga uliopitiliza wa kuheshimiwa ni Mungu tuu,wakuhabudiwa, ni Mungu tuu anayetawala milele,asiyechaguliwa,wala kupigiwa kura,mfalme wa milele
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Mbalikiwe mtumishi ila mungu huwa anaongea na watu Kwa njia nyingi ni mwenye uwezo wote.
@pamelandikumana2533
@pamelandikumana2533 Жыл бұрын
❤❤❤
@gedeonbucumi6842
@gedeonbucumi6842 Жыл бұрын
Shaman
@williamsofia7372
@williamsofia7372 8 ай бұрын
Ki ukweli.. Mimi nmependa na Mungu awanariki sana.. Lakini dada soma historia ya decoration ilitokea wapi?? Muinekano wako wa njee hauko poa kama shahidi wetu mwaminifu kwa macho ya nyama kwanza hadi ya rohoni.. Jifunze vyema mapambo yana maana gani katika ulimwengu wa roho... Shetani haogopi kuelewa neno la Mungu hata yesu mwenyewe alisomewa maandiko na shetani kitoka katka biblia... Mimi nimependa interview yako. Pia unapokutana na watu wanaojua jitahidi kukaaa kimyaa ili upate mapyaa... Kuna vitu unajifanya kama kumsaidia mtumishi... Jifunze kujifunza..
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Solomon Mukubwa Mfalme Wa Amani Official Video
7:47
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,1 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН