#PART1

  Рет қаралды 26,367

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@bettykasandiko9725
@bettykasandiko9725 10 ай бұрын
Uchawi ni imani. Nikama tunavyoomba Mungu tunavunja roho chafu na hatuzioni na wao hunuia vivyo hvyo
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 2 ай бұрын
Am a Kenyan bt always love this man doctor ❤
@devothanasson7694
@devothanasson7694 10 ай бұрын
Uchawi hupo dada watu ni wabaya sana Mungu tusaidie jamani from 🇬🇧
@gracengalomba
@gracengalomba 10 ай бұрын
Kumbuka ni kweli kbsa unachosema, wengne wanatumia wenzao kupat kitu/daraja especially wadada hawana huruma
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 10 ай бұрын
Nakupenda sana dr kumbuka. Una madini hatari
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 ай бұрын
Dr kumbukaà ww mtu barikiwa sana nia njema moyo safi ushinda mabaya yote...Mungu ni mwaminifu sana...ee mola wangu nijaalie moyo safi mm pamoja na familia yngu kizazi changu tumshukuru Mungu
@MchagaUk
@MchagaUk 10 ай бұрын
Watu wabaya ni wengi nafsi zao chafu
@lucyannalimonama4076
@lucyannalimonama4076 10 ай бұрын
Its true wenye huruma hatuna bahati
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 10 ай бұрын
Salaam Dada Lucy...mimi ni muumin wa dini ya ki islam..kwa imani yangu huruma ni moja ya tabia za mitume waliopita...na wala sio kwamba huna bahati...mwenye huruma hawezi kufanya jambo kwa mwengine ambalo hatolifurahia akifanyiwa yeye...na mtu asie na huruma ni mtu asie na hofu ya kumfanyia ubaya mwengine kwa Maslahi yake binafsi...ivo
@vickysteven1172
@vickysteven1172 10 ай бұрын
Umepatia saaana kutuletea dkt kumbuka ❤❤
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 10 ай бұрын
Uwo mziki pembeni dada Lilian , au sisi wa mbali ni network. Nimefurahi interview hii ya Dr Kumbuka ..
@DionisiaSoka
@DionisiaSoka 9 ай бұрын
Sauti haijakaa vizuri rekebisha dada Lily
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 10 ай бұрын
Kumbuka MUNGU akuweke milele
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 10 ай бұрын
Lilian very beautiful!
@AnthonyAnatory
@AnthonyAnatory 10 ай бұрын
Amina balikiwa sana
@T-Fellow
@T-Fellow 3 ай бұрын
Amen
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 10 ай бұрын
Mungu atusaidie
@devothanasson7694
@devothanasson7694 10 ай бұрын
Kweli kabisa watu siwatu Mungu tusaidie jamani 😭😭😭
@rayahamisi118
@rayahamisi118 10 ай бұрын
Ndio maana kina ss kilasiku tunaachwa atuwezi kiroga😢😢😢
@huss668
@huss668 10 ай бұрын
Kheir shari kuliko shari kamili dadangu usisubutu kurogo mwanamume na usilie ngowa kisa mtu unaachwa dawa zina mwisho mbaya sana muhimu tuliza moyo wako mpe Allah matatizo yako nautaona mume wa kheir yako atakuja nautajiona na wewe upo nusu ya pepo my sister
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 10 ай бұрын
Watu wabaya dada mimi Na rafiki yang alikuja Tanzania dada wa watu kajiwekea akiba yake Ndugu wakajua kuwa ana hela kamaliza holday yake karudi Ulaya siku mbili akaanguka kaja kuzinduka yupo hospital tena ashukuru aliangukia ulaya
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 10 ай бұрын
Maisha ya Afrika noma ngd bora hata ninyi mlowahi kutoka kwenda ulaya mbarikiwe
@Kidotii
@Kidotii 10 ай бұрын
Sound mbaya sana
@mwanakheri169
@mwanakheri169 10 ай бұрын
Sauti mbayaaaaaaaaaaa
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 10 ай бұрын
Nikweli kabisa yani mpaka roho imeniuna sana 😭
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 3 ай бұрын
❤❤❤
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 10 ай бұрын
Lilian huo musician uwondowe uuwondowe unakoseha raha ya kipindi
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 10 ай бұрын
Kumbuka wànawake sikuhiz wanawapa wanaume zao dam zao za siku
@happynesnyanda8208
@happynesnyanda8208 10 ай бұрын
Huwa wanasema inaua hiyo
@ZabadiMachemba
@ZabadiMachemba 10 ай бұрын
Subhannallah, damu ya mwezi!!! Aaaah hiyo hatari. Innalilah wainnailaihy rajiuun. Hiyo nikukosa kujiamini na kumuamini Allah.
@huss668
@huss668 10 ай бұрын
Subhanallah Dunia imefika mwisho wallahi
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 10 ай бұрын
Mimi huyo Dr kumbuka mimi mamangu mdogo kajaribu ila walioupande wangu ni wengi kuliko walioupande wa waganga
@VelonikaMakota
@VelonikaMakota 10 ай бұрын
Kweli mimi mumewangu katekwa na malaya wa sinza
@imanimwakinga4934
@imanimwakinga4934 10 ай бұрын
But dada lilian ningeshauri hii kuwa na diary pembeni inakutoa kwenye reli ya interview na ukiwa unaandika ni kama camera man anashift coz inakuwa inadistruct. hizi interviews zinarushwa kwenye KZbin ungeweza kutulia baada ya kurushwa ukatake notice kwa utulivu.
@susans4490
@susans4490 7 ай бұрын
Mziki mkubwa kuliko sauti zenu
@magrethmagessa2445
@magrethmagessa2445 10 ай бұрын
Ila wajue tu dawa huwa zinaisha makali yake
@trophywilson7211
@trophywilson7211 10 ай бұрын
ila Maumivu tayari mioyoni
@Hashdough
@Hashdough 10 ай бұрын
SOUND QUALITY NI MBAYA SIJAPATA ONA... NA MGEFANYIA OUTDOOR INGEKUAJE?
@MchagaUk
@MchagaUk 10 ай бұрын
Huyu kaka ana busara
@sophiakipeto4436
@sophiakipeto4436 10 ай бұрын
Duuuh hii hatare
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 10 ай бұрын
how do you😅
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 10 ай бұрын
😇😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@BMboss108
@BMboss108 10 ай бұрын
Kama tudin tudan
@gilliansimon8517
@gilliansimon8517 10 ай бұрын
Mbona kuna disturbance ya sauti huko nyuma
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 10 ай бұрын
Nikweli kabisa yani mpaka roho imeniuna sana 😭
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 10 ай бұрын
Nikweli kabisa yani mpaka roho imeniuna sana 😭
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 10 ай бұрын
Nikweli kabisa yani mpaka roho imeniuna sana 😭
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
DR KUMBUKA - WANAWAKE MUWE MNAULIZA KABLA YA KUOLEWA
10:40
Dina Marios tv
Рет қаралды 143 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН