Mashaallah mola akuzudishie ulipotoa akuongezee inshaallah watu wapo na mapesa yao lakin hawana moyo wa kutoa mashaallah dada hongera❤❤❤❤❤
@HabibaMäsgen12 күн бұрын
Shukraan shukraan selfishness inauwa Bara letu la Afrika..Mungu atuamshe
@neemaresourcefoundation830918 күн бұрын
Ubarikiwe sana sana tunakuombea
@HabibaMäsgen12 күн бұрын
Ameen Ameen ubarikiwe sana
@Davidmalunga-199218 күн бұрын
Dah
@aairraahseif564818 күн бұрын
kufanya haya ni majaaliwa ya Allah,napenda nikusahihishe kauli yako!dada Sio wote walioko nje ya Nchi wanakipato na uwezo wa kuleta nyumbani hovyo kama hivyo wewe!hali zao tu wenyewe huko waliko ni taabani!wewe unafanya niunacho sana kimekuzidia ndo maana unafanya,na kwenu maybe mko vizuri,maana"huwezi saidia kungine ilihali wazazi au ndugu zako wako hali duni!hilo utambue,walioko nje Dayaspora hawajatendewa haki za msingi kama raia wa Tz, vipi waje tuu wapoteze pesa zao wasiko thaminiwa?wewe unacho cha ziada towa inatosha!ila usilaumu wengine eti wamebweteka unajua wanaishije?kuishi kwa kulipia Credit card Sio rahisi!hivyo usiwalaumu ndugu zetu hali ni ngumu🤗
@HabibaMäsgen12 күн бұрын
Kumbuka kutoa ni Moyo mpendwa..mungu akufanyie wepesi
@Dawati_Tv19 күн бұрын
Great
@protaspeter537119 күн бұрын
Madam nitafute nkupe zawad
@aairraahseif564818 күн бұрын
Yeye ana vya ziada Zawadi yanini kwake,anae toa kusaidia muombee Du'a
@HabibaMäsgen12 күн бұрын
Nashukuru mkuu
@HabibaMäsgen12 күн бұрын
Naam
@mbwanakombo403118 күн бұрын
Watu km hawa wengi huaga mabwana zao ni wenye nchi au walioishi miaka mingi babu na bibi zao. Ila ukiwa pangu pakavu utaishia tu kumlipa mwenye nyumba na makodi lukuki na nyumbani kila mmoja anakuangalia mtu mmoja wewe
@HabibaMäsgen12 күн бұрын
Mungu akufanyie wepesi na uwe na mawazo chanya pia