No video

MTOTO ASHUHUDIA MAMA'AKE AKIKATWAKATWA na PANGA AKIWA KWENYE BODABODA - ALIA AKISIMULIA...

  Рет қаралды 9,395

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MTOTO ASHUHUDIA MAMA'AKE AKIKATWAKATWA na PANGA AKIWA KWENYE BODABODA - ALIA AKISIMULIA...
Mwanamke aliye Julikana kwa Jina la Magreth Ahadi Mvyombo maalufu kama (mama mvyombo) mfanyabiashara mkazi wa mtaa wa mayeye kata ya cheyo Manispaa ya Tabora ameuwawa kwa kukatwa na mapanga na mtu asiyejulikana wakati akirejea nyumbani mwake majira yaa saa moja usiku kutoka katika biashara yake.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 26
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j Ай бұрын
Binadamu wamekuwa na roho mbaya jaman. Mungu kwa hili nakuomba ukatende
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Ай бұрын
Pole sana bint
@azizahassan6803
@azizahassan6803 Ай бұрын
Pole sana familia tunalaani sana kitendo hichi alichofanyiwa wakala mwenzetu
@saidramadhan71
@saidramadhan71 Ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Poleni sana wafiwa nawatanizangu mi mtanga poleni sana
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 Ай бұрын
Ndugu zangu watanzania nyumbani siyo kuzuri kabisaaaa
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Ай бұрын
Haya mambo yaspopatiwa ufumbuz wa Sheria na Azabu kari sana kwa wavivu nawategemea cha ndugu. nakutumia mda wao kunywa pombe chafu na kuvuta mibangi tu. Mwisho nihasala kwa jamii
@mamakayla6697
@mamakayla6697 Ай бұрын
Baada ya siku mbili aliuawa mtu huko Tabora akiwa kwenye harakati ya kumkata mtu,alipigwa akauwa na kuchomwa moto.Nahisi ni huyu aliyemuua huyu mama😢😢😢😢😢😢
@geofreykayombo401
@geofreykayombo401 Ай бұрын
Poleni sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Ай бұрын
😢😢😢Masikini
@user-uv8ne8hk8y
@user-uv8ne8hk8y Ай бұрын
😢yani dar es salam mmezid ukatili vibaya kisha serekal ata hawajal jaman tunaelekea wapi
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Ай бұрын
Itakuwa wewe ni kiziwi au kipofu😢
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t Ай бұрын
Jamani serikali pambana na madawa ya kulevya watu hawataki kufanya kazi oh Mungu wetu tuhurumie hatua kali zichkuliwe kwa wale wote mitaani wasioeleweka shughli wanazofsnya.
@user-xy4kt8wk6l
@user-xy4kt8wk6l Ай бұрын
Matukio ya Mauaji Tz yashakua km michezo ya Kuigizaa Mbn Nchi Inatisha hii?
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Ай бұрын
Vp huyo bodaboda alisaidiaje au nae alikimbia
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Hizi pombe za bei raisi zinaukwa kwenye viosk vyote kama pipi atuwezi kuwa na taifa vijana asilimia kubwa ni wahanga wa ulevi tutegemee kukwapuliwa chochote mahali popote
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Fungeni viwanda vya pombe aina ya jogoo sungura k vant ziko nyingi kuliko mnavyoona hapa ni tunafuga vibaka
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Bado hii sheria ya kuanzia polisi husababisha kama mtu amekatwakatwa afe kwa kuishiwa damu!! Kwa nini asingepatiwa huduma ya kwanza hosipitalini ndipo polisi ifuate? Au basi kila kituo cha afya kiwe na huduma ya kwanza?
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Ай бұрын
JAMANI , JAMANI..... TAARIFA ZA MAUAJI...YANAONGEZEKA KWA KASI SANA... -SIJUI KUNA TATIZO ,GANI...... -HOFU SASA INATANDA MNO ...KUNA NINI??
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Ай бұрын
Hizo Bangi ndo zinawasumbua watu vijana wa ovyo Sana
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris Ай бұрын
Mimi nashindwa kuelewa kwanini rasi yupo kmya tu kira tukio
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v Ай бұрын
Na nyinyi wananchi muchunguze ninani aliefanya
@vickytango5591
@vickytango5591 Ай бұрын
Boda boda vp
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Ай бұрын
Mama wa nchi weka sheria ya hivi vitu jamani tutakufa tuishe jamani
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 86 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,8 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 44 МЛН
TUKIO la Mama ALIYEMCHINJA Mwanae na KUMPIKA, Ndugu WASIMULIA "KICHAA"
5:30
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 86 МЛН