Qur an wengi wetu tunaisoma lkn wengi wetu hatujui kwenye maana...so viongozi wa kiislam wakiwemo walimu wa madrasa kufundisha tafsiri ili tunachokisoma tukielewe vzr.Wabillahy Tawfiq
@halidimgonza59452 ай бұрын
tafsir inasomeshwa ndugu
@adamhashim33522 ай бұрын
Maswahaba walikuwa waarabu pia lakini wanafiki walikuwepo
@SafiniaMbaroukАй бұрын
Mashallah tena mkivaa ivo mnapendeza mnoo wallah sijui nani kawaroga kutembea uchi ,M.mungu awaongoze ktka stara na hakki amin kwa sote zaid na zaid
@Kabeya4102 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah amuongoze awe ktk njia ya sawa inshaalah ila kuna watu wanajiona wao ni wa peponi tu kukosoa badala ya kuombea duwa ili waingoke kuwananga ati ooo hajui kusoma Qur an Ooo Hajui hukum za usomaji sawa hakuna mkamilifu ila Allah ni afadhali huyo anasoma kuliko wewe unaejihesabu wa peponi huna hata aya moja uliyohifadhi hata Alhamdu hujui vizuri.
@mohamedhamedseifelsawafi83092 ай бұрын
Huyu yuko vizuri. Hata hukumu za قرآن anazijua. Allaah amzidishie
@mwinyihijajumaa3773Ай бұрын
Mashallah Mungu awaomgoze mzidi kuvutiwa na Quran
@PasserbyMan-ju8ky2 ай бұрын
Allah akuongoze katika njia ya sawa
@aminahassani-jh5rpАй бұрын
Wow wow wow nimekupendaje jomoni❤
@mishiadamu1902 ай бұрын
Mashaa allah ❤ Allah akuhifadhi, akulinde pia upate kuisoma Quran Kila siku❤
@MdNasr-jm8pj2 ай бұрын
Mashallah 🎉🎉 Muislam ndo anasoma Qur'an
@Assia-z2dАй бұрын
Allah amuingize pepon
@aminaally3817Ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@SalmaMohd-u7l2 ай бұрын
Allawa huakibari Allah atupe mwisho mwema.
@aishamamyАй бұрын
Ila nampenda huyu dada kwanza havai uchi mavazi yake ni sketi na madira namfatilia saana jmn😊😊
@rarkia7452Ай бұрын
Mashallah❤
@ZulkamhajiАй бұрын
Yarrabi tungoze wajawako ututowe kama matendo ya kitwaghuti amin
@FaridaAlita-jx6lt2 ай бұрын
Mashallah allah akuzidishie imani
@ZulkamhajiАй бұрын
Allah atuongoze atutowe ktk matendo ya kisheitwan
@AmiriMalenge-kc5jk2 ай бұрын
Mwenye haki ya kuhukumu ni Allah pekeake
@karimabdul39282 ай бұрын
Dini inasemaje ndugu yangu, tumuombee tu dada yetu apate uongofu
Assalam alaykum shukran sana nime penda sana lakini na waombea kwa Allah lengo litimie na muwaze salama mumalize salama na naimani una heri kubwa itapatika 🤝🤝🤝 Inshallah
@MwadawaSaidi2 ай бұрын
Wallah nilikuwa sijuwi kama batuli ni muisilam kumbe ni yeye 🥲🥲🥲🥲ALLAH atusamehe kwakweli tunafanya makosa uku tukijuwa ni makosa tusamehe sana YARABBY
@Rizikialiamechannel7632 ай бұрын
Sialienda umra mwaka huuu
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ruАй бұрын
Batuly anafeli wapi Maashaallah anajua Qur aan hakika...anajitaahid kuchunga hukmu Maashaallah...maneno maxur namuombea kwa Allah ambadilishe
@KudraEliasa2 ай бұрын
Ishaallah mung akujalie sn batuli uko poa
@NyiranezaDjamila2 ай бұрын
Ma sha Allah,barak Allah
@ShillaMumba2 ай бұрын
MashaaAllah
@mejumaabaraza39892 ай бұрын
Masha Allah tabaraq Allah ❤🎉🎉
@MudyKadoАй бұрын
Mashalaa
@halimaabdi31252 ай бұрын
Ma SHA Allah ❤❤❤
@MariamIbrahim-h7p2 ай бұрын
Manshallah
@mamuamtoto2 ай бұрын
MASHAALLAH ,MASHAALLAH
@MudyKadoАй бұрын
Kwaweli isha yopo vizuli❤
@SefuSalim-sb1mlАй бұрын
Inapendeza
@allycomm1553Ай бұрын
Inaonyesha kabisa qur-Ani haikuathir ata kidogo inatok mdomon tu haipo moyon
@halimamwingu44782 ай бұрын
Siku ya hakki inakuja! Endeleeni kuipenda Dunia! Kifo ni uhakika kuliko kuishi!
@eshasalim14712 ай бұрын
Tuchungeni wanawake na hii mitandao yatupeleka vibaya sana
@zureashomari24082 ай бұрын
Subhanallah
@NiyibiziIsaWangyuАй бұрын
Ningekushauri kuachana na usani Kwa sababu mara nyingi usani mnapakana ndani yake uhuni wakati mnapocheza movie kama unathamini Dini yako acha njia hiyo utafute njia nyengine ya kutafuta hela kihalali na Allah atakurahisishia in'shaallah!!
@BenoBeno-c4l2 ай бұрын
Allah akbar mashallah
@halimaali37192 ай бұрын
Mashaallah
@SaleheMpingoАй бұрын
Watu wakisoma qur an machozi yanawatoka kwa uzuri wa maneno ya Allah,lakini we unacheka , allah akuongoze inshaallah
@rashidmwajambale2967Ай бұрын
Kwani quraan Haina Aya zinazofurahisha muhimu ungeangalia anazingatia huqmu za erufi
@YalkinAlkindy-nt2hf2 ай бұрын
Laiti ungelifanyia kazi unayoongea
@MudyKadoАй бұрын
Kwaweli isha yopo vizuli
@z34-kp9qq2 ай бұрын
Pia hamasisha vipi tunaweza kusalimika na ghadhabu za Allaah
@saidmohd24912 ай бұрын
Mtihani hawa wanawake kama hatukuwa makin watatutia moton Allah
@sonnyr18992 ай бұрын
Kwa nini?
@SamiamohamedZahoro2 ай бұрын
Mtoa hukumu ni Allah subhana wa taharra pekee
@jenyyusuph49732 ай бұрын
Mavazi ndio hayo Sasa Batuli kamamwarabu mashaalah
@SafiaOmarАй бұрын
Ana asili ya usomali huyo
@sefubakariАй бұрын
Maisha magum ni sababu mojawapo za maovu kwa wasiokua na subra
@zuberimusamazari70032 ай бұрын
Hii quran ni yakufuatŵa kwa vitendo
@ShannyBrowntz2 ай бұрын
Msiba mkubwa snaaa
@ShafiiSoudАй бұрын
ishu sio kusom tu quran, hoja n namna gan anaifuat quran wasanii wengi hawajitambui
@eshasalim14712 ай бұрын
Innalillah wainailehy rajiun 😭😭
@BrownHuncho-jt6oi2 ай бұрын
afu ukavae uchi badae saw apo saiv unasoma quran
@maftahmusa95132 ай бұрын
Sio jambo la kufurahisha ni jambo la kusikitisha sana kuona binti wa kiislamu waliowahi kupitia chuoni baada kua ktk mstari wa haki wamejitumbukiza katika mambo ya kishaytani innalilah wainna ilayhi rajiuun
@muktarkassim66472 ай бұрын
Kweli broo
@Kabeya4102 ай бұрын
@@muktarkassim6647kwa hiyo ndo umeongoka na kizazi chako na ndugu zako woote wa peponi si ndiyo kazi yako kuhukumu badala ya kumuombea dua arejee ktk mstari usijihesabu ni wa peponi ba kuhukumu wenzio kupotea muhimu fikusha ujumbe kwa hekima anzia nyumbani mwako kisha jirani zako ndugu zako ndo utoke nje kuhukumu
@fettiemaganza14842 ай бұрын
@@muktarkassim6647mtihani na Allah atuongoze
@staanstaan87222 ай бұрын
Shekhe Maisha na ingekua vizuri ungekua unatumia fursa kuelemisha badala ya kukosoa
@staanstaan87222 ай бұрын
Umechukua jithada gani kuelemisha walau 5 min popote
@salhamussa60092 ай бұрын
Duuuh mtihani kweli kweli hii dini Inapoelekea wageni rasmi kwenye matamasha ya dini ndio wale wale wanao jianika Allah atuhifadhiii
@abutwalibubakari52802 ай бұрын
Nendeni Madrasa mkasome dini
@HusseinAbdulah2 ай бұрын
Allah atuongeze sisi na yeye ili tupate mwisho mwema Allah atujalie iwe ndio sababu ya kuacha ujinga tunao ufanya tuombeane dua tusimuangalie yeye tuu tujiangalie na sisi
@abuuyahya849Ай бұрын
Jamani watu.huyu sister yobnesh nimesoma naye shule moja tena ya kiislam mi nipo form three yeye yupo form one babake ni yusuf msomali na ni mtu wa dini kweli ila mamake ni mbongo na bila shaka ndo kamwaribu
@RahimaMct-ik8mr2 ай бұрын
Umesoma umetania ukajichekesha
@AmanaHussein2 ай бұрын
Mashallah
@allycomm1553Ай бұрын
Mungu hatoi umaarufu wa kufanya vitu vya haramu mnakaa uchi tu kwnye mabongo movie yenu huko
@ahmedcornel2702 ай бұрын
Tatizo wanaleta utani mtu anasoma huku anacheka cheka km anasoma kitabu cha story 😢
@binthamoudshariff54922 ай бұрын
Mnasoma Qur'an huku mnachrka kwani hiyo ni movie subhanallah
@HarunaFursana2 ай бұрын
Wenzagu najuta mimi saaana ila naamin kuna ustadh aje in box nimuongelee
@SabraAbdilnasir2 ай бұрын
Nini unajuta jutia lakini kumbuka kama umekoseya kuna toba na allah ana huruma ❤
@allymtito81172 ай бұрын
Malengo ya quruan ni sis kuisoma na kuwaidhika nayo, yani tufanye yale Allaah anataka tufanya na kuacha alo tukaza, iyo sura ulo soma mbele kidogo ipo aya yatubainishia hili, sas isiwe twasoma afu kufanyia kazi hatupo
@GhaniaSaid-u5k2 ай бұрын
Nyinyi malayw
@FayeezAlbahassaneyАй бұрын
Manen mazr ni sadaka bro Allah akusameh InshaAllah
@eshasalim14712 ай бұрын
Kweli tuliambiwa wanawake watakuwa wengi motoni
@muhammadsheekh79932 ай бұрын
Eti lakin pia mm ni muislam.😅😅watanguliza usani kuliko dini.msibaa😊
@eshasalim14712 ай бұрын
Ikiwa mtu ameisoma quran na kuifahamu hawezi kusoma Kwa jinsi hii
@ShabaniRashidi-d2v2 ай бұрын
Quran imeshuka ili kùtuongoza,kuhukumu sio kusomwa kwenye matamasha,tena na wanawake ?wanawake wawe wenye kujifunika uso mzima ,wasiwe wenyekutoa sauti zao(surat nnur)ibun abbas r.a.anasema mwanamke awe mwenye kujifunika uso mzima akiwa na dharura aonyeshe japo jicho moja(iyo ni dharau kwa kitabu cha ALLAH,na uislam kwa ujumla
@SallSalll-g6d2 ай бұрын
🎉
@AliKhamis-j9z2 ай бұрын
Yaani ingelikuwa zama za omar hawa wote vichwa vishatenganishwa namwili sema zama tulokuwepo nizama zafitna watu wabatil ndio wameushika mpi i
@AliKhamis-j9z2 ай бұрын
Sasa hapo ajabu nini au kwasababu walishakua waasi wadini
@AbdallaMwagora-sm1rj2 ай бұрын
Tuache usanii katika dini huyu atamshauri nani aache maovu ilihali nafsi yake hawezi kuinasihi , Quran si kitu Cha kuchezea Wala kukifanyia show .mungu ametukataza kusema tusio yafanya.
@TijaraMangochi2 ай бұрын
Hacha kumkatia tamaa mtu hata hao ambao unawaona wema Huwa Kuna vitu wakosea
@IjumaaIjumaa2 ай бұрын
Wasanii waislamu tuogope siku ya kiama miziki ni Haram na kama ni kwa ajili ya Allah mtaacha mamiziki Haram na halali hakai pamoja
@jumahamadomar9124Ай бұрын
Haki munaijuwa lkini mwaipindisha wacheni kumfnyia Mungu maskhara,hiyo tabia yenu ya kuonyesha mapaja wazi ina mwisho na ina hukumu yake
@mfaumesangwa11062 ай бұрын
Aaww. Binafsi nadhani Kuna kitu hakikosawa Nikiwa na maana waislam hatujawekeza vyakutosha kwenye Sanaa kiasi kwamba tunaiona Sanaa haimo kwenye uislam na wale wanaoamua kuingia kwenye sanaaa kwakua wanafuata sistim tofauti na matakwa ya uislam tunabaki kuwabeza nakuwaona ni waovu hawana maana ila linapokuja swala la kuwahitaji Kwa matumizi yetu yenye maslahi na sisi huyaweka nyuma Yale yooote wayafanyayo USHAURI WANGU Iko haja sisi kama waislam tuwe na kitengo MAALUM Kwa ajili ya kushugulikia sana sikuhizi Kuna waimbaji waigizaji midamingine hata wakifanya qaswida au films zinazoitwa za kiislam unakuta Kuna kasoro lukukuki ni kwasababu hazisimamiwi.
@AliKhamis-j9z2 ай бұрын
Kwani hapa duniani umeletwa ujeufanye Sanaa au umeletwa ujekumuabudu Allah, au ndio nawewe nihao watu wamadufu namaektaz
@Santana-vu1dn2 ай бұрын
Kuskiza kitabu takatifu huwezi kuongea inatakiwa ukaekimya ss iy biashara utaongelea saa ngap itakillah muogope Mola ujui kusoma ww
@SaidaHamida-ce4ji2 ай бұрын
Hamna kitu anachosoma
@hamiduOmar-o8rАй бұрын
Kumbe munaweza kujictir kumbe mukihitaji na pia munaweza kupotosha watto kwa mavazi yenu ya kijinga ya bongo move